𝑯𝑰𝒁𝑩𝑰𝒀𝒀𝑨𝑯 𝑵𝑫𝑨𝑵𝑰 𝒀𝑨 𝑺𝑨𝑳𝑨𝑭𝑰𝒀𝒀𝑨𝑯 ___ 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗔𝗕𝗨𝗟 𝗙𝗔𝗗𝗛𝗜𝗟 𝗤𝗔𝗦𝗦𝗜𝗠 𝗠𝗔𝗙𝗨𝗧𝗔

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 40

  • @HajiDibwa-n2f
    @HajiDibwa-n2f 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allah amuhifadhi sheikh Abdul fadhi Qassimu mafuta Qassimu na akupe mwisho mwema inshaallah

  • @Muislamu
    @Muislamu 6 หลายเดือนก่อน

    Daaah الولاء،والبراء kwa waaumini ??subhannalah

    • @IbnuAlly-wm8il
      @IbnuAlly-wm8il 5 หลายเดือนก่อน

      Mtihan kweli hawa jamaa

  • @masoudabdallah9878
    @masoudabdallah9878 6 หลายเดือนก่อน

    refarii kweny ubora wake

  • @abdurazackhassan1842
    @abdurazackhassan1842 6 หลายเดือนก่อน +2

    Alhamdulillah tunamshukuru Allah Kwa uwepo wako ewe abul fadhili, hakika ni tunu Kwa wenye akili

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

      Amna lolote lile na usalafi feki mmeharibu xana nyi watu hata wanazuoni hawapo upande wwnu huo kujinasibisha na wwma walotangulia matendo yanakataa

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน +3

    Daah Hawa jamaa Allah awaongoze kwenye mstari wa sawa kweli ingekuwa kina shekhe fauwzan wanajeruhi watu hivi huu usalafi usingefika mbali kiukweli Allah katupa mtihani kweli ndani ya ahlsunna wajiita masalafi ilhali usalafi uko mbali na wao na hata wanazuoni wote hawako upande wao kabisa ukisikiliza fatuwa za wanazuoni wakubwa utajuwa hili genge la wahuni tuu.limekuja kupasua safu za ahlsunna

  • @IsmailSanga
    @IsmailSanga 6 หลายเดือนก่อน

    MAWAHABI mmeleta tabu sana kwenye Dini!!

  • @ahmadsaid9137
    @ahmadsaid9137 6 หลายเดือนก่อน +2

    Eee bhana sheikh Kassim mafuta Allaah amuhifadhi huyu mtu ni hazina ya nchi ya tz

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน +1

      Yemwnyew apo alipo anrerd card na wtu wa. Moshi kuwa ni hizzby so salafi kila mtu amtoa mwenzie Allah awaongoze kweli hiko chama cha New salafi hatariiiii kweli😂😂

  • @AthumanShabani-u6k
    @AthumanShabani-u6k 6 หลายเดือนก่อน

    Mwee brather hii mahji sio yako usafi sio wako hii dini ya mungu nyie semeni mpk mkome sisi hatuachi ng'oo wengine tupo mahd Iman wewe uliposoma mahd ulikuwa nani acha taasubi kabirini utakwenda pekee wewe semaaaaaaaa ongeza sauti mwamba kufaulu mbele ya alkah sio dunia fanya kwa ikhilaswi

  • @salumujuma7632
    @salumujuma7632 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yeye kasoma miaka 9 kwa masufi asigombe awaombe watu dua t watoke huko

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

      Amna lolote kjitakasa duniani hali hujui unakoenda kujidanganya tuu,uzuri wanazuoni wenyew hwapo na ninyi kabisa wanachukia tabia za hiko chama chenu cha New safi hapo mafuta mwenyew ashakula red crd na wenziwe kuwa so salafi hizby na yeye ajitutumua wenzie moshi hko hawamuhesabu salafi kila mtu amtoa mwenzie kikundi kina nuksi hiko na balaa tupu vurugu wao kwa wao subuhana llah Allah nijalie nife na msimamo wa sawa nsije nkaingia huko

  • @ahmedabdulwahab5444
    @ahmedabdulwahab5444 6 หลายเดือนก่อน

    Munajinasibisha na salafi ( Maashaba) Tabia zenu na manhaj muna fata uko mbali na salafi ( mashaba)

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 6 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa tumeamini kuwa
    Hichi kikundi
    Ugimgusa kasim umekwisha

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 6 หลายเดือนก่อน +1

    WALLAHI WE NI CHIZI KABISA
    NA WEWE SI UMESOMA TAMTA?
    MARKAZ YA MASUFI?
    NAWEWE NI MTAMTA

  • @Abuusaad-uy5cx
    @Abuusaad-uy5cx 6 หลายเดือนก่อน +1

    NAHISI KUNA KITU KIMEJIFICHA KWENYE HIKI KIKUNDI KINACHOJIITA SALAFI... ALLAH ATUONGOZE

  • @GhalibLindi
    @GhalibLindi 6 หลายเดือนก่อน

    Jee, huku ndio kumuwakilisha.mtume?

  • @oxygrp7393
    @oxygrp7393 6 หลายเดือนก่อน

    Hii ni elimu yenu au ni elimu ya dini ya kiislamu?..
    Acheni kujitukuza

  • @saidabdallah5448
    @saidabdallah5448 6 หลายเดือนก่อน

    Kamaunataka tujekusoma kwako punguza oda.
    Unachukua pesa nyingi tunashinwa hatuna pesa. Weka bere.
    Kuna salafi gani alilipisha ada 1500.000/=

    • @userfirqatunnajiyah
      @userfirqatunnajiyah 6 หลายเดือนก่อน

      Hahahahahahah manen ya kwel ila punguza jazba

  • @khamisiiddi2470
    @khamisiiddi2470 6 หลายเดือนก่อน

    Kwani we ni nani kwenye hii dini mpaka ubague watu na je hayo mamlaka ya kuwabagua waislam wenzako wewe umepewa na nan?

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 6 หลายเดือนก่อน +2

    Uhizbiyya ndan ya salafiyya hakika watu wamekaa kishabiki na sio kutafuta haqq

  • @NASSORMUYUGUMBI
    @NASSORMUYUGUMBI 6 หลายเดือนก่อน +4

    Niwape pole kwa wanaojiita salafi hasa kwa yanayotokea, ninapata mashaka nguvu kubwa inatumika KWENYE kujiita na kujitangazia jina la usalafi kuliko kutekeleza ya MASALAFI ambayo yangewaunganisha nao moja kwa Mona, kwa maana mngeweza kujifananiza nao japo kidogo, ila nje ya hapo ndo hayo yanayotokea, vurugu kila Kona, Sasa mnatoana weyewe kwa wenyewe, kifupi NI vaibu, hamuwezi kwenda hivyo.

    • @azizisulay6005
      @azizisulay6005 6 หลายเดือนก่อน +4

      Kwa comment yako hii, inaonesha ww kabisa ni khurafi, maana watu wa bidaa hawapend kusikiliza daawatu salafy

    • @mashaurimvungi2232
      @mashaurimvungi2232 6 หลายเดือนก่อน +3

      Comment ya Hizb wakisikia hii sauti wanakimbia mbio

    • @NASSORMUYUGUMBI
      @NASSORMUYUGUMBI 6 หลายเดือนก่อน +3

      @@azizisulay6005 Mimi khurafi kweli, Nakushukura San kwa mchango wako ewe mja mwema

    • @IssaSimbilla-hw9ev
      @IssaSimbilla-hw9ev 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hahaha manayake wewe ni hizbi unajifanya mtu mwema ndoomana ndugu yako aliepinda kama wewe yeye ni sufy kakuunga mkono maoni yako 😂 lkn hii manhaji sarafi imejipambanua haiitaji umoja feke pole sana kwa kuumia hivyo haq ndivyo ilivyo

    • @binaamour318
      @binaamour318 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hata matamshi yanakishinda et manhaj sarafi jifunze lafdhwi Kwanza ya kutamka maneno usome ndio uendelee na ushabik w kidini!

  • @HajiDibwa-n2f
    @HajiDibwa-n2f 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allah amuhifadhi sheikh Abdul fadhi Qassimu mafuta Qassimu na akupe mwisho mwema inshaallah

  • @Abuusaad-uy5cx
    @Abuusaad-uy5cx 6 หลายเดือนก่อน

    NAHISI KUNA KITU KIMEJIFICHA KWENYE HIKI KIKUNDI KINACHOJIITA SALAFI... ALLAH ATUONGOZE

    • @KaitaKatema
      @KaitaKatema 6 หลายเดือนก่อน

      Hata mm naanza kuwa namashaka na hawa jamaa