SELEMANI KIDUNDA AMJIBU HASSAN MWAKINYO/TUKUTANE ULINGONI/TUACHE MANENO/MASHABIKI WAONE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 57

  • @joeledson3862
    @joeledson3862 ปีที่แล้ว +6

    Mwenzangu nimekuelewa sana . Umejibu vzl sana achana na hao wanao tafta njia Za mwakinyo .Ww forces na jiazako sikuzote makamanda hawa kulupuki kujibu mungu atakufikisha mbali.💪💪papaa kidunda

  • @swiyamikibasame524
    @swiyamikibasame524 ปีที่แล้ว +3

    Selemani bin Kidunda u
    Wewe unanidham ya kazi na ya Mazungumzo. Kaka uishi muda mrefu wapo watakao iga mwenendo wako. Safi sana waukae. Ila Kuna vijibondia twaarab wanaharibu mchezo huu na atapasuka siko zote ulingoni.🎉

  • @CharlesMbise-c1u
    @CharlesMbise-c1u ปีที่แล้ว +6

    Wajameni kaeni mkijuwa kuwa kidunda kutokana na kaz yake hawezi kumuongelea mwakinyo maana ni raia wake lkn mwakinyo hafuwi dafu hapo kamwe

  • @azizimgaza
    @azizimgaza 9 หลายเดือนก่อน

    MTU.kazi saruti kwake..best

  • @OmarRamadhan-u2d
    @OmarRamadhan-u2d ปีที่แล้ว +2

    Makin sana

  • @flova7022
    @flova7022 ปีที่แล้ว +1

    Papaaaa kidundaa

  • @rajanamzah6383
    @rajanamzah6383 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana

  • @aliymwazoa3051
    @aliymwazoa3051 9 หลายเดือนก่อน

    Nidhamu ndio kila kitu katika maisha

  • @gwantadibusta
    @gwantadibusta ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂 papaa kidunda

  • @mkanganails5839
    @mkanganails5839 ปีที่แล้ว +3

    Da kidunda unahatali alitaka kukuletea story za waimba taharabu umezikataa juu kwa juu yaani uyo ameshapotea anatafuta aongelewe Bora umemkataa😂😂😂😂😷

  • @dstaroficial
    @dstaroficial ปีที่แล้ว +5

    Kidunda bado kwa mwakinyo ataaibika asifuate upepo wa mashabiki nakushauri japo mwakinyo maneno mengi lkn humuwez jipng kwanza

    • @UsafiMichael-mc8kt
      @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

      Kweli mjomba hujuhi boxing
      ✓unamjua deontary wilder
      ✓unamjua anthony Joshua
      ✓unamjua alexandra ũsyk
      Sasa Kidũnda namfananisha na alexandra ũsyk,anayo kasi na mwepesi

    • @CharlesMbise-c1u
      @CharlesMbise-c1u ปีที่แล้ว

      Wew unaongea tu lakin ungejuwa kuwa cku mwakinyo akijichanganya safari yake ya ngumi itaishia hapo yaan atashushwa viwango walah atapigwa

    • @denimpemba
      @denimpemba ปีที่แล้ว

      Mm nazamini mwakinyo na kidunda mm Niko upande wa kidunda anashindaa

    • @tariqshabani3213
      @tariqshabani3213 ปีที่แล้ว

      Ww mim natia million ww tia laki kha we sijui mdigo

    • @lama6310
      @lama6310 ปีที่แล้ว

      Hiv unajua ngumi au Unaongea tu

  • @aboukillo1734
    @aboukillo1734 ปีที่แล้ว

    Kidunda yuko vzr huyu ni mwamba,kuna kitu nyingine iko poa sana mutu ya burudan mutu ya ngumi,hii mutu bona butcher hatariii na nusu

  • @DidierMkubwa
    @DidierMkubwa ปีที่แล้ว

    Wakupatiye David Tshama

  • @westonyjob1747
    @westonyjob1747 ปีที่แล้ว +2

    Sula ya kazi

  • @NurdinBakari-f9i
    @NurdinBakari-f9i 9 หลายเดือนก่อน

    Mwkinyo bondia wew acha kujitoa ufahamu kabisa wew huyooo kidunda mwenyewe ajua kusu mwakinyo sema tu hawezi kuya zungumza ya mwakinyo ache y kwake ndio mana braza hakutaka kugusia mambo ya meakinyo kabisa ila wewe kanyela umoumo ndio unajifanya unataka kuyajua ya mwakinyo nakiwa yakwako yanakushinda

  • @SleepyHikingWaterfall-js5mo
    @SleepyHikingWaterfall-js5mo 9 หลายเดือนก่อน

    Mwakinyo hajielew hawez pambana na kidunda kumbuka huyu ni mtumishi hawezi kusema anamtaka mtu Fran lakini mwakinyo akitafta promota akaweka mzigo hiyo ndo siku yake ya kustaaf box kidunda sio pow kabisa Yani bro mwakinyo usipende
    kulopoka utakuja umia

  • @bamsibeywamakaz
    @bamsibeywamakaz 9 หลายเดือนก่อน

    Kweli mwamba we jembe

  • @charlesmchomvu2936
    @charlesmchomvu2936 ปีที่แล้ว +3

    Kidunda nimekufatilia maongozi Yako kwakweli wewe ni profasion box huna maneno ya mbambamba waandishi wanakuhoji baadhi ya maswali ya chonganishi lakini unayapangua au unayajibu maswali Yako kwa nidham ya hali ya juu hapa ndipo ninapotambua jeshi linatoa mafunzo mazuri Sana kwenye maeneo mengi Sana lakini nidham ndiokipaumbele thank nimefurahi Sana napia nakutakia mafanikio mema kwenye mchezo wa box pia jeshini.Hongereni Sana viongozi wa majeshi yetu mlichokipanda ndio matunda ya Leo kwa faida ya Taifa letu la Tz .

  • @AsbongeDlamini-vj8vr
    @AsbongeDlamini-vj8vr ปีที่แล้ว

    Katika bondia watanzania anae ongoza kwa kubebwa na marefa WA Tanzania kidundo WA pili wakwanza twaha

  • @PaulMchopa-n5i
    @PaulMchopa-n5i 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwamba bana

  • @yussufsaid1479
    @yussufsaid1479 ปีที่แล้ว +2

    mwakinyo achana nao hao siyo Rank zako hao. chunga heshima yako.

  • @geofreykashililika9704
    @geofreykashililika9704 9 หลายเดือนก่อน

    Tz hakuna bondia km kidunda..... Bado hajatokea

  • @dstaroficial
    @dstaroficial ปีที่แล้ว +1

    Kaanza kujielewa mana mwanzo nae alisema hakuna wakumpiga tanzania sasa iv hatak kumuongelea mwakinyobukwel nikwmba boxing kila siku unakuwa sio gafla unakurupka unamtak mtu aliejuw juu pigana kwa step mwshobutamfkia

    • @abdulrahmanbakar3818
      @abdulrahmanbakar3818 ปีที่แล้ว +1

      Papaa kidunda umenitendea haki kabisa ktk interview hii mana mm ni shabiki wenu wewe na mwakinyo nahisi Hilo ulikua umeliona Allah akupe afya na maisha marefu yenye mafanikio amin

  • @jumasaide7255
    @jumasaide7255 ปีที่แล้ว

    Ni mshamba sana Mwakinyo hlf kweli ni mchawi mm sioni ngumi anazoringa nazo mpumbavu mmoja mm ni m2 wa T A ila nimemkataa mpumbavu hana akili unajenga bifu na washkaji zako ndiyo maana viatu vinambanaga.

  • @directorimmah_vfx3043
    @directorimmah_vfx3043 ปีที่แล้ว +1

    kidunda n mtu mzma na anawatot na ana mke ko ni mt anaejieshim sio kam yule shanging anaetukana wanaume

  • @ishe_ngo8926
    @ishe_ngo8926 ปีที่แล้ว +1

    Papaaa Kidunda umenichekesha sana😂😂😂😂. Ila naona kama kwa kiraji uko vzr, ila kama unatumia punguza bhana tunakutegemea.

    • @SaidiMbegu
      @SaidiMbegu ปีที่แล้ว

      Mwakinyo ashakuwa muimba taarabu hamna bondia pale

  • @naimabdul1231
    @naimabdul1231 ปีที่แล้ว

    Daaah huyo jamaa na msasa wake wa gari mbona kama hajielewi alaf anachokifanya anajua kama sio sawa ndio mana anatizama camera daaah hata maneno hatuskiiii ni swiiiiii swiiiii swiiiiii aaaakhhh

  • @SANJA0693
    @SANJA0693 ปีที่แล้ว +2

    sauti hakuna

  • @mwiker_tz6519
    @mwiker_tz6519 ปีที่แล้ว +1

    we unaehoji kabla hujahoji jitahidi ujuwe unahoji nini

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 ปีที่แล้ว +10

    MWANDISHI KUWA MAKINI NA KAZI YAKO HIYO UNAONA NI SEHEMU SAHIHI YA KUFANYA MAHOJIANO?? HIZO KELELE ZA MPIGA RANDA HUZISIKII AU.

    • @AllyAmour-nu1js
      @AllyAmour-nu1js ปีที่แล้ว +2

      😂😂

    • @captenndunga6745
      @captenndunga6745 ปีที่แล้ว

      Kwani umesikia au hukusikia acha gubu mtoto wa kiume au maranda yamekudondokea?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 ปีที่แล้ว

      @@captenndunga6745 TUNDU LAKO LA MKUNDU HILOOOOOOOO PUSTI WEWE 😂 😆 😂 😆 😂

    • @captenndunga6745
      @captenndunga6745 ปีที่แล้ว

      @@salimmalaka256 huna akili unaongea utumbo wewe unampangia muandishi sehemu ya kufanyia mahojiano kikubwa na wasikilizaji wasikie hata wangefanyia chooni kazi yako wee ni kusikiliza unalalamika maranda utazani yamekufikia mbona mamaako hakulalamika kua mboo ya babaako ni kubwa kaivumilia mpaka mimba imeingia ukazaliwa wewe panzi kichwa umebeba kama pambo tuu akili kisoda choko wewe mother fack njoo uchague mdole🖐️🖕🖕🖕

  • @mubajoti743
    @mubajoti743 10 หลายเดือนก่อน

    Ktk bondia alie kua hana majung ni huyu tu yy ananglia kaz tu han maneno meng na ndoman anashind kila pambano

  • @mbarakahmed3892
    @mbarakahmed3892 ปีที่แล้ว +1

    Mwakinyo atapatamaadui wengi kutokana nakiherehere chake nakujinaki alafu nimekujamchunguza sijui kama kafika shule kulingana anaonekana mshamba sana kwanza mavazi maongezi angelikua mtu wakujigicha akacheza game zake kimpango na kutaka ku promot watanzania lkn yy ako na mdomo na anaaminja mkono mmoja anangumi yakuotea aka mshale ata madonga anacheza poa lkn nimekuja jua ni mchezaji wakutumia ndumba ndio maana ukiona mchezaji anaji sifu kua akuna bondia anaweza pugana nae hajui ngumi kwaufupu .

    • @fj8317
      @fj8317 ปีที่แล้ว

      bondia ni kujisifia shida mmetoka kwenye taarabu mmekuja kushabikia ngumi baada ya azam kuja mwakinyo ni bondia mzuri hizo chuki tu

    • @barakamwandiga2327
      @barakamwandiga2327 ปีที่แล้ว

      Du!! Umeandika kwa shida sana ni simu au wewe ndo mbali na shule 😂

    • @gustavompemba1781
      @gustavompemba1781 ปีที่แล้ว

      @@barakamwandiga2327 una zambi ww

    • @NurdinBakari-f9i
      @NurdinBakari-f9i 9 หลายเดือนก่อน

      Hahahaa baba chakwaza nenda shuleee tena chekechea mana ulicho kiandika hata bata uhalishoo wake akihalisha vinaeleweka au sim ndio umanza kutumia ivikalibuni mana unawapa watushida kusoma vichwa vinatuma hukuu

    • @NurdinBakari-f9i
      @NurdinBakari-f9i 9 หลายเดือนก่อน

      Hahaahaaaaa kaka umechemka ulichokiandika sasa wew na Hassan nani ambae hajaenda shuleee mjomba iyo simu kama umepewa ludisha kwanza kwa mwenyewe akakupe darasa kwajinsi yakutumia iyo simu alafu wew na mwakinyoo kakuacha mbali sana kimaisha usjifananishe naehata kidogo wew na yeye mana kam kundi nishuhuli kwelikweli Masha utkuanayo kweli wew nasitume tena meseji mpka umalize shuleee tena saw

  • @Salimumwasheti
    @Salimumwasheti ปีที่แล้ว

    Ukimsema vibaya mwakinyo huoni aibu??? Mwakinyo ndio no.1 tz. Kama utak endelea

  • @MaalimShabani
    @MaalimShabani ปีที่แล้ว

    Kidunda uzito ulio nao nisawa na kijana

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 ปีที่แล้ว +1

    Maneno ya ekma ya kidunda mwenyewe ataki shobo na mtu

  • @DatuBakary-in3ut
    @DatuBakary-in3ut ปีที่แล้ว

    Hana lolote mshambatuu

  • @elizabethmajaliwa5189
    @elizabethmajaliwa5189 ปีที่แล้ว

    Mwacheni Mwakinyo tafuteni kivyenu wivu tu

  • @titosammbembat2313
    @titosammbembat2313 ปีที่แล้ว +1

    Mwakinyo ni utopolo tu Hana lolote