EMMANUEL MWANSASU- DUNIA official video arise media

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • new video 2018

ความคิดเห็น • 175

  • @jumannemwakalinga2586
    @jumannemwakalinga2586 11 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana mwanangu Emmanuel, umeimba kwa hisia sana. Mungu atakusimamisha tu, watu waliisha acha kumwogopa Mungu, wameweka mbele uuaji wakidhani ndiyo suluhisho!

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @patricknoel2656
    @patricknoel2656 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Kwa uimbaji mzuri, na wenye ujumbe mzuri wa kurudisha jamii isipotee..Tunakuombea Mungu ili uweze kufikia ulimwengu na injili..

  • @evanestharold5079
    @evanestharold5079 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera em,mwainsansu hongera pia pole nkifo chamzee mungu akuinue.

  • @emmanuelshavunza4314
    @emmanuelshavunza4314 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmh Aisee,,, utatuliza sana wewe. Sauti hiyo daaah, sio kwa kufanana huko.

  • @tumainirichard2349
    @tumainirichard2349 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jitahidi.kuwa.mnyenyekevu.kazi.yako.ni.njema.ushauri.usivae.surual.bila.mkanda

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 22 วันที่ผ่านมา

    Ni kama mwansasu yupo hai. Hongera sana.

  • @lengachapati3728
    @lengachapati3728 ปีที่แล้ว +1

    Mtoto wa nyoka ni Nyoka tu safi sana

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @mabitajunior
    @mabitajunior 2 ปีที่แล้ว +1

    kazi nzuri na injili isonge mbele

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @solomonmassangya8187
    @solomonmassangya8187 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe mtu wa Mungu.

    • @jamesnkandu1798
      @jamesnkandu1798 2 ปีที่แล้ว

      You are protected by the bload of jesus God bless what heve doing

  • @thomasraiton7760
    @thomasraiton7760 4 ปีที่แล้ว +4

    Umeimba vizuri sana ila nakushauti tu wajulishe watu kama dunia ni mbaya sasa wakimbilie wapi? Au tumaini lao liwe nini? Dunia ni mbaya sana kimbilia kwa Yesu uwe salama.

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen kabisa.Nimekuelewa sana naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @jmthetool9148
    @jmthetool9148 3 ปีที่แล้ว +2

    Unafanana Sauti na baba ako hongera sana
    Mungu akuinue

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @ANUSIATHACLEMENCE-mb4oy
    @ANUSIATHACLEMENCE-mb4oy ปีที่แล้ว +1

    Kafanana naye adisauti

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @neemashao5328
    @neemashao5328 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaah,aiseee kma baba yake kweli kipaji cha uimbaji kipo,Nadhani baba katangulia lakin katuachia ww

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @lilianmwasaka7950
    @lilianmwasaka7950 ปีที่แล้ว

    Mungu akufikishe mbari na zaidi

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @bonventurekalinga8729
    @bonventurekalinga8729 3 ปีที่แล้ว +1

    da nakumbuka mbali sana like Father like son R.I.P Mwansasu

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @ezekielamos6111
    @ezekielamos6111 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani Najihisi aposto Mwansasu Kama Yuko hai
    God bless u.

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @frankmgunjimgunji9261
    @frankmgunjimgunji9261 2 ปีที่แล้ว +1

    Huku ulikokuw unaimba usihame tufute machoz maana tunamaumivu ya mwasansu

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @exaverymchilo5721
    @exaverymchilo5721 3 ปีที่แล้ว +1

    Umeniliza mdoangu poleni sana na msiba

  • @evangelistemmanuel748
    @evangelistemmanuel748 2 ปีที่แล้ว +1

    Keep de fire burning my bro

  • @silungwesh7487
    @silungwesh7487 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akukumbuke kijana wa Mungu

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @lucymashamba1571
    @lucymashamba1571 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongera Sana dogo, asante Mungu unaetupa Watoto wema

  • @azariamkwepamzama4124
    @azariamkwepamzama4124 4 ปีที่แล้ว +1

    njamanitumu obemugu nikwerindu niaimeisha eeemugu .ukowapi tuhrumie wanawako

  • @ramadhansaid4915
    @ramadhansaid4915 3 ปีที่แล้ว

    Kweli mchungaji mwansasu anaishi ndani yako hongera Mungu akutie nguvu

  • @fredwalle8164
    @fredwalle8164 4 ปีที่แล้ว +7

    Like father like son, your father is annointed and there you are shouldering a double portion..

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @bellogregory7175
    @bellogregory7175 ปีที่แล้ว +1

    Sauti ya baba 100%❤😊

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @rehemaisaac5745
    @rehemaisaac5745 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe San mung akubark

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @winifridamwangomola6062
    @winifridamwangomola6062 3 ปีที่แล้ว

    Daaah safi sana Emma wimbo mzuri sana Mungu akubariki

  • @dianakibiki3962
    @dianakibiki3962 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe kwa kufuata nyayo Za baba hakika ameacha jembe

  • @lordrichreuben1446
    @lordrichreuben1446 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kijana umefanya vzuri kuvaa viatu vya baba maana kupitia wimbo wa baba yako nliweza kuponywa na kupandishwa iman yangu.mungu akutie nguvu umenifurahisha sana

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @geraldmhagama1055
    @geraldmhagama1055 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubarik Na akulinde pia shukran za pekee zimuendee baba ako mzaz PST.E.R.Mwansasu kwa males mema ya kimwil Na kiroho kiufup naye mungu akubarik Na amlinde ktk maixha yake yote

  • @amanionlinetv8678
    @amanionlinetv8678 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow wonderful song May God bless you and annoited you like your father

  • @magrethsimtenda926
    @magrethsimtenda926 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU Akubariki zaid mtukuze YESU

  • @doramakula4785
    @doramakula4785 3 ปีที่แล้ว

    Asante,mungu,mwansasu,kaacha,urithi,saut kama,yeye,mpaka,nimeshtuka

  • @kombozimbwilo4289
    @kombozimbwilo4289 3 ปีที่แล้ว

    SAFI MIMI NI MPENZI SANA WA NYUMBO ZA BABA YAKO KWAIYO BADO TUTSMWENZI

  • @piusmwalupembe3232
    @piusmwalupembe3232 6 ปีที่แล้ว +2

    kweli dunia bila Yesu inatisha, Mungu akuinue zaidi mtumishi.

  • @jumannemwakalinga2586
    @jumannemwakalinga2586 2 ปีที่แล้ว

    Like father like son, keep it up Emmanuel!

  • @mariakitha1131
    @mariakitha1131 2 ปีที่แล้ว

    like father like son,, the voice itself

  • @penifakombwe3951
    @penifakombwe3951 6 ปีที่แล้ว +2

    hongera sana mungu azidi kukuinua katika kila hatua

  • @fajerfajer4664
    @fajerfajer4664 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera as father as son

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @evamakula2850
    @evamakula2850 3 ปีที่แล้ว +2

    God bless u emmanuel

  • @elizafuraha6428
    @elizafuraha6428 3 ปีที่แล้ว

    Ongera sana mungu akubarik na akup mwang ktk uimbaji wako

  • @stelachengula7211
    @stelachengula7211 4 ปีที่แล้ว

    Dunia dunia hakika kuna mambo mengi eee mwenyezi mungu tusaidie

  • @elizabethmdollo6822
    @elizabethmdollo6822 ปีที่แล้ว

    Barikiwa

  • @kissbon
    @kissbon 3 ปีที่แล้ว +1

    Namtafuta huyo EMMANUL MWANSASU. NAONA HANA HATA OFFICIAL TH-cam ACCOUNT

  • @atupelebukuku7800
    @atupelebukuku7800 3 ปีที่แล้ว +1

    AMEEN KUBWA 🙏, nmebarikiwa Sana na wimbo mzuri

  • @rehemamshiko6753
    @rehemamshiko6753 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kwakurithi huduma ya baba Yako mpaka sauti

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @pilinelson5639
    @pilinelson5639 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuongoze zaidi yahapa

  • @user-rd3cs7gz7l
    @user-rd3cs7gz7l 7 หลายเดือนก่อน +1

    Like father like son😂

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @berthasanga9384
    @berthasanga9384 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani sauti ya baba

  • @geraldmhagama1055
    @geraldmhagama1055 6 ปีที่แล้ว +2

    Duh unanikumbuxha mbali xana Emmanuel Mwansasu pia hongera pst E.R.Mwansasu

  • @lucianamwavula2133
    @lucianamwavula2133 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kaka kazi nzuri mungu azidi kuachilia kibali

  • @estomineezekiely5659
    @estomineezekiely5659 4 ปีที่แล้ว +8

    Ubarikiwe,,,sauti kama ya baba

  • @felistermvinge5339
    @felistermvinge5339 4 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe wimbo mmenigusa

  • @elishakayuni5120
    @elishakayuni5120 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama baba yake vile

    • @emmanuelmwansasu6839
      @emmanuelmwansasu6839 3 หลายเดือนก่อน

      Ameeen . naomba saport yako zaid kwenye Hii acount yangu ya Emmanuel Mwansasu iliyo na Jina langu.Kunazo nyimbo mpya hapo Na Mahubiri Karibuni sana Ndugu zangu naamin Utabarikiwa sana

  • @lovenessyona3543
    @lovenessyona3543 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana kaka MUNGU AKUTIE NGUVU 💪💪

  • @peteredward8538
    @peteredward8538 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi

  • @lusekelojorammwakyalabwe6277
    @lusekelojorammwakyalabwe6277 3 ปีที่แล้ว

    Sauti kama baba yako dogo safi sana

  • @victoriachiranzi2383
    @victoriachiranzi2383 ปีที่แล้ว

    Nice song..

  • @albertludago7374
    @albertludago7374 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumish kaz yako ni njema

  • @user-kh9vv3oj1b
    @user-kh9vv3oj1b ปีที่แล้ว

    Amina

  • @winniengesa9421
    @winniengesa9421 5 ปีที่แล้ว

    Wauuu.....sauti Kama ya PST E.R Mwansasau....+254....WTZ niambieni ukweli jamani....nimefurahia saana...

  • @methodyjames2697
    @methodyjames2697 6 ปีที่แล้ว +2

    Hongela mkuu kazi nzuli saana

  • @WemaKigod
    @WemaKigod 3 ปีที่แล้ว

    Amina mungu akuinue zaidi

  • @dorcasruth5088
    @dorcasruth5088 4 ปีที่แล้ว +3

    Nice one, God's favour upon you with more grace

  • @jeangodelo5349
    @jeangodelo5349 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde na akuinue zaid 🙏🙏

  • @petermwanyondo6459
    @petermwanyondo6459 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongla Mdogo wangu mungu aku2mbatie nyakti zote

  • @kiangoneema2979
    @kiangoneema2979 3 ปีที่แล้ว +1

    God bless you 🙏 Mwansasu's blood

  • @noelambondeka6942
    @noelambondeka6942 2 ปีที่แล้ว

    saut ya baba jamani 😭😭😭

  • @StellahsawikweSawikwe-ho7tk
    @StellahsawikweSawikwe-ho7tk 9 หลายเดือนก่อน

    Imanuel mwansas dunia

  • @ayubuleeotieno5155
    @ayubuleeotieno5155 2 ปีที่แล้ว

    keep on the legacy that God bestowed on your father.
    keep moving my brother.

  • @prophetjohnmasso186
    @prophetjohnmasso186 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki Sana

  • @chrismasebo8732
    @chrismasebo8732 4 ปีที่แล้ว

    Hongera xana ndugu nyimbo iko vizur xana

  • @jaymichael744
    @jaymichael744 4 ปีที่แล้ว

    Huyu n mtoto wa mwasasu yule mwimbaj wa zaman

  • @mwaisenyemwandela9392
    @mwaisenyemwandela9392 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana ndugu yangu😭😭

  • @verohgershom61
    @verohgershom61 6 ปีที่แล้ว +2

    Hongeraaaa Sana emmanuel

  • @judithmakuto3612
    @judithmakuto3612 3 ปีที่แล้ว

    Yesu Anatosha

  • @emmanuelm1488
    @emmanuelm1488 5 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana nyimbo imetuliaaaa

  • @deegasmaglobalmusic3428
    @deegasmaglobalmusic3428 3 ปีที่แล้ว

    Kyala akutule kaka

  • @michaelkamtupe1970
    @michaelkamtupe1970 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana kwa kazi nzuli naomba nitumie namba yako ya wasapu

  • @shukuranikibona5893
    @shukuranikibona5893 5 ปีที่แล้ว +2

    Jamani huyu bila shaka ni mtoto wa Mwansasu naona damu hapa mpaka Ku #/Sound vile vile jamani..!
    Nithibitishie ni mwanaye huyu mnajua historia ya huyu jamani..!

  • @advelahezroni1613
    @advelahezroni1613 4 ปีที่แล้ว

    Kafanana na baba ake kila kitu

  • @wemasarwat366
    @wemasarwat366 3 ปีที่แล้ว

    Jmn kama baba

  • @evodiuskalema2123
    @evodiuskalema2123 3 ปีที่แล้ว

    AMEN saana

  • @gabrielcathabet1787
    @gabrielcathabet1787 3 ปีที่แล้ว

    Dah pole sana

  • @rehemakalangali711
    @rehemakalangali711 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana na Jehovah

  • @frankrufunga3427
    @frankrufunga3427 3 ปีที่แล้ว

    Balikiwa san

  • @emanuelmhagama3198
    @emanuelmhagama3198 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe saana kaka

    • @priscadavid370
      @priscadavid370 4 ปีที่แล้ว +1

      Emanuel Mhagama hongera sana kaka kaz njem umefany IPO ciku utavishwa taj ya uzima wa milels

  • @nicholausjackison7729
    @nicholausjackison7729 3 ปีที่แล้ว

    Moto mwengn huu 🙌

  • @winnerjudith2007
    @winnerjudith2007 3 ปีที่แล้ว

    nice song hakika mchungaji kaacha copy yake

  • @judithjolenej4581
    @judithjolenej4581 6 ปีที่แล้ว +1

    hongera sana mungu aendelee kukubariki

  • @StellahsawikweSawikwe-ho7tk
    @StellahsawikweSawikwe-ho7tk 9 หลายเดือนก่อน

    Wanadam

  • @dannysannga8636
    @dannysannga8636 6 ปีที่แล้ว +3

    ongela brother penda

  • @mollymartine3000
    @mollymartine3000 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kaka kazi zuri

  • @gloriejoshwer9787
    @gloriejoshwer9787 6 ปีที่แล้ว +1

    Proud of you

  • @kaobamaabel5561
    @kaobamaabel5561 5 ปีที่แล้ว +4

    Mbona anasound kama ephraim mwansasu ni mwae au?

    • @gwamakasamson6534
      @gwamakasamson6534 5 ปีที่แล้ว +1

      Ni mwanae kabisa.
      Namshukuru Mungu kwa ajili yake.

    • @geraldmhagama1055
      @geraldmhagama1055 5 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akubarik Na akulinde mtoto wa PST.E.R.mwansasu pia shukran zimuendee baba ako mzaz PST.E.R.Mwansasu kwa malez mema ya kimwil Na kiroho

    • @estomineezekiely5659
      @estomineezekiely5659 4 ปีที่แล้ว

      Ni mwanae

    • @oscarniyogushima538
      @oscarniyogushima538 4 ปีที่แล้ว

      Mtoto wa Mwasasu

    • @twinse2392
      @twinse2392 2 ปีที่แล้ว

      mwanae wakwanza uyu

  • @rehemagunda3968
    @rehemagunda3968 4 ปีที่แล้ว

    Unanikubusha balisana

  • @julianaomary1136
    @julianaomary1136 3 ปีที่แล้ว

    God bless you

  • @johnvenasa.k.awazamansana8025
    @johnvenasa.k.awazamansana8025 6 ปีที่แล้ว +1

    Kaz nzur kaka

    • @ibrahimkingdom9664
      @ibrahimkingdom9664 6 ปีที่แล้ว

      Ongera mdogoang ujumbe mzuri mungu akupe kibari uzidi kumtumikia yeye kwanjia ya uimbaji

  • @sangemeshack6104
    @sangemeshack6104 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice song

  • @isackmpoki7361
    @isackmpoki7361 4 ปีที่แล้ว

    Kazinzuli