DIAMOND, ALIKIBA NA HARMONIZE HAWAWEZI KUTUPELEKA KIMATAIFA.! | MIMI NI HATER - MASTER JAY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @presenterbabjii9838
    @presenterbabjii9838 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Anajua sana huyu mwamba

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Really

  • @rashidingole1588
    @rashidingole1588 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kwel kabsa Abigail chams anajua San mzik Zaid ya wasanii weng San hap East Africa tatzo hatumzingatii, pia utimu unachangia kuhalibu mzik

  • @Tg.7_7
    @Tg.7_7 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Master bana😂😂😂 Eti mbona hujaleta BSS Rombo😅😅😅

  • @tigermsafi3283
    @tigermsafi3283 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Noma sana

  • @rashidingole1588
    @rashidingole1588 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kimataifa Ni connection

  • @SavamoDayog
    @SavamoDayog 54 นาทีที่ผ่านมา

    Master jay anaongea ukweli Abby charms n mkali sana kwenye live performance huyu huyu dada akapata mtu akaekeza duuuh huyu ni international artist plz mzingatien huyu dada plz plz Tanzania naombeni mm

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    👏👏👏👏👏👏👏

  • @TimotheoSimtowe
    @TimotheoSimtowe ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Eti huyo akalime,kwani kilimo si kazi au

  • @MohamedAhmed-ns5mi
    @MohamedAhmed-ns5mi 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Chuki nyingi huyu mzee

    • @elishahenry9257
      @elishahenry9257 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wew mbona anaongea vyema au ndo uarabu umekuaribu

    • @SulePonda
      @SulePonda 31 นาทีที่ผ่านมา

      Ujaenda shule

  • @tinejuxfrancis729
    @tinejuxfrancis729 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni kweli mzee

  • @eleven-in5qw
    @eleven-in5qw 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Atupeleke yeye

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Anaongea kweli Ido mast are amtengeneze daiomond apate gramie

  • @SulePonda
    @SulePonda 26 นาทีที่ผ่านมา

    Wabongo hawawez muelewa huyu mzee

  • @jcrackcrack1669
    @jcrackcrack1669 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uyu nae n snitch tu

    • @SulePonda
      @SulePonda 26 นาทีที่ผ่านมา

      Ujaenda shule un euzi elewa

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona huyu master jay hakufanya hivi wakati wake ? Mbona hakuwafundinda watu wake wafanye vile anataka? Basi waambie Kwa upole,wafundishe Kwa upendo sio kuja kufokea kama ambavyo unataka wewe aaaaaaah Sauti yako ni Sauti ya hater

  • @steveouko7537
    @steveouko7537 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu kumbaff ako na chuki na wivu.hawezi fikia diamond. Diamond amemufunika mara 100.wata kama hawa wanafaa kutupwa chooni wakizaliwa.mamake apewe ngotoo

    • @shwaibukhatibu2838
      @shwaibukhatibu2838 33 นาทีที่ผ่านมา

      Kwani huyu ni msanii ashindane na diamond

  • @abdulkadirgafla3889
    @abdulkadirgafla3889 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kila siku unaongelea jambo moja kua mziki umeutoa mbali tumechoka mzee

  • @selemanimkwichu782
    @selemanimkwichu782 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sisi hatutaki ivyo sasa Sisi tunataka playback 😂😂😂😂😂😂

    • @blobotv
      @blobotv 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe utakuwa una kaswende sio bure

    • @SulePonda
      @SulePonda 25 นาทีที่ผ่านมา

      Una ukimwi

  • @MohamedAhmed-ns5mi
    @MohamedAhmed-ns5mi 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mbomo utapoza huyu mzee

    • @gilliardgodfriend5745
      @gilliardgodfriend5745 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sawa ila mdomo wako uendane na pesa😊. Huyu anajua pilau ni chakula cha kawaida angali wengi tulijua ni cha sherehe tuu😢😂😂😂

    • @awadhyusuph5717
      @awadhyusuph5717 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      sio mbomo ni mdomo