Shaa heshima kwako, hiyo chorus na sauti yako vinanifanya nivute hisia kali sana na najikuta nafurahi peke yangu tuu na kuiona dunia yote yangu! you have made my life! nimekikata ki voice chako nimwewka ringtone harafu najipigia kila wakati! penda sana shaa! IZZO B, Heshima kwako mzazi, hii ngoma miaka buku aisee!
Chorus ni tatizo Dancing style ni tatizo The beat, I mean the bass in the beat ni tatizo Cloth suti mixer kinyamwezi na madam shaa alivyotupia ni tatizo Damn thr song is just awesome.
naipenda hii kwa sababu huwa namkumbuka girl wangu ambae nimepotezana nae miaka kama miwili hivii nilimsikilishaga hii song kipind tukiwa kwa bed naipenda sana ndiyo iliyobaki moyoni mwangu kidawa wangu ASHA
Izzo bizness. Mbeya city boy!!!! You kill it, Guuuuud kila kitu ujueee nn hizo flooo zako is so unique no one mwenywe anaweza flooo kaaa ww vileee vionjo vionjaa kwenye ngomaaa utaaaasikiaa ahaaaaa,, mbeyaaa city on the top as a told you before,,, hizo hapo keep it higher,, bro Mbeya city represeeeee #Kashuloya #Kidawa_for _ever_ men #mr_X_Mass #Izzo_no_1_wengn_watafuata
Vipi? Mimi nataka tu kutoa mwaliko kubwa nje kutoka Marekani . Mimi upendo muziki wako dude yangu. Keep it up na mimi kushika zifuatazo wewe. Nilikuwa wimbo huu kupata mengi ya wanawake African idadi faini simu . Baraka na wewe kutoka kijana wako in U.S.A.
huo ndo mziki ambao tunauhitaji katika karne ya leo sio kutuimbia ngumu tukashindwa hata kucheza.hongera sana kijana kwa kuleta mabadiliko katika sanaa yetu halafu nakupa kazi kawaambie wengine waige mfano wako kwa kazi nzuri kama hii.halafu izzo naona ngoma hii ya ki utu uzima sana iko powwwwa
'' Mama aliniita kidawa kwel kwako nmekua dawa... Ww kwangu km..... Kwny sherehe nkufungue ww''yaan napenda hii mistari bro izo ukukosea kitu apo na shaa kai present ipasavyo I really like the song kw maneno flan amazing, kila song ukiwepo unaitendea haki but skufichi kidawa and love me is my best song kwako keep it up brother penda xna ww..!!
wajina naona hizo level unazoelekea ni nzuri mno. nimependa the way unabadilika uko tofauti sana. hii kazi yako ya kidawa iko poa sana nimefurahi sana mkuu. keep it up
Safi sana kaka hii ngoma ni hatari sana mmeitendea haki kuanzia video mpk kila kitu yani...big up dada etu shaa umetisha sana kwenye chorus....isipohit hii ngoma bas kutakua na tatizo kwenye media zetu...safi sana izzo..good music
Be the way Dupy aliumiza sana humu had kuna siku nikamwambia anakupendelea sana,It is your Young bro and your number one Fan dunia nzima ....Much respect to you Coke boy ,Kaka lao,Presenter ,Ball player ,Sprite ambassador sema ila tangazo ya sprite ilikuwa hatari naitafuta kinyama yan ,Izzo Business ,Mbeya Boy
dah..!! cyo siri imekaa poa saana keep it up bro nmeipenda kazi yako na huwa nazikubali saana kazi zako kiukwel haubahatishi kaka unajua unacho kifanya vzr saana
This is my best video and audio of this year 2015 (kidawa). Daaaaah naupenda mpk bas na kila nikiingia youtube ni huu wimbo nauangalia tu, siuchoki kabisa. Keep it up izzo napenda kazi yko na am your number onw fun yan ni shidaaah tu
Kaka umefanya ngoma Kali saana pamoja na shaa yaani kwel daah natamani kuwa kidawa kwa jins ulivyo msifia hahaha zidi kutoa .....pia mavazi yametulia Big up 2 all of u😘😘😘😘😘
izzo you ar my homeboy and i cant predend I'm blind enough not to see what you have done and what ar you doin. , in case of choruses, beats to videos you are still unbeaten but tukirudi kwenye uandishi IZZO unaniangusha kinoma-noma uwe unajaribu kutulia mda mrefu na kuleta mistari yenye mashiko jaribu kupitia articles, books na ngoma mbalimbali toka kote duniani upate ideas katika uandishi wa new era rap . i rest my case now bro never take off your feet on the pedal, keep riding good music na uiwakilishe vyema mby city .made in mby city.
mwanamzik pekee wa bongo mwenye outfit na mwonekano wa state....nakukubal sana broh,kuanzia outfit hadi kazi .... una beat flan iv zipo powerful sana #bigup
hahaha nliona kene fnl kipande nkakusikia unasema unataka ona mwanamke akisimama kene nusu ya wimbo huku unachana kidogo,finally i have my audio,asee bra we ni designer kitu kimetulia mulemule kama ulivotarajia..keep it up,,,mlitulia na shaa alijua nini anakuja fanya...waiting for the next audio...husiniangushe ati
Bado Niko hapa sijahama hata huu mwaka 2024 mwamba wa jina Nani mwingine yuko namimi hapa🎉🎉❤❤❤❤
2024 niko hapa piaa🔥🔥🙌
2024 tulike hapa
Naacha comment apa ili mtu akija ku like nirud kusikiliza tena
2024 here we go
niko hapa leo nimekuja kumwaga wino wangu🤞 huyu Shaa🙌
Nani mwingine amerudi ausikilize tena this 2020?
me
meeeeeeeeee
Meeee
Me
Tumerudi bana.
Sijui kwanini hii ngoma inanitoaga machozi, This is 2024, Still The Best 😊
Huu wimbo❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢
Dude la kwenda 2024 🔥🔥🔥
2021 npo hapa dada yetu Shaa where are you
Who is with ME 2024..
Me
Me
Tena May nkingoja Hidaya
Shaa heshima kwako, hiyo chorus na sauti yako vinanifanya nivute hisia kali sana na najikuta nafurahi peke yangu tuu na kuiona dunia yote yangu! you have made my life! nimekikata ki voice chako nimwewka ringtone harafu najipigia kila wakati! penda sana shaa! IZZO B, Heshima kwako mzazi, hii ngoma miaka buku aisee!
+Richard Steven keep silent plz mxhamb hawez kuelewaa xo be kimy
Uko sahihi aisee
👌🥰🥰🥰
Very nice
😁😁
Sjui mmeenda wapi jmn tunamiss good music kutoka kwenu
Rapha d bluz Arusha Town .. wangapi tumerudia kuskiliza tena 2021
Khaaa, nimimi tu, nilijua ndio imetoka this Year 2019....Demn Good stuff fams........100 fire...!
Chorus ni tatizo
Dancing style ni tatizo
The beat, I mean the bass in the beat ni tatizo
Cloth suti mixer kinyamwezi na madam shaa alivyotupia ni tatizo
Damn thr song is just awesome.
Ahsante sana.
Umeweza broh
2024 nipo hapa
naipenda hii kwa sababu huwa namkumbuka girl wangu ambae nimepotezana nae miaka kama miwili hivii nilimsikilishaga hii song kipind tukiwa kwa bed naipenda sana ndiyo iliyobaki moyoni mwangu kidawa wangu ASHA
Huu wimbo hauchuji kwangu kabisa❤
Kidawa Mitano tena 2021
Izzo bizness.
Mbeya city boy!!!!
You kill it,
Guuuuud kila kitu ujueee nn hizo flooo zako is so unique no one mwenywe anaweza flooo kaaa ww vileee vionjo vionjaa kwenye ngomaaa utaaaasikiaa ahaaaaa,, mbeyaaa city on the top as a told you before,,, hizo hapo keep it higher,, bro
Mbeya city represeeeee
#Kashuloya
#Kidawa_for _ever_ men
#mr_X_Mass
#Izzo_no_1_wengn_watafuata
Chief umegundua za mapenzi ndio zinauza eeeeh????? hongera! very sweet song, you did it again baada ya uleeeee
Ahsante sana.
Vipi? Mimi nataka tu kutoa mwaliko kubwa nje kutoka Marekani . Mimi upendo muziki wako dude yangu. Keep it up na mimi kushika zifuatazo wewe. Nilikuwa wimbo huu kupata mengi ya wanawake African idadi faini simu . Baraka na wewe kutoka kijana wako in U.S.A.
Huu mwaka umeisha lakn naweza sema hi i ngoma pamoja na kua ni ya kitambo imenifungia mwaka
Kidawa ametulia brother na kweli amekuwa dawa big up , big 5 uko juu.
Kaka we nomaaa yani kichupa Chao cha kidawa mekikubali ile mbayaaaaaa
huo ndo mziki ambao tunauhitaji katika karne ya leo sio kutuimbia ngumu tukashindwa hata kucheza.hongera sana kijana kwa kuleta mabadiliko katika sanaa yetu halafu nakupa kazi kawaambie wengine waige mfano wako kwa kazi nzuri kama hii.halafu izzo naona ngoma hii ya ki utu uzima sana iko powwwwa
Ahsante sana
'' Mama aliniita kidawa kwel kwako nmekua dawa... Ww kwangu km..... Kwny sherehe nkufungue ww''yaan napenda hii mistari bro izo ukukosea kitu apo na shaa kai present ipasavyo I really like the song kw maneno flan amazing, kila song ukiwepo unaitendea haki but skufichi kidawa and love me is my best song kwako keep it up brother penda xna ww..!!
nasikiliza hii nyimbo sichoki yaani kiukwel ts best song ever
big up bro..
keep t up
nimeipenda sanaaa
Dah Chiku nilikupenda sema hukuwa ridhiki yangu ....Mungu akupe afya tele katika familia yakoo.....Ameen.
Big up izo Yan wimbo mzur unagusa hisia yaaaaaaan🔥🔥🔥🔥👊👆
wajina naona hizo level unazoelekea ni nzuri mno. nimependa the way unabadilika uko tofauti sana. hii kazi yako ya kidawa iko poa sana nimefurahi sana mkuu. keep it up
Tumalize mwaka nahii ngoma haichuji❤❤❤
Wow nazipenda saana nyimbo zako izzo hata huku belgium tunazipenda saana big up uendeleye uzidi kusonga mbele
Ahsante sana
Jamani mimi huu wimbo naupenda kweli lakin nimejarbu kuutafuta mtandaoni sjauona
Nimerudi tena 2024 Ngoma bado ni kali sana
Ndagha fijho nnyambala Emma mwandenene le izooo b
much respect unaiwakilisha mbeya yetu vizuri kimuziki
kind of rap i like.izzo uko juu.nice vocals from shaa.this song inaweza kabisaa
ahsanteni sana kwa hili goma#IZO+SHAA...........
Ahsante sana.
sawaa mkuu..
nimekubaliiiii 100%
Gambo wapi???
Km upo na bebe bebe na unamuongopea kwa gheto et ooh hakuna km ww , we endelea kusikiliza kidawa
Safi sana kaka hii ngoma ni hatari sana mmeitendea haki kuanzia video mpk kila kitu yani...big up dada etu shaa umetisha sana kwenye chorus....isipohit hii ngoma bas kutakua na tatizo kwenye media zetu...safi sana izzo..good music
Ahsante sana.
Izo biashara unaweza toka unaanza...mpaka tuliko now ningoma Kali tu unajua soma nyakati...experience is wisdom... Thanks
Naiangalia hii ngoma 2021/9/25 ila naona Kama imetoka Jana. Wallahi mziki mzuri unaishi Daima.
Big up mno Broo Izoo B
Be the way Dupy aliumiza sana humu had kuna siku nikamwambia anakupendelea sana,It is your Young bro and your number one Fan dunia nzima ....Much respect to you Coke boy ,Kaka lao,Presenter ,Ball player ,Sprite ambassador sema ila tangazo ya sprite ilikuwa hatari naitafuta kinyama yan ,Izzo Business ,Mbeya Boy
daaah holla at you bizness mbeya boe....ngma kareee san aan ## kidawa
Ahsante sana.
Respect sana Mr izzo toka enzi za tenzi za mapenzi mpaka kidawa hujawahi haribu ebwana much love to u Broo.
dah..!! cyo siri imekaa poa saana keep it up bro nmeipenda kazi yako na huwa nazikubali saana kazi zako kiukwel haubahatishi kaka unajua unacho kifanya vzr saana
Nice hii kitu @Izo sema kama wanabana flan hiv kwene media zetu ngoma hawaitembezi kabisa aisee...
Poa tutaendelea kusapoti Mziki mzuri kutoka kwako
yea izzo yo knw nilikosa tym ya kuiangalia ngoma hii kwa macho ya 2.... haaahaaaaaa big up my young bro!
This is my best video and audio of this year 2015 (kidawa). Daaaaah naupenda mpk bas na kila nikiingia youtube ni huu wimbo nauangalia tu, siuchoki kabisa. Keep it up izzo napenda kazi yko na am your number onw fun yan ni shidaaah tu
Ahsante sana
top class video,,,top class audio,,,izzo biashara unaweza sana,,,,,mdada shaa pia katisha sana,,,,,appreciated the work brav,,,,,
Ahsante sana
Jamaa alitusaidia sana kutongoza isiwe mzigo, unatuma tu dedication ya huu wimbo kinachofuata ni story
Kaka umefanya ngoma Kali saana pamoja na shaa yaani kwel daah natamani kuwa kidawa kwa jins ulivyo msifia hahaha zidi kutoa .....pia mavazi yametulia Big up 2 all of u😘😘😘😘😘
2024 Niko hapa❤❤❤
izzo you ar my homeboy and i cant predend I'm blind enough not to see what you have done and what ar you doin.
,
in case of choruses, beats to videos you are still unbeaten
but tukirudi kwenye uandishi IZZO unaniangusha kinoma-noma
uwe unajaribu kutulia mda mrefu na kuleta mistari yenye mashiko
jaribu kupitia articles, books na ngoma mbalimbali toka kote duniani upate ideas katika uandishi wa new era rap
.
i rest my case now bro
never take off your feet on the pedal, keep riding good music na uiwakilishe vyema mby city
.made in mby city.
Yani semu yangu nimeweka hiyo song too naskiliza kila siku na kila time big up baba kidawa
mpaka kesho hii ngoma tisha sana Izzo. Shaa balaa la humu daah
2024❤❤❤ Kenya bado inabang
Tweny twenty still on top🔥🔥🔥
Kama kuna ambao wanaisililiza hii ngoma mpk Sasa 2020 gonga like
Daaa naikubali sana kidawa yaaaan iko poa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
umeona tisha sanaa
Jamani milele nikifa niwakilisheni ❤❤❤❤❤😊😊😊😊
Ebhane umetisha saaana brother Izzo, M nakubali sana uvyoibeba Mbeya, "KIDAWA ndo mwisho wa matatizo"
Sema bit Ni kali
Daaah nahis nakuw chizi na hii ngoma.... na hiv mb 8? Wallah izzo utanilipaaaaa baba anguuu sawaaaa??? Ila naielewa kinomanoma.
Ahsante sana.
Bado nipo hapa 2024
mwanamzik pekee wa bongo mwenye outfit na mwonekano wa state....nakukubal sana broh,kuanzia outfit hadi kazi ....
una beat flan iv zipo powerful sana #bigup
Nawapa pongezi na hongera kwa nyimbo hii. Ni murwa kabisa. mzidi hivyo vivyo na Zaidi.
Oh boy, beat, verses, chorus, bridge everything 101%. This is my jam now
izzo unajua hadi waniboa....shaa did amazing chorus....i pray God gives u strength utupe vitu vikali vya namna hii! kidawa....
My best song on 2022
Tulio Rudi kusikiliza mziki mzuri 2021 like hapa👍👍
Leo tarehe 27/03/2023 nimeusikiliza tena huu wimbo.! Daah.! Hatare
ngoma inaishi miaka yote,, izzo ni my favourate artist in Tz
kaka tisha mbaya kwetu kagera ila mbeya nimetafuta so salti sanaaaaaaaaaa god bless u
Ahsante sana.
pamoja bro
bongeee ngomaaa, respect kwa shaa aisee otherwise naitabiria mazuri sana hii ngoma. peace
Ahsante sana.
2022 still here ✌️
Umetisha kaka ngoma iko poa kinouma yaan good combination with mdada shaa respect sn kwake
Ahsante sana.
Siku zote tunategemea vitu kama hivi.Safi sana homeboy keep on moving ...................
Ahsante sana
Ngoma Kali Broo aliandika uwa niamini uandishi WA mbeya boy
Video imetulia nimeipenda sana kwa kweli ndagafijo....
Ahsante sana.
i love this video Izzo Bizness bro u rock yani penda sana hizo vazi za mwishoo wid binty kidawa
mavazi y kitanzania
love this song men
Mpaka sasa hii ndo kazi nzuri nimeiona this year! Keep up bruhh.. Mbeya city uuwiiiih
bonge la video, bonge la track yani tisha sanaaaaaaaa!!!
Ahsante sana.
Kwa niaba ya Wahenga na wazee Wetu wote Afrika Mashariki na kati, Still 2023 and it's still a HIT.. Tawilee..!
Izzo Yuko vzr Sana sijui hata kwann Hawa watt wakina hamorniza wanakuaje mastar na kazi mbovu
Izzo Bizness umetisha Mzazi bonge la ngoma salute man big up Dupy Beat ametisha na Shaa Big up all
Ahsante sana.
Father wa Trap Beat Bongo na East Africa
Qaliii sana ,izzo b 2024 October nipo hapa❤
hahaha nliona kene fnl kipande nkakusikia unasema unataka ona mwanamke akisimama kene nusu ya wimbo huku unachana kidogo,finally i have my audio,asee bra we ni designer kitu kimetulia mulemule kama ulivotarajia..keep it up,,,mlitulia na shaa alijua nini anakuja fanya...waiting for the next audio...husiniangushe ati
Kaka nakuelew mpak naumwa,tishaaaaaa saaaaaaaaana home boy izzo bizness
Ahsante sana
dah!!kama shampen kila sherehe nikufungue 😚😘😘jamaa akoseagi
Ahsante sana.
Still watch this mpka Leo 2019
Hii ngoma ni kali sana..... yaani nimeshinda nimeiskiza mchana hadi saa hii nairudia.
Kama mpaka 2019 bado unaangalia mziki mzuri kutoka kwa Izoo na Shaa na unakubali combination yao na unashauri watoe ngoma nyingine gonga like
Much luv 2 u guys mnajua xana mmeukonga moyo wa mie jaman dah!
very outstanding Song.....you are real a proffesional in this game, big up to Shaa as well,,,Ngoma nzuri Mnooooooooooooo
Ahsante sana George
Congratulatio kichupa kikali kma ww ulvyo mkali duuh feel umbaya ! dis is ma song ov de year i salute u u good keep it up
Nyimbo kali sna na mashairi yaliyotulia ,kuanzia vers hadi chorus
Kichupa kimetulia na hata audio pia imekaa vyema salute kwako mbeya boy.
Ahsante sana.
Nakukubali sana brother hasa hili pini kidawa so noma