Bobo Lydia sijawai ona for huu mkate kutumia mixer.from my experience sijui kma waeza but kma utaeza kujaribu then let me know how it turns out but sisi tunatumia mkono tu as in haupigi sana jsut ten minutes max
Dogo mwapea heeeeh yote ayo yangu? Na adverts nikishatoa iyo heka ya mm kununua bando ili nipost naipatia wapi? Aisee common sense ni tatizo sugu tanzania yetu. Sipynguzi mziki ndio burudani yangu na apo promotiin ya jziii wetu wa zenjy flavour upo dogo? Maeleze ndii hayo kila mtu na upishi wake yani mchele mkoja maoishi tofauti.
Asha Khalid ukijiamini wewe inatosha shogaangu... umeiona sura yangu wapi apo ata au umeona kuna poda lipstick?.labda mikate haijiamini 😂🤣😂 basi jiamini wewe kapike ufuta wako utuoneshe mapyoro.
moo sala hivi nani kakukera leo au umenyimwa cha asubuhi shogaangu maana ata sijui nikuite mwanamke au mwanmme?hehhe kwaiyo ww ni miongoni mwa wale mnaowabeza kinamama....ata mamaako na dadaako ni sawa na mama ntilie maana sote wanawake tunapika tubatofautiana upishi na ndio maana kila hotel wanauza kuku ila tofauti la babu.usimdharau mama ntilie na sawa na kudharau taifa lako. Mama ntilie wanafanya taifa letu linasonge mbele vijana kibao na akina baba kibao tunakula mamantilie ndio waliotukuza na hao kina mama wanalisha na kusomesha familia zao kwa kupitia biashra ya mama ntilieie.Ndugu yangu hujielewi na hujitambui unakotoka wala hujui unapokwenda , nakakumbusha aliekukera sio mm izo stress zako mpelekee mamaako anaejua kupika sana 😂🤣😂. Sisi akina mama ntiloe tunaendelea kukamua na mapishi yetu huou no stress bebi😂🤣😂
Kwa hisani yako tunajua wewe ni nusu mzungu zungumza kiswahili hatutaki lugha hiyo ya one two three mambo gani mnatuletea wewe ni mswahili hata utapike kizungu huto badilika tumia lugha ya taifa lako mkono wako unaonesha wewe sio mzungu.
Napenda sana nilipikiwa mara moja mpaka ss nakumbuka 😂😂
Cute ucweke iko chuma kwenye moto wakat unawek ungaa kwasab hautopanda juuu au kuumukaa , ila umejitahid 😘😘😘
Assalm alakm naomba kuuliz mbon mm nikipika muda wa kuchoma huw unadondoka ukiugeuza kweny jiko unadondoka ???
Mara yakwanza kuona mkate waufuta unatiwa bakingpowder Mashallah kila mmoja na mapish yake
Kumbe hujawah ona jmnii
@@yusraabdulla4947 yes sijawah ona ndio naona sasa me na weka only Yeast😅
@@bintsalimalbimany5340 unawek bc mamy
@@yusraabdulla4947 Ok
Kama ufuta sina 😮
Looking so yummy
Zungumza kiswahili hiyo ni lugha ya walevi zungumza lugha hiyo wakati unapika gongo sio mkate wa ufuta.
Sasa vipimo viko wapi? Wewe huna kazi cheza huo mziki ulioweka funga ati anakohoa anasema sorry.
Nise😘😘👍👍
Safi ni vyema utupe vipimo
Mashallah nimependa sana
Congrats 🔥🔥🔥
Can i use a cake mixer ?
Bobo Lydia sijawai ona for huu mkate kutumia mixer.from my experience sijui kma waeza but kma utaeza kujaribu then let me know how it turns out but sisi tunatumia mkono tu as in haupigi sana jsut ten minutes max
Yes you can ,unaweza mi natumia pia
nice
Kwanini huongei kiswahili tuu kiengereza chenyewe hukijui🤣🤣
Laila Omat non of your business punk
Ni kz et lkn tutajuwa mamb taratibu
Saf san my friend
Jisi yakupika nyama ya kukaa gari
Maelezo yaweke wazi. Mziki punguza sauti. Adverts ziondowe
Dogo mwapea heeeeh yote ayo yangu? Na adverts nikishatoa iyo heka ya mm kununua bando ili nipost naipatia wapi? Aisee common sense ni tatizo sugu tanzania yetu. Sipynguzi mziki ndio burudani yangu na apo promotiin ya jziii wetu wa zenjy flavour upo dogo? Maeleze ndii hayo kila mtu na upishi wake yani mchele mkoja maoishi tofauti.
Ongea lugha moja basi unatuchanganya jmn
Hapanaaaaaa😂🤣🤣😂 SITAWEZAAAAAA kabisaaaaa hiko kitu 🤷🏾♀️🤷🏾♀️🤷🏾♀️
Punguza music basi hatuelewi
KIMEUMANA!
Mbona kama hujiamini hivi
Asha Khalid ukijiamini wewe inatosha shogaangu... umeiona sura yangu wapi apo ata au umeona kuna poda lipstick?.labda mikate haijiamini 😂🤣😂 basi jiamini wewe kapike ufuta wako utuoneshe mapyoro.
mwalimu mkali mbona hapo upo kwa mafunzo usiwe mkali
@@ZanzibarianDoll hahaaaa nimecheka sana haki ya Mungu aaaaa...
@@ZanzibarianDoll shost kupika hujui mikate kama ya mama ntilie iyo chefuu 😲😲😲😲😲😲😲😲😛😛😛😛
moo sala hivi nani kakukera leo au umenyimwa cha asubuhi shogaangu maana ata sijui nikuite mwanamke au mwanmme?hehhe kwaiyo ww ni miongoni mwa wale mnaowabeza kinamama....ata mamaako na dadaako ni sawa na mama ntilie maana sote wanawake tunapika tubatofautiana upishi na ndio maana kila hotel wanauza kuku ila tofauti la babu.usimdharau mama ntilie na sawa na kudharau taifa lako. Mama ntilie wanafanya taifa letu linasonge mbele vijana kibao na akina baba kibao tunakula mamantilie ndio waliotukuza na hao kina mama wanalisha na kusomesha familia zao kwa kupitia biashra ya mama ntilieie.Ndugu yangu hujielewi na hujitambui unakotoka wala hujui unapokwenda , nakakumbusha aliekukera sio mm izo stress zako mpelekee mamaako anaejua kupika sana 😂🤣😂. Sisi akina mama ntiloe tunaendelea kukamua na mapishi yetu huou no stress bebi😂🤣😂
Music stop
KIMEUMANA
Kwa hisani yako tunajua wewe ni nusu mzungu zungumza kiswahili hatutaki lugha hiyo ya one two three mambo gani mnatuletea wewe ni mswahili hata utapike kizungu huto badilika tumia lugha ya taifa lako mkono wako unaonesha wewe sio mzungu.
Kwahisani yako SITAWEZAAAAA.nitafanya ninachojiskoa mimo KWA HISANI YAKO itabidi muzoeeeee kama tupo shule vile 😂😂😂😂
Nimtamuu
Nice