FREDDY MICHAEL KUKOSA MAGOLI MSIKIE KOCHA JUMA MGUNDA & AHMED ALLY/"DODOMA JIJI MECHI MUHIMU KWETU"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ค. 2024
- SUBSCRIBE NOW:
▶
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC TH-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi - กีฬา
Huyu anae hoji hana furaha😂😂😂😂
Wewe nikocha mzuli saana ila shindayako ni moja2 kucherewa kufanya saabu unamuona mchezaji hana bahat yakufunga badilisha wacheze wengine
mpiraa cyo draft kwamba mtu akikosea mara mbili hapo hapo sub... ndo maana cyo kila mtu n kocha sbb ukocha hautak mihemko
Tunaimani na kocha wetu. mungu akubariki.
Poleni wakuu wangu, msijali haikuwa bahati yetu, tufikas na mechi zilizobaki inshaalaa tutapata nafasi ya pili,..inauma ila kuwa na amani semaji letu ninakukubali sn
,👌❤️
Hakuna bahati kwenye soccer , inachotakiwa ni umahiri wa kutandaza kabumbu . Fredy hatoshi…… Mbona Mpira wa miguu ni Mchezo ulio wazi nyie hamwoniiiii.
Mgunda ni kocha kweli
Mimi niwa 111 Leo ila naiombea Simba yangu natuiombee Simba yetu Mungu atusaidie daima
Kocha mganda ni kocha mzuri sana 👏👏👏👏👏👏👏👏
Naipenda sana simba yangu hata iweje
Jamani wana simba wezangu tumwamini tu kocha mzawa wetu juma mgunda atatupeleka vizuri tu
😂😂😂😂haya mahojiano naona ni yakitoto😂😂😂 watani mna komedi😂😂😂😂
Kocha tuliyenaye naye kwa ss ni kocha bora kuliko benchika, makombe yake siyo sabb, mgunda atatufikisha mbali msimu ujao,pongezi bb tulia na sinia tim hata akija kocha mwingine...mama arusha mererani
Mungu ibaliki timuyetu ya Simba hata kama Jana tumepata sale mungu awabaliki wachezaji na benchi la ufundi na kocha wetu pep gladiola mnene Amin
Naomb fredy jarib kupunguz maweng mpira umo Simba tubadilike 2chez mpira was kuwang😀😀😀😀😀
Kocha umenikumbusha mkama ntare ni baba angu huyo
Kuisaidia timu sio kufunga goli tu, unaweza kuisaidia timu kwa kutoa assist, kulinda vizuri, au kudaka vizuri.
Simba na msemaji wako too transparent, kwenye mapambano huwa kunakuwa na confidentially. Yanga wameweza sana kwa hili. Kaka Ahmed si vibaya kuwaiga.
Tunaoba usajili namba 9
Si mchawi wew
Striker anaweza kufunga akibaki na golikipa kwa ku uchop mpira na sio kukariri kupiga tu na golikipa kudaka!
Big up mgunda, akina Fredy wanakuangusha
Jana wachezaji wenyewe ndo wametufelisha, wameshindwa kuweka mpira kambani
Mimi nadhani fred Maiko ndiye ameshindwa ku assist wenzake, ktk kufunga kwani anashindwa kutoa pass kwa mwenzake ili ashinde yeye
Muwe mnajifunza kukaa kimya sio kila kitu mnakiweka hadharani hamjifunzi kutoka kwa wanzenu?
Hii team bana🚮mbona watu wamelalamika sana kuhusu uongozi lakini hamjawahoji Hao viongozi 😢Yani hii ni siasa SC 😂
Sawa mkuu hy nibahati mbaya alafu Tim ye2ubinafsi sana Fred Hana baya
Washauri wachezaji wacheze kitimu siyo matokeo ya mtu mmoja!!
Hayo mkaoniane nao acheni kutuzuga
Fred nimzuri Ila nimzito Sasa maamuzi ya araka ana Kama mshambuliaji
Mechi ilikuwa ngumu lakini Simba ni team kubwa kuliko kagera, kwanini asifosi kupata matokeo ukizingatia ni alama muhimu kwa wakati kama huu?
Jobe na Fred hawatoshi Simba tafuteni strikers wenye uwezo
Fredy ana maguvu tu lkn hana akili ya mpira bhana!!. Mpira unachezwa hadharani na kila mtu anaona!
Nachoweza kuishauri Simba,
Wanapokua kwenye mechi waangalie ushindi kwanza kabla ya show off. Sio mtu yupo sehemu ngumu badala ya kuasist ana amua kubutua
Nafas munampa ya nn huyo fredy hajui mpila kabsa
Shida ya fred lege lege hana nguvu ya ustirack kama baleke anafwata mpira kama ana wiki hajara
KWA Maoni yangu mimi,Fistoni mayere na jean bareke waje hata mimi nitachangia nauli ya kuwaleta hapa Tanzania waichezee SsC!
Issue ni makosa kujirudia na mchezaji huyo huyo na ni professional player!
Jobe yuko vizuri kumzidi Fredy! Kibu na Ntibazonkiza watokee bench. Simba ya sasa bila Chama hakuna kitu
Ww jielewe bc Fred ni mzuri zaid kuliko jobe
Fred accurance yake ya acoring ni ndogo na anakosea sana positioning
Usajili ujao panga limubakize ayubu chemalon kanuti chama, h kazi na kibu2 wengine sambalatisha mlete wapya
Hossen zimbwe anapambana natamani achukue nafasi ya fred
Ila Fred anaboa sana daaah
Kwa kifupi tunahitaji mfungaji na siyo Fred wala jobe
Wambieni mambo hayo ni Siri ahamedi hapo unakosea Siri ni siri
Pmj sanaa
Ww namoo wenu wote wasenge2
mpeni nafasi jobe sasaivi amalizie msimu yule atafungaaa maana anakiusana yakutoa haibu yake ila uyo fredy aaah me ashanichosha
SIMBA NGUVU MOJA
Kwel nguvu moja 😂
sio uzungumze nao kwa mdom2 na vitendo pia mazoezin vifanyike
Nimesikia kama kasema ANTIFICIAL
Asee acha izo Ahmed ally
Freddy hamna kitu.
SsC team hongereni sana! Simba ni Babalao mmeamua tu kuwapa UBingwa tena hao Vijana wenu Yanga! Ila iwe mwisho wa mikataba hiyo feki! Mnatuharibia molari ya kandanda!
Fred anaboa chemalon anaboa na ndio amesababisha lile goli
Nguvu moja
tatizo tukifika kweny uwanja wa mazoezi hatufanyi mazoezi ya kulenga goli watu wakajifunza kufunga tukifika tunafany mazoezi ya viungo tunaenda kweny mechi
Kingine kinacho tughalimu hatuna kikosi kipana miaka Mii 3 hii tumesajili wachezaji wachache alafu hawana viwango vya kuchezea simba hasa wa kigeni viongozi liangalie hili
Maneno matamu. Lakini ukweli ni kwamba hakuna timu hapo. Yaani unategemea Mzamiru na kina Fredy wakupe ubingwa?
Wachezaji hawajui kupiga kona
Huyo Fred mrudisheni mlikomtoa ,tuleteeni baleke
Semaji sisi tunataka utuletee hao viongozi Tena uweke live tuwaulize maswali tunahasila na hayo mamluki
Hizi n nyeti za club, why mnazianika hadharani
TUSEME TUU UKWELI HII TEAM INATIA AIBUU,SASA UNATAKA KUBAKI NA MCHEZAJI KAMA KIBU WA NINI SASA MSIMU WOTE GOAL 1
Mtoke sare tena na Dodoma
ukiona fredy hakupi unachotak basi muanzishe na huyo mwengine unamuanzisha fredy kisa anakondroo watu wanaondoka na pwenti yey wanamuwacha na konteoo zake sasa faida iko wapi apo
tushakuzowea manenoyako niyareyare
Simba naikunal ila fredy uyo jama ni choko kwanza anavyokimbia2 mikono anayvoweka kama bata.uyo msimu ujayo atumtaki bora baleke kuliko ilo choko jana tulikuwa tushinde
Kassian nkwabi mengine iwe siri
WAPUZI NYIEE
Huo Fred aliletwa Tanzania kutalii hakuna anachokifanya kwanza analiogopa goli. Mie nafikiri huyu jamaa ameanzia huku kukaa km standing striker. Aondoke tu anapotezea wengine kupata matokeo. Wenzie wanamtengenezea nafasi akipata mpira anakigugumizi toa arnde kwao
Fatilia mechi za team yake aliyotoka
Kikosi chetu siyo kipana
Sababu ni nini mgunda?
Kwani freddy haya magoli ya wazi ameanza lini kukosa?
Huyu hana improvement yoyote kwani ameiangusha timu yetu Mara nyingi sana sio Mara ya kwanza au ya pili.....
Mgunda ondoeni huyu freddy HAFAI IKIWA KWELI MNAITAKIA KHERI TIMU YETU....
WAONDOKE YEYE NA JOBE HARAKA SANA
KWA NINI FREDDY KILA MARA ANATUKOSESHA MAGOLI??? MBONA WENZETU MAKINI HAWAKOSI HIVYO?? KWA NINI ASITULIE??? KAMA HAACHI UJINGA AONDOKE!!!
Hi kama viongoz mnasoma huu ujumbe naomba tunzeni hili,,,,,,,,,,Kama kila kocha anaye kuja anashindwa kufanya vizuri kisa wachezaji,,,,,,mbona mgunda anatumia hao hao na anapata matokeo......ushauri wangu mtumien mgunda ila mleteen wachezaji wenye quality kubwa then muachieni timu mtakuja mnishukuru
Aaafu pia mm nafikir kuleta makocha wakigeni naona kunawatu baadh wananufaika na hilo
Nilichopenda zaidi ona saiv😅😅 anawapigisha mazoezi haswaa wanakimbia spidi 😅mwanzo walikuwa wanafanya mazoezi km viwete😢 walilegea
Mgunda anaongea kisiasa yule mchezaji hamnakitu pale.
Hahahahahah
Hayo ni mambo yenu ya Siri sio kuhojiana ivo bwana Ahmed Ally mnafaidisha wapinzan fanyeni mambo kimyakimya sio tuone magoli tu full stop
Yani team limbukeni hii😢😢😢 hawajifunzi uto hata azam hawajitangazi mazoez😢😢kazi tunayo
Hayakuhxu
Nyie mna mipango Sasa. Jipangeni 2026 TU. Maana hata mwakani letu 😅
Mambo ya siri yapii😂😂😂
Kweli kabsa ,vitu vingne n vya chumban why vimeletwa sebuleni
Antifisho/atifisho
Freddy ni yumbu tu.
Msionyeshe laivu mbona yanga hawonyeshi mazoezi yao live
Kazi ipo😢
Fuatlia utawaon acha uxhamba
Freddy hamna kitu
Simba SC wamejaa wababaishaji , ndio waliosaidia yanga kuwa mabingwa hata msemaji amechangia kulisha matango pori washabiki
Simba mmetukatisha tamaa sana mashabiki msimu huu
Inakuwaje mpoteze mchezo halliya kuwa Kagera sugar alitoka Dar kuja Bukoba kwa Gari wakati Simba walikuja kwa ndege nani alistahili kuwa amechoka??
Gharama kuubwaa matokeo mabayaaa
wachezaji watu kufunga magoli nibahat saana sio kama wazetu yanga unaona kabisa kunakitu wametumwa
Ujinga tu lichazaji umeliona linashindwa kufunga kwani kufanya sub mapema onaona Nini?Acheni vioja vyenu mnatumakixia MB Bure mnahojiana Ili iwe nini
Mmemuona fred lkn waliotufelisha pakubwa kina balua 😢 jana mara mbili fred anaomba mpira hawampi
@@bellenoe414sasa kama fred mwenyew akipewa pass hazitendei haki wakina balua wakaona bora wajaribu nawao
By bye CAF Champions league
Unaharisha utoporo
@@zubedaali4155 Machawa na wasojitambua, anayesema ukweli basi anakua Utopolo. Malengo yamebadirika, sasa ni kugombania nafasi ya ya Tatu na Coastal Union
WAONDOKEEEEEE HAO WAWILI HATUWATAKI NDANI YA TIMU.....
tunaomba yule fredy mechi zilizobaki akae2 benchi maan hana ata faida anafinya mpka kipa pia anakosa
Maneno matamu. Lakini ukweli ni kwamba hakuna timu hapo. Yaani unategemea Mzamiru na kina Fredy wakupe ubingwa?
Hii team bana🚮mbona watu wamelalamika sana kuhusu uongozi lakini hamjawahoji Hao viongozi 😢Yani hii ni siasa SC 😂
Maneno matamu. Lakini ukweli ni kwamba hakuna timu hapo. Yaani unategemea Mzamiru na kina Fredy wakupe ubingwa?