Uyu Baba akibanwa vzr. Atasema mtoto kamweka wapi haiwezekan siku Saba mzima mtoto anapotea hitoi taarifa wala wankijji hawajua .....yan Bibi alivofinga Safar Tu na yeye ndo kaanza kutafuta hapana police wafanya kaz yso
Msolwa ni nyumbani jamni tutoeni ushilikiano uyo baba aojiwe vizuriii ba mdogo anajua ukweli wa uyo mtt jamani serikali ifate sheria 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 inauma sanaaa
Mimba haikutakiwa halafu munapeleka mtt acha waondoshe ushahidi maana mnataka kusaidiwa ulezi ndo mmesaidia ivo maana wangu mimi ningekunywa nae uji hadi atakua
Nakwa nn analale mala nyumbahi. Malanyumba hi mala mashine kwa nn huyo baba. Akamatwetu..kama alimuona mtoto analalanje si angekupigia si m. Mjuemtoto analalanje mbonaalinyamaza tu hapo kunaneno ilolibaba namkewe wakamatwetu polic wachunguze.hilotukio
Mkosa mkubwa hapa mama wa mtoto pumbavu sana wewe ulikataliwa awakushughulika mtoto umemlea amekua slhamdulilah wapataje nguvu za kumpa mtu mtoto wako mm. watoto wangu atawaona kwa mitandao yani hata nlisaha kama kuna mtu aliniacha na watoto hili ni funzo kwa wazazi wote leani watoto wenu jamani mtoto mama na sio baba
Uyo anajua mtt yuko wp asijiume ume tu mtt anapotea cku zote izo na atoe taarifa ana uchungu uyo anawatoto kwel uyo baba na wamegundua nn kuitaka mtt ikiwa mlikataa mimba Kuna kitu hapo
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Haw mabint wetuy hawajielew kabsa wallah hawajielew duuh mtihan itakuw kauzwa sai dunia imeharibika wallah
Mmmmmh! Huyu Baba anaehojiwa simuelewi mie!
Binti yako mama alikosea kutoa mtoto huko ni kujipendekeza mimba ilikataliwa unampaje mtoto mzazi mwenzio kirahisi rahisi
Pumbavu zake shenzi uyo akatae mimba ulee pekeako uzae ulee mtoto amefikia umri uo alafu uumpatie mtu mtoto tu kirahisi yani mungu anisamehe
Sheria itakusaidia mama
Inaumaaa sana huyu baba anajua mtt aliko
Mwalimu Koba hatafuti, anamuagiza bibi wa mtoto amtafute
Bwana wewe huyo mtoto atakuwa umempa kipigo amekufa
Kabisa kama sio ivyo kuna namna nyingine maana haonesh ushilikiano kabisa
Uyu Baba akibanwa vzr. Atasema mtoto kamweka wapi haiwezekan siku Saba mzima mtoto anapotea hitoi taarifa wala wankijji hawajua .....yan Bibi alivofinga Safar Tu na yeye ndo kaanza kutafuta hapana police wafanya kaz yso
Mwalimu kobaa akamatwee😢aojiwe ipasavyo inauma sanaaa😢
Msolwa ni nyumbani jamni tutoeni ushilikiano uyo baba aojiwe vizuriii ba mdogo anajua ukweli wa uyo mtt jamani serikali ifate sheria 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 inauma sanaaa
Kwa nn mlimpeleka uko hata bibi una makosa mm nisingepeleka mtt wangu
Wee Hakili zako zipo sawa na mie kabisa Mie ningepanda basi kwenda kumchua tena Mchana kweupe weee Mtoto sio nyanya
Sasa mbna anaongea kwa furaha sana
Miezi miwili ameishalia sana inabidi ajikaze
@@MwanahamisNyenzikabisa mtu umeangaika umeria sana unajkuta moyo umekufa tu ganz na maumivu
Police mtto apo kauliwa kazikwa au BBA mdogo cli anaijua aiwezekaniucku zote yupo kimyaaa jmn MTT anaumw nyie wanaume 🙆
Mtt analala nje mara kwa mara unachukulia pw na mtt ni ndogo dah
Uyu baba anajua aliko mpereka mtoto atakuwa kamuuwa akamatwe nauyo binti ajielewi anaga waje mtot kama nyanya
Huyo baba abanwe kwanza.
Uyo baba mbona anajikanyaga waseme vizuri mtoto Yuko wapi
Huyo baba yake mdogo anyoshe maelezo vizuri. Inawezekana. Amevutiwa na huyo babaake mdogo
Hilo tt lako halikielew linazaa kwa shida lina pean tuy mtt jinga san wallah halijielew
Mimba haikutakiwa halafu munapeleka mtt acha waondoshe ushahidi maana mnataka kusaidiwa ulezi ndo mmesaidia ivo maana wangu mimi ningekunywa nae uji hadi atakua
Huyo mzee ashikwe
Hyo baba mdogo ameuza mtoto
Na mimi ndio wazo langu nahisi wamemuuza.
Nakwa nn analale mala nyumbahi. Malanyumba hi mala mashine kwa nn huyo baba. Akamatwetu..kama alimuona mtoto analalanje si angekupigia si m. Mjuemtoto analalanje mbonaalinyamaza tu hapo kunaneno ilolibaba namkewe wakamatwetu polic wachunguze.hilotukio
Baba anajua mtoto aripo kwani asitoe taarifa
Huyu mama muongo sana et nimepiga simu ndio naambiwa kapotea ache atumia uongo ili kumpata mtoto wafanye ushilikiano ili wampate mtoto
SASA kama muongo mtoto Yuko wap na maelezo yapi aliyokosea VIP bro umetumwa
Mkosa mkubwa hapa mama wa mtoto pumbavu sana wewe ulikataliwa awakushughulika mtoto umemlea amekua slhamdulilah wapataje nguvu za kumpa mtu mtoto wako mm. watoto wangu atawaona kwa mitandao yani hata nlisaha kama kuna mtu aliniacha na watoto hili ni funzo kwa wazazi wote leani watoto wenu jamani mtoto mama na sio baba
Mwalim koba. Mtt yupowapi?
Ongea haraka toa ujumbe hacha kula mb zetu bure
Matoto ya ndugu sio ya kuchukua me ilishanikuta toto unakuta limelelewa ki dada dada unalichukua linasumbua sana usikute jamaa Hana hata hatia
Ndo spotted asionekane😢
Ndio umrudishe kwao kuliko ku muua
Mbona hujapigia police
Police wanaongea na mtuhumiwa kama rafiki Yao Tu yan
Uyo anajua mtt yuko wp asijiume ume tu mtt anapotea cku zote izo na atoe taarifa ana uchungu uyo anawatoto kwel uyo baba na wamegundua nn kuitaka mtt ikiwa mlikataa mimba Kuna kitu hapo
Asije kua kamtoa kafara kwenye migodi ya dhahabu chunya huko
Hicho ndio nachojiuliza mimi yani inamaana 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Duu😢😢😢
MIMI UYO BABA MDOGO HATA SIJAMUELEWA AKAMATWE AHOJIWE VIZURI ATUAMBIE MTOTO WETU YUKO WAPI
Ndo police tunaposhangaaa wanakijij wote wanasema hawajua kama alipotea ndio Bibi kuja naye ndio kuanzia kutafuta
Sasa huyu bibi ana ongea kwaku tabasamu wakati mtoto kapotea 😮
Ndo alivyoo 😮
Sawa subiry yakukute