Adamhajj ministries official
Adamhajj ministries official
  • 18
  • 126 326
NDOTO ZA WATU WENGI ZIPO MAKABURINI,UNAWEZA VIPI KUSHINDA?,REV ADAM HAJJ
MAWASILIANO PAMOJA NA KUSAIDIA HUDUMA YA MTUMISHI ADAM HAJJ
ILI AWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI
KENYA : +254 700 146 495
TANZANIA +255 749 811 121
COMMUNICATION WITH SUPPORT SERVANT ADAM HAJJ
SO HE CAN REACH MORE PEOPLE
KENYA : +254 700 146 495
TANZANIA +255 749 811 121 (M PESA)
มุมมอง: 1 018

วีดีโอ

#Part2 Safari ya Wokovu wa Adam Hajj,Nilikaa Miezi 8 msituni,Mama yangu aliuliwa baada ya kuokoka#Part2 Safari ya Wokovu wa Adam Hajj,Nilikaa Miezi 8 msituni,Mama yangu aliuliwa baada ya kuokoka
#Part2 Safari ya Wokovu wa Adam Hajj,Nilikaa Miezi 8 msituni,Mama yangu aliuliwa baada ya kuokoka
มุมมอง 711วันที่ผ่านมา
MAWASILIANO PAMOJA NA KUSAIDIA HUDUMA YA MTUMISHI ADAM HAJJ ILI AWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI KENYA : 254 700 146 495 TANZANIA 255 749 811 121 COMMUNICATION WITH SUPPORT SERVANT ADAM HAJJ SO HE CAN REACH MORE PEOPLE KENYA : 254 700 146 495 TANZANIA 255 749 811 121 (M PESA)
#ushuhuda: Maisha ya Rev Adam Hajj,kuzaliwa kwake hadi kuokoka.Nimekaa kwenye Jeneza siku 28#ushuhuda: Maisha ya Rev Adam Hajj,kuzaliwa kwake hadi kuokoka.Nimekaa kwenye Jeneza siku 28
#ushuhuda: Maisha ya Rev Adam Hajj,kuzaliwa kwake hadi kuokoka.Nimekaa kwenye Jeneza siku 28
มุมมอง 5942 วันที่ผ่านมา
MAWASILIANO PAMOJA NA KUSAIDIA HUDUMA YA MTUMISHI ADAM HAJJ ILI AWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI KENYA : 254 700 146 495 TANZANIA 255 749 811 121 COMMUNICATION WITH SUPPORT SERVANT ADAM HAJJ SO HE CAN REACH MORE PEOPLE KENYA : 254 700 146 495 TANZANIA 255 749 811 121 (M PESA)
TAZAMA REV ADAM HAJJ ALIVYOMALIZA SEMINA DAR KWA UJUMBE HUUTAZAMA REV ADAM HAJJ ALIVYOMALIZA SEMINA DAR KWA UJUMBE HUU
TAZAMA REV ADAM HAJJ ALIVYOMALIZA SEMINA DAR KWA UJUMBE HUU
มุมมอง 2K6 วันที่ผ่านมา
MAWASILIANO PAMOJA NA KUSAIDIA HUDUMA YA MTUMISHI ADAM HAJJ ILI AWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI KENYA : 254 700 146 495 TANZANIA 255 749 811 121
ADAM HAJJ.SOMO KUJUA ULIVYOITIWA.ADAM HAJJ.SOMO KUJUA ULIVYOITIWA.
ADAM HAJJ.SOMO KUJUA ULIVYOITIWA.
มุมมอง 8K11 วันที่ผ่านมา
KWA MAWASILIANO PAMOJA NA KUSAIDIA INJILI ISONGE MBELE TUMIA HIZI NAMBA 254700 146 495 (Kenya) au 255 749 811121 (Tz)
ASANTENI SANA NIMEMALIZA KONGAMANO HAPA DAR ES SALAAM NITAELEKEA BUKOBA.REV ADAM HAJJASANTENI SANA NIMEMALIZA KONGAMANO HAPA DAR ES SALAAM NITAELEKEA BUKOBA.REV ADAM HAJJ
ASANTENI SANA NIMEMALIZA KONGAMANO HAPA DAR ES SALAAM NITAELEKEA BUKOBA.REV ADAM HAJJ
มุมมอง 27112 วันที่ผ่านมา
DIVINE CONNECTION FOR RESTORATIONDIVINE CONNECTION FOR RESTORATION
DIVINE CONNECTION FOR RESTORATION
มุมมอง 4.9K3 ปีที่แล้ว
Kuunganishwa na muujiza wako sharti ufuate mpangilio ufuatao au ujue mafundisho haya..Wengi tumeshindwa kufanikiwa kwasababu tumeacha utakatifu na tumekuwa kwenye maombi muda mrefu ni kweli lakini kufanikiwa kwako kunatokana na namna ambavyo unaishi. Kama hauishi maisha ya utakatifu alafu unasema umeokoka jua kwamba Ili ukae kwenye shina la mzabibu au ndani ya Kristo kuna sifa kama nne:- 1. Kum...
THE MESSAGE TO THE CHURCHTHE MESSAGE TO THE CHURCH
THE MESSAGE TO THE CHURCH
มุมมอง 7K3 ปีที่แล้ว
Huu ushuhuda utakujenga sana. Ujumbe kwa mwili wa Kristo. Mungu anamtumia mtumishi wake Rev. Dr. Adamhajj Mohammed kufunua wazi ukatili dhidi ya kanisa na njama za uovu juu ya watumishi wa Mungu. Tuzingatie sana wokovu na mwito ulioitiwa. Mungu akubariki unapojengwa rohoni na ujumbe huu. For Support & Tithe : 254700146495 WATSUP : 254777700486
KUPANDA NGAZI ZA ROHONI PRT1KUPANDA NGAZI ZA ROHONI PRT1
KUPANDA NGAZI ZA ROHONI PRT1
มุมมอง 1.7K3 ปีที่แล้ว
Pata kujua na kujifahamu wewe ni nani. Tazama uwezo na asili ya mwanadamu ,maumbile yake na ajenda yake ya kuishi au kuwepo hapa duniani.Uongozi wa kiMungu hautumii ngazi za ukuu, kwamba mmoja anakuwa mkuu kwa mwingine bali unatumia kitu kinachoitwa KARAMA ZA ROHONI.Lakini tukirudi katika Hekima ya KiMungu, Jinsi uongozi wa KiMungu unavyojiongoza ni tofauti na wa kiulimwengu…Huwa inatumika Heki...
JUA WANAOKUJALIJUA WANAOKUJALI
JUA WANAOKUJALI
มุมมอง 7473 ปีที่แล้ว
REV. DR. ADAMHAJJ MOHAMMED aeleze kwa fumbo na kulifumbua, ni nani rafiki yako. Viceversa is true Adui wako wa leo anaweza kua Rafiki wako kesho. “Mbegu tunazopanda leo ni mazao ya msimu ujao. Ukipanda mbegu mbaya utavuna mabaya. Ukipanda mbegu nzuri utavuna mazuri. Ukitenda mabaya leo kesho yako itakuwa mbaya. Ukitenda mazuri leo kesho yako itakuwa nzuri. Okoa kesho leo kwa kupanda mbegu nzuri...
SIRI ZA MAJINI BY REV. DR. ADAM HAJJSIRI ZA MAJINI BY REV. DR. ADAM HAJJ
SIRI ZA MAJINI BY REV. DR. ADAM HAJJ
มุมมอง 64K3 ปีที่แล้ว
Kwa undani na ufasaha na ufahamu REV .DR. ADAMHAJJ atupatia maana na kazi au madhara yanayoletwa na hivi viumbe wa rohoni au kuzimu waitwao majini. Majini ni nini? Majini ni viumbe ambao wameumbwa kwa Moto .Miongoni mwa jadi za Waswahili wa mwambao wa Afrika Mashariki ni imani ya kuwepo majini/pepo, mashetani, vibwengo/bwengo na mizimu. Majini ni wingi wa jini. Jini ni kiumbe dhahania asiyeonek...
SIRI ZA MADHABAHUSIRI ZA MADHABAHU
SIRI ZA MADHABAHU
มุมมอง 8K3 ปีที่แล้ว
FAHAMU SIRI ILIYOPO KATIKA MADHABAHU!!! Ni daraja la kuunganisha kati ya ulimwengu wa roho (wa Mungu au shetani) na ulimwengu wa mwili, mara zote madhabahu ni kitu ambacho huonekana au hushikika katika ulimwengu wa mwili kwakuwa madhabahu hujengwa kwa mikono ya wanadamu, hata hivyo nguvu yake huonekana zaidi katika ulimwengu wa roho Kuna aina 2 za madhabahu, Madhabahu ya Mungu Jehova (ya Nuru) ...

ความคิดเห็น

  • @elizamasangula2935
    @elizamasangula2935 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Moja ya watumishi wenye Mungu ndani Yao,njoo tumalizie huo ujumbe wa maombi

  • @cornelioelibariki190
    @cornelioelibariki190 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pastor naomba namba zako

  • @costanciamwita3854
    @costanciamwita3854 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mmh

  • @saramss7262
    @saramss7262 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aminaa mtumishi barikiwa sana

  • @odreysam172
    @odreysam172 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakika mtumishi ibada yako inanigusa

  • @floramwaniki8119
    @floramwaniki8119 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Woow Adam Hajj we've been waiting for you welcome back

  • @salomekemunto1373
    @salomekemunto1373 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen.Kwa kweli nimejua Siri asante sana Mungu akubariki sana.

  • @Austinemarko
    @Austinemarko 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Somo zuri nampeda huyu mtumishi

  • @Kanze-f3y
    @Kanze-f3y 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweli kabisa.

  • @DianaDeclass-lz7yg
    @DianaDeclass-lz7yg 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amina mtumishi

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtumishi wa Mungu Adam hajj Mungu akubariki sana kupitia shuhuda zako nimegundua katika hii safari ya wokovu bado sijalipia gharama kwa hakika umenijenga kiimani, kuvumilia na utakatifu namshukuru Mungu sana kwa ajili yako.

  • @pracksedachrispine5504
    @pracksedachrispine5504 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen Amen nimepata maarifa

  • @MethuselahNDAYIKEZA
    @MethuselahNDAYIKEZA 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    That's true Mtumishi wa Mungu

  • @fikencharles9993
    @fikencharles9993 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen Amen

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ooh Haleluya injili isiogo shiwa keep the fire burnning servant of God

  • @EuniceShane
    @EuniceShane 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweli kabsa

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Haleluya very powerful

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safari ya wokovu kweli inahitaji neema ya uvumilivu Mungu atusaidie sana.

  • @esthermchiwa7896
    @esthermchiwa7896 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huwa unanibaríki sana mtumishi wa Mungu.

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga วันที่ผ่านมา

    Mungu akupe ushindi zaidi Adam hajj

  • @costanciamwita3854
    @costanciamwita3854 วันที่ผ่านมา

    Mmh.

  • @HappinessMwambapa
    @HappinessMwambapa วันที่ผ่านมา

    Dhaaa!!!! Kweri umepita Mtumishi, MUNGU azidi kukutunza Sana Sana na Neema yake ikufunike uje uingie mbinguni

  • @mch.deosinkala3120
    @mch.deosinkala3120 วันที่ผ่านมา

    Natamani siku moja nikuone tuu imani yangu itakuwa sanaaaa.

  • @AnyosTemitope
    @AnyosTemitope วันที่ผ่านมา

    Hautakufa General Adam.wakati wa Mungu ukifika utalala Kwa usingizi mwema Tena Kwa amani ,kama Daudi alivyolala.

  • @AnyosTemitope
    @AnyosTemitope วันที่ผ่านมา

    Be covered the General Adam Haji Mohamed

  • @jemmimahmwongeli1156
    @jemmimahmwongeli1156 วันที่ผ่านมา

    Jini makata - quadra- power shamsa - kukaukiwa

  • @espoirMlondani
    @espoirMlondani 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu abariki mtumishi Adam hajj katika jina la yesu kristo Bwana wetu Amen

  • @elizaliz1254
    @elizaliz1254 2 วันที่ผ่านมา

    This man is a true inspiration

  • @BerickPius
    @BerickPius 2 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @AidaRaphael
    @AidaRaphael 3 วันที่ผ่านมา

    ❤❤ niombee, mtumishi

  • @AdamNkwabhagu
    @AdamNkwabhagu 3 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen Amen Amen Amen

  • @NeemaMakogoto
    @NeemaMakogoto 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu akupe maisha marefu pastor uendelee kuhubili injili

  • @floramahenge6224
    @floramahenge6224 4 วันที่ผ่านมา

    Naomba no ya Adam haji

  • @jasperjackson8871
    @jasperjackson8871 4 วันที่ผ่านมา

    Nimebarikiwa mnooi kwa semina kubwaa namna hiii.

  • @KitiliMwikya
    @KitiliMwikya 4 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @Jasmine-k6j9l
    @Jasmine-k6j9l 4 วันที่ผ่านมา

    Aliyesamehewa dhambi nyingi hupenda sana..Luke 9:47 🕊️🔥 !!!

  • @FrankBbd
    @FrankBbd 4 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq
    @JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq 5 วันที่ผ่านมา

    Hahahahahahahaha cm izo pastor alienda katika vitu ambavo hukuitiwa

  • @JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq
    @JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq 5 วันที่ผ่านมา

    Hahahahahahahaha iyo atari kweri ikipotea daftari ulioandika patachim ika

  • @margrethkibaha-db6ix
    @margrethkibaha-db6ix 5 วันที่ผ่านมา

    Nashukuru kwa mafundisho,nimefuatilia kutoka Tanga, haleluya!

  • @beatricenangale5439
    @beatricenangale5439 5 วันที่ผ่านมา

    Kwa kweli baba ukristu umeutendea haki

  • @kaligirwashielah5799
    @kaligirwashielah5799 5 วันที่ผ่านมา

    Naomba reverend Adam atupee number yake please 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @NeemaMeshaki-qm4ew
    @NeemaMeshaki-qm4ew 5 วันที่ผ่านมา

    Amen baba nitafata kile Mungu alichoniitia naMungu naomba anisaidie

  • @ManswetKimario
    @ManswetKimario 5 วันที่ผ่านมา

    Hongera kwa hatua uliyo nayo na endelea kusonga Mbele ndugu yangu katika Kristo!

  • @SebastianBerensi
    @SebastianBerensi 5 วันที่ผ่านมา

    Very spiritual

  • @nyangiboke
    @nyangiboke 6 วันที่ผ่านมา

    Namshukuru Mungu kwa ajiri ya watumishi hawa

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 6 วันที่ผ่านมา

    Following from Qatar, am really blessed since the beginning. May the blood of Jesus and holy spirit cover all his Pastor's Ameen 🙏🇰🇪

  • @nyangiboke
    @nyangiboke 6 วันที่ผ่านมา

    Naomba kukuuluza mtumishi wa Mungu kanisa la Mungu unalohudumu liko wapi?

  • @CresensianMartin
    @CresensianMartin 6 วันที่ผ่านมา

    Amina tumebalikiwa sana mwenyezi awabaliki wachungaji wote

  • @nyangiboke
    @nyangiboke 6 วันที่ผ่านมา

    Pasta nakupenda sana sana unanipa nguvu sana kwa ajiri ya kumtumikia Mungu