ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Loveness nikuombe kitu mambo ya makeup waachie akina Tina hupendezi ukiwa na makeup wala mawigi aisee 😂😂😂😂😂 ukiwa natural u look so mwaaa walahi ona ka hapo chukuuuaaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shedo yake ya mdomoni ndo imemuharibia
Kweli kabisa love hajapendeza akiweka makeup I say ,akiwa natural ndo hupendeza zaidi❤❤
Happy ukwel
Ni kweli kabisa she is naturally beautiful.anapendeza zaidi akiwa katika asili
Kabisaa
Love akipaka makeup 💄 hapendezi jamaniii na akivaa na wigi ndio kabisa Wangapi wameona hiloo
mm apa
@@PhimoniMwakalili Yani ni mrembo akiwa natural face
Kwel
Tupo apa
Walai kapendeza
Loveness siku nyingine,,,,usipake hiyo rangi nyeupe huko mdomoni tafadhali sana
Sipendi unavyopaka hiyo milipustik unakuwa mbaya love
Loveness inability kusamehe mpenzi wako.iyo meke up aikupendezi kwakweli .jipodowe tu kawaida utapendeza ata usijipodowe unapendezaka tu❤
Lavinese husijiongee mamekapu wewe ni mzuri ukiwa ivoivo wala hata hauitaji hayo mambo huachie tina
Wapi likes za wakenya 🎉🎉🎉🎉
Tupo hapa mutuku
Waoooooo love maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nakuambia hatuchelewi,labda ndege ituache❤❤❤❤❤
watu wa omani njooni mnipe laki atakama ni kumk
Tuma number
Tum no
Lete namba❤
Ni kwel lovennes ni mrembo sana mbal n urembo ni mzur ila mecap Japan mmy hupendez chitoto wetu
Kwa kweli Brown na Nelly nyinyi ni wasaliti kabsa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤,nawaaminia sana , much love from kenya ❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂 naombeni loveness aniambie jinsi yakustopish period
Na moyo mdog,, moy w nyama,,unakuitaj😂😂😂😂 nmechek jmnii
Unajua dada love❤❤❤🎉🎉🎉
Wanaume hahahh kustopisha period hehehee utauwa kizazi buree wanume asilimia 90 hawalizki
Ila wanaume nyie Mungu anawaona
Watu wa tanga naombeni like
Hakuna marafik sku iz ni unafiki tu❤❤
Naombeni like kutoka Tanga Lushoto nawapendaa
niko Bahrain pamoja
Wwew
Tanga lushoto maua 🎉🎉🎉🎉
😂😂😂brown hajawai kua serious ktk mapenzi
Lovesness great job mummy from Kenya
Loveness jaman nakupenda
I love more donta Plus ❤❤❤kaz bandika bandua Hadi Raha aiseee mpewe maua yenuuu 🎉🎉🎉 nawapenda sana ❤️❤️❤️
Kutoka DRC mimi hapa naitwa Mobutu,yani donta nyinyi ni wakali saana,nyote muna juwa saana ku igiza,haswa huyo mrembo Loveness,jamaa yangu na mimi tuna wa sapotiyaga saana❤
DRC tuko
Love mzur make up achana nazo❤❤❤
iyo cake uliyo kua umeiandaa kwaajir yake ebu niletee mim niendelee ku mungunya😂🤣
Hapo nayo Lovenness nakudanganya kabisa ati beb mie siwezi kuacha maybe wewe uniache🤣🤣🤣🤣🤣na ukipewa ball unarukwa🤪💔🫣🫣
Hii movie iko na mafunzo mingi but kwa wanaume ninajua kusikia kwao ni ngumu sana nipige mawe😂😂😂😂
Ni shetani n tamaa zakimwili n meteleza 😂😂😂😂😂 duuuh wanaitwa wanaume 😅😅😅 🎉🎉🎉 loveness 🥰💕
Kama kuna mdada yeyote anaitwa Lizzy aje inbox tafadhali siwezi kufuta tattoo mimi 😭😭😭
😂😂😂pole
😢😢 hiyo make up mbn me siion au haijafikia ety😮😮😮
Haswaaa😮😮 loveness unahàribikia na makeup unapendeza ukiwa natural your so beautiful ❤❤❤ ila makeup duuu😢😢😂😂😂
Daah aise mna isia sana za kuigiza nimependa sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri ❤jmn
🎉🎉🎉🎉🎉😢❤❤❤❤ naipenda donta siwezi ikosa kwa kweli
Watu wa mlima tujuane na like, pokeeni maua yenu Wana donta 🎉🎉🎉🎉🎉
Kweli love kaa na uzuli wak
Mtaka vyote hukosa vyote😢pole Sana browny
Love kumbe Kuna kustopisha period 😂nimejifunza kitu😅
Na n broken suprise kwel😢
From Kenya much love ❤❤
Ila brown kwa uongo ywajifanya kaa sio yye kumbe alikua kwa G😂😂😂
Wakenya tupo mbele 😂❤❤❤❤
Loveness binti nakupenda jaman siku nikipata namba yako nitafurahi mnooo
Congratulation donta❤
Kweli ❤ness wajiharibu na io makeup
Lovenes we love you from kenya fanya unacho kipenda best❤❤❤❤❤😂😂😂
Yaaaan loveness na makeup zako hata hupendezi Kama jini
Nawapenda pure wana donta tv
Wanaume hata sister yako atatembea naye tu 😢🙏💪🔥🔥🔥
I love more donta tv ❤❤❤
Nakupenda sana lavonese na kalven Mozambique
Nikiwa namawazu nikiona movie hii nasahau
Loveness ungekua Kenya ningekuoa uwe my wife 😂😂
Mm je
😂😂😂
❤❤wifi tunae😂😂😂na tunatamba nae😅😅 loveness karibu 🇰🇪
Nyinyi nanyi huko kuongea hakuishi mwaniboo sasa😔😔😔😔
Wa kwanza Leo na mimi wapi like zangu 😅😅
Lovenes kweli unajua napenda xan kazi yako
Akii wanaume wee sijui shida yao nini matatizo tuu😢
Wanaume 😢
Kuna makeup nyengine hupendeza jamani ila co San
Pole Sana ila samehe tu binandamu wore tunamapungufu
Hongeren sana donta
Hongereeni🎉🎉🎉
Brown Brown mbona lovenes murembo sana,ulitafuta nini kwa ule binti
Yani love wewe wasema wapenda mapenz kuliko kitu chochote duniani
Naomba nitafutien Loveness aje anijibu ufundi anaotumia kustopisha period😅😅😅😅
Hahaha,hata mm nataman kujua jaman mana sjaelewa hapo.
Comment ambayo nilikuwa naitafuta😃😃
Lavnes mekapu izo unanyata sana we ata ujion waachie kina Tina bna
Love makeup HUPENDEZI KABISAAAA
Vipi jamani utanipa kama ngapi🇲🇿🇲🇿🇲🇿
❤
Hawa donta wanatufunza sana
Namuombeni nelly❤
Uyu candy mtengeneza cake mbona tena kachori😅😅😅😅😅
Hivi victoria kaenda wapi jaman
Itakuwa kaend kula mbwa kidg 😅😅
😂😂😂 tehe tehe hiv kwel mh kapoa ilikua victoria na kelvin asaiv loveness na kelvin❤❤❤
One love ❤🎉🎉🎉
😢hiyo saprais mm najauliwa
Kenya Watching
Nimeona vingi sna but kwa lovenes ww ni meke up tosha kbsa ya nn hyo yte mama
Kumbe kuna kustopisha period na hamsemi
Kila cku nyumb hyhy inaelekea hy nyumb kun muigizan mmoj wenu hy ni nyumb yake
Kelvn
Kaz njema love
Yale maneno nilio sikia kwa braauni ata mimi naondoka😅😅😅
Comment yangu isiguswe
Brown kila siku ni hasira
Kiukweli mm kunambi sikuwahi kumkubali kwenye movie zake zote simpendi yani ata uongeaji wake simpendi jamani akh😂
Basi usiangalie movie zake😅😅😅
we ni boya hujui movie kam hauna cha kukoment kaa kimy
Very nice 😮😮😮
Donta high and high
Sasa unajipodoa mpaka unaboa
Jamani naombeni like
Mnajichubua Mpaka mnatisha
Makeup typing 😂
Mue mnabadilisha location kitanda ni kile kile kila movie
Naomba like ya mngeni jamani
Mtaka yote hukosa yote
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿sawa
Watano hap
naomba like kutoka bk
😂😂😂😂😂😂😂❤😂😂
❤❤❤❤
❤❤❤🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Loveness nikuombe kitu mambo ya makeup waachie akina Tina hupendezi ukiwa na makeup wala mawigi aisee 😂😂😂😂😂 ukiwa natural u look so mwaaa walahi ona ka hapo chukuuuaaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shedo yake ya mdomoni ndo imemuharibia
Kweli kabisa love hajapendeza akiweka makeup I say ,akiwa natural ndo hupendeza zaidi❤❤
Happy ukwel
Ni kweli kabisa she is naturally beautiful.anapendeza zaidi akiwa katika asili
Kabisaa
Love akipaka makeup 💄 hapendezi jamaniii na akivaa na wigi ndio kabisa
Wangapi wameona hiloo