CHIRWA" SIJAWAHI KUONA MAJINI YANGA/NILIMSHANGAA MAYELE/NAWEZA KUCHEZA SIMBA NA NIKAFANYA VIZURI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 มิ.ย. 2024
- Mchezaji wa zamani wa Young Africans Obrey chirwa amefanya mahojiano na Mpenja TV na amefunguka mengi,huku akigusia Hali ilivyokuwa katika msimu wake wa 2023/2024 ndani ya NBC PREMIER LEAGUE.
- กีฬา
Nakumbuka alivyomtoa berenge beki la kolo Bukungu kwenye derby Akala red hongera sana Chirwa mwana kweli we will remember you 🎉🎉 forever ❤️❤️🥰
Nice broh mungu akuongoze nawid ushikamane na Ibada Kwa sana
Hongera Chirwa kwa maneno mazuri yasiyoudhi, unafaa kweli!
Kweli kak
Huna deni tuna ❤❤❤ for ever
Nice talk fundi sana 🎉
Chirwa nakukubali Sana kwakwel Simba na yanga kwasaivi hawana streker Kama chilwa
😂😂😂😂chirwa mi nikimwangalia nacheka tu😂😂sjui kwann
Kweli kabisa
hajawahi kuona jini yanga nimefurahio sana
Mayele alikosa shukrani, au inawezekana ndo desturi za kwao.
Kubadilisha dini,nguo,chakula,gar,everything ni hiyar ya mtu
🎉🎉🎉
0:49 0:52
Anahakiri sana huyu jamaa
🎉boi bwanji kutz
Mmemwelewa kuondoka kwake Yanga ?mi ni mmoja kati ya wale ambao walimlaumu.kama alichoongea ni mkweli basi asamehewe.
Kubadilishwa Dini ni maamuzi mtu binafsi ww ulitaka iweje wacha ujinga ww
Kuna wakTi unakua star unatengenezwa kaz ya wazee
Ulibadilishwa dini na mwanamke,😅😅😅
Lakini nidini ya haki isiyo na kona kona.
@@user-or3lj6do9m Isiyo na kona Kona kwako.
Sure
You have no idea broh the guy is In right way now. Good to him
@@gundererthemustache5818 Kwa hiyo