MFAUME amnyea MWAKINYO/Amebaki na TAARABU tu/Amefulia/Nataka pambano nae BURE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Bondia #MfaumeMfaume ameweka wazi matamanio yake ya kupata pambano na bondia kutoka mkoani Tanga #hassanmwakinyo huku akisema anataka asilipwe chochote katika pambano hilo huku akimtaja Mandonga kama mdogo wake tangu zamani,Pia amezungumzia mapambano yake yajayo na rekodi kadhaa alizonazo kwenye mchezo wa Masumbwi.
    ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram www.instagram....
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------

ความคิดเห็น • 200

  • @saidbakari2408
    @saidbakari2408 ปีที่แล้ว +2

    Mfaume we nilikuwa nakubali sana ila sasaivi we demu tu yaani ukija kwangu mie nakuwasha vibaya mno mno kama vip nije nikuwashe moto we mrembo tu historia gani maana umedundwaa saana tu

  • @amindadi24
    @amindadi24 ปีที่แล้ว

    Oyaaaaaa babaaaa mfaume safi babaaaaaa dua nyingi sana mwanetu.

  • @makassyzakir3505
    @makassyzakir3505 ปีที่แล้ว

    mwakinyo 💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @waheedhamad4558
    @waheedhamad4558 ปีที่แล้ว

    Ndio ww unacheza pambano yule yeye anacheza utangulizi sawasawa lkn c unajua riski zimetofautiana kwa sasaiv yeye ndo champion yule....mfaume ee mwakinyo humuezi ww

  • @lusseraymond5449
    @lusseraymond5449 ปีที่แล้ว

    Kila mti asikilizwe bana

  • @andrewmmassy5204
    @andrewmmassy5204 ปีที่แล้ว

    Mfaume namba Moja Tanzania, tunaenda mpiga idi pialali alafu tunamtaka muimba taarabu mwakinyo anamisemo na michambo kama mdada vile.
    Nakusapoti mfaume usiniangushe

  • @dotojohn9316
    @dotojohn9316 ปีที่แล้ว +2

    Kabla ya mwakinyo namtaka mm

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 ปีที่แล้ว +1

    Kaoneka ana history yake ya kumchapa mwakinyo enzi hizo lakini

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 ปีที่แล้ว

    💚💚💚💚💚👐

  • @andrewmmassy5204
    @andrewmmassy5204 ปีที่แล้ว

    Mi namkubali mfaume kwasababu haogopi ivi ndivyo inavyotakiwa Kwa jibondia katili ivi.....

  • @abisaimuhanji3687
    @abisaimuhanji3687 ปีที่แล้ว

    Jamaa Katia offer ya week moja😂😂😂

    • @mohamediabdalah7650
      @mohamediabdalah7650 ปีที่แล้ว

      Hamuwezi huyooo mister mifatu

    • @mohamediabdalah7650
      @mohamediabdalah7650 ปีที่แล้ว

      Aendetena Russia akapigwe mbona haenditena kasingizia kabadilishiwa bondia Kila akisimama anadondoka mbona hayasemi??mijigambo bongotu . Mfalme wangumi nidhamuhana huyu nani kampa ufalmenwangumi huyu .

  • @AhmadyShida-dn4wx
    @AhmadyShida-dn4wx ปีที่แล้ว +3

    Daaah!!! Kumbe wew mfaume nimjinga ivyo

  • @omarihussein6101
    @omarihussein6101 ปีที่แล้ว

    Ache ujizi mfaume apigane mwakinyo

  • @halfaniabdallah2131
    @halfaniabdallah2131 ปีที่แล้ว +1

    Mfaume akili huna nibondia gan atakuhitaji wewe mbovu tu ulipigwa na mmalawi ukabebwa.

  • @cmb6342
    @cmb6342 ปีที่แล้ว

    We mfaume fala tu hata kwa dawa humuwezi mwakinyo af nataman sana pambano na wew kuku wew,unamaneno sana walah mi nakupasua nakuja kitaan kwako nikupasue

    • @hilalmohd8941
      @hilalmohd8941 ปีที่แล้ว

      😅😢😢😢😢jamani

    • @omarykondo1010
      @omarykondo1010 ปีที่แล้ว

      We hauna uwezo wa kumpasua mfaume

  • @yusufumbwene5669
    @yusufumbwene5669 ปีที่แล้ว +1

    Record nzuri na huna hela ,, Acha maneno wewe mlenda tu njoo ukutane na cc wana karatee tukufundishe

    • @swalehbakari2667
      @swalehbakari2667 ปีที่แล้ว

      Kamfate uko alipo uka mfundishe

    • @omarykondo1010
      @omarykondo1010 ปีที่แล้ว

      Uko wapi tukufuate we wa karate
      Mfaume bondia usiongee ongee sema tukufuate ulipo

    • @Magwizadaniel1962
      @Magwizadaniel1962 ปีที่แล้ว

      Huyu mjinga simumkarishe tu huyu anaongea kama demu haingii Kwa mwakinyo huyu mjinga hata mwakinyo angefunga kitambaa usoni atapigwa kama.van dame na boloyang mwehu huyu

  • @charleskaozya9924
    @charleskaozya9924 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli kucheza na Joshua Cortney ulipaswa jina liheshimike sanaaa mzee baba maana jamaa alikuwa na record nzur sanaaa kuliko mabondia wa mwakinyo...

    • @alleyd.alleyd
      @alleyd.alleyd ปีที่แล้ว

      SASA NANI ALIPIGWA KTK HILO PAMBANO KATI YAKE NA COTEI...NA PAMBANO LILIKUWAJE ELEZEA.

  • @waduni2326
    @waduni2326 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji naomba umwambie mfaume mfaume akitaka kupigana na mwakinyo aandae machera maana hawezi kutoka mzima kabisa

    • @lama6310
      @lama6310 ปีที่แล้ว

      Mwambie atie saini mbna anawaogopa wabongo

  • @nurdinblesh3115
    @nurdinblesh3115 ปีที่แล้ว

    mwakifamba boya tu

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 ปีที่แล้ว +10

    Mfaume hujitambui na unajiaibisha kumzungumza Mwakinyo vibaya! Humuwezi kwa chochote. Jiulize kwanza mwenyewe, je, ulianza boxing lini? Una mapambano mangapi na umeshinda mangapi? Una nyota ngapi? Una KO % ngapi? Kisha vigezo hivyo hivyo jilinganishe na Mwakinyo sio unaongea mipasho tu. Eti Tanga Kuna mabondia wakali wanakuja! Unadhani unaweza kuwasahaulisha watu Jina la Mwakinyo ktk boxing? Ukienda Ulaya na USA ukisema unatoka TZ unaulizwa unamjua Mwakinyo? Halafu wewe unaongea pumba dhidi yake. Unaletewa mabondia wa mchongo Kisha unajitamba!!

    • @cavanindimbe1670
      @cavanindimbe1670 ปีที่แล้ว

      Pole sana comment yako nimeona jinsi gani umeumia

    • @mkundukunuks
      @mkundukunuks ปีที่แล้ว

      Sasa wewe mbona umeumia ivo

    • @lama6310
      @lama6310 ปีที่แล้ว +2

      Bahati Tu Ile Mwakinyo Hajui Ngumi.

    • @omarykondo1010
      @omarykondo1010 ปีที่แล้ว

      Kuna mabondia wengi waliacha majina ulaya na wapo wenye majina ulaya ukimtoa mwakinyo babu usiongee ivyo

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 ปีที่แล้ว

      @@omarykondo1010 unatakiwa kuwataja sasa 🤣🤣🤣

  • @allyboka4264
    @allyboka4264 ปีที่แล้ว +2

    Mwakinyo anawanyima raha mabondia ma fala kama wewe bondia mzalendo Seleman kidunda wewe mfaume ,twaa mandonga nyie machoko tu kwa mwakinyo amuend mjin bila kumzungumzia mwakinyo

  • @AmosSniper
    @AmosSniper ปีที่แล้ว +3

    Ww Mfaume ongea TU! Ila yule dogo usingemgonga kichwa alikua anakuabisha, yule mwamba anajua ngumi, asa unasemaje alisingizia wakat majaji waliamua, nanakutabilia tunza hii comment piarali atakuchapa laud ya 5

  • @waziriathumanmadagaa
    @waziriathumanmadagaa ปีที่แล้ว +5

    tatizo mnamchukia mwakinyo kwakua yupo juu ila mwakinyo ndie anaeitangaza TZ

    • @vailethkihiyo56
      @vailethkihiyo56 ปีที่แล้ว

      Hyo mwakinyo pia ana shombo za kipumbavu😮

  • @athumanhatibumkombolaguha
    @athumanhatibumkombolaguha ปีที่แล้ว +1

    Kweli kila kizuri lazima kihusudiwe, wameanza vichwa bata akina Mangonga, sasa hata wewe Mfaume pia umekua mwimba taarabu..?

  • @KapalataKitaulo-iu8by
    @KapalataKitaulo-iu8by ปีที่แล้ว +1

    Wewe Jamaa ukubari ukatae mwakinyo ndio amefanya watu wapende ngumi unakumbuka pambano lake la ulaya nchi nzima ilisimama kumungalia champ acha maneno meng mwakinyo fundi ukubali ukatae

  • @MwanakombMwazumo-yf7sv
    @MwanakombMwazumo-yf7sv ปีที่แล้ว +1

    Mfaume sio bondia ana chakueleweka kwenye gumi ameshafulia atafute jembe akalime ye kama anataka maji yaliyo tiwa karafu aweke asitake kiki anapigwa sana ulingoni nibora mandonga nimuekee hela ninao uwakika wakushinda kuliko mfaume anataka kumpima mwakinyo anamuweza wapi ye ache anapocheza sio kumpima maji kwa mguu Kila siku baada ya kucheza ngumi anapigana vichwa

  • @ShabanKatima
    @ShabanKatima ปีที่แล้ว +1

    Namini iyo siku usipo kufa ww mfaume basi utakua zobi mwakinyo sio levo Yako acha kujipendekeza

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 ปีที่แล้ว +3

    Mfaume ni mlevi tu anaweweseka

  • @joasbaraka_gardener
    @joasbaraka_gardener ปีที่แล้ว +1

    Bondia ni mwakinyo tu hawa wengine ni madunduka tu kama huyu

  • @joackimnyandindi5746
    @joackimnyandindi5746 ปีที่แล้ว +2

    Mwakinyo acha kusumbuana na washamba wewe ni mkari

  • @predictioneasyodds2779
    @predictioneasyodds2779 ปีที่แล้ว +6

    Mwakinyo ashasema bora afuge mbwa kuliko kupigna na watu wasio level yake

  • @mkanulamajid500
    @mkanulamajid500 ปีที่แล้ว +4

    Mwakinyo ndo tunamfahamu hao wengine mmmmmmh

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 ปีที่แล้ว +3

    Nandio mana wabongo atuendi mbali sababu hatu pendani aliopewa kapewa Tu nawewe pambana ufike levo zake aundio unataka kuteleza

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 ปีที่แล้ว +1

    Mfaume mfaume,mtu hapigani bure ukiwa na mtazamo huo hutafikia malengo na utakuwa ni miongoni bwa boxers wasio na muono,,,,,mchezo wa ngumi ni malengo sio mabishano ili kuwafurahisha watu tu….change broo

  • @franksosoma4267
    @franksosoma4267 ปีที่แล้ว +3

    Unaongea pumba tu we fala mwakinyo humuwezi

  • @mohamedkibwana1165
    @mohamedkibwana1165 ปีที่แล้ว +2

    Kwan hawa mabondia wetu hawez kusogea mpaka wapigane na mwakinyo what a shame

  • @abdullukindo4693
    @abdullukindo4693 ปีที่แล้ว +4

    Mfaume unaongea sana lkini mwakinyo umuwezi kabisa ata ufanye nn unauwezo kabisa fighting ya mwakinyo na wwe tofaut sema mnalazimisha apigane ili mumshushe lkin sio level yko

    • @daudishabani1587
      @daudishabani1587 ปีที่แล้ว

      Wamepigana ln mpka useme hamuwezi? Ngumi cyo taarabu kk

  • @veenpoul900
    @veenpoul900 ปีที่แล้ว +2

    Af hyo fala alipigwa APA nyumbani AF ubingwa akapewa ushindi,,,wala hajui nn maana yarekodi ktk boxing nandmn anauza mapambno Russia Mara kibao hajielewi,,,bondia njaaa

    • @allymwachipanga2486
      @allymwachipanga2486 ปีที่แล้ว +1

      Duh! Nani kakwambia urusi wananunua pambano wale watu achana nao wanabonda balaa

  • @lama6310
    @lama6310 ปีที่แล้ว +2

    Mbna Kama Kavimba Uso

  • @mussamwamoto8231
    @mussamwamoto8231 ปีที่แล้ว

    Ninachokiona Mfaume amaetafuta njia ya kumchokoza Champenz MWAKINYO,kwa kutengeneza attention kwa watu,mabondia jifunzeni kuongea na sio kumtegemea domo Kaya aongee ndio na nyie muongee,karibuni Tanga tutawavisha kanga kifuani.

  • @ZacharyKilango-no3kq
    @ZacharyKilango-no3kq ปีที่แล้ว

    Hujielewi ww na huwezi fika popote ww cyo wakujilinganisha na mwakinyo ww level yako na mwakinyo wapi na wap hata dunian bd hujulikan unapambana mapambano ya sh m 40 50 mwakinyo m500 kwenda juu fyuuuuu😮😮😮

  • @mohamediabdalah7650
    @mohamediabdalah7650 ปีที่แล้ว

    Tanga ngumi ndo ziliko anzia Tanzania hii we kubali matokeobtuu . Huna mchongo jitahidi upande viwango sio kuponda wenzako huna ubore wowote. Ukinfi wa mchongo ulopewahuo.

  • @Ashimvic
    @Ashimvic 8 หลายเดือนก่อน

    Weweeeeeeh levo ya mwakinyo bado sana broooh eti mapafu ya mbwa hudadek jiweke wazi muite mwakinyo ulingine uwone kama hautokimbia kwanza mwakinyo haongei kwamdomo kama mademu mwamba anaongea kwa vitendo ww

  • @ZacharyKilango-no3kq
    @ZacharyKilango-no3kq ปีที่แล้ว

    Mwakinyo atabaki mwakinyohapa bongo cjaona wakumpiga mwakinyo ili wampige na wafike mbali wakae wamuulize mwakinyo amefikaje hapo ulipo 🐸🐸🐸

  • @mwananganzi
    @mwananganzi ปีที่แล้ว

    Acha kumJaji Mwakinyo utapoteza mashabiki wako wa Nchi nzima utabaki na mashabiki wakitongoji cha Mabibo . Achana na uyo mnyama utafeli . Acha Jealous Mfaume unaumbuka ujue

  • @mustaphajuma4640
    @mustaphajuma4640 ปีที่แล้ว +3

    Mnaandaa interview zenu za uongo lkn point ni kumzungumzia mwakinyo hahahah mnateseka sana na mioyo yenu mungu kashampa tafteni tobo lenu na nyny wazee bila Kumtaja mwakinyo interview haitizamwi mtateseka san

  • @kiya0910
    @kiya0910 ปีที่แล้ว

    Mwakinyo anaongopa mabindia WA Tanzania ataka huko inje wakula wali kama mtoto wakiume joo Kwa kiduku ama mfaume ama Dulla ama iddy ama kidunda Jenga ww huna lolote mwakinyo

  • @kafukumdaki
    @kafukumdaki ปีที่แล้ว +1

    Mdomo ni mali yako kaka ila mwakinyo umuwezi ata uzikili uchi kaka acha mdomo ndugu yangu

  • @abdimakame7929
    @abdimakame7929 ปีที่แล้ว +1

    Choko wewe acha mijIgambo unadundwa ivyo.
    Ndiomana Chikonde Makawa alikufundisha nidhamu💪

  • @benardmassawa3599
    @benardmassawa3599 ปีที่แล้ว

    Bro jipange sana kwa mwakinyo 😂😂 labda nenda kwanza akajifunze ngumi darasani

  • @adammswaki703
    @adammswaki703 ปีที่แล้ว

    Hamna bondia apa ukipanda ulingon kaz kupiga vichwa kuanzia saiv mm sio mshabik wako tena tusi juane kenge wewe

  • @mayasajuma7062
    @mayasajuma7062 ปีที่แล้ว

    Wacha wivu wewe aliyepewa kapewa tutapaki juuu tanga moja hiyo punguzeni makasiriko

  • @AthmanIddi-xo7ho
    @AthmanIddi-xo7ho ปีที่แล้ว

    Manara hana hela alafu nyie dar sindio mnashikwa matiti na mwijaku kaanza na bausa sasa boxer mtashikwa makalio na mwakinyo

  • @ChibaSuba
    @ChibaSuba ปีที่แล้ว

    Acheni uhanisi uwo mutapigika nyie makuma mwakinyo hamumuwezi Munataka kiki t kupitia kwake

  • @mohamediabdalah7650
    @mohamediabdalah7650 ปีที่แล้ว

    Hujacheza na pac ao . Wala huwezi kujitangazia wewe ndio bondia bara Tanzania

  • @hishamally4846
    @hishamally4846 ปีที่แล้ว

    Mfaume wewe ni bondia mzuri achana nae huyo mtanga kumuwongeleya

  • @pilatoonlinetv9660
    @pilatoonlinetv9660 ปีที่แล้ว

    Kavute bangi vichochoroni huko Mwakinyo sio level zako.

  • @delomastermzee8028
    @delomastermzee8028 ปีที่แล้ว

    We choko tu humuwezi mwakinyo unaimba taarabu tu mchawi mkubwa ww

  • @stanleymlayi5758
    @stanleymlayi5758 ปีที่แล้ว

    Wewe ni Fala Sana wewe unapigana kwaajili ya gari masikini wewe

  • @naftaelnanyaro5000
    @naftaelnanyaro5000 ปีที่แล้ว

    Mfaume ujui unacho kiongea jitathimini kwanza

  • @bashiruramadhani1855
    @bashiruramadhani1855 ปีที่แล้ว

    Huna akili wewe Kama mwimba taarabu wewe je mwimba nn

  • @MusaSelemani-ui1xb
    @MusaSelemani-ui1xb ปีที่แล้ว +3

    Unajua lakini mwakinyo mkubwa

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 ปีที่แล้ว

    Mapambano yake yenyewe anabebwa anaongea upuuzi tu

  • @BekaNzory-te6ld
    @BekaNzory-te6ld ปีที่แล้ว

    umeeekewa pesa mbna wakimbia mfate masaki mrembo ww

  • @hilalmohd8941
    @hilalmohd8941 ปีที่แล้ว +2

    😢😢 Ila lile pambano ulilocheza
    bongo umepigwa😂😂😂

  • @yasinisagogo5787
    @yasinisagogo5787 ปีที่แล้ว +1

    Ww ulipigan huko naulikuwa hujulikani bwan umejulika baada yamwakinyo kushinda unghaibun

  • @iddydaruwesh8650
    @iddydaruwesh8650 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wa kupiga watu vichwa una lolote utajinyea mwakinyo is a champion aka CHAMPEZ MWAKINYO

    • @legangatzmedia4846
      @legangatzmedia4846 ปีที่แล้ว

      Brother acha ushabiki wa ajabu Mwakinyo hawezi mziki wa Mfaume hata siku moja

  • @JosephDadeo
    @JosephDadeo ปีที่แล้ว

    Wataka ufe wewe unaonekana mlevi kabisa

  • @mohamediabdalah7650
    @mohamediabdalah7650 ปีที่แล้ว

    Kingi Hana nidhamu wawapi huyu kingi??

  • @ChristopherSeti
    @ChristopherSeti 5 หลายเดือนก่อน

    We choko2

  • @ZacharyKilango-no3kq
    @ZacharyKilango-no3kq ปีที่แล้ว

    Ww na mandonga wote empty hmn ki2

  • @mduduonline8116
    @mduduonline8116 ปีที่แล้ว +3

    mfaume leo umeongea maaan yule ni shoga kweli taarabu nyingi

  • @MaalimShabani
    @MaalimShabani ปีที่แล้ว

    Mfaume hamuwezi mwakinyo

  • @kiya0910
    @kiya0910 ปีที่แล้ว

    Anatalabu kweli mwakinyo

  • @yussufdemodise6188
    @yussufdemodise6188 ปีที่แล้ว

    Mfaume Mfaume unaongea sana kama taarabu unayowewe mabondia hawana maneno yakike kwa bondia mwenzake

  • @elinihakimsuya1673
    @elinihakimsuya1673 ปีที่แล้ว

    Wivutu sikujua kuwa hunaadabu

  • @MuhafidhinaHemed-ps9ul
    @MuhafidhinaHemed-ps9ul ปีที่แล้ว +1

    We mfaume tafuta mume akufire choko wewe

  • @ZacharyKilango-no3kq
    @ZacharyKilango-no3kq ปีที่แล้ว

    Ww cyo mpiganaji ww nimwimba taarab cyo mwakinyo

  • @cleartzboy
    @cleartzboy ปีที่แล้ว

    Mwakinyooo MTU mbaya sana

  • @saidirandon
    @saidirandon ปีที่แล้ว

    Oya umeongea sure jesh

  • @JumaOmar-o1p
    @JumaOmar-o1p 10 หลายเดือนก่อน

    Kutafute mume mfaume

  • @saidinyoni2463
    @saidinyoni2463 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mfaume bado Sana Tena Sana kwa mwakinyo manala kamchokoza ila wewe mfaume ndio choko najua watu wivu huo kwani ukikubali Kuna tatizo

    • @athmanilatifu8648
      @athmanilatifu8648 ปีที่แล้ว

      Ww mfaume acha misifa

    • @athmanilatifu8648
      @athmanilatifu8648 ปีที่แล้ว

      Mfaume tafuta changamoto nnje achana namwakinyo kwani mpaka mpigane namwakinyo

  • @santinosabugo2114
    @santinosabugo2114 ปีที่แล้ว

    😂

  • @mashannapapaaa9582
    @mashannapapaaa9582 ปีที่แล้ว

    Nyinyi niwanafikitu wakinyo alishapamdakiwango kijina nakiuwezo wakupigana nyinyiniwatotowaketu mwakinyo siolevo yenu kiukweli mwakinyo anazoezi ambayo nyinyi hamuyawizi acheni unafiki piliali anakupiga Tena mapema

  • @riccoidd-ln6nn
    @riccoidd-ln6nn ปีที่แล้ว

    Huyu itakuwa mchawi tuuu Acha ushamba safiri ukapanue mawazo kenge wewe ...Umebaki Roho mbaya tuuu.

  • @salimalikhamis6472
    @salimalikhamis6472 ปีที่แล้ว

    Kwa mabondia nilio waona hapa Tanzania nzima hakuna anaweza kupigana na mwakinyo hata mmoja kawaaja mbali Sana kwa kila k2 mpka kuongea hawamuwezi sio kuingia ulingoni 2

  • @MohammedAlly-eo5yy
    @MohammedAlly-eo5yy ปีที่แล้ว

    kweli namini mdomo nyumba ya maneno ingekuwa ayo maingezi yako ni kweli twaona mapambano yako tele wapewatu kutengezewa jina na mabondia wa mchongo mm Nina uwakika ata ibrahim yupo juu kuliko ww wewe levo zako ni za kina mandonga

  • @RahimHassan-bh3mm
    @RahimHassan-bh3mm ปีที่แล้ว

    Dogo Huna uwezo wotewote wa kupigana na mwakinyo endelea kukaba uko kwenu mabibo mwakinyo atakuuwa acha bifu Huna mafanikio yeyote nyie ndio msiopenda maendeleo

  • @reinfridlipili5666
    @reinfridlipili5666 ปีที่แล้ว

    Nlikuwa namuona Mfaume ana busara lakini leo namuona wa hovyo kabisa ingawa hata Mwakinyo ana dharau!

  • @ratoboyratotabia459
    @ratoboyratotabia459 ปีที่แล้ว

    Kumbe mapafu ya panya ni uyu alafu cjui analiwa uyu jamaa kiukweli Mzee naangalia sana fight zako akuna kitu mzeee

  • @iddydaruwesh8650
    @iddydaruwesh8650 ปีที่แล้ว

    Nafasi yako ni nyota 000 sasa kutaka kupigana na mtu mwenye nyota Zake nenda kwa huyo ASHURA CHEUPEE wako aka domo kaya

  • @Africa822
    @Africa822 ปีที่แล้ว

    Pambo la mfaume mfaume na mwakinyo ni ushidi wa point au draw ila hakuna KO.
    ila nashauri pambano lipigwe urusi au south Africa

  • @andrewmmassy5204
    @andrewmmassy5204 ปีที่แล้ว

    Semunyu anitafute tupigane wenyewe Kwa wenyewe kwanza Yani labda TWaHA vs kidunda au mwakinyo vs mfaume au ibra class vs Dulla mbabe

  • @sadunabdallah7303
    @sadunabdallah7303 ปีที่แล้ว

    Amumuwezi acheni kujifanisha nae nyinyi watt wa bongo washamba sana cc watt wakitango ndo wajanja wenu kwaiyo aliejuu ndo juu2 mwakinyo mkali kuliko mabondia nyote apa Tanzanian

  • @cleartzboy
    @cleartzboy ปีที่แล้ว

    Mwakinyooo atawapiga na taarabu hayo hayo mnayo sema

  • @BajuAhmed-qb7mr
    @BajuAhmed-qb7mr ปีที่แล้ว

    Maneno tyu hayo hata kwenye kanga yapo we fake tu humuwezi mnyama kinyo boy the warrior .ingekua mi ndo mwakinyo watu kama nyinyi ninge wakanda na izo tunguli zenu munazo ziamini na sio uwezo mulio nao.

  • @islamkarata9655
    @islamkarata9655 ปีที่แล้ว

    kama una uwezo ungetolewa crec kwenye fuvu la kichwa mbwa wewe 🤣

  • @AbdulBronze-c5f
    @AbdulBronze-c5f ปีที่แล้ว

    Daaah kumbe na wewe kunjani yani unamuwaza mwakinyo daaah piga tiz acha taarabu

  • @SalvatoreKalinga
    @SalvatoreKalinga ปีที่แล้ว

    Mapafu yambwa Salut Sana champion huaga unajiamin sana ci ulingoni ci uraian

  • @cmb6342
    @cmb6342 ปีที่แล้ว

    Kaa ukijua kuwa mwakinyo cyo iddy pialali aliekupasua na atakupasua