MFALME WA OMAN AJENGA FAKHARI YA MSIKITI ZANZIBAR
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2024
- Mfalme wa Oman, SULTAN QABOUS ajitolea kujenga msikiti mkubwa viswani ZANZIBAR , na kufunguliwa rasmi na RAIS wa ZANZIBAR na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dkt, Ally Mohammed Shein. #hakikahiinifahariyetu #hakikahiinifahariyetu
Alhamdulillah. Kwaneema kubwa hii kwajitahada zilizopita kwa wotee waloshiki mpk kufanikisha nakufarijika umma hapo kisiwani Zanzibar nawatu wake nakila wageni wanokuja hapo kwajili ya kumtii Allah subhanahu wataala.Allah akupe umur tawwil .sihha na afya mfalme mtukufu muadilifu Qabos bin said .naviongozi wote hapo kisiwani Zanzibar. Wabillahi tawfiq.
Mashallah mfalme kabous umefanya kwa ajili ya Allah. Na Allah akupe kheri duniani na kesho akhera
ما شاء الله، صرح ديني و ثقافي عظيم.
ألف شكر للسلطان قابوس و حكومة سلطنة عمان.
Mashaallah sultan kaboos Allah akulipe pepo ya fildaus,weweni mfano dunianzima.
Allah akujaalie kila la kheri katika maisha ya dunia na Akhera akupe na afiya njema
Mashaallah...M/Mungu amzidishie Afya na nguvu aongeze na mwengine inshallah
Mashaallah. Alhamdulillah. Allah awajengee na wao peponi amin
Very happy to see this development and loving caring from our fellow bro of Oman.thanks Sultan qaboos. JazakaAllah kheir.
Masha Allah masha Allah barakallah fiki jazakallah kharin
Mungu awabariki na awafungulie milango ya janatul firdaus
Amiin Yaa Rabb
Masha Allah, tunawatakia wahusika wote jazzakallahu khayran
Shukran Abu Qaboos Kwa kujenga masjid jamaa Qaboos Ni MTU WA kuigwa Na Marais wote dunian Allah amlipe heri inshallah
Mashallah Mungu awape moyo zuri ila wasitake Kuwazuru tuu hao wa Oman
Mashallah mungu akubark mfalme kabus shukran kwa msikiti mkwa waislaam tujitahidi kufanya ibada
Jazakall Allah, kwa mfalme Wa oman
Ma shaa Allah Allah atamlipa malipo mema
maa shaa Allah...ALLAH amrehemu SULTAN QABOOS....
That's beautiful mashallah , love love love. it..absolutely love it..💛💙💚
Jazakallah khayran jazylah
Nijambo jema sana na mungu ambariki sana mfalme lakini misikiti ya kisasa siyo hitajio la waslamu wa sasa shule ndiyo hitajio la waslamu wa leo mkipata nafasi za ufadhili ombeni vitu vyenye maslahi makubwa zaidi kwa watu wenu kama shule, Hospitali na nafasi za ajira kwa watu wenu badilikeni viongozi
Allah ampee nuruu ya qaburini allah humaa ameeni 🖤
Mashallah Allah amjalie afya njema kaboos
ماشاء الله شكرااا لسلطنه عمان وعلي رأسها الشيخ سلطان قابوس محبكم من أرض النيلين
Allah awalipe kher ndugu zetu wa oman Allah awApe kila kher watuone kwa hili najengine Ishaallah
amefanya kwa ajili ya allah atukanwe au waambiwe wabaya jaza yake ataikuta msibebe majukumu inshallah inatosha
Masha allah Allah amhifadhi
MashaAllah,jazaka Allah kheyrrr
الحمدلله حق حمده
اللهم اجعله في ميزان حسناته مكفرا من الذنوب والخطايا .
اللهم صب ع جسده الصحة والعافية والراحة أنك على كل شي قدير .
نبارك لأهلنا في زنجبار لهذا الصرح العظيم الطيب المبارك بذكر الله وبإذن الله . تستهلوا الخير
Allah ampe pepo kama malipo kwa mema aliyoyafanya....Aaaamin
Mashaallah Allah amzidishie inshaallah...mskiti mzuri wallah Mashaallah
mashaallah mungu atamlipa ujira ulio mwema
halamfu mjitie warabu si watu nyieeee
Munqu ampe mfya njema sultani Qaboos nshalla
Allah Amuweke pema peponi Ameen Umpe pepo yako tukufu ya Fridaus Ameen🤲 ❤
Amiin
Masha Allah mungu akulipe Inshaallah
Mashaalah..!!
Mashaa Allah
Masha'Allah Alhamdullillah
Maa sha allah ❤❤❤❤❤❤❤
mansh Allah sultan Qaboos
mashllah jazaka ullah khari
Mashallah Allah akbar
MA SHA ALLAH
Barak-Allah Fiik Qabus
Allah anijalie na mm nitoe mchango wngu inshaallah
mashaallah mashaallah hiyo nisadakatulijaaliya msije tuu mkagombana maana watu wakwetu ni balaaa
Mashaallah.alhamdulillah
Mashallah niatakujakuswali inshallah
Manshallah mungu adhidi kumpa kheri ya Maisha yake
mashallah mungu awalipe kher walojenga mskt huu
Mundhir Hamad waliojenga ni mafundi ila aliejengesha ni mfalme mwenyewe kutumia wasimamizi wake.
mashalah Mung amlipe kheir inshalah upo sehem gani huo msikity
Salha Mm k/samaki zanzibar
mwenyenzi mungu amzidishie zaidi yaicho alicho kifanya
Hongera sana Muarabu wa Omani.
ccm vp huo mskiti mutaukubali au mutaufunga kwa vile umejengwa na Muarabu.
ilo nalo nenoooooo hhhhh
vp
Rashid Seif Ww bwana msikitini na vyama haviiendani kabisa kwa hiyo kua makini na maneno
Acheni ujinga na ndio maana hatuendi mbele kwa Kila kitu kuchanganya na siasa
Mungu Akuzdishie kabos
MashaAllah ❤️❤️❤️❤️❤️
Waislam takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir
mashallah'mungu'awajaalie
Mashaallah our ZANZIBAR
mashallah mashallah
mashaa allah
Maa Shaa Allah
Mabrook
Ma shaa Allah. TabarakAllah
allah amfanyie wepesi katka mambo yake
maa shaa allah
Mashallah basis pia twahitaji hata mskit wa mit kwa udongo karbu kilwa wafadhil
Qur'an is my book
في ميزان حسناته
الله يرحمه ويغفر له ويسكنه فسيح جناته يارب
Mashallah oman and zanzibar
kwa pesa za Qabus basi hapa washaiba,huu msikiti hauendani na hadhi yake misikiti hii hata mchango unajengwa
Mashallwah
mashaallah msiki mzuri
Mashallah imependeza ❤😍
Mashalah alaf muwatukan waaarabu loh
Shuwekha Ally kwann tena watukanwe na anaejiskia kutukana basi aendelee kutukana huenda badae akapata malipo yake, nikiua basi ntauliwa na nikiiba nitaibiwa, dhulma ntadhulumiwa, nkikucheka ntachekwa, kwa hivyo nkitukana ntatukanwaaa
Mashallah nice
جميل
Beautiful mashallah
Mashaallah mola abariki jamani
Mashaallah alhamdulillah
mashallah Allah awalipe kila lakher
Allah awabark na awape karmaa ilo kuwa thaaabit
Yaa Allah wape afya na uwaongoze viongozi wote, Amiin. Dua ni silaha ya muumin, lkn sasa tunaona labda nguvu au matusi ndio vinavyoweza kusaidia. Ukiona usilolipenda au kulitaka na wakti unajua huna uezo wowote omba dua nzuri. Tungekua tunawaombea dua viongozi wetu Allah angewabadili. Inna Allah ala kulli shay in Qadiir.
Sasa tunazozana kafungua nani alikua afungue nani? Anayefungua ndie Allah kampa khatwa. Bila ya Allah asingeweza kufika hapo
Amin
افتخر بهل عمان
Nazani kwa suala lamskiti ZNZ AL HAMDUL LLAH nazani tungesaidia masuala mengine kuna wa2 wana magojwa sugu, familia nyengine hazijiwezi wa2 wa nchi hii wana matatizo lukuki sio mbaya kujenga mskiti lkn naona sasa kuna kushindana huyu kajenga wa mita 200 huyu antka ajenge mskiti wa mita 300,, kuna shida nyngi znz kuchimba visima, madrasa zinapotea..
Mashaallah. allahisadik
MashaAllah
Inasikitisha kuona mambo ya kimaani wanshilikiswa wale wanaotesa waislamu
mashallah kumbe waarabu na wazazibar ninguguee
hiyo ndio sababu ya watanganyika kutowaachia wazanzibar
Mashallah Qaboos 🙏
Mungu akuripe baba yetu kabusi wa omani bass watanzania atuna cha kukuripa mola atakuripa mengi kwa mema yao
.ma shaa Allah
Mwafanyiwa mutakavo halafu kwenye kampeni zenu mseme waarabu sio watu ni machotara
Kwani jamani muarabu akiambiwa chotara hua kapungua nini au kazidi nini, hebu tuacheni kuzozana kwa mambo yasiokua na mana.
Hamis Hamis , bora uwambie asa huenda wakaelewa
We vipi yeye amejenga ili apate malipo kwa Allha hayo mengine no yako
Oky inshalaa mung akitujaalia karibu nakuja huko Zanzibar
Mashaallah
MA SHA LLAH
Mashallah mashallah mashallah
assalam alaiukum na wale waliokufa 1964 waombeeni dua mmewazulumu basi hata Dua ndugu zangu
Ktv mpo sawa, mmeleta mapinduzi ya utangazaji wa televisheni visiwani.
That music at the beginning is beautiful, who made it?
mashallah
mashaallah allah anfanyie wepes na sisi tuwe na moyo km huo allah akitujaalia inshallah
Munguatujali sepsis aminyarabalalamin
mashalah