Mjadala Muhimu sana, Mimi binafsi sidhani kama swala la Dola kurudi kua 2300 ni lakushangaza Kwa sababu miaka ya nyuma kidogo ndio ilikua thamani yake. Ni mwaka huu tu Ambapo Dola ili panda Hadi 2700-2800 kitu ambacho hakikua Cha kawaida. Hivyo Wacha setting zirudi kwenye default.

Ni rahisi tu kujua kuwa tumechukua mikopo mingi na ipo kwa USD hivyo imeleta mabadiliko haya 😅😅
Jamani hapo ndo pagumu😢 sana kushuka pesa ya kitanzani tunaumia tuliko nje😢😢
Haiwezi kuwa all time high, lazima ishuke pia
Kuagiza lazima maana tanzania hamna bidhaa tunazohitaji😊
Kwanini tusijadili vipi tutaipandisha thamani shilingi ya Tanzania
It's the best time to buy dollars now sabb baadae lazma ita appreciate tu
Wachumi mnatuchanganya tulisema zamani wakati wa Marehemu Mangufuli.
Mnaakili mgando za darasani.
Tunachezewa na Mataifa.
Tupo pamoja waheshimiwa🔥🔥🔥👏🫡🫡🏦🏧🇹🇿
Munauza Korosho wenyewe nani anakula korosho awache kununuwa Ugali kambla hujaamuwa uwe na uhakika kufanya uwamuzi
Huku india rate raises daily but ,
Ww umeza 😂😂 hela ni ya wahuni na tapeli wanayoutwa serekali wanagawana na kusaini mikataba mbovu 😢
Huyu Hajui kuchambua maswala ya kiuchm....
Anajua,kuchambua ni kupanda sana inategemea analenga nin
Kachambue ww
Kawaida gata rial imeshuka
Sanaaa
Kweli imeshuka Sana ,nipo Saidi ,wewe upo Nchi gani?
Saudia Arabia
@@karimukarimu5455 oman
@@karimukarimu5455 hata omani ilikua rial moja sawa na elfu saba na mia mpaka mia mbili
Kun swali alijaulizwa apo
JE ITAPANDA TENA AU?
Kupanda na kushuka kupo swali ni kwamba ata ikipanda itapanda sana au kidogo yani tutakua tunachezea humohumo tu