Ruto must be answerable for these crimes not outside of Kenya but in Kenya. This time hata hepa wakenya , Ruto will not escape , Yale amefanyia wakenya lazima naye pia ayafanyiwe hapa hapa kenya
Even government can't provide a better mechanism the people are using there own means yet they want taks us for nothing even helicopter they can't bring to easen the process
From the time the government aproved homosexuality in Kenya, a nation called by The name of The Lord, see what has happened. 😢😢😢.. The Lord is judging us through the poor leadership of this nation. Please, let us return to God. Hosea 6:1.
Nani aliwauwa? Kama kuna MTU yeyote aliye na habari kuhusu mauaji hayo kama ni kweli, pehana habari Kwa polisi, otherwise siamini kwamba polisi wangewesa kufanya haya.
Man, this is unreal … First of all the bodies. Secondly, the totally unprofessional collection of the bodies whereby forensic evidence could be lost. thirdly, are we sure this is a democratic country where these things take place. And not some banana republic.
Hii ndio shida ya viongozi wengi wa kiafrika,Unapochaguliwa kuwa rais jua kuwa watu walikuamini sana.Ila hawa hawa waliokuchagua wakikukataa jua kuwa kuna sehemu umewakosea. Kwahiyo pale unapowakosea kubali kosa lako na kama wametaka uondoke maana yake wameshajiridhisha kuwa huwezi tena kuwa msaada kwao,bali ni adui wa wananchi. Ningemnahisi Rais Ruto aachie madaraka apishe chagua jipya la kenya na yeye apumzike kinyume na hapo tutashuhudia mauwaji makubwa zaidi kuwahi kutokea na kusababisha ugomvi kusambaa zaidi.
Nobody is paying our youth for doing this only doing for the love they av for us
God wil reward them
God thankyou for the love we have us Kenyans thankyou Kenyans
Truly Uhuru knew what he was telling us
mostly kikuyus ndo mlivote ruto nkt!
This aches my heart...
😢😢😢😢Allah helps us 🇰🇪 so sad and painful 😊
Can these boys be paid for this service 😢😢😢😢
Silly questions why don't you tell your pastor ruto to pay them?Ati nchi ya maombi 😂.. nikiona mkikuyu i see a fool 😂
@@antibiotic7238kwani Ruto alipita juu ya wakikuyu tupu.funga hiyo mdomo wako.
Tribalistic, huna tofauti na wao@@antibiotic7238
Hiyo ndio bottom up
Ruto must be answerable for these crimes not outside of Kenya but in Kenya. This time hata hepa wakenya , Ruto will not escape , Yale amefanyia wakenya lazima naye pia ayafanyiwe hapa hapa kenya
Is Ruto watching this? Ruto, God is watching you 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 this i painful
So painful 😭😭😭😭😭
Mtu alikuwa anaulia watu athi kanisani 2007 ...mungu y si uanze na yy ama watoto wake pia afeel😢😢😢
Kwani hamukuona news mwenye alikua anauwa hawa watu
Kwani hamukuona news mwenye alikua anauwa hawa watu
Very sad to see those kenyan tax payers to police salary & brutally killed by police.
I'm speechless Kenyan what next dear kenya😮
This is so tearing 😢😢😢😢, may God help us 😭😭😭😭
😢😢my heart is troubled😢😢this is inhuman and action must be taken😢
Very sad to lost our beloved ones then wanapatikana ety ni maiti in Kenya😊😊😊
Soo sad to see this
Ruto decided to rule kenya like Museveni God is watching you Ruto and your family
Mbu like museveni
😢dear lord have mercy on us
😭😭😭😭😭😭very sad mungu saidia wakenya
😢😢😢😢😢😭😭😭😭💔💔am speechless
But why 😢
God have mercy on earth 😢
My heart is bleeding seeing this. 😭😭. God intervine
God have mercy upon us 😭😭🙏🙏
It is good for Ruto to resign ama atolewe kinguvu.
Hi kenya yetu inaelekea wpi very sad
Naonelea kwamba hii inci ianze a fresh just Kama yenye imetolewa kwa mkoloni...
Yes indeed
Sory kwani sibinadamuhuyo au sio
God hv mercy on our young generation 😢😢😢
Camera lady why shaking we don't see clearly 😢😢😢
So sad😢😢
where are the kenya navy watatue hizi
Sasa surely hao wa mabunduki wanarinda nini hpo?
So sad wallai
Sad
Jesus have mercy for us so painful for the family
Do not be anxious sbout Ruto he can be blackmailed by his fellow opposition members please lets watch out fir everything we see and dnt Judge
Extremely sadddd.
Camera man not clearly
😭😭😭😭
May God have mercy upon us
uyo camera man nae ni mshamba ata ajui kuchukua video
Its so painful na I hope hawa ni watu waliuliwa kwa maandamano
Manze hii ni serious wakenya zakayo home.
Uko na evidence ya police wakitupa watu hapo
We ni mbwa @@kiplangatngeno7209
Aki siamini
Police brutality has to end
What proof do you have for that in this case?
😭😭😭😭😭😭😭😭
Hawa ni watoto wa watu mama za watu na baba za watu😢😢😢
Hki person inatakikana alipwe, juu Red cross na NYS should help in this even polisi wameshindwa
God have mercy. 😢😢
Yuko na Ruto hapa kenya , this time hataweza toroka . Ruto must be punished for his crimes against humanity apa Kenya . Round hii , hatoroki
Maajabu sana war hii dunia ni mbaya
Inauma sana cpat picha
Alafu wanasema aty Collins jumaishi na ni police pamoja na Collins
Aky this is soo sad
Alafu unasikia kenya wako na Navy ??? Navy mamangu
Even government can't provide a better mechanism the people are using there own means yet they want taks us for nothing even helicopter they can't bring to easen the process
Malipo nihapa hapa not mbinguni😢😢😢😢
WANAWAUA WATU KAMA WANYANMA😢😢😢
Wah kenya saa hii nikama movie. Real life movie😢
Misleading headings
Alafu mnatuingiza box eti hamjui ii story ya kware maubwa
That place is 2nd Shako hola corrupt Gov Ruto must go home with his Gov
No one carrying blood on his head should be President of Kenya ,
Ruto siku yako iko karibu , utauwawa vile umeuwa Hawa vijana .
From shakahola road accident flood
Sasa apo mambo ndio imechemka natena serekali wameichemsha tena sasa. Sijuwi itakuwa vipi noma ju ya noma
Have we lost the essence of sanctity of life?
Surely wapi red cross?
Kwani this country cant send a choper and some hooks.
Where is the Army and the disaster management team
This guys are well equiped to retrieve the bodies ...yaani they're somewhere in Embakasi baracks just watching kwa news
😢😢
This a police work not for youth
So sad
Ruto must go 16 tuko Kwa rodi ruto home not only home but must pay
Zakayo kushuka ni hard
What a sad nation
Yaani gava haiwezi toa chopper kuteremsha
Aki😢😢😢
So sad 😢😢
Ooo my God
Roubd hii hatupeleke Ruto ICC international criminal court tuta deal naye hapa kenya , hatoroki this time
Am saying this to person who did this may you not have peace in your life.
Mwenye unasema Rutto ende ukadinye mamako shetani hiii
extra judicial killings he said no more na hii n gani
This is so sad 😢
Aki hii inauma sanaaa
From the time the government aproved homosexuality in Kenya, a nation called by The name of The Lord, see what has happened. 😢😢😢.. The Lord is judging us through the poor leadership of this nation. Please, let us return to God. Hosea 6:1.
🤦♀️🤦♀️homosexuality na kuuwawa,can you be serious for once
Nani aliwauwa? Kama kuna MTU yeyote aliye na habari kuhusu mauaji hayo kama ni
kweli, pehana habari Kwa polisi, otherwise siamini kwamba polisi wangewesa kufanya haya.
Na hiyo mili inachupwa sangapi uko kwani hakuna ulinzi kama kila siku inaongezeka hina toka wapi na inapita vipi mpaka uko kunako chupiwa, kuna nn.
Ruto atauwawa vile aliuwa Hawa vijana , siku ya mwizi ni 40 . Hamalize this term
Dont come people in kongo. Out Museveni end kagame
Sasa camera 🎥 Ina shake y?
😢pia me nashindwa mbona
Mwenye ameishikilia ni mwoga😂😂
Hizo mili zikitolewa kwa gunia mbona hatuonehwi vizuri, jamani kuna mambo yamejificha hila sawa tu ukweli utajulikana pia.
Kwani wakenya musipoi kuwa makini rutoo ataa wauwaa wote abaki mwenyewe na mkewe na watoto
Kwan ruto ndiye aliwaua?
Aky pole kwa family
Simama mwenyewe BWANA
Man, this is unreal …
First of all the bodies.
Secondly, the totally unprofessional collection of the bodies whereby forensic evidence could be lost.
thirdly, are we sure this is a democratic country where these things take place. And not some banana republic.
Kwenda uku ata, think twice mwili zingine ata zimeoza sana I kumaanisha ata ni za kitambo sana, waja and joja za bure.
you guys now vote well 2027
Can the camera man have a stable hand. Lets blame Ruto for everything even poor whether
Hii ndio shida ya viongozi wengi wa kiafrika,Unapochaguliwa kuwa rais jua kuwa watu walikuamini sana.Ila hawa hawa waliokuchagua wakikukataa jua kuwa kuna sehemu umewakosea. Kwahiyo pale unapowakosea kubali kosa lako na kama wametaka uondoke maana yake wameshajiridhisha kuwa huwezi tena kuwa msaada kwao,bali ni adui wa wananchi. Ningemnahisi Rais Ruto aachie madaraka apishe chagua jipya la kenya na yeye apumzike kinyume na hapo tutashuhudia mauwaji makubwa zaidi kuwahi kutokea na kusababisha ugomvi kusambaa zaidi.
Eti askari anajua mkenya mwezake huu n unyama na lazima GEN zs tukomeshe
Dunia umejaa giza jameni.
Kanabo ni nini joh😂