MOTO COCO BEACH: VIJANA HAWAJAKATA TAMAA - WAJENGA VIBANDA VIPYA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 15

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  18 วันที่ผ่านมา

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 18 วันที่ผ่านมา +4

    Hii ndo Tanzania ya umoja mungu awamiminie rizki nyingi

  • @joycelinelyimo-fenske8745
    @joycelinelyimo-fenske8745 18 วันที่ผ่านมา +3

    Hongereni vijana. Hapa ni kazi tuuuh kwa hiyo kazi iendelee.😊❤

  • @Awaasha-cn6bx
    @Awaasha-cn6bx 18 วันที่ผ่านมา +2

    MwenyenziMungu azidi kuwatia nguvu

  • @OmanJalan-g9j
    @OmanJalan-g9j 18 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu awazidishie zaidi na zaidi palipopungua Allah atawalipa maratatu yake nakama nimtualidhamiria ubaya bac atabaki mdomo wazi

  • @MgeniRamadhani
    @MgeniRamadhani 17 วันที่ผ่านมา

    So strong, Mungu yuko pamoja na ninyi

  • @alizaharan1471
    @alizaharan1471 18 วันที่ผ่านมา +4

    VIP WAKATE TAMAA WAKATI NDIPO WANAPO JITAFUTIA RIDHIKI
    MUHIMU KUMSHUKURU MUNGU WAPO SALAMA TUU SIO WAMEPENDA KUKAANYUMBANI LAZIMA WAHANGAIKE WASIPO HANGAIKA NANI ATAWAHANGAIKIA
    MUNGU AWAPE SUBRA

  • @lightwilliam4443
    @lightwilliam4443 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli jmn.marufuku kukata tamaa.Mungu awape nguvu.

  • @PeninaAdam
    @PeninaAdam 17 วันที่ผ่านมา

    Mungu atawainua

  • @ShabaniMustafa-n8h
    @ShabaniMustafa-n8h 18 วันที่ผ่านมา +2

    Kuhamishwa kiaina aina

  • @SofiaAli-w4k
    @SofiaAli-w4k 18 วันที่ผ่านมา +2

    Na tunakuja hapo hapo kwanye hayo mahema piga kazi vijana hakuna kukataa tamaa mpka kufa

  • @IreneMwanaa-zo2wz
    @IreneMwanaa-zo2wz 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu awatete tu

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 18 วันที่ผ่านมา +1

    Poleni sana

  • @Omarimsumi-d1k
    @Omarimsumi-d1k 18 วันที่ผ่านมา

    Akuna kukata tamaa

  • @smb430
    @smb430 18 วันที่ผ่านมา

    Hakuna walinzi na hakuna camera