MREMBO WA KITANZANIA ANAEENDESHA GARI LA TAKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 มี.ค. 2020
  • Tumaini Mboya ni mwanamke wa Kitanzania anayejihusisha na udereva, hususani wa kuendesha magari ya kubebea Takataka.
    Licha ya uzuri ya uzuri wake na kuwa na familia lakini anajiongezea kipato kupitia udereva wa magari ya kubebea Taka.

ความคิดเห็น • 100

  • @nammysamson1081
    @nammysamson1081 4 ปีที่แล้ว +12

    My mom out there hustling that's the meaning of equality to both gender shout out to my beautiful mom❤❤❤💋💋💋

    • @tumainimboya1352
      @tumainimboya1352 4 ปีที่แล้ว +3

      Thank u my daughter i love u

    • @kingnicky2568
      @kingnicky2568 4 ปีที่แล้ว

      Nakubali sana haka kafamilia Mungu awabariki

    • @kelvin8324
      @kelvin8324 3 ปีที่แล้ว

      Happy mothers day to her...she's a super woman 👩 💐

  • @user-xx8jx6tb7d
    @user-xx8jx6tb7d 8 หลายเดือนก่อน

    Safi sana Sasa wew unaechagua Kaz baki na usharobaro wako hapo sisi tu nasafsha vyoo kila sku na tunasonga mbele

  • @lilianievaristo5922
    @lilianievaristo5922 2 ปีที่แล้ว

    Jamani hongera sana ,I really like it

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 ปีที่แล้ว

    Honger mwaya fanya kaz kwa bidii usikatishwe tamaa na maneno ya walimwengu hata ukipata gar la kuzibua caro la maji taka fanya kwa moyo 1MUNGU akubariki🙏🙏

  • @kastorngulwa1811
    @kastorngulwa1811 3 ปีที่แล้ว

    Sio mi mwanamke anawaz kudanga tyuu
    Kip.it up Lady go on!!!

  • @mohamedaminati5143
    @mohamedaminati5143 3 ปีที่แล้ว +1

    Iyo kazi nimeipenda

  • @slayingtee6044
    @slayingtee6044 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi ni kazi haina kuchagua. Safi sana

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 4 ปีที่แล้ว +5

    Super woman Kama Mimi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 ปีที่แล้ว

    Jamani sura na kazi hebu uachane nazo. Hongera dada. Kaendeshe bus la abiria. Wamama mko makini. Hata ukiolewa usiache kazi yako. Mko watulivu barabarani.

  • @irenejeremia6483
    @irenejeremia6483 3 ปีที่แล้ว

    Safi kabisa!!! Nimempenda anajiamini

  • @salumuseremani4475
    @salumuseremani4475 4 ปีที่แล้ว +10

    Hongera kwake super woman

  • @christianmvula2140
    @christianmvula2140 3 ปีที่แล้ว

    Hongera yake dada yuko vizuri

  • @nickomlimbila217
    @nickomlimbila217 4 ปีที่แล้ว +3

    NIMEMUONA JUZI KATI HAPO MAENEO YA MSIMBAZI CENTER

  • @ladislaussulley8761
    @ladislaussulley8761 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana,

  • @violethnatai7890
    @violethnatai7890 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Tuma

  • @egidiusthadeo5573
    @egidiusthadeo5573 4 ปีที่แล้ว

    Ongera!
    Wewe Ni mama wa shoka!

  • @paskalrichard237
    @paskalrichard237 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaa mzur

  • @agnesdeodatus6905
    @agnesdeodatus6905 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana da hope kaza msuli kazi haichagui shogaangu ❤😘

  • @deviskaliare5420
    @deviskaliare5420 2 ปีที่แล้ว

    My super woman,

  • @ricksonlyimo5594
    @ricksonlyimo5594 3 ปีที่แล้ว

    Hawa the bus driver uyu ni super woman

  • @manyakigeorge9221
    @manyakigeorge9221 3 ปีที่แล้ว

    Congrats mama!pambana ya Ela yote!

  • @lizzynkifu4179
    @lizzynkifu4179 4 ปีที่แล้ว +1

    🔥

  • @alphoncinajohn748
    @alphoncinajohn748 4 ปีที่แล้ว

    Big up mummy. 😘😘😘

  • @danielombela1237
    @danielombela1237 4 ปีที่แล้ว

    Hiyonikaz mama kazinyingine nikawaidatuu hilo msishangae udereva siajabu

  • @big_chipi_tz
    @big_chipi_tz 4 ปีที่แล้ว +4

    Mommy ♥️🥺 endelea kututengenezea njia mama yangu nakupenda sanaa

    • @tumainimboya1352
      @tumainimboya1352 4 ปีที่แล้ว

      Nakupenda sana daughter sorry kwa kuchelewa kujibu

    • @kingnicky2568
      @kingnicky2568 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂kafamilia noma

  • @omarynyika5288
    @omarynyika5288 4 ปีที่แล้ว +1

    Super woman

  • @zwainazwaina9808
    @zwainazwaina9808 3 ปีที่แล้ว

    Mashllh

  • @imamrema1880
    @imamrema1880 4 ปีที่แล้ว +2

    👑👑Malikia wa nguvu 👑👑

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah malkia wa nguvu

  • @edwinekahatano8472
    @edwinekahatano8472 4 ปีที่แล้ว

    Bigup sanaa

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 4 ปีที่แล้ว +3

    Message my sister good 🇺🇸

  • @lovvy854
    @lovvy854 4 ปีที่แล้ว +1

    Usishangae wala usione hatari sio ajabu waache kina mama wa husl ausio babake

  • @mr.sundayjames4054
    @mr.sundayjames4054 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahi sana.anajitambua dada huyo

  • @aanigalway5483
    @aanigalway5483 4 ปีที่แล้ว

    🥰🥰👌

  • @johnsonjosephat1701
    @johnsonjosephat1701 4 ปีที่แล้ว +1

    Ckupingii Suka ndani ya Scania P310

  • @ombenmichael3473
    @ombenmichael3473 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Mdada ni mzur

  • @revockatuskihecka7553
    @revockatuskihecka7553 4 ปีที่แล้ว

    Super women

  • @daudirajabu6798
    @daudirajabu6798 4 ปีที่แล้ว +1

    Wandishi habar bongo hamnaga kaz

  • @witneskilinda5034
    @witneskilinda5034 4 ปีที่แล้ว +1

    dada mjanja be blessed

  • @revocatusjuma7401
    @revocatusjuma7401 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada we n mtu wa mfano kwa hao wanaojiona wazur uzur cyo sura uzur n yale uyatendayo na kwa hakika unatenda vyema kwan unatuondolea adha ya uchaf katka mazngra yet ndo jambo jema kulko kupiga pafyum wakat umeacha kiloba cha taka koridon kwako na kinatoa haruf mbaya. Nakuombea kaz yako ikaw ya baraka na kuokanika katka jamii mung awe nawe ........

    • @tumainimboya1352
      @tumainimboya1352 4 ปีที่แล้ว

      Asante sana ni mwendo wa kupambana tu hakuna namna

  • @godfreymongomongo7505
    @godfreymongomongo7505 4 ปีที่แล้ว

    Saf dada

  • @wazirisukari5178
    @wazirisukari5178 4 ปีที่แล้ว

    Ingekuwa ni zile chakavu mbaya za mtaani asingeendesha ukikaa mbele harufu unaiskia tu

  • @zenj1986
    @zenj1986 4 ปีที่แล้ว +6

    Jamaa aliona bora ajaribu zari. Aliposikia ana mume na watoto anapata homa. 🤣🤣🤣

    • @georgembugua1565
      @georgembugua1565 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @DonMC007
      @DonMC007 4 ปีที่แล้ว +1

      Huyu pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Millard Ayo nawaona hawajui kufanya kazi professionally.

    • @songambelesonga2208
      @songambelesonga2208 4 ปีที่แล้ว

      Kwer

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว

      Hahahaha eti ajarib zari

  • @pureboy9095
    @pureboy9095 4 ปีที่แล้ว

    💇💇🙏

  • @betrecmkwasa9891
    @betrecmkwasa9891 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana hakuna kuchagua kazi eti kisa mzuri kwanii mzuri hataki hela asee

    • @tumainimboya1352
      @tumainimboya1352 4 ปีที่แล้ว

      Aloo hapa ni kazi tu uzuri tupa kule

  • @lovvy854
    @lovvy854 4 ปีที่แล้ว +1

    Ausio wajitume kwasana sio kusubiria mabwana

    • @tumainimboya1352
      @tumainimboya1352 4 ปีที่แล้ว +1

      Kupambana ni muhimu sana kwa maisha ya sasaiv

    • @lovvy854
      @lovvy854 4 ปีที่แล้ว

      @@tumainimboya1352 haposawa maana maisha ya sasa nikusaidiana kwa mume na mke ndio maanake

  • @cassyaugust4585
    @cassyaugust4585 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji amekomaa na uzuri tu..

    • @nataemsuya
      @nataemsuya 4 ปีที่แล้ว

      Ujinga nao

    • @jumabakari1468
      @jumabakari1468 4 ปีที่แล้ว

      Mtangazaji anakneka fataki Sana maana kila mda uzur uzur mmhh

  • @aminiaabdallah301
    @aminiaabdallah301 4 ปีที่แล้ว

    Yani brother miradi habari yoyote inayomuhusu mchaga lazima uitowe!!! Nivizury muwe mnatowa na habari za wengine jamani duhhh kaskazini tu??

  • @marcodominico9503
    @marcodominico9503 4 ปีที่แล้ว +5

    MYANGAZAJI UNANG'ANG'ANIA UZURI MARA KUOLEWA .- KWANI UZURI NI NINI?
    NA VINA UHUSIANO GANI NA KAZI HARALI YA MTU ALIYO ICHAGUA MWENYEWE ?

    • @kazikazini1042
      @kazikazini1042 4 ปีที่แล้ว

      Amepwaya

    • @joycejaphet7951
      @joycejaphet7951 2 ปีที่แล้ว

      Hongera Tumaini kimaro Sanya juu moja hiyo hatutaki mchezo

  • @majaliwamsigwa3974
    @majaliwamsigwa3974 4 ปีที่แล้ว

    Wadangaji mmeisoma hiyooo!!!,igeni kwa Dada jasiri

  • @baltzrluus3287
    @baltzrluus3287 4 ปีที่แล้ว +3

    huyu huwezi kusikia amepigwa na Aslay, nadhani tumeelewana au niongeze volume.

  • @kerjoyofficial9213
    @kerjoyofficial9213 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha magufuli amsifia hapa Nazi tu tazamath-cam.com/video/woma86iq0VE/w-d-xo.html

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 4 ปีที่แล้ว +2

    Alafu wanawake saivi siyo kama zamani,wanakaba mpaka ajira zetu wanaume.tukomae nasi wanaume ili baadhi ya kazi wasiendelee kuiga.

    • @graceandambike122
      @graceandambike122 4 ปีที่แล้ว +1

      Erick chitumbi hahaha

    • @tumainimboya1352
      @tumainimboya1352 4 ปีที่แล้ว

      Tupambane tugawane riziki

    • @user-xx8jx6tb7d
      @user-xx8jx6tb7d 8 หลายเดือนก่อน

      Tatzo nyie wanaume si hatak Kaz ngojen sisi tupambane sasahv hamna Kaz ya ke wala me kinachotakiwa ni upambanaj wako Sasa kama ww utaangalia kusemwa au kuchekwa unakaa pemben.

    • @erickchitumbi1308
      @erickchitumbi1308 8 หลายเดือนก่อน

      @@user-xx8jx6tb7d mnapata kazi wakati mwingine kwa kigezo cha jinsia na siyo ubora.

  • @salmajuma4015
    @salmajuma4015 4 ปีที่แล้ว +3

    Unashangaa gar Tupo tunaoendesha maisha ya wanaume sembese gani😂😂

  • @massuodrashid8718
    @massuodrashid8718 2 ปีที่แล้ว

    Hujmb bidad

  • @kusinimediatz6747
    @kusinimediatz6747 4 ปีที่แล้ว

    Super woman

  • @nasramussa2750
    @nasramussa2750 4 ปีที่แล้ว +3

    Super women