Innalillah wainna illayhirrajiun,, Huyu Marehemu pengine alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa PUMU (ASTHMA) sababu kuna PUMU,engine zinatesa mtu hata unashindwa kuongea na kutembea.
Pumu inauwa jamani mimi mwenyewe ni mgojwa wa pumu naujua moto we kikikubana unaliona kaburi hlo hapo 😢hasa wakati wa baridi au vumbi au moshi ni hatari sana 😢😢poleni sana wafiwa sisi sote kwake tutarejea 🙏🙏
Allah akupe shifaa mume wangu anayo kwa mara ya kwanza namuona kimemshika nikijua anakufa sikuwa najua unamsaidiaje mgonjwa wa pumu nililia nyie natetemeka najua huyu ndo ananiacha hapa aisee hatari Mungu awasaidie sasa hivi nishazoea maana ni miaka 12 sasa ya ndao
@limymasele21 pumu mbaya Sana hasa ukikosa Masada wa haraka,, kinachopaswa mtu wa pum Hakikisha ndani unakua na 1 salbutamol 2 predinisoln 3 Aminophilin.
Kifua huwa kinaondoa mtu ghafla huwez amin unaweza kuwa naye baada ya mda mfup tu unasikia amefark kifua ni maradhi mabaya xana Allah atupe mwisho mwema
Polisi ni wasumbufu sana hasa ukiwa na matatizo.wana prosses ndefu sana badala ya majeruhi aanzishiwe huduma ya kwanza anapelekwa kituoni kuchukua barua ndio dactari aanze hiyo sio Sheria nzuri.wanasababisha vifo vingi sana kwaajili ya hiyo pf3 yao aaa
Malaya baba ako kuzi wewe af kahaba ni mama ako bwege wewe apo ni maombolezo ni msibq tayari unaleta makabila ya watu umu sio lazm ukomenti kila taarifa mxeew em kakojoe ulale uko
Inalilahi wainalilah rajighuun polen wanafamilia pamoja na jamaa wote mola ampe khauli thabiti ndugu yetu
Mungu atupe mwisho mwema jmn dunia ina mengi😢
Aaamina
Aamin
😢😢😢
Allah tujalie mwisho mwema na vizazi vyetu 🤲🤲
Innalillah wainna ilayhi Rajiuun...Pole sana dada mngu awafariji😢
Poleni sana Wana msimbazi nipo jirani tu apa magugu
Itakua kabakwa alafu kauliwa 😢so painful
Polen wanafamilia Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina
Innalillah wainna illayhirrajiun,,
Huyu Marehemu pengine alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa PUMU (ASTHMA) sababu kuna PUMU,engine zinatesa mtu hata unashindwa kuongea na kutembea.
Mmmh tunakufa sana jamani poleni sana wafiwa
Ichunguzwe vizuri huenda kanyongwa au kapigwa😢
Duuuuuuu aixeee mungu ailaze roho ya marehem mahali pema pepon 😢😢😢
Aamin
Itawezekana pumu ilimbana akakosa msaada akaona avue nguo labda atapa ahueni 😢😢
Poleni sana wafiwa Mungu awe faraja kwenu
Ni kweli,,sababu pumu haitaki joto jingi na haitaki baridi nyingi
Innalillaah wainna ilayh raajiun
It's so sad😭😭
Binaadam tumekuwa wakatili zaidi ya wanyama.
Yaa Rabb tupe mwisho mwema🤲🏼🤲🏼
Poleni sana familia ya mzee sanka tlaqasi
Babati nako 😢😢
Pumu inauwa jamani mimi mwenyewe ni mgojwa wa pumu naujua moto we kikikubana unaliona kaburi hlo hapo 😢hasa wakati wa baridi au vumbi au moshi ni hatari sana 😢😢poleni sana wafiwa sisi sote kwake tutarejea 🙏🙏
Pore sana mwenyezi mungu atakuponya
Sasa ndo avuliwe nguo za ndani?
Ndio kimvue chupi kifo kifua gani
Allah akupe shifaa mume wangu anayo kwa mara ya kwanza namuona kimemshika nikijua anakufa sikuwa najua unamsaidiaje mgonjwa wa pumu nililia nyie natetemeka najua huyu ndo ananiacha hapa aisee hatari Mungu awasaidie sasa hivi nishazoea maana ni miaka 12 sasa ya ndao
@@saimarmuhsin9578allahumma amin
pole kipenz allah akupe subra
Tumble mungu imbue yesu
Oo poleni sana😢😢
Daa poleni
Poleni sana
Poleni wanafamillia
Poreni sana 😢
Poleni wana familia
Apumzike kwa Amani jamani watu wamekua wanyama sana hawana roho ya uoga.
Pumu inaua chapu ila taharuki ni kukutwa mtupuuu Tena,, Mungu atupe mwisho mwema
Ukute na Mama ndiyo kimeeuwa maana ilikuwa ghafla tu na usiku
@limymasele21 pumu mbaya Sana hasa ukikosa Masada wa haraka,, kinachopaswa mtu wa pum Hakikisha ndani unakua na 1 salbutamol 2 predinisoln 3 Aminophilin.
@@LatifaMnzavakweli ndg mm najijua sikosag salbutamol mda mwingine ghafla tu
Kwa pumu ndo lango uwe wazi na hiyo kofia ilitoka wapi?
@@avitusmichael5 kofia sio jibu tosha pengine ilikwepo, uchuguzi wa doctor ufanyike
Mungu atupe mwisho mwema.mtot wajiran yangu amekutwa ndani amefarik Arusha hakuwa anaumw chochte
Poleni sana😢
Naisi iyopombe ndoitakua imempelekea kubana kwa kifua na kupoteza kaisha pole kwa familia
ATI alikua anaonja 😢😢😢😢😢
Magugu imefikwa jmn😢
Kifua huwa kinaondoa mtu ghafla huwez amin unaweza kuwa naye baada ya mda mfup tu unasikia amefark kifua ni maradhi mabaya xana Allah atupe mwisho mwema
Ni kweli ila siyo akutwe mtupu na nguo zake za ndani ziwe pembeni hapo kuna jambo,
@naslee1010 hapo marehem ndo ana ukwel na Mungu pekee huwez jua lbd alivua yeye
Poleni
wainalillahi rajuun
Nchi inatisha hiiiiiiii loooo
Wamembaka na kumuuwa,raha ya milele umpe ee bwana
Ninacho gundua, Tanzania bado hatujaanza kunufaika vyema na rasilia mali zetu, maana hali ya maisha ni ngumu sana, poleni sana ndg jamaa na marafiki
Maiti ifanyiwe uchunguzi kama aliingiliwa kimwili inawezekana alibakwa kisha wakamkaba kumuuwa...
Polisi ni wasumbufu sana hasa ukiwa na matatizo.wana prosses ndefu sana badala ya majeruhi aanzishiwe huduma ya kwanza anapelekwa kituoni kuchukua barua ndio dactari aanze hiyo sio Sheria nzuri.wanasababisha vifo vingi sana kwaajili ya hiyo pf3 yao aaa
Mtihani mwenyez atupe mwisho mwema??mbaya zaidi kuishi kivyakovyako kwn alikosa msaada
😢
Sanga Babati umefata Nini huko makete tunakutafuta
Pumu inauwa chapu ikikubana
Kwa hiyo pumu ndo mlango ukutwe wazi? Na hiyo kofia ilitoka wapi?
Tz sasaiv kumekuwa na unyama umekisiri jmn mtu unambaka na kumuwa kweri
Hadi kulala pekeangu nimeanza kuogopa🙌
Sana tu inatisha maana sasa hivi wahuni wakikosa pesa wanaiba mwili wa mtu na kitumbua
@@FatimaAli-of4ghndugu ata ukirara na kundi rawatu Kama kipo hakikwepeki
Binadamu ROHO MBAYA SANA
Kwajinsi alivo eleza huyu dada dada yake alikua na ugojwa wa hasuma kama alikua kaywa pombe lazima afe sababu dawa zake hazitaki pombe
Mwenye kofia atajulikana tu ndiyo amehusika tena kijijin mbona haitachelewa watu wanavaaga kofia moja Kama uniform
Poleni 😢😢
Labda alikuwa na mtu wake wa hiyari kifua kikaamka wakiwa wanafanya .poleni wafiwa
Pengine man sikubakwa
Maisha ya vijijini mtihani mazingira yao serikali angazieni macho huku vijijini poleni sana wafiwa
Wambulu wairaq ni makaaba sna alikuwa na mtu wake hajawaambiwa nduguze.
Malaya baba ako kuzi wewe af kahaba ni mama ako bwege wewe apo ni maombolezo ni msibq tayari unaleta makabila ya watu umu sio lazm ukomenti kila taarifa mxeew em kakojoe ulale uko
Eti wambulu we koma tena koma unauma mavi wewe . naona watu wanaomboleza we waleta koroboi yako
Hiv huyu anaakili kweri mpuuzi kabisa
Kama huna la kuzungumza ni vyema ukanyamaza hizo sio kauli njema kwa tukio kama hilo kumbuka hata wewe unandugu nadhani. Jifunze kuwa na kauli dhabiti
Mmh sio wote
Magugu kila siku
Haki polen sana
MUNGU tunusuru
Alikuwa na pumu
😭