Harmonize Kuvujisha Video ya Diamond Alichomfanyia Wakati Wakishoot Video ya Kainama
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
FOLLOW US
Follow on Instagram: / mwendokasitv
Follow on Facebook: / mwendokasimedia
I like this guy , he's one in a million your going far bro keep it up🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪👑👑👑👑
Kabisa...
Tusio kuwa na team tujuane 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
I ,a Ugandan ...have been a big fan of Diamond since 2009...when Harmonize left Wasafi i hated him so mch but nw I understand you bro...Harmo u re a grt guy u deserve the best in this life....
" why majority of Ugandans are not good in Swahili,they pretend English with bad accent!!! And their mother tongs
For real..
Courage mon frère hata Congo DRC tuna ku kubali sana uli fika Goma angalia mambo uliyo pitia vita…… Mungu aku linde katika kazi zako mimi na ku sapoti uendeleye vile maisha ni ku ji tuma na usi sahau sala Mungu njo chef
We love you from kenya humbleness takes you far
Husife moyo ndugu yangu ..mungu yupo kwa waliofinyiliwa ..litamrudia diamond hivi karibuni ...amini mungu Yuko bro
Mimi nitatoa kauli moja tu: Kila mtu ana ndoto zake kwa maisha, huwezi katiza ndoto za mtu na huwezi katiza riziki ya mtu yeyote...hii dunia Mungu ndio ana funguo za utajiri na kila kitu. Konde Gang has the right to follow his dreams and not just be curtailed by this cartel that is known as WCB Wasafi. Konde Gang likes ziko wapi?
Harmonize you are my number one ever Artist! One love you've proved that you are innocent, you tried your best and you are here. Keep moving.
Big up harmonize nakubali nyimbo zako sana
Harmoniz God is with you,,,, continue shining diamond platinum is not God,,,your more loved by us in Kenya around the world
Da kumbe diamond mchawi, makubwa haya. Team Konde Gang forever
DJ klng
@@devidlaizer871nimemisikwenda kwenye vigodol
Kodeboy
From today and forever will be your fan.... Okay
Wakenya na harmonize🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤
If you work just for money, you’ll never make it, but if you love what you’re doing and you always put the customer first, success will be yours
Very right
@@ephraimjunior5888 Once you free yourself from the need for perfect acceptance, it’s a lot easier to launch work that matters
@@licesworld5250 Sometimes it will seem like every day is a bad day, but if you keep fighting you'll have good days again.
Yeah bro ur songs are the besty harmo congrats ma bro
Wasafi imefanya talanta kibao zififie ivi kwamba kaa wee kaa msani huko under wasafi huezi tambulika.....kudos konde for breaking that trend....full support
I like this guy so much!! Amejituma Sana anayosema labda Yana ukweli
Kabisa👌
Shukuru umetoka mungu akubariki kutoka cyo unabwata ka choko
Nampenda sana hamor
Pole xana kaka kwa unauopitia
ila nikweli bhn kila mtu anapenda ndoto zake na awee ila kumbukeni mtu ambaye anamsaidia mtu msaidiii tu na wewe diamond kama usha msaidia harmonize bx mungu ndoalipanga sasa unamchukia nini nyooooooooooooooooo harmonize give up my brooooooh ilove so much ataivyo nawapenda woteeeeh wasani ila mond umezidi
Bro big up jitegemee uko juu
Pole sana from 🇰🇪🇰🇪, God is with you
Ume winner umemtukana mwezio iyo siyo poa bro harmonize
Harmonize pambana kaka Mungu yupamoja nawe
Nakuerewa sana bg konde
Kaka pole Sana ila kilamt ana kit alicho pangiwa na mungu
Dogo uko vizuri chamsingi ni kujiamini na kupambana walla usisikikilize wanayo ongea wanaadam we pambana ikosiku utatoboa,hivi unafahamu yakua hakuna tofauti kati ya maskini na tajiri awe na kila kitu Ila bada mazishi hachagui
MEN I LIKE HARMONIZE. YOU ARE BEST EVER
Hujasaidiwa bwanaaa, HICHO KI.KIPAJI UMEPEWA NA MUNGU. HATA BILA YEYE , MUNGU ANGEKUPA MTU MWINGINE ILI AKUONGOZE. KAZI IENDELEE.
Mungu akutangulie ufike salama ktk safari yako ya maisha
Teacher konde achana nae mungu anakutengenezea njia nzur tunzid kuku support
Harmo you're the best ever 💯💯 nyimbo zako zinanipa motisha sana especially in this live without balance 😂😂😂
Ropoka uwezavyo mond humuwez bado kinda sana harmonize..mond n next level
Ningependa Diamond kujibuu haya yote maaana hasipojibu tuskizee upande wake then hatajwa amemtendea Hamo si vyema nway Gosipp no1 kutoka 🇰🇪🇰🇪 TNG Media Ke
Amewaongezea posho chawa wake huko mitandaoni wanahangaika kumchafua harmo usiku na mchana, wamezidiwa
Ajibu nini wakati picha inajulikana
Ajibu asijibu harmonise na mwaminia
bro natokea BURUNDI nakupenda sana
Konde you speak the truth God bless you ❤❤
Diamond anatakiwa kuwa makini sana sasa, haya yawe fundisho juu ya watu wanaotaka kuwasajili katika Lebo,,,
Nimekuelewa konde boy jesh we are together until death
Ni kweli bila huyo tusinge kujua leo na hata pesa uliyo nayo nj zao la diamondi..mungu anakuona
Kila mtu anatoka kwa njia yake hata yeye alitolewa na mtu
dah ..nilikuwa nakulaum kumbe sijui..pole snaa
Thus y I love harmo anaongea kwa Ubusara
Ucjali ndugu pambana mungu atakucmamia
Hekima za Kongeboy nakukubali sana
Nakukubali brother konde
Ktk maisha muogope sana mtu ambae anafanya vitu kwa watu ili wamuone yy ni mwema au bora kuliko mtu mwngne
When fake people walk away from you, let them walk. It's their choice, your destiny is never tied to anyone who left. You will surely be left with those that adores your company with positive mind.
Exactly!!
Kwel mondi hataki mtu awe juu yake ukianza kushain ungonvi
Brother pole Sana yani unanliza brother weeh pambana Kaka
Fanyeni kazi vijana malumbano hayafai
Fromul brundian diamond akaye makini huujama anahakili Sana
Konde gang for LIVE. .......🌟
Diamond ni mshamba sanaa mtu mshamba haijalishi anakipato au Hana.
Cham2.maviii.kakaa🎉🎉🎉.vizuli🎉🎉upoo.leboo.yakooo
Mwenzio ana damu ya kirundi!
Never give up 💪💪💪💪💪
Jeshi haupingwi Kk nakukubali sana
Kumbe uyu brz sio poa kwl mwnng pambn brz kunde
Nakukubali kwamaneno yako kijana
Keep up bro
Well done my sister
Sista babako kunguru mkubwa🤣🤣😀
🇹🇿🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Tangu harmonize kuweka mambo wazi, subscribers wake wameongezeka maradufu
Kabisa..
Ameshamzidi 🦁🦁🦁🦁
Naomba warudiane Kimziki 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🐘🦁🦁🐅
Mmmmmm napita tuu
Umepitia mengi broo pambana
Helping someone so as u can earn profit from him/her is not a kindness, it is an investment. Diamond aliwekeza kwa harmonize, harmonize ametoka kwenye mtego wa panya.
Hii inaonyesha harmonize ni mwenye busara zaidi, maana alitoka kistaarabu. Na amewajibu kutokana na shobo zao za kumdiss.
Af mtu mwenye kupenda kujisifu kisa alisaidia mtu, wala hapat baraka ya msaada alioutoa (surat bakar).
Ww ni mwanaume wa kweli Tena yule mwenye maamuz Big up
Mondiii ni machineeeee anawashindaaa woteeee ndo maana mnataftavpa kwenda kujifchaa lkn piaa burna boy pia uchawii umezidi
Dah! Pole Sana Konde
Tunafaana pia me nimepitia hayo matatizo ndomana nakuamini tu sana we ni jeshi
Sik zote mti wa matunda lazim utupiwa mawe, msanii yyte anae anza kuwa na mafanikio lazim awe na bifu kubwa na daimond sio jamb la kuuliz hatushangai. Harmonize charaza bakora
Keep it up bro please how many distance from Kenya please I beg you to give me a call about blizzcon the boy
Tumekuelewa ila ilikuwa haina haja kutangaza udani ubaya wa mwenzako ili kujisafisha...naamini hata ww una mabaya ulimfanyia...mwanadamu ni dhaifu siku zote hata ww siku ibra ama msanii wako yeyote atakaye fanikiwa na kujishindanisha ama kushindanishwa na ww watu wako wa karibu watakusemeza hayo ndio maisha...muhimu ni muheshimiane muache kutungiana nyimbo za kuchefuana...
Jeshi🔥🔥🔥💪
Wewe uko sawa jeshi
keep fighting bro..
Hey brother just live with your dream
My favorite ❤️❤️❤️❤️❤️ love you Big🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
....huniwezi kiserekali, huniwezi kihela, tena huniwezi kiuchawi....duuuuuuh !
Pole sana Harmo umepitia na magumu sana
big up brooh konde
Achana nao bwana ✊
Kila mtu na riziki yake, don't lose hope brazii
Wozaaaaa ma men
Nicee
Unajua nini harmonize usingeingia wew wcb isngejulikana kabisa lakin wew na kukubali unakipaj hatali hawez wakakufikia wew
Dah! Jexhi adi nmelia mwana kumbe umepitia matatizo nusu kufa kaka angu
Nice work bro
Unaweza
Uwamwa mwingi KONDE GENG nakukubali sana
Kwavile umeweza kujitoa wasafi jitaidi kupambana ndugu yangu
Ww jeshi
Konde music to the world
Unyama sana kaka
Napendaa konde gang
Achanaaaaaa naeem kak
Mi nakukubali kixenge Yani jexhi
His toking vitu ambavyo vinatoka ndani ya moyo wake and that's why amebabarikiwa sana na mwenyezi mungu na daima mtu kama huyu ni ngumu kirudi nyuma hata iwe namna gani
Pole xan kaka
nisaidie buku bwana 12:59
Mimi ni kiswahili ya watanzania imenileta uku😂😂
🤣 🤣 🤣 Tukowengi
Kiswahili kirahisi sana kwani wewe unajua lugha gani?
Achana na hayo Harmonize..fanya kazi...wanadamu ndio tulivyo...wewe na diamond sio wa kwanza kugombana...wanadamu siyo..usiongee sana..hao hao wanaokuhoji mamuluki...Note pliz
Diamond Ubwa yeye kupigana na mtoto wake atakufa kama matako yake
Yaani nasoma comments hakuna mtu kajiumba mola peke ,diamond bado mungu anampenda ,harmo pia wewe mabaya ni mengi kumbuka tuu mungu alikubali ufike hapo so tulia onyesha upendo kwa adui yako ,,,,kubali kuonekana mbaya ushine Sasa umeanguka kabisar