KALIMATI | Jinsi ya Kupika KAIMATI Tamu ZISIZONYONYA MAFUTA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Kalimati | Kaimati. jinsi ya kupika kalimati Tamu zisizonyonya mafuta. mahitaji yake Ni Rahisi kwa kila familia.
    MAHITAJI;
    unga wa ngano (robo kilo)
    sukari (Kijiko 1 cha chakula)
    hamira (nusu Kijiko cha chakula)
    baking powder (nusu Kijiko cha chai)
    Chumvi (nusu Kijiko cha chai)
    MAZIWA ya unga (vijiko 2 vya chakula)
    vanilla (Kijiko 1 cha chai)
    mafuta ya kupikia (vijiko 2 vya chakula)
    maji ya vuguvugu (280-300ml)
    sukari (robo kilo kwa ajili ya shira)
    maji (130ml ya shira)
    limao (Kijiko cha chakula kwa ajili ya shira)
    #kalimati #kaimati #kalmati #jinsiyakupikakalimatitamu #belsfarmkitchenswahili
    #jinsiyakupikakalimatizisizonyonyamafuta

ความคิดเห็น • 6