Kaimati Rahisi sana na Nzuri Mnoo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Unga Vikombe 3
    sukari vijiko 5 vya chakula
    chumvi 1/2kijiko cha chai
    iliki 1kijiko cha chai
    hamira 1/2 kijiko cha chakula
    baking Powder 1 kijiko cha chai
    maziwa mgando vijiko 5 chakula
    mafuta ya kupikia vijiko 4 chakula
    maji vikombe 2 ( unaweza ongeza 1/2 isipotosha)

ความคิดเห็น • 24

  • @marystephen1183
    @marystephen1183 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimerudi kukushukuru dear, kwa mara ya kwanza na nimepika nzuri na tam sana❤

    • @malkiafoods
      @malkiafoods  4 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana love

  • @AgnesMarima-gn8xo
    @AgnesMarima-gn8xo 9 หลายเดือนก่อน +3

    Hizi alie sema wachaga hatujui kupika amesha ingia kwa page yako kweli 😂😂😋😋😋

  • @neemamatemba423
    @neemamatemba423 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana dear

  • @FurahaMunyi
    @FurahaMunyi 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤ ubarikiwe

  • @EdnaMuro-tx8os
    @EdnaMuro-tx8os หลายเดือนก่อน

    Zikiwa jikon iliniwe na uhakika kma zimeiva zkae dk ngap kwa kukadria 🙏

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 9 หลายเดือนก่อน

    Yummy 😋

  • @ClementinaMushi-jy1pp
    @ClementinaMushi-jy1pp 9 หลายเดือนก่อน

    Love you sisy❤

  • @deboradavid7833
    @deboradavid7833 9 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @cookingwithmimmo
    @cookingwithmimmo 9 หลายเดือนก่อน

    Mapishi ni mazuri sana

  • @grettakezimana5348
    @grettakezimana5348 9 หลายเดือนก่อน

    Thank you

  • @GudillaMarandu-pq8is
    @GudillaMarandu-pq8is หลายเดือนก่อน

    Kama sina maziwa mgando mbadala ni nini

  • @SaraaSaraa-i1j
    @SaraaSaraa-i1j 8 หลายเดือนก่อน

    Imeenda

  • @a.856
    @a.856 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante

  • @itika3532
    @itika3532 6 หลายเดือนก่อน

    Unga kwa vipimo ni kiasi gani

  • @bhokeeliza5170
    @bhokeeliza5170 9 หลายเดือนก่อน

    maji ulokandia ni baridi ama vuguvugu?

  • @IbrahimHamza-lm5vm
    @IbrahimHamza-lm5vm 9 หลายเดือนก่อน

    Haifunguk mbn 😢

    • @malkiafoods
      @malkiafoods  9 หลายเดือนก่อน

      Mbna iko hewani?

  • @marystephen1183
    @marystephen1183 9 หลายเดือนก่อน

    Mafuta uliyokandia ni ya moto au baridi au yoyote tu

  • @aminamarika7601
    @aminamarika7601 8 หลายเดือนก่อน

    Unga vikombe vitatu ndo kiasi gan madame

    • @malkiafoods
      @malkiafoods  8 หลายเดือนก่อน

      Nunua vikombe vya kupimia