jamn kumbee!! hii Hali ya kujisemesha mwenyew ina nguvu Sanaa,,, mfano Kuna Rafik angu kabla hajapata ujauzito alikua anajiwazia siku akipata mimba apate mtoto wa kiume na ajifungue kwa operation na ndicho alipopata ujauzito alichokua anakiwaza ndicho kimetokea,,,
Haya maneno nimewahi kuyasikia mahali lakin sikuweka imani kama ni kweli yanaweza yakaleta matokeo chanya kwenye maisha yangu ila leo nmejifunza zaidi na ninaanza kuyafanyia kazi. Nice work bro Joel💪
Nashukuru sana kaka somo lako hua kilasiku linanipa ujasiri sana kila kukicha,, nilikua mtu mpumbavu sana kwa kupelekeshwa namtu mwengine ila maneno yako yalinisaidia sana kujikomboa kwenye hilo janga alhamdulillah
I'm the CEO of my life, kweli kabisa joel shukran kwa mafunzo yako yananipa motisha ya maisha, mungu akuzidishie hekima na marifa uendele kutuelimisha.
Mafundisho ya Abdul kalam sir
1) i'm the best
2) i'm a winner
3)god always with me
4)i can do it
5)today is my day
jamn kumbee!! hii Hali ya kujisemesha mwenyew ina nguvu Sanaa,,, mfano Kuna Rafik angu kabla hajapata ujauzito alikua anajiwazia siku akipata mimba apate mtoto wa kiume na ajifungue kwa operation na ndicho alipopata ujauzito alichokua anakiwaza ndicho kimetokea,,,
Asante sana nimejifunza kwamba maisha yangu niwajibu wangu mwenywe
Am CEO of My, life hii nimeipenda
Nin auhakika kwamba utazidi kubarikiwa kwasababu maarifa yako naujuzi wako ni faida Kwa watu wa mungu piya haubagui! Amani kwako piya uishi
Asante sana kaka Joel,naanza Leo,I'm a CEO of my life!barikiwa.
Shukrani 📚📚📖📚📚 🎙️
Thanks bro daaaaah elim yak n zaid y vitu vya thaman nakukubal san zaid y san mungu azid kukuongoza bro
Amen mimi nibora kwa kazi yangu na maisha yangu👏👏 na mimi pia
Mm ni mkurugenzi wa maisha yangu,, --yaani nimelipokea neno hili zaidi ya ulivyoeleza mkuu
Mara ya kwanza nilikusikia ukifanya interview cloudsfm mwaka juzi....wewe ni genius sana bro una inspire watu wengi sana..#God bless
Haya maneno nimewahi kuyasikia mahali lakin sikuweka imani kama ni kweli yanaweza yakaleta matokeo chanya kwenye maisha yangu ila leo nmejifunza zaidi na ninaanza kuyafanyia kazi. Nice work bro Joel💪
Iko siku nitakua na mafanikio..
Nashukuru sana kaka somo lako hua kilasiku linanipa ujasiri sana kila kukicha,, nilikua mtu mpumbavu sana kwa kupelekeshwa namtu mwengine ila maneno yako yalinisaidia sana kujikomboa kwenye hilo janga alhamdulillah
I real appreciate You my brother, my mentor i am still learning from. I just planning to meet with but i know there is a day
Inakuaje mtu ukiwaza kufeli hicho kitu unafaulu na ukiwaza kufaulu unajikuta umefeli hiyo inatokeaje
Bro unaweza kunasehemu umenitoa mungu akubariki
Ila Mr umetoa mbali sana
Mwl naomba fundishia ubaoni kama zamani
I am creative
I am beautiful
I am rich
I am free
Ila Mr umenitoa mbali sana
Asante sana somo zuri sana Mimi nimshindi Ck zote
Yes am the best
Ahsante kwa malifaa🙏
Wangu nimebadilika sana sasa mimi sio yule wa za zamani tena
sarout kaka!
I'm the CEO of my life, kweli kabisa joel shukran kwa mafunzo yako yananipa motisha ya maisha, mungu akuzidishie hekima na marifa uendele kutuelimisha.
Hata mm pia yananisaidia mnoo
Kaka Ahsante naanza kufanyia kazi nione matokeo yake
My bro.mungu azd kukupa nguvu amen
Thanx broo kwa kweli unazidi kutupa elimu bora kuliko hata ile ya darasani m/mungu akubariki sana na awe pamoja nawe kwa kila ulifanyalo hapa duniani
Kunawakati najihisi vibaya tu japo kuwa cumwi hii inatokan na nn?
Hellow kaka mungu akupeuzima na afya njema ndo jambola kwanza upomakini na kaziyako nimejifunza kuboresha kazi amina
Ondoa mlio wa muziki tukusikie vizuri
Asante sana mwalimu mzuri
Wewe ni mwalimu wa walimu
Hiii noma bro. thanks
No 4&5
Nashukuru sana kaka joel kwakunifungua macho
Shukran kaka imenufundisha kitu kinzuri sana
Upo vizur teacher
Hakika
Napenda Sana na ni mdau Mkubwa wa TV yako,
Nimekuelewa vizuri bro Joel hakika umetutoa kizani watanzania usichoke tukopa1 na wwe Allah abariki kaz yko.
Safi sana, kwakwel Mimi nimkurugenzi wa maisha yangu mwenyewe
Asante sana kwa mafunzo mazuri kaka Joel, Mungu azidi kukutunza maana unaandaa kizazi chenye ujasiri ambacho kitaishangaza dunia!!!
Mim nimkurugenzi wa maisha yangu.
Asante sana kaka hakuna nashindwa
Kaka shikamoo mimi leo nimeongeza Pont 4,5 nilikuwa sina izo asate sana nakika nitakuwa bora sana badaye mimi
Kwel kabsa Kaka Mm n mkurugenzi wa maisha yangu
Sauti ipo chini bra.
Positive Internal conversation is the best
Asante sana kaka angu
Asante sana . Somo nzuri sana Mr "I am the CEO of my own life ."
Nimeelimaka Sana. Kuanzia niliposikia SoMo hili. Mm nibora
Asante kaka
Somo nzuri asante sana
Nitayaandika na kuanza kuyatumia now
Ahsante sana
MUNGU akutunze yaani
Mimi sikati tamaa ya maisha
Aiseee mimi yooote nataka kuyasema na Kuyatumia!!!!
Be blessed bro
I am the best 👌🏼
I am responsible for my joy
Iam responsible with my own joy
Kaka nimeelewa ila naomba iyo saut y mzik ipunguzwe
I never give up 💪🏽
Kwa kweli haya maneno huwa najiambia kila siku... MIMI NITAFANIKIWA TU.. Inshaa Allah
Yote Joel ntanza kutumia
Boss hii clip mbona Aina sauti kabisa??
Upo vizuri ila hiyo miziki background ni makelele 😏
4
I'm CEO of my life
Kwaili kaka umenitianguvu
Shukran xan kaka nimejifunza kitu hapa
Jasiri mwongoza njia
Kwa kweli mimi ni mshindi
Kwakwli kk maneno yako yako na ukweli ndani yko
Safi kabisa.
Yaan uko vzr bro
Ngendakumana Salum Diki hongera kaka kwa mafundisho mazuri
hongera kaka kwa mafundisho mazuri God bless you
Brother shkamooo ,Nina shda na wewe brother naomba namba yako namba yangu ni hii 0620313947