Hao wazazi wawili lazima waongee kuusu familia ila hilo vazi alilovaa mama mtoto kiukweli ni la vishawishi kwa baba mtoto mi nafikiri shaibu ana wakati mgumu sanaa mungu atamsimamia
Wapumbavu kweli Kwahiyo Ayo tv mmekosa kabisa habari za kuripoti? Au hamjui mahaba yakoje? Mtu anaongea kawaida kabisa huyu. Sauti ya mahaba kajifunze kwa Wema
, sri hana shida na huyo domo wenu, we ulutaka watukanane au wapigane?? Huyo ni mama wa watoto wake hujui??? Basi mkatazeni asiongee nae pumbavu mkubwa mtakuja nyukwa kwa kutafuta uongo wa kusemaaa
watz ni mafala sana hii clip is from netflix series you can see from the car in the other side imeandikwa kabisa FILM DIVISION na the dude behind is from the TV crew. Hii kila kitu is staged hamna real shit
Sioni cha ajabu hapo labda kama unawaza ngono tu muda wote
Ww kama hauoni cha ajabu itakua ww umezoea kufanya ujinga mda wote
Sina ujinga na sina baby daddy ila mimi sioni jipya hapo wala cha ajabu
😂😂😂😂😂😂
Kwakweli,Hamna kipya hapo .😮
😂😂😂😂😂
Hawa wanajua kucheza na akilili za watu wao wanakusanya maokoto
Looka Zari, love her!! 😊
Millard sio tabia yenu hii acheni
My favorites couple ❤❤❤
X ni rafiki sio adui.vijana tutafuteni pesa kwa nguvu na bidii zote
Hao wazazi wawili lazima waongee kuusu familia ila hilo vazi alilovaa mama mtoto kiukweli ni la vishawishi kwa baba mtoto mi nafikiri shaibu ana wakati mgumu sanaa mungu atamsimamia
Jamaa anaskia baridi ...
Yule kijana yukowapi jamani😅
Mfano wa Maisha bila kua na roho mbaya nama exes👍👍👍🦁🇹🇿
Kabisa
Mimi napenda warudiyane❤
zari anampenda Sana diamond sema Basi tu
Hampendi iyo ni video ya movie from young famous.
wazinzi tuu wakubwa watambue iposiku watakutana na mungu
bando anapenda
Sawa ndyo uje mwenyewe jaman au kuna semehu mmetoka maana mmechoka choka😅
haaaaaaaaa mbavu zangu munilitie kwa sub
Wandishi nao bana kwani mnataka zari aongee vipi hapo cha ajabu ni nini?
😏
Both are fire house
Mimi nimeona diamond ana muda na zari jinsi anavyo njibu Bila nkujal
Wanajuana
Millardy mmeanza lini uongo ??
Makubwa😂😂😂
Hao Bado wanapendana warudiane tu
😅😅 kumuuliza unaondoka
Huyo nimama watoto suwameshaa zaana naye kip kigen
hakuna cha ajabu hata bby mama wangu mbona huwaga hivyo. ndio mauwa yetu hayo....hujitia nakshi nakshi mbele zetu
Acaaa😮
Wote awafai...wanachezeanatu
Beki tatu shakibu kaisha,😂😂😂😂😂😂
Wapumbavu kweli
Kwahiyo Ayo tv mmekosa kabisa habari za kuripoti?
Au hamjui mahaba yakoje?
Mtu anaongea kawaida kabisa huyu.
Sauti ya mahaba kajifunze kwa Wema
Mbn Hapo Kawahid 😂Lazm Ahuliz Coz Walijaliwa Kupat Watoto 😂😂😂😂
Ndo kweli iyo
Wanaheshimiana sana
Saaaana kabisa
Hawa n wazazi lazima waongee
Cjaona cha ajabu hapo me kawaida
Milad ayo sometimes inazingua
shosho
OMG, zari you must move on for sure leave space for zuchu
You move on and leave the parents alone. What is wrong with you guys? Are they enemies smh
La robe qu'elle a porté n'est pas bien ?
Cette robe elle devrait la porter devant SHAKIB et pas devant son EX.
Zari is always trying so hard to get him to spend time with the children 😢
Diamond kauza bunduki kanunua rungu😂😂
Lakin Zari ni bonge ya manzi aisee😊😅
, sri hana shida na huyo domo wenu, we ulutaka watukanane au wapigane?? Huyo ni mama wa watoto wake hujui??? Basi mkatazeni asiongee nae pumbavu mkubwa mtakuja nyukwa kwa kutafuta uongo wa kusemaaa
Mbona kawaidaaa
Mbona kawaida tu
Mnyama anaangalia nyonyo tu hapo😅😅😅😅
Zari ni mama na mke wa mtu
Wahuni TU hao
Kweli simba na zuchu ndio aliweka watu mjini
Mboga ni ya Kienyeji lakini imesafishwa vizuri. Waliosoma Cuba tu ndio wataelewa
Mmmh
Wawooo
Ayo TV naona mumeshaanza kukosa vya kupost na hii ni kwasababu tunawaamini ndio maana munalewa sifa😢
Wewe nani hataki maokoto?? Simba ukipost vitu kinachomhusu ni maokoto ya kutosha wew unataka je?
Mavi yakale hayanuki.
Hao ni wapenda nao
Na bado anaichapa samtimes😂😂
Simba Yuko mawindoni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂
Zuchu awapi usingizi
Acheni u
watz ni mafala sana hii clip is from netflix series you can see from the car in the other side imeandikwa kabisa FILM DIVISION na the dude behind is from the TV crew. Hii kila kitu is staged hamna real shit
Kipolo hakihitaji moto mkali
Ni wazazi wala hakuna cha ajabu hapo
Wanakulana bana😂😂bwana 😂
She is not like your Tanzania women,she don't double men
@@idayattijani5341Es tu sûr ?
inazekana
Hawa ni wazazi lipi la ajabu
Akuna chaababu pale
❤❤❤❤
Hayatuhusu
Hakuna cha ajabu
Zari achana na diamond akupendi😅😅😅
Kwani kamfunga kamba?
Nosense zari ndie arimureta south africa.
Ujinga. Ukiachwa achika
Ana mume wake huyo Mondi alishawaachia mwaka wa 6 huu
Hawa nikama hawataki kuachana na munipitie kwa sub
Mimi napenda warudiyane❤
❤❤❤❤❤