Zari Ni wife material Sana..mondi kapozea mke..yaan unaona anajaribu kuwaweka watoto wake more comfortable kuwaongelesha na kuonesha kujali..I like such woman
Still tension between Dai and Zari...that ka hug shows they are still not ok...they are avoiding eye contacts, Dai is jus busy with kids, ....... waaaaaaah co- parenting ni kazi kweli ......
Yani roho yangu imefurahi Sana mondi kuleta watoto wako nyumbni achana na Mambo ya wapambe.wpambe watu wabaya haya waone wenyewe leo.mama tifa kuwa mama bora uvumilivu ndo kila ktu ktk ndoa.mama dangote hya wajukuu hao mkae vizuri
Unaongea tu Zari ni Mwanamke mvumilivu sana ndio maana hata kwa mume wake wa kwanza Ivan Alizaa Watoto 3 pamoja kwa kumvumilia mapungufu yake hataki kuhangaika ovyo
Ku move ndo nini? Yaani kwahiyo kama Zari na diamond wameachana ndo wasilee watoto? Nini kinakuonyesha kwamba Zari haja move on? Do you know the meaning of co-operenting?
kwakweli nasema ukweli watoto wa kiume wa diamond wa zari na mobet na tanasha Mmoja tu ndio amefanana na babake nani mtoto wa tanasha uyo nibabake mtupu ila ao wengine labda kucha ndio uenda ni za danget
Wololo ! Mtajua hamjui ?
Kamati za roho chafu iwe funzo mkiona vyaelea vimeundwa! Happy for ZARI AND DIAMOND 💖💗💓💞
Wambie leo midomo zip
Wamenyong,onyea kama kuku wa Kideli kazi kudandia dandia tu vya Wenyewe
Ukweli watajui hawajui mungu ni nani
Kabisaaa 😂😂😂😂😂
@@bahatisunga1642 mnakosaga kaz zakufanya?msikute nyie ndo mnaoteseta😉
waoooo mpak rah baba na wtt wake inapendez sn jaman
Zari Ni wife material Sana..mondi kapozea mke..yaan unaona anajaribu kuwaweka watoto wake more comfortable kuwaongelesha na kuonesha kujali..I like such woman
Zari wewe ni mwanamke na nusu
Tiffah ni star.. likes kwa tiffah tafadhali
Ahsante mollad kwa taarifa nzr sana,nipo Kenya nafurai kwa taarifa unzzo toa
Watot ndo kiunganisho kwa wazaz ackwambie mtu
Yeap
Hongera sana bi Zari kwa kuwaunganisha vema wanao na baba yao.
Wooow Zari our girl 💃💃💃💃💕💕💕💕
This is beautiful😘😘😘
Still tension between Dai and Zari...that ka hug shows they are still not ok...they are avoiding eye contacts, Dai is jus busy with kids,
....... waaaaaaah co- parenting ni kazi kweli ......
Watz awaendekezi hug my friend
Kuna sehem za hug
one can notice that too. and she is busy saying happiness atleast that keeps her at ease..jmni dah
true kabisa kwa vile facial express ya hug ni tabasam lakin hapo imepigwa kama since morning walikuwa together
True .I have also seen that
Napenda sana nikiwaona pamoja kwanza mnapendeza sana mungu awalinde na familia yenu
Tusalimien Tz... Gud family
I like that couple💞
Ahsante millard
Zari na diamond hakuna kitu bali niwazazi tuu maskini nikitambo sna kuona watoto wake
Nawapenda sana Asante milady ayo
Yani roho yangu imefurahi Sana mondi kuleta watoto wako nyumbni achana na Mambo ya wapambe.wpambe watu wabaya haya waone wenyewe leo.mama tifa kuwa mama bora uvumilivu ndo kila ktu ktk ndoa.mama dangote hya wajukuu hao mkae vizuri
Zari zarina my happiness is beyond compare to see u back with Baba tiifah iwish u all the best
Waaao waongeze basi hapo mtot mmoko🤔🤔🤔🤔😋😋😋😋😋
So beautiful 😍
So good thanks zari
Diamond, zari est la femme qu'il faut pour toi. Vous allé bien ensemble avec vos magnifiques enfants
Asantesana zariiii wendomamalaoooo💖💖💖💖💞
Zari uko mwanamuke mungu azidi kuku bariki unatumiya jambo labusara
Amiin, atubarik sote
Just Amazing to see this Yani nime penda hivyo
Hello Tonia ?
Mambo vipi
Asante Millard wengine ni akina Tomaso moaka waone. Walisema hayawi sasa yamekuwa.❤❤❤❤❤
Waandishi wa habari huwa mnapata shida sana😥
Yhn hd huruma😂😂😂😂😂
Kusukumwa
Thanks zari fudisho kwa wazazi wote ata mukingombana musigize watoto ni innocent.
Timu Zari piga kelele
Alafu heshima nyingi kati yawo nice one🙌🙌
Jmn me naisikia happiness 😝 happiness happiness 😹
Ester Staphord kiporo kitapachwa happynes 🤣🤣🤣
😂😂😂😂kumbe tuko wengi wenye tumesikia hapyness 😂😂😂
Si ulimchukia mwalimu wako wa kiingereza hahahahahaha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂
Wow that's good 👏👏
Siamini God is good tanasha pitia hapa
Asante kwataalifa nawapenda Sana😘😘
video quality keep it up millady
Taarifa zilizotufikia: Mange Kimavi anapumulia Mipira sasa hivi.! Maombi yenu yanahitajika
🤣👍
🤣😅🤣
Ajikaze hatuna time na yeye..
Kwakweli yupo hoi
Hahaaaaa akafie mbele kule
Owememe entono vawano kubanga zari in house
Boss lady zari❤️❤️❤️
Asa hapo zari ashatua Bongo simba amweke tena tufunge list ya watoto watatu maana sio kwa hug hilo!
Daimondi ww nazar mnaendana jmn mpaka raha😋🌹❤️
Nimeipenda hii
Dangote yani hatak ata kuongea....I'm happy to see this couple together again 🙏🙏🙏
My only prayers u guys u be bck together
Safi sanaaa diamod+zariii.
Happiness???? Happiness? Aaaaai
Waliozaa huwa hawaachani.nazari na mond wote wanapendana mawivu tu yanawatenganisha
Lovely ....
Pigakeleeeee kwa mond weeeeeee
Mpenzi Haifi!!! Love is Forever!!!
Je tanash akitak kuludi atapokelewa kam hiv 🤔🤔🤔 au ndo tatzo nyota
"Baba tii how are you" hiyo salaam unaweza ombea mkopo BOT...
Waoooh Hadi raha
Mashaallah
Hello fatma kungu?
Simba leo anaenda kula chombo ya south Africa kweli hawara hana talaka
Hapo zari na Diamond walivyo kumbatiana it really made me be happy love never ends they look good together
Kiukwel nimeipenda niliamin ipo siku watakuwa pamoja kulea watoto wao mola awe pamoja nao pia iwe funzo Kwa wengine
Mweeehh.. Hatareew sanaaa
This is so nice ooh😓
Wowwe🙏🙏🙏💞
Tshirt ya zari inaongea😂.
😃😃
Kumbe umeona nawewe?nimeiona wakati aliposti akiwa kwenye ndege.afu Tee ni star kama wazazi wake
Aawooooteeee.... tutafute pesa wahuni👊👊
Kweli bila pesa haya msingeyaona mkono mtupu haulambwi.
😅 😅 😅 Kweli
Yaan mungu awabariki jaman zar.wewe nalivopenda hii kitu mungu mwenyewe anajuwa .
Mashalaa
Inapendeza sana
Simbaaaa jikee karudiiii pakaaa wteee kwaooo
Nice
I'm Haitian live, I need you to find out who the Haitian live is on his youtube channel to send up and millard ayo good thing
I like this
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥
Kiukweli mm sio shabiki wako kaka lkn kiukweli huyu mwanamke ndio hadhi yako usihangaike broo baki na huyu dada
kibibi cha miaka 45 wa nini kwa mondi
@@ramathedon4001 Ttz sio uzee ttz anajielewa na anajifaham na uzuri anao 😂
Waooooh am happy
Sema mond kajikausha kama vlee hatamnyandua zari ila chibu buanaa umebarikiwa sana femu kama huyu kujibembeleza kwa mond duu
Hahahahahaha
Sai mondi anajikumbushia KITU yake usiku huu
Nasikia raha sana kuona hiyo couple
family
Kumbe hakuna Lock down sikuhiziee
Maza mjengo karudi..
#Zari & #Diamond wahatarisha kibarua cha #millardayo #clouds
cool
Iyo Happiness hata sijaelewa😂.. japo hamna eye contact ila najua hapo badae kipolo kinapashwa
Wah mama mzee happiness ya nn Diamond hana haja na ww
Wivu tu woyoooo,Tanasha na pugi fulu uharo.
🤣🤣🤣🤣🤣
Wawoooo MashaAllah 😘😘😘😘😘😘😘
Jamani Waoooo my Wiiii wa Taifa 💋💋💕👌👌🔥🔥🔥
Safi sana
Inaleta faraja kwa kweli
Haya! Wambea wapenda kuingilia mapenzi ya watu mpo???
❤❤
Mond alivuruga sana kumkosea huyu dada.
Yaani kama kuna mwanamke ameshdwa ku move on ni huyu Zari.. Her happiness can tell everything
Unaongea tu Zari ni Mwanamke mvumilivu sana ndio maana hata kwa mume wake wa kwanza Ivan Alizaa Watoto 3 pamoja kwa kumvumilia mapungufu yake hataki kuhangaika ovyo
Yan huyu mond sjui ana siri gan kwa hawa wanawake kule tanasha naye anaruka ruka tuu
Ku move ndo nini? Yaani kwahiyo kama Zari na diamond wameachana ndo wasilee watoto? Nini kinakuonyesha kwamba Zari haja move on? Do you know the meaning of co-operenting?
kwakweli nasema ukweli watoto wa kiume wa diamond wa zari na mobet na tanasha Mmoja tu ndio amefanana na babake nani mtoto wa tanasha uyo nibabake mtupu ila ao wengine labda kucha ndio uenda ni za danget
Brother simba
Safi tu
😍😍😍
Km namuona fulegeni kidan
Haya n maji usipokunywa utayaoga platnumz alisema umeebana mwshowe umepanua miguu
Bora hata wee umeongea ila dmd amzalilisha Sana huyu Dada alipaswa kumuheshim zaidi
Hello Mr Biafra?
💥💥🦁🦁
Uuuiii anapenda watoi wake
RIP UANDISHI WA HABARI KIBONGOBONGO🤔🤔
Jmn waandishi mtakuja mjikwae mfe🤣🤣🤣🤣
Lakini wakenya si zari pia ni wetu? #lato milk🏃🏃
Nyie waandishi wa habari keshoo mke wangu anakuja na watoto ubungo naombeni mjitokeze 😂
hahahahahahaha
Ha ha haaa🤣🤣🤣🤣this made my night haki
🤣🤣🤣🤣
Nimecheka kwanguvuuuu
🤣🤣🤣🤣😂
Santeeeeeee