Ruto asema safari ya Marekani ndio sababu ya masaibu yanayoendelea kumwandama

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Rais William Ruto sasa anasema safari yake ya Marekani ndio sababu ya masaibu yanayoendelea kumwandama. Anasema kuna watu ambao hawakufurahia ni kwanini Kenya ilichaguliwa na marekani barani Afrika kwa ziara hiyo huku akisema hatotishika, akishikilia kwamba azma yake ni kubadilisha taifa la Kenya.
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

ความคิดเห็น • 112