Ts how ol classic songs are, simple & great or great and heavy. Not too beautiful, sweet/ lovely, just simple and humble for u not to pass. How ever hip hop, reggae, r&b, soul, pop, or whatever. Classic is just classic however. Not much lovely, ever not much sweet, Neva sad, boring. Simple or how ever but must to be PaSSiONAtE. Happy to jam with u; feeling ire.
Steel watching 2024
I came here after saw ,konde boy jeshiii tembo harmonize posting
Same here 😅
Me too😂
Nasikiliza zaidi ya mala10 kwa siku kama ramadee hatajibu kitu ntamwona hana akir
Kama umerudia 2019! Km mm gonga likes
2024... 5 years latee, na bado ngoma kali.
Yaani leo ndo nimeujua huu wimbo baada ya kuuona kwenye WhatsApp status ya mtu 😢. Good song ❤
How old are you?Or Which country are you from ?😂
Huyu jamaa ana kipaji cha pekee sana.....
I wonder watu hawatazam nyimbo kama hiz
It's 2024....n still soothing sound ever🎉
Bonge la wimbo🎉
Acha tu huu wimbo naupendaga sanaaa, kakaangu kaimba bhana
Wee ndio umenifanya nipende music bonge la ngoma
Nani anaangalia 2024 Aug?
Still watching it..2020..forever ❣️
Kiukweli unalatha Sana love song❤❤❤❤
its 2022 and im still listening to this masterpiece
Forever Living...
and Ever
Safi
Utambiwa Sina mapenzi,dope chune,Big up @RAMADEE
My no 1 rnb singer in TZ,
Rama dee ni mwanangu sana tumefanya sana3harakati na mapacha ktambo hicho
Nipo First December ku sapoti mziki mzuriiiiiii 🔥 🔥
Wimbo mzuri sana
2023 twende kazi ngoma kali sana
Ndani ya mwaka huu 2024
Najiimbia mwenyewe uku najigunia mwenyewe basi raha...mziki mzuri❤
ever green beautiful music .magwiji watatu na producer
Utaambiwa sina umuhimu kwako😧😧jitahidi mpenzi kuwa na subira
Daah the reality is that you are a true champion of R&B in Tanzania. Salute to you brother
Ever been
hivi wimbo mzuri hivi unatazamwa kidogo hivi maana yake nini??
Sielewi Hata... Media Hawa.....Hawaskiii... wamezoea kelele....
Bongo media fek!! Jama anajua sana
Kitu kizuri huwa hakipendwi dada
Ts how ol classic songs are, simple & great or great and heavy. Not too beautiful, sweet/ lovely, just simple and humble for u not to pass. How ever hip hop, reggae, r&b, soul, pop, or whatever.
Classic is just classic however.
Not much lovely, ever not much sweet, Neva sad, boring.
Simple or how ever but must to be PaSSiONAtE.
Happy to jam with u; feeling ire.
Hiyo ndo bongo bana 😂😂
Duh wangu ww mkari sana unatisha
Nomaaa
Ex wangu aliniimbia hv na bado akaniacha😂😂😂
Bonge la nyimbo, utunzi bora sana alafu rap imesimama sana
wimbo una vitamin zote aisee
Nipo tu hapa mtaani nagangaganga tuu njaa,it's so beautiful moments
Ngoma kali sema jamaa ajatupia mitupio ya kisanii yaani maukali si mwaelewa msanii ni muonekano ebana unajuwa kuimba sanawjitaidi kuboresha video
September 2024 tujuane
ni bombaa tyu all the tym this song
Mond afanye remix ya Hilo song balaaa❤❤❤❤
Au mario
yah man classic...
Kuna watu wanaambia wale tunaowambia sisi ni wahuni. Wapenzi wetu mjitahidi msiyumbishwe na maneno.
Great Hit!!
I gona like this song
Nani anaangali 2024 October?
kaka hua ngoma zako nazipenda naomba nirudie wimbo wako hasa huu
Still watching 2024
T I D alichezea kipaji chake, sasa ona jamaa na sauti kama yake anavyofanya mambo
ngoma kali sana
Imagine playing this tune on long way drive
Daaah umefikiria mbili...... kweli mz ukiwa journey ukaweka hii mali mbn safar utaiona fupiiii😂😂😂
19/10/2021 still watching this amazing song. ur the best bro
Ifanyieni remix
Ujawah kukosea kweny mziki
Rama D Mwamba sana aisee ❤❤❤
Hii nyimbo aichuji kitu kizuri kina ishi respect bro
Dah...ilikua dadication kwa Manzi wng...ambae hii leo yu mbali nam...So gud music never end
Rama dee hii nyimbo ungeimba peke ako 2019
yani akili yng km yko
Jamaa angekuwa mbele huyu angetoboa zaidi ana sauti Nzuri sana
Ata hivo anaishi nje mda mrefuu
Keep it up Vidy❤
Kazi kubwa ya miaka yote hii
Kwel hiiingoma hatar
Bonge laujumbe nice song
Gud music happens once in a century.... Mapacha Maujanja saplaya killed it ...that is rap
Tamu sana i ngoma
Best hip pop love song
daaa nyimbo mzuri sana sana,,,
Ramaaaa🙏🙏🙏🙏🙏for good music
Inapendeza sana nyimbo
Uyu jama anajua
Your the best till 2021
You are the best brother.
Rama dee good song
Bonge moja la ngoma✊🙌🏼
Kiukweli naipenda hii ngoma kinyama dha!!! Mziki umeturia kweli
100%
Bonge LA ngoma
2022 nausikiliza, huu ni wimbo usiochuja
True my favorite songs
@@annaatanas1845 Mstari gani unaupenda?
So fresh so good
Bro uko vizur saana
Still watching fall of 2021, enthralled!!
Hatari sanaaaaaaaaa. Kinyamaaaaaaa. Kinyamweziiiii
🔥🔥🔥🔥🔥
2024 join here
More than a song!!
Rama missing rud nyumbn jaman
Mwaka gani hv hi nyimbo!?
2014
Am still watching this song till 2022
Love this song jaman...
Hott song 2019
Beautiful rhythms and the voice heart awakening! I love your songs Rama
2023
Siwema
May 2024 anybody??
🎉
2024
😍😍
2020 nice song 🔥🔥
Soul food
Chuki tuliikataa inayumbisha hadi uchumi
2024❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
2023 🖐
R.kerry wa tz
Respect
Still I love this song ever
Inanitoa machoz nkiiskliza
Hata mm dear😓
Pole@martha. Ndo mapenzi hayo
June, 2024
R I P MABOVU 😭😭😭
Mziki MZURI
hiii nyimbo aichuji ata siku moja
🔥🔥🔥