ANGALIYA MAHUJAJI WAKIWA KWENYE KABURI LA MTUME MUHAMMAD S.A.W KUTOLEYA SALAMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2023
  • #AdilTV #Hijja
    • ANGALIYA MAHUJAJI WAKI...

ความคิดเห็น • 55

  • @aal8041

    Mashaallah Allah awajariye kheri na afya njema mmslize hijja sallama mrudi salaam mtuombee na sisi mliyotuacha Allah atujaliye nasi tuwe miogoni mwamahujaji na atujaliye kheri na afya pia ili nasi mwaka wwt tuende khija tunawaombe inshallaj

  • @binurusm8886

    Nimependa Huyu Baba Jinsi Anavyotoa Maelelekezo kwa Ufasaha, Mwenyezi Mungu Awaongoze InshaAlla.

  • @omante194

    Allah nijalie na na mm niwe miongoni mwao amina amina yalabilalamin 🤲🤲🤲☝🏾

  • @gamarmahsan8254

    اللهم صل وسليم عليه duwa zenu jamani alla awatakabaliye haja yenu twa tamani na sisi kufika hapo

  • @MUSSASILIMA-ts6dv

    Allah awazidishiye uzima mahujaji wetu na awakubaliye hijja zao na ss watuombee tufike na watusalimiye bwana mtume na maswahaba wake amin

  • @ZuhuraKhamis-rw1it

    Ya Allah wakubalie. Ibada zao na ss utujaalie tuweze tufika inshaallah

  • @maufoung

    Huonyeshi matukio,unatuonyesha watu

  • @zuwenamasoud-jz7ju

    Masha Allah Allah awajaalie kheri Hijja makbuul

  • @user-gu8wv4bn4o
    @user-gu8wv4bn4o 21 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah,lakini zingatieni kanuni za hijja msiwe kama mzee yusuphu mwana izaya alielaanika,okye najati killar

  • @eshasaid3258

    Mashaallah❤❤❤mahujaji kufika madina munawar ❤❤❤❤❤

  • @mdika3811

    Ya Rabbi, tujaalie tuwe wenye subira na shukrani katika nyakati zote. Tuongoze kwenye njia iliyonyooka, njia ya wale uliowabariki, na siyo ya wale walioangamizwa au walioipoteza njia.

  • @HamiduMashaka-ni6cs

    Allah awatiliye wepesi katika katika ibada hii

  • @AbimsSails

    Mashaaallah Allah awappe Killa la kheri na atujaalia inshallah mwakani pia sisi twende hukuu

  • @ZanuraBakari

    Mashaallah Allah awkubalia hijja zetu na mrud salama salmin bi idhinillah

  • @HanifaSuleiman-sx4lq

    Na ss M, Mungu atujaalie tufike huko

  • @TibaMatokeo-kk3mj

    Ametoa maelezo mazuri sana Mungu amjalie Kila la kheri

  • @mdika3811

    Jamani na mm naombeni mnisarimie mtumie

  • @frankaydeclassique6618

    Allahumma Swalli alaa Sayyidina Muhammad

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 21 วันที่ผ่านมา

    Bwana ni mmoja tu ambae ni Mungu

  • @MerwenSeidw

    MASHAALLAH❤ jjazakallah ALLAH aibark zaid INSHAALLAH kheir