Still listening this 2023.Kiba is simple and very conscious man,very educative songs.what a blessing Tanzanian's have till now. Big love from 🇸🇦🇰🇪🇪🇹 #Mepenzi Yana run dunia was my favourite 🥰
This kind of songs will never fade za sikuizi ndo Zina fade haraka, King of bong always Alikiba, si utuangushie Moja kama hii, Mac muga, mapenzi Yana run dunia. Naipenda bidii yako
nko states still fw this banger kipindi hiki niko A-town nlikua na dem wangu this was our fav🤣💔sjui yuko wapi saiv daah kwel memories bring back memories skuiz wanatuibia tu😢😅
Too true. I can't even tell you what's hot in Uganda right now but back then Chameleon, Radio+Weasel, Bobby Wine, Peter Miles, Bebe Cool, Blu 3 etc were ruling the airwaves.
Jamaaani, mwanangu Ali katika mbali!! Hapa alikuwa bado mdogo maskini. Sasa kakuwa na mabadiliko mengi. Kazana mwanangu na hao mahasidi usuwasikize. Hasidi Hana sababu siku zote.
Mi nakshi nakshi mrembo, uliyowatosa watosa na vigugu Na kuja kwangu ukawapa visugu, ukawaona hawana mpango Nakusema upendi kuniona nalia, upendi kuniona nateseka Na moyo wangu tena kutesa na mi na-relax kwa sasa
Essa música comecei a gostar desde em 2008 até hoje 2024 é uma das melhores músicas que eu gosto de Alikiba velha guarda ❤❤❤❤❤ melhor músico de Tanziana o jovem foi muito persistente até hoje deu o seu melhor 🙌🙌🙌 direitamente de Moçambique 🇲🇿
Nipo bado nakutana jamaa hapa nakuisikia naaikiliza hii nyimbo do anastuka nakusema hio ni nyimbo zamani nakusema kua zamani ndio walijua kuimba nyimbo. Big up 👑
Nakumbuka my childhood kids especially neighbours used to compete nani atashika lyric yote ya New trendig song we used kuandika ukizunguka radio stations zote adi uuandike wote 😂😂😂😂😂😂memories
We used to live in Lamu those days of Cinderella album and i thought Ali kiba was a Kenyan living in either Mombasa or Malindi , i had made my mind ill once visit him 😂 good childhood memories.
First time I had s3x, this played on repeat in the background. She was the love of my life, my world, my universe, the one & only forever ever after. My first breakup literally broke me and I listened to this non-stop, tears down my eyes. 14 years later, I'm listening to this awesome song. I sometimes think of her, wherever she is... Oh, and I've also dated more ladies than I can remember in the last 14 years 🤷♂️ but I still came back 😁
I am rewatching this songs nd bro pple go far, imgn Alikiba listening to his old songs ahahahah i can imgn. If i was this lady i would take advantage alikba seemed so innocent 💕💕💕 Forever Alikiba ❤️❤️
When Kenyans loves a song, they love it wholeheartedly without deeming its origin. This was a big hit in Kenya 🇰🇪. Wakenya mpooo???
Aiseee tupo
Tuko hapa kwa the beat top 10
Tupo
Actually huyu jamaa si angekua Tu Kenyan joo
Walahi nilishi kujua Kiba ni mkenya😄😄😄
From Kenya +254 I just love old school bongo,wakenya mpo this 2024 and still loving it
Pia Mimi hizo ndizo unijenga
Tuko +256 bro
Jaman mm n fan wa huy jamaa lakin cjawah kupata ata like kumi
Ushapata Izo 200 kaweke nazi ule
In 2024, am still playing this hit so loudly... neighbors ain't complaining
How can they 😂😂it's still 🔥🔥
Mad tunes right here
5/11/2024
The rapper wa lit!
Karibu achome kiba ..hahaha!
kama bado unacheki ee wimbo laick👇👇👇👇👇hapo chini 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪kenya uya
2020 mko wapi, gonga like kama unakumbuka zamani kama mimi
Tuko apa
King kibaaa uliuwaa mzee mpak nw unauwa
Mkenya kutoka doha
@@gitaudao kumbe neighbour
@@mamiihadija5981 vitalisgitau1@gmail.com tubadilishane number pia mawazo shukran
sitahau majirani walivunja kioo cha jirisha langu kwa jiwe ili nisikie huu wimbo! 2019 bado super 🔥
🤣🤣🤣Kali.
Ha ha haaaaaaaaa
😂😂😂😂mosha utusamehe bure kumbe ujasahau
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Duh! noma sana😂😂
Wenye wanaskiza 2021 walete likes hapa.....the feeling in this songs was mutual..... So sweet
Still listening this 2023.Kiba is simple and very conscious man,very educative songs.what a blessing Tanzanian's have till now. Big love from 🇸🇦🇰🇪🇪🇹 #Mepenzi Yana run dunia was my favourite 🥰
Listening to this jam right now
2023 na bado wakenya tupo
@@traceymwangangi8958 Typo😀😀
Listenin to this right now
QqqQ
2021 still a big tune kama hauna roho ngumu nipe like za alikiba🔥💯🔥
💓💓💓💓
@@hannahwanjiku5982 ffffcçvZ
Aki nyimbo za kitambo tamu🇰🇪 who is here 2019 October
👇👇
Umeona ee ndo nyimbo bwana
kweli
nko hapa
2019 still hitting
Good old songs
2020 vibe kama lile lile like hapo
Kama unaendelea kuangalia hii ngoma 2020 gonga like hapa
Tupo
tupo
Tupo
Father of Africa we love
@@Sewy-sy8sm tupo
This kind of songs will never fade za sikuizi ndo Zina fade haraka, King of bong always Alikiba, si utuangushie Moja kama hii, Mac muga, mapenzi Yana run dunia. Naipenda bidii yako
I am Ugandan but I have loved this song since childhood around 10yrs now I'm 29 and still love it.❤
What! This song is more than 19 years old! Damn!
And am now 27 but still rocking it
I'm Burundian ❤ alikiba
Wale wanaosikiza 2020 like zenu
Niko Apa Dubai
Amina Ali...mm job saudia Arabia...napenda sana ino nyimbo 🤣🤣🤣
Tyuuupo team kiba hapaa
Bonge la song na haliwez kuchuja kwamwe
Tuko hapa tunasikiza tukiwa Nairobi Kenya
Bado tuko hapa in 2020, kanda like if you're here as well
Tuko mazee
We are here oooh👌👌
Pomoja
2019 mko wapi??
Tupia like tuondoke
Tupo 2019
@@zazaissa6799 tushazeeka
Tupo mzee
Tumezeeka
Tupo wengi sana
Still listening this in 2022 from the UK - This song brings back tonnes of memories! What a time…! Legend 🙌
Also me denmark
Legend...naskia sahii
I still listen to this in Australia. Reminding me of those days
nko states still fw this banger
kipindi hiki niko A-town nlikua na dem wangu this was our fav🤣💔sjui yuko wapi saiv daah kwel memories bring back memories
skuiz wanatuibia tu😢😅
Beautiful Song hit
At a diamond alikua anakupa salute enz zileee mm apo npo kadogo
Here in Kenya we only recognize one king in the East; king Kiba. FYI it's 2019 and the song is still 💥💥💥
Man make it loud they cant hear haha
Waambiye Juma, sisi hapa twamtambua King Kiba, 2019
hupendi kuniona nalia hahaha hatar san
True
Boy talk for yourself,,
Who’s watching this November 2024 ❤
Tuko hapa
Kama umeisikiliza 2020 gonga like 👉
Tupo 2020
@@chalemapualukanga2342 tupo mm pia naipenda sana uu wimbo
Dah na kumbuka mbali sana watanzania wenzangu
Ok
Tupo
Daaaah kila k2 naa wakatii wakeee onaa surualii yaaa babualii kipind ikoo km umekubal gong like
Back then East Africa was like one country,,Kenya,Tanzania and Uganda's songs were crossing borders..life was good
Life is still good.
But since the coming of the likes of diamond hata hatuelewi mziki ni nini
@@maswidancan1206 your right, skuizi akuna bongo, bongo ni zile za kitambo
Too true. I can't even tell you what's hot in Uganda right now but back then Chameleon, Radio+Weasel, Bobby Wine, Peter Miles, Bebe Cool, Blu 3 etc were ruling the airwaves.
Takeu
Kama unaamini huu wimbo hata mjukuu wako atakuja kupenda na kucheza gonga LIKE
Alkiba is a hundsome man and sing good song
Alikiba do you know that you are handsome?
@@nasimiyujuliet1103 hahaah so funny 😂😂
Wimbo uko vizuri
😂😂😂😂 hata vitukuu pia
Kama ulikuwa unaenda kwa jirani kuwatch hii ngoma gonga 👍
Kipindi hicho diamond alikuwa ni shabiki namb moja wa king
Baraka Omary maisha huchenji
Maxenga
Umesema kwe
Baraka Omary hahahahahahah
😂😂
Kweli alikiba akitoa nyimbo haishi hamu ata ipite miaka 8 bc itakuwa nzur gonga like kma upo pamoja na mm ...twende sawa ba king of bongo fleva 2020
Ako sawa
I remember I was in primary school in Kenya...but I live in kampala for 13 years now and I always play it but people don't understand....
wambie tutawaelewasha
Jamaaani, mwanangu Ali katika mbali!! Hapa alikuwa bado mdogo maskini. Sasa kakuwa na mabadiliko mengi. Kazana mwanangu na hao mahasidi usuwasikize. Hasidi Hana sababu siku zote.
Hii nyimbo imetolewa jana maana bado tamu
chibu akauze pipi
I miss u ali
😁😂😂
Nassor Seif kabisaaa
Ina bamba sana yaaan naikubali sanaaa
till now 2017 bado inabamba hii nyimbo wananiunga mkono wagonge like
Babrash King me too,still my fave naimba word to word 🇰🇪
kweli hi wibo inabamba ali my favorite mucian ilove you
Babrash King
Fbbj
Tena sana
Hatarisana
It was a blessing growing up listening such a music..we used to sing it in secondary
May God always bless Ali Kiba, He's the reason why I feel like relocating to Tanzania....Greatest TZ Musician
2020 kma umerudia kuanglia like kumi znatxha
2020 Like hpa twende sawaa
Ngoma kali xan na pia inanikumbuxha mambo mengi katika maixha yangu me fredy inanifundixha kuwa na subira
King kiba gonga like kama una angalia ngoma kalii 2020
Twende
Sawa
Mbeya city is ma hoooood
Mwanjerwa boy
alkiba fan from Rwanda🇷🇼🇷🇼 gongs like if u still watching this song
Its May 2022 and am still listening to this song all way from Uganda. Old is Gold
Nani bado anskiza 2018
Nur Pride mm bado naicheki tare 5/6/2018
Nur Pride 3/8/2018 here i am
Nur Pride here
Naicheki Leo jmn
This time nasikiliza
Kid's born before Ali for real will never understand this hit 🔥
Singeri kwio
Singeri unanini kwio
Mi nakshi nakshi mrembo, uliyowatosa watosa na vigugu
Na kuja kwangu ukawapa visugu, ukawaona hawana mpango
Nakusema upendi kuniona nalia, upendi kuniona nateseka
Na moyo wangu tena kutesa na mi na-relax kwa sasa
A.4realy
Essa música comecei a gostar desde em 2008 até hoje 2024 é uma das melhores músicas que eu gosto de Alikiba velha guarda ❤❤❤❤❤ melhor músico de Tanziana o jovem foi muito persistente até hoje deu o seu melhor 🙌🙌🙌 direitamente de Moçambique 🇲🇿
Me nimekuja leo 2024 ebu tujuane tulikuja 2024 naaza kuisabu nataka like 20
p
Tupo ✌🏾
🎉🎉🎉
Tupo
Ila harmonize 😂
Nipo bado nakutana jamaa hapa nakuisikia naaikiliza hii nyimbo do anastuka nakusema hio ni nyimbo zamani nakusema kua zamani ndio walijua kuimba nyimbo. Big up 👑
wakati huo diamond hata brush ajui kupiga hahahahaaa kiba for really ww ndio king na ukweli utabaki hivyo yaani we love you keep it up
NINA MUSHI 😅😅😅😅😅
NINA MUSHI àq
😍😍😍😍😍
I am not Diamond fan but wakati huo alikua.....
Back in the days when Tz Yote Ilikuwa Moja Kwenye Burudani but now Ni 2 Teams, Kiba and Mondi and newly emerging team Konde
Hepi pipo 2021 march lets make history gonga laik 💪
It was a hit those days! Ooooh! It really touched many people and was my best song and still best....#Kenya....magharibi Bungoma
Kama unaskiliza nakshi naksh 2019 gonga like.
Noooma
@@anthonyclavery6220 kama law nashk inatixh xn
@@anthonyclavery6220 naipenda mno nashi
Kwekwivala
Pk
Like za 2020 still nasikiliza kazi
Mmi pia
Me too
I've loved this song for years!,,Kenyans we love you King Kiba❤
Nakumbuka my childhood kids especially neighbours used to compete nani atashika lyric yote ya New trendig song we used kuandika ukizunguka radio stations zote adi uuandike wote 😂😂😂😂😂😂memories
Kama unasikiliza hii ngoma kipindi hiki cha Corona, gonga like twende
2018 and i made it beiby...Terrific, cant wait to listen to this jam again @ 2019.
like this if the feeling is mutual
Walio rudi hapa mwaka 2023 wapi like❤
Daaaa ngoma kali aseeee kama waikubali gonga like tupite ivi
Ndio mziki ulio tulia nasikilinza leo nipo Senegal 🇸🇳 ni Tanzania 🇹🇿 ♥
I'wish to meet alikiba some day.. I love his songs. Very very focused and disciplined.
August 2018 bado inambamba gonga hapa twende tukiendanga🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒🏃🏃🏃🏃🏃🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏍🏍🏍🏍🏍🏍
Nimekumbuka 2007/namalza Form4
2007 woow 👌👌👌
Kabisa hapo sawa
@Matayo Senga wooow
the king himsefl... ngoma bdo ni motoooo gonga like
ataimba nyimbo zote ndani ya kichwa chake lakini hii level nyingine
2022 anyone?
Gonga LIKE kama bado unaikubali hii ngoma! 🔥👐
We used to live in Lamu those days of Cinderella album and i thought Ali kiba was a Kenyan living in either Mombasa or Malindi , i had made my mind ill once visit him 😂 good childhood memories.
Getting tuned in from Las Vegas. Na miss nyumbani kabisa can't wait to be back to Kenya soon
aureen zaka ludi home
Tuko wengi
Hii siyo kwenu kenya ni Tanzanian music 🇹🇿❤🇹🇿🤴🤴⭐⭐
Hii ngoma naipenda sana King kiba siwezi kuacha kumshabikia hata siku moja ni bora nife.
Unasemaaaaaaaaaaa
Tanzania nzima kiba ndowakwanza muono wangu wengini wanafanya vizuli ila kiba ni mwarimu
Wimbo 1 bora uliowahi fanywa na alikiba. Ataimba nyimbo zote but this one is konkiii💥💥💥💥
Who's still here in Dec 2024 ??? 16yrs ago n we're still alive Thanks be to God
Tujuane woote team kiba gonga like yako tukujuwe 2019
Who is watching 2020? Gonga like
Hassan Dre
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 mbona univunje mbavu
alikiba hua aniangushi ktk kazi zake naicheki hii song Leo 01/07/2018 balaa
Maximilian Kuharibu nime kujoin 11/8/2018
😀😀😀😀💖💖💖💖
Hahaha
The alikiba we all want back.....even diamond can't keep up with this type of alikiba
Aipit siku bila kuskia huu wimbo jaman kiba popote ulipo unajua kaka yangu.... huu ndomzik mzur ❤❤❤❤❤💯
King Alikiba's song has no expiry date it will be hit generation comes generation goes God bless him for his harswork
I love Alikiba.He is a quintessential in what he does 🥺😭😭😭❤️❤️❤️❤️
quintessential really?
But hakeem was more handsome than kiba
@@edwinmuuo9397 btw where is Hakeem today......he is cute too🥰
@@ruthwanjohi6926 the guy is my cousin😊😊...he currently stays in Rwanda..business and all that
@@edwinmuuo9397 wow that's great.Wishing him well n u too🙏
This song was my introduction to bongo, when I still lived at home and life was ooh so good....
Such lovely memories!!
I started watching bongo in 2003.akina TID na proff Jay Akina ray c and the rest. 😊
2023 and this still slaps harder than Will Smith 😅
King Kiba 👑
Umeumiza umu broooo mpak iv sasa naklne zote zjazo akuna mzk kama naksh naksh mrembo 🔥🔥🔥🔥mm kweli nmetumia moyo mawazoooo yamenizonga😁 kaka Qaliiii👊🤝✍️💯🤝🙏
2023 still namsikiliza kamkubwa hana baya sema sikuhizi anazingua sijui ndo utuuzima ila ndo my favorite 🇹🇿 best in east
This song reminds me the dem days...gonga like kama unakumbuka hii song🤗
kama unasikiliza nakshi nakshi 2019 gonga like hapa
Ngoma iko poaa saana haiishi hamu
@@umishaakiro2685 hii ngoma kali sana alikiba for real
First time I had s3x, this played on repeat in the background. She was the love of my life, my world, my universe, the one & only forever ever after. My first breakup literally broke me and I listened to this non-stop, tears down my eyes. 14 years later, I'm listening to this awesome song. I sometimes think of her, wherever she is... Oh, and I've also dated more ladies than I can remember in the last 14 years 🤷♂️ but I still came back 😁
😀😀😀🙌🙌🙌
Find her where is she?🥲
Umenimaliza🤣🤣
Lmaoo 💀 💀 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂👏👏👏
Nyimbo bora toka kwa Mfalme....!!! Nakumbuka mbali sana nikisikiliza
Dah neema marehem nakukumbuka sana mtubwangu mungu akulaze pema peponi.....
who still listening to this 2018
#2018 can't stop listening 🎵
Me
me
Michael king
Not 2018 me adi leo 2019
Wenye mlizaliwa enzi zao wapi likes za malegends🔥🔥🔥🔥🔥
I grew up knowing Ali Kiba is a Kenyan residing in Mombasa...This song brings old beautiful memories in High School 😂... Nairobi Kenya 🇰🇪
Kama bado unagalia nyimbo hii gonga likes za Ali k
I remembered this in 2008 you did justice to music ooooh Nash Nash murembo so I I still here today cheze wimbo ya vitendo tuuuu.
one of my favorite songs when i was a young boy.. to date i still love alikiba's music
Kama bado unaisikiliza ii ngoma mwisho wa mwaka 2019 gonga like apa
2020 nani wako apa?
kipindi hiko diamond bado ananyonya hahaaaaa King kiba!!!
Joseph Kadudu 😂😂😂😂kweli Broo
Joseph Kadudu alafu ikawaje
Joseph Kadudu😂😂😂😂😂😂
hahaha kweli kabisa
Joseph Kadudu 😂😂😂😂
this song hits differently each day...reminds me of my first love back in 2010
16th august 2023 and still listening to this piece of music from the elephant himself.. Simba kando..!!! 254 tupoooo
Old is really gold 🇰🇪
Mkenya yule Yule kabisa,,,proud Kenyans...100%
True
2019 na bado ni 💥💥 like kama unaiangalia now
Pray Tz mwamba ametililika mpaka dakk5 skuhz hamn
Still luv this song love u from somalia 😍😘
Same😔
Horte mafahmeysa
Shukri Bashir chunga usilipuke
Bbbut I pppp CCC llppp
Still need you baby
I am rewatching this songs nd bro pple go far, imgn Alikiba listening to his old songs ahahahah i can imgn.
If i was this lady i would take advantage alikba seemed so innocent 💕💕💕
Forever Alikiba ❤️❤️
I am here searching for 12 yrs ago comments...hii ngoma inanikumbusha 2008 nikiwa class 6😊😊😊😊
Me nilikuwa class 8
Still listening 2020 gonga like tujuane👍