CHAMA MKATABA UMEISHA/SEMAJI AHMED ALLY AZUNGUMZA KILA KITU/"MAAMUZI YATAFANYIKA HIVI KARIBUNI"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 มิ.ย. 2024
- SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC TH-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi - กีฬา
Asante semaji letu la dunia tunaomba maboresho mazur
Hongera sana semaji letu kwa ufafanuzi kuhusu chama kwa sisi tuliyosoma Quba tumeshaelewa
Binafsi huwa nakuelewa sana semaji kazi yoko nzur
Simba day na uzinduzi wa jezi no lini
Nikweli wewe ni perfect sana kwenye sectors ya usemaji.... Nikupongeze kwa hilo. Je kama msemaji wa timu unaahid nini uma wa wanasimba walioko ndani na nje ya nchi!? Je ufalme wa simba utarejea msimu ujao.!??
13:26 🎉
We unaonaje
Pole
Hongera Saan semaji wetu nguvu moja
Simba nguvu moja🎉🎉🎉🎉❤
Nakukubali sana semaji ila naomba tangazeni halaka sio mpaka wakati WA Simba day
Simba nguvu moja❤❤❤🎉🎉🎉
Mungu akubariki semaji kweli ww semaji la caf
Kaka uyo chama ndiyo anafanya makocha waonekane awana mpira wa kisasa wachezaji munao wasajili kama chama atabaki basikili mchezaki mutamuona ajitumi atoke myaka 7 sasa ❤❤😭😭
SIMBA NGUVU MOJA🎉🎉🎉❤❤
Ushauli simba ni kubwa sana kama hataki mwacheni aendeeee tu
Semaji tuko pamoja 🎉
viongozi mjitahdi kujisajilii haraka iliwachezaj wote pre season wote weend kwa pamoja
Tunataka na thank you ya Mangungu bhana😂
Simba nguvu moja
Nakupenda na kukubali siku zoteeee semaji letu #Ahmedy Ally
Unajua sana kuwa semaji bora
Sikia hapo mwanasimba atuchekeshi chama thank u
Semaji uko vzr simba nguvu moja
Semeji uko vzr simba nguvu moja
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🦁❤️💪
Asante semaji
Simba Day lin?
Nakupongeza semaji mukuu
Evariste from Bujumbura
Kiukweli, Hanna haja yakumng'ang'ania chama, tunampenda nimchezaji mzuri, ila akiamua kuondoka aende2, akaanglie changamoto nyingine
Kabisa kabisa
Pamoja sana
Nguvu moja 🦁💪
Safi sana semajii nakukubali sana
Asante semaji letu
Simba nguvu mmoja❤❤❤
Kwa mtazamo Wangu, kuhusu Chama, Bado anamsaada Sana Simba Sports Club, Nashauri Tu uongozi Wetu, wamtazame Chama Kwa maslahi ya Team Yetu, Bado anao Msaada kwenye Club Yetu. Apewe mkataba Mwingine.
Semaji unajua!ukiwa mwanasiasa lazima utoboa zaidi
Niko Lukas Semaji big up sana tunaomba na sisi washabiki tuchangie usajili ili tupate wachezaji bora mitaani hatukaliki pz
Jafar Mambo
Kaka nakuomba thank you zote kwa pamoja ili muendelee na mambo mengine muda Ni Mali thank you sio nzuri JAMANI mnatutia presha
PILI swala la Lameck lawi achaneni nae mogogoro co mizuri
Vip kuhusu feisali
Asante kikubwa tunataka maboresho mazuri
Kaka chama nimwenenetu tulivyo mlea mungu ndio anajuwa atakumbuka fazila yetu kwani bado tunamhitaji chama
Shida ya Simba wote viongozi sio wampira ndo maana usajiri wunakuwa shida. Wachieni vijana wasijiri . Wazee wamejaza Simba ndo shida kubwa. Na tutateseka sana . Yanga atatubuluza sana .
Simbaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤
Juma mgunda kwa nini bwana huyu asinderee na timu yake Kama msimu uliopita alitufikisha mbali Sana tufike mahara tusiwe wanafiki tumwaie mzawa huyo awapereke kamamsim uliopita naimani kwausajiri mgunda simbambali Sana kwa uwezo was mwenyezi mungu mungu ibariki Simba ibariki. Tanzania
Semaji la CAF
Tuko pamoja kabusa haina tatizo❤❤❤
Chama mnamfahamu zaidi kuliko sisi mashabiki kama hajitumi na anadharau basi aondoke
Kabisaaaa, tunaelekea kumchoka! Aende tu!
Mbona simba app haitoi taarifa
Jamanani mi kama mshabiki nawaomba viongozi wangu kwaza tupate mbadala wa ndipo mamuzi yafanyike chama muhimu saana
Simba ijayo hatutaki jina au umaalufu wa mchezaji tunataka mchezaji mwenye kiwango uwanjani sio kwenye makalatasi hilo tuwaachieni juma mwiko wachezaji ambao sisi hua tunawaacha kwa ajili ya umri wao ndo wanachukua tusiwe nao halaka wacheni wachukue vitu vitaonekana uwanjani
Nnashauli juu ya wachezajiwetu tulionao kueninao makin because kunawachezajiweng wanaumizwa nje yauwanja wangalieni sana badowachezajiwetu badowakopoa
Mi naomba jobe, fredy, babakar , na wengine ambao hawana msaada na timu pamoja na inonga watupishe
Mtoe Fred bado ana nafasi ndani ya timu anacho kitu hivyo afadhali kumwongezea nguvu kwa kumsajilia mtu mwingine ampe hamasa zaidi kuliko kuwaondoa wote na kuanza upya sivyo mambo yanavyopaswa kwenda football is a science game ukikurupuka kila siku unakua unapiga mack time hatua tano mbele saba nyuma
semaji la viwango vya caf, miaka mingi kaka dua kwako
Mkuu chama yupo anaenda
Mnazingua😂😂😂😂
❤
❤❤
Pia mshaurini Boss kuhusu sergei poku
Nimefika
Kocha mkuu tumtarajie lini?
💪💪💪💪
Tunaiamini Simba. Tunakuamini Semaji. Sisi tupo bega kwa bega na Chama letu.
Chama hata akipndoka bado Simba itakuwa Simba tu asitusumbue
Ana dharma Sana, anatumika upande wa pili
Chama Archana naye ametuhujumu Sana simba kupitia makolo
Chama muacheni mpeni talaka yake naya hersi😂😂😂
❤❤❤😂😂
Chama amesha saini yanga.milioni 300.mwaka mmoja.kiwango kikiongezeka ataongezwa mkataba
Je Simba imemuacha Chama?
Wengine hatujui kuhama hama timu fanyeni kweli kelele zinatuchosha huku mtaani
Mimi napenda sana utulivu ktk slmba
Visit kuhusu chama na goma mikataba bado
Chama tuna mhitaji simba
Kaenda yang
Semaji la dunia
Naitwa jonas john tokapande zangara kagera ombilangu chama angebaki Mana anamuchango kwenyekira buya runyasi
Musimuache chama tunamuhutaji
itakapo shindikana kuondoka mchezani kwa sabbu ya mktab wake . Bas sis mashabik tunaomba akae sehem aliyo kuwepo KIRAMO
Naitwa kamanda mudy tunaomba tuletewe Joshua mutale atatusaidia sana nasimba yetu itakuwa yamoto yenye speed
Hakuna kubembeleza mchezaji team kubwa kuliko mchezaji hembu msijipendekez pendekeze kwa mchezaji
Kaka mambo vipi? Em tuibieee za Ndaaaaaaanii.... Kuhusu Elie mpanzu, 17:20
Hivi ndivo inavotakiwa kuwaweka wazi mashabiki wa mpira sio kuwa kimya kuwafanya mashabiki njia panda au dilemma inakuwa sio vizur
nguvu moja
Ss hatuna shida furaha yetu ni kuona simba inasonga mbele kwa mafanikio makubwa
VP chama
Duh
Vipi kuhusu Ayoub lakred? Maana Kuna za chini ya kapet anaondoka?
Pamoja
Majibu mazuri ya msemaji kitaalam na kisomi
Semaji, Mimi ni mnyama! Vipi kuhusu Lameck Lawi? By Andrew Likiti (Mrope)
Coast wamekataa wametema bungo hawataki pesa za mafungu mafungu
Sajili lini kutangaza
Kazi kubwa unafanya msemaji wetu vip swala LA lameck lawi likoje
Lakini brother ikiwezekana chama muachane naye ili mlete mwingine,maana hakuna mchezaji atakaye ichezea timu bila kushuka kiwango hata chama ame slow
Semji tuambie kuhusu chama
Fedyrick naomba kuhuliza simba wamesha sajili wa chezaji wangapi?
Bado ata mmoja
Hivyo kabisa.namaanisha hovyoo
Wanachoma wanataka kabla mchezaji hamjamsajir wamjue pia gharama ya usajir kiujumla au timu ndio 100% yamo
Kuhusu wachezaji hatutaki maswala ya kwenda preseason nusunusu
Mmesha sajili wangapi?
Chama vp Anaondoka au yupo
Kagoma ni mnyama wasomi wa Cuba tushaelewa cheko na ufafanuzi tu codes are open
Ahmed shida yako hupokei sim unapishana na gari la pesa 😂😂
Habari za jioni
Vipi kuhusu usajili wa MCHEZAJI kelvine kipumbu?