WATANZANIA WANUNUA KANISA U.K NA KULIGEUZA MSIKITI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 223

  • @fahimtalib5705
    @fahimtalib5705 6 ปีที่แล้ว +8

    Allah atawalipa ujira usiohisabika duniani na akhera aamin

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

      Siku siyo nyingi ulaya kutakuwa na vita vya kidini na hili nakwambia kwa miaka mitano ijayo utakuja kulalamika hapa kwamba wazungu wabaguzi

  • @zainabzanzibar1518
    @zainabzanzibar1518 6 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah ,Allah awalipe Duniani na akhera

  • @DottoRajab
    @DottoRajab 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah allah atujalie mora wetu

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah, nimefurahi sana kwa hili.

  • @suleimanally9399
    @suleimanally9399 6 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah may Allay give you access to complete the outstanding dept

  • @jumafaida-p6n
    @jumafaida-p6n หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Allah awape nguvu ❤

  • @rasykizanjbari4996
    @rasykizanjbari4996 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha allha,, ALLAH awajaalie her

  • @abdallahmohammed8622
    @abdallahmohammed8622 6 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallah , vizuri sana Allah atakuzidishieni kila LA kheiri

  • @rahmaa.naim.9391
    @rahmaa.naim.9391 6 ปีที่แล้ว +5

    Inshaallah kwa uwez wa Allah itatimia amiin

  • @abuhassan9552
    @abuhassan9552 6 ปีที่แล้ว +3

    MASHAALLAH ALHAMDULILLAH ALLAH ATAWAJAZA KHEYRI DINIANI NA AKHEYRA

  • @a.a.7029
    @a.a.7029 6 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Mungu awazidishie 👍

  • @augossmoshi2998
    @augossmoshi2998 6 ปีที่แล้ว +1

    maashaallahu
    Allahu atufanyie wepesi

  • @greenflower2078
    @greenflower2078 6 ปีที่แล้ว +1

    Inshaallah mwenyezimungu atatupa wepesi na atatufanikisha kwa uwezo wake ya ALLAH kulimiliki sisi Waislam jengo hili Aamin

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

      Ungejua nchi nyingi za ulaya wanafanya mpango wa kuwaondoa waislam wote walio hamia huko ungekaa kimya.Sasahivi ulaya kuna chuki kubwa juu ya waislam kwamba wanaharibu culture yao na kulazimisha dini ya kiislamu kwa nguvu.

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 7 หลายเดือนก่อน +1

    Good

  • @asiaokeay1654
    @asiaokeay1654 6 ปีที่แล้ว

    inshaallah mungu atawafanyia wepesi mtalipa deni lilobaki

  • @allysaidy9254
    @allysaidy9254 6 ปีที่แล้ว +1

    MashaaAllah..... Allah karem....

  • @nainasmash6966
    @nainasmash6966 6 ปีที่แล้ว

    inshaallah allah awalipe kila la kheri inshaallah

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 ปีที่แล้ว

    ALLAH afanye wepesi malipo yakamilike, Na pia ALLAH awatizame kwa jicho la REHMA kwa kuanzisha jambo hilo

  • @todaywithahmeds3309
    @todaywithahmeds3309 6 ปีที่แล้ว

    Excellento. Future of watanzania has started

  • @tatimafahad9376
    @tatimafahad9376 6 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Allah ajarie kheri Inshaallah

  • @neemajumabernson2427
    @neemajumabernson2427 6 ปีที่แล้ว

    mwenyezi mungu wajalie awaongee subra malhal

  • @yussufseif8005
    @yussufseif8005 6 ปีที่แล้ว

    Mumefanya vizuri sn mungu yuko pamona na hilo

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 6 ปีที่แล้ว

    MwenyezMungu abarik

  • @tawfiqissa6123
    @tawfiqissa6123 3 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja sanaaaaaaaa 💪

  • @zaidumohd3125
    @zaidumohd3125 6 ปีที่แล้ว +4

    mashaullah m/ajalie wepesi kwahilo najengine lanyekheri

  • @rahmahussein8139
    @rahmahussein8139 6 ปีที่แล้ว +4

    Allah is the greatest ..mashallah

  • @mozamansour7912
    @mozamansour7912 6 ปีที่แล้ว +5

    Alhamdulilah,Baarakallahu feek

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 6 ปีที่แล้ว +3

    porojo za Kanisa kugeuzwa msikiti naona hailink ,,,ila ujumbe hapo Ni Kanisa linauzwa kwa maana ya jengo ,so u re very right kununua huo mjengo Mungu awafanyie wepesi

    • @pilij9169
      @pilij9169 6 ปีที่แล้ว

      Ibrahim Gwasma unachokata hapo nini?

    • @suhailamohammed1090
      @suhailamohammed1090 6 ปีที่แล้ว

      mashallah

    • @AllyHilal
      @AllyHilal 6 ปีที่แล้ว

      Ukisomea uwandishi wa habari utaona umuhimu wa kichwa cha habari. Hapo ni kukuvuta ili kutengeza concentration . ipo sawa.

  • @omarymasoudykisondo389
    @omarymasoudykisondo389 6 ปีที่แล้ว +3

    Very good! Allah is great

    • @hamidaala2832
      @hamidaala2832 3 ปีที่แล้ว

      MashaAlha.AlhahuAkbaru😭😭😭😭😭mashaALHA

  • @HileHile-ns9xv
    @HileHile-ns9xv 9 หลายเดือนก่อน

    Maasha Allah atawalipa

  • @bintalhwamer5291
    @bintalhwamer5291 6 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah jadhaka Allah kheli

  • @nassorrashid6441
    @nassorrashid6441 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah tabaarakah Rahman

  • @kiberahaji1758
    @kiberahaji1758 6 ปีที่แล้ว +1

    Allah awawezeshe.

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 6 ปีที่แล้ว +7

    Ni vizuri km mnapanunua na kupaendeleza kuwa mahali pa ibada,naona ni heri tuu hasa kwa huku ulaya,mfano huku germany kuna makanisa mengi sana hayatumiki pia na ni ya kizamani mnoo,walitumia sana wayahudi Sasa yamekuwa historia,na si rahisi kujua wapi kuna msikiti mpk uchunguze sana na ukijua mahali msikiti ulipo bac ni mbali sana na Hapo ulipo,lkn makanisa Kila mahali ukipita unayaona,mm Nafurahi pia kuona Watu wananunua sehemu kama Hizo zilizosahaulika na kuziendeleza kwa ibada za imani zetu.

  • @hhmanyamba2871
    @hhmanyamba2871 6 ปีที่แล้ว

    mungu anaonyesha uwezowake

  • @yussufmwamwi8546
    @yussufmwamwi8546 6 ปีที่แล้ว +3

    IshaAllah kher Allah atu fanyie wepes kuli kamilisha hili

  • @ahmadalshidi2016
    @ahmadalshidi2016 6 ปีที่แล้ว +1

    mashaaAllah

  • @zubemussa1915
    @zubemussa1915 6 ปีที่แล้ว +2

    Mashaaallah

  • @khadijakhalfan5264
    @khadijakhalfan5264 6 ปีที่แล้ว +3

    Inshaa Allah M/mungu atatoa wepesi na riziki ili lifanikishe jengo letu yarabbi

  • @machanokhamis3300
    @machanokhamis3300 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzdishien wepes kwa kla jambola heri

  • @hamishamis9905
    @hamishamis9905 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni kwa jitihada zenu Allah atawasaidia

  • @maisha2207
    @maisha2207 6 ปีที่แล้ว +2

    Inshaa Allah Mwenyezi Mungu ataliongoza

  • @biashaserenje8468
    @biashaserenje8468 6 ปีที่แล้ว +12

    Maa shaa Allah

  • @hudhaifswamir4494
    @hudhaifswamir4494 6 ปีที่แล้ว +3

    maashaallah

  • @bahashachembea6922
    @bahashachembea6922 2 ปีที่แล้ว

    Allahu Akbar

  • @ramadhanimlegelo7400
    @ramadhanimlegelo7400 6 ปีที่แล้ว +2

    Mash'allah

  • @kadozawakadoza5955
    @kadozawakadoza5955 6 ปีที่แล้ว

    Allah Akbar

  • @najmaibrahim7947
    @najmaibrahim7947 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashallah 😍 😍

  • @safiaramadhan1422
    @safiaramadhan1422 6 ปีที่แล้ว +4

    mashaaallah

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 6 หลายเดือนก่อน

    Ujanja ujanja huu katika dini mtapigwa pesa

  • @abuuissa1642
    @abuuissa1642 6 ปีที่แล้ว

    Takbeer

  • @hundamaniamania872
    @hundamaniamania872 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana👏👏

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 6 ปีที่แล้ว +1

    masha Allah

  • @nassorchum3327
    @nassorchum3327 6 ปีที่แล้ว

    yeah nice

  • @frankmpinga3295
    @frankmpinga3295 6 ปีที่แล้ว +5

    Mungu pekee ndie anaye jua ni dini na mtu yupi wake

  • @seifmassoud2686
    @seifmassoud2686 6 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah!

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah 🙏❤️❤️😘

  • @ayshaayush8539
    @ayshaayush8539 6 ปีที่แล้ว +2

    MashaaAllah

  • @mzeemzee7503
    @mzeemzee7503 หลายเดือนก่อน

    KIGIZO CHEMA FADHLA ADHWEEM ❤

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 5 หลายเดือนก่อน

    Uingereza skuhizi watu hawana habari kabisa na dini hasa ukristo utakuta makanisa mengi hayana watu, yanabaki majengo tuu watu wako bize na ushoga

  • @khamisjuma4691
    @khamisjuma4691 6 ปีที่แล้ว

    Nashukuru.duguzagu.nikopaja.na.yiyi.mugu.mkwa

  • @abdallahabraary
    @abdallahabraary 6 ปีที่แล้ว +1

    Angalieni Abraar Tv

  • @cliff_drdr7340
    @cliff_drdr7340 6 ปีที่แล้ว +1

    Asalam alykum ndugu zangu Waislam. ingelikuwa vizuri hiyo namba ya Bank ingeandikwa itakuwa vizuri na ya usalama kwa mtumaji(mchangiaji). ndugu zetu wa KTV TZ tusaidieni jinsi ya kuipata namba ya Bank.

  • @bakarmakam3105
    @bakarmakam3105 3 ปีที่แล้ว

    Nakubalini waisilamu wezangu

  • @teefahbaby352
    @teefahbaby352 6 ปีที่แล้ว +2

    mashallah

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 6 ปีที่แล้ว +2

    mashallah mashallah

  • @namisgiggah1571
    @namisgiggah1571 6 ปีที่แล้ว +2

    Mashallh

  • @AminaKhamls
    @AminaKhamls 6 ปีที่แล้ว +3

    Allhamdulilah

  • @ahmadishaibufataha1481
    @ahmadishaibufataha1481 5 ปีที่แล้ว

    Ila rekebisha kauli kdg acha ubaguzi mutabadilika lini nyinyi

  • @kanambalimussa4054
    @kanambalimussa4054 6 ปีที่แล้ว +2

    jambo la kheri ila uhakiki wa jambo dunia wajanja wajanja wengi siku hizi.

  • @thauratali3656
    @thauratali3656 6 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah

  • @suleimanonyango2550
    @suleimanonyango2550 6 ปีที่แล้ว

    👍

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc 5 ปีที่แล้ว

    Church, social club it doesn't matter the issue is we bought a place for warship Allah.

  • @aliy3303
    @aliy3303 6 ปีที่แล้ว +4

    Naomba number zipitishwe kwa screen plz

    • @ktvtzonline
      @ktvtzonline  6 ปีที่แล้ว

      Asante mdau wetu kwa kuwa pamoja nasi. Namba zipo hapo juu

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 6 ปีที่แล้ว

    Sema social hall katika heading
    sababu lilikuwa kanisa then likawa social hall...
    any way good moves?
    ila ni dhehebu gani?
    hii evidency inaonesha dini zote zina abudu Mungu mmoja...
    no attachments!

  • @babenealoyce889
    @babenealoyce889 5 ปีที่แล้ว

    Ukitaka kupata pesa au mchango sema kanisa, watachanga tu. Ila ukisema jengo lilitumika kama kanisa zamani hapo mchango utachelewa. Ni lugha ya biashara tu. Ila wakristo hawaoni jengo kuwa kanisa bali ni jengo tu. Ni mtazamo tofauti. Mbona kuna majengo yalikuwa yanatumika kama kanisa na sasa ni pubs au restaurants.

    • @rastafare878
      @rastafare878 3 ปีที่แล้ว

      Wewe haya maneno tu yanaonesha kuwa , una chuki tu 😛😛😛😛😛😛😛

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 6 หลายเดือนก่อน

    Europe ukristo umekufa. Hapa Holland makanisa mengi yamekuwa misikiti.

  • @noahmadal753
    @noahmadal753 6 ปีที่แล้ว

    Sijaelewa hapo lengo la huyo msemaji ni kupata jengo kwajili ya kufanyia ibada zao au kanisa kua msikiti ndo lengo kuu

  • @jebace
    @jebace 6 หลายเดือนก่อน

    waislam hapo mmepigwa na kitu kizito kichwani

  • @iliyasamanzi5667
    @iliyasamanzi5667 6 ปีที่แล้ว

    TAKBIIIIIIIIIIR1

  • @FridayMwassa
    @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

    Hapa Tanzania mbona hatuwaoni wakinunua hayo Makanisa

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 6 ปีที่แล้ว

    hz ni dharau kwani kuna majengo mengi tu ambayo wangeweza kununua na kufanya msikiti lakin kwa hilo naona ni ulimbukeni tu wa uzeeni

  • @mrishomrisho1269
    @mrishomrisho1269 6 ปีที่แล้ว

    Ewee ndugu acha unafki wako ukiwa ss tumenunua mskit liskuome atuja wafkuza wakristo acha ftna jielewa

  • @asiakheir3846
    @asiakheir3846 6 ปีที่แล้ว +4

    Alhamdulillah

  • @fastonsambo-du4rd
    @fastonsambo-du4rd 22 วันที่ผ่านมา

    Si kitu Cha ajabu ulaya kanisa limekufa

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 5 ปีที่แล้ว

    2050 dunian kote dola ya kiislamu

  • @zuriathzubeir3702
    @zuriathzubeir3702 6 ปีที่แล้ว

    Wewe unetukana una wazazi kweli au uliokotwa jalalani?

  • @isayaogola8733
    @isayaogola8733 6 หลายเดือนก่อน

    Kanisa la dhehebu gani

  • @mathayowilson79
    @mathayowilson79 6 ปีที่แล้ว +6

    Kanisa halinunuliwi bali wamenunua jengo la kanisa, kanisa ni watu... umeelewa?

    • @rajabumalipula6135
      @rajabumalipula6135 5 ปีที่แล้ว +1

      Acha chuki kijana hilo ni kanisa Mpumbavu wewe nani alikuambia kanisa ni watu? Peleka mbele upoyoyo wako yuda wewe.

    • @katalayshemndolwa3146
      @katalayshemndolwa3146 หลายเดือนก่อน

      Shule ya uhuru kkoo kanisa liliuzwa na sasa watu wamegeuza na kuwa maduka ya sim palepale karibu na taa za shule ya uhuru

  • @asfarsham9556
    @asfarsham9556 6 ปีที่แล้ว +1

    Heading iwe wazanzibari wanunua ......pls

    • @hamafjr3253
      @hamafjr3253 6 ปีที่แล้ว

      yah kwel

    • @khamismohdhaji6507
      @khamismohdhaji6507 6 ปีที่แล้ว

      Wawesha Nawapa hongera kwa kuweza kununua Kanisa na kuligeuza Msikiti Alla awape Uwezo wa kuligeuza na kulifanya umbile la Msikiti na minara yake Alla Aukuze Uslamu Duniani kote na awafanye Waislam wawe kitu kimoja Duniani kote ni Khamis Wawesha

  • @Digitalhhhhhgfgg
    @Digitalhhhhhgfgg 6 ปีที่แล้ว +2

    Dunia imeisha

    • @hassanmalindi9146
      @hassanmalindi9146 6 ปีที่แล้ว

      Thanks God for your Bless ww mkisto kafili utauwona ufarume wamungu kwakauli yako mungu anatupenda waislam

    • @goodluckmlaki5595
      @goodluckmlaki5595 6 ปีที่แล้ว +1

      Thanks God for your Bless Mazungu wamekua wapagani kabisa sio tu kanisa kuwa msikiti ila hata wamedhubutu kuyafanya majumba ya starehe.
      Ukristo hauwez kufa leo walla kesho Yesu ni yeye ,yule yule, jana leo na milele.

  • @makanikiamsanga906
    @makanikiamsanga906 6 ปีที่แล้ว

    JE NYUMBA YA MAKAFIRI MWAIFANYA MSIKITI?

  • @bolizozoshirima8088
    @bolizozoshirima8088 6 ปีที่แล้ว

    shehe kuma ww

    • @kingiagritech_ltd
      @kingiagritech_ltd 6 ปีที่แล้ว

      BOLIZOZO SHIRIMA
      Kwanini umemtukana

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 6 ปีที่แล้ว +1

      Alhamdulilah MMungu atupe nguvu ya kusimamisha msikiti huo wekeni namba tufanye biashara na MMungu

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 6 ปีที่แล้ว +2

      BOLIZOZO SHIRIMA hasibiyallah Waneemal Wakeel MMungu atakuongoza maana hicho ulakitamka ni utupu wa mama ako tayari ushalaaniwa na MMungu Hasbunallah Waneemal Wakeel

    • @kibongemwiru1769
      @kibongemwiru1769 6 ปีที่แล้ว +1

      BOLIZOZO SHIRIMA Tumia busara BOLIZOZO, matusi hayajengi.

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 6 ปีที่แล้ว

      Alhamdulilah namba nadhani tushaisikia tutaifatilia In Shaa Allah

  • @greenflower2078
    @greenflower2078 6 ปีที่แล้ว

    Wewe unaemtukana shekhe pumbavu mjinga sana wewe

  • @Digitalhhhhhgfgg
    @Digitalhhhhhgfgg 6 ปีที่แล้ว +12

    Mchungaj uku kabadrisha msikiti kuwa Kanisa uku Nairobi nawaumini wote niwakristo ngoma dro

    • @mwanalelee6
      @mwanalelee6 6 ปีที่แล้ว

      Thanks God for your Bless
      .....

    • @JIMBO_MEDIA
      @JIMBO_MEDIA 6 ปีที่แล้ว +1

      Una ushahidi...

    • @jumaally362
      @jumaally362 6 ปีที่แล้ว

      Thanks God for your Bless :tuonyeshe!
      We need evidence

    • @keruboombonyo793
      @keruboombonyo793 6 ปีที่แล้ว +1

      Mimi nipo Nairobi nitajie ni Msikiti gani huo niende kuthibitisha?

    • @Maheer_80
      @Maheer_80 6 ปีที่แล้ว

      Thanks God for your Bless Kwani kuna Ushindani??

  • @steventitus2174
    @steventitus2174 5 ปีที่แล้ว

    Wanafik akuna mmarekan waivyo achen uongo

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 6 ปีที่แล้ว +3

    Kama misikiti ingekuwa ni jibu basi Tanzania ingekuwa ndio Ulaya.. Hamna tofauti na Mobutu aliyejenga mtaa Brussels.. Badala ya kujenga shule na vyuo kwenu eti mnafikiri kununua kanisa UK ndio mmefanya la maana! Wapumbavu mtabaki wapumbavu tu.. Kama kuna nchi hazitaki kuchukua waislamu leo hii Europe.. mnategemea kuifanya UK nchi ya Kiislamu nyie wajinga? You are just getting set up.. Vasegrad4 ndio itakuwa base mpya ya Ukristo kuoambana na uvamizi wa uislamu Ulaya magharibi.. nyie ni hasusa.. Siku vikifumuka huo msikiti utakuwa kifusi na mtatafuta ndege ya kupanda kusalimisha maisha msiione.. UK ina wenyewe.. kama Afrika inawashinda kuijenga.. na mkakimibilia UK.. hivi mnafikiri UK itakuwaje ? Mnatarajia watawaacha salama mpaka mfanye kila kitu misikiti..?? Leo kuna Liberals..kesho kuna Conservatives.. ambao kwa siasa zilivyo sasa Europe.. UTAIFA unaongezeka na pingamizi la uislamu linaongezeka .. Wengi hawataki uislamu.. ambao una kwao! Kama uislamu hauwasadii waislamu kwenye nchi za kiislamu.. msitegemee wazungu wote watausifia..! Hao wanaowakaribisha leo hii .. kwa kuogopa kuitwa RACISTS .. kikinuka hawatachagua upande wenu..!
    Jengeni kwenu mambo ya kunufaisha maisha ya watu wenu.. Badala ya kujenga nyumba za kupangisha Tz mkaendelea kutanua.. eti mnajisifia kununua kanisa Uingereza..? Hivi katika upumbavu wenu mnajiona nyie ni wakoloni wa Uingereza kupitia uislamu? You are in for a big surprise.. Hizo hela wekezeni kwenu..! Kama mnayo akili jengeni kwenu.. you will never conquer these people.. kuwauzia kanisa.. ni njia yao ya kuwafanya pesa zenu zibaki kwao nyie wendawazimu.. na siku wakiwataka muondoke pesa zote zinabaki kwao..misikiti yenu ni kifusi.. Kama uislamu na misikiti ni dili usaidie kujenga Tz. Itachukua baruti chache tu kuivunja hiyo misikiti yenu kikinuka.. which WILL HAPPEN in just a couple years.. Si mnakumbuka mliwafukuza wazungu na kudai uhuru Afrika? Sasa mnafikiri mna nini cha kuwafanya wazungu wawapende sana wakati hata kutengeneza sindano hamuwezi..??? Nyie wapumbavu mtabaki wapumbavu tu..

    • @abubakarimwasumilwe7293
      @abubakarimwasumilwe7293 6 ปีที่แล้ว +2

      Wewe Joseph.
      hzo chukizako haziwezi kuuzima Uislsm Abadani...
      Uislsm ndio dini pekee Inayokubarika Duniani Kooote.. hd hapa Tz..

    • @salimnoor2299
      @salimnoor2299 6 ปีที่แล้ว +1

      jamaa mbona umepanic hivyo

    • @hassanisadiki824
      @hassanisadiki824 6 ปีที่แล้ว

      Joseph Gomalo weee pimbi Kwel Jamn yani wapoteza mda wako kuandik huo upumbavu wako

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 6 ปีที่แล้ว

      @Hassani Sadiki .. Tujulishe ukinunua misikiti zaidi.. we msenge wa akili..! Ninachojua ni kwamba umepata message we msenge..! You will NEVER conquer these people! Endelea kununua makanisa wasiyoyataka.. na UWAULIZE pia kama ARDHI YA MSIKITI NI YAKO PIA?? Halafu tuambie wanasemaje wee PIMBI MSENGE WEE! TUNASUBIRI. Lmao..!

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 6 ปีที่แล้ว

      @salim Noor
      kam unafdikiri nimepanic ni kutokana na upumbavu malionao nyie wapumbavu.. Fanya utafiti utajua.. asiyejua maana haambiwi maana.. Hizo hela zingesaidia watoto wangapi kupata elimu BORA kama mngejenga shule Bongo? Lakini kwa upumbavu pesa mnaziacha Ulaya kwa kununua misikiti wakati wazungu hawana mpango wa kuruhusu Uislamu kuharibu utamaduni wao huko?? .. ? Hivi unaamini katika akili yako.. kwamba kununua msikiti UK umefanya la maana..?? Na kushangaa na kulaani huo upumbavu ni kupanic..? Lmao..!

  • @breechinginlet652
    @breechinginlet652 6 ปีที่แล้ว

    That was social Hall not A Church!!???

  • @khairatmohd9051
    @khairatmohd9051 6 ปีที่แล้ว +1

    maashaa allah

  • @faridahhamza8704
    @faridahhamza8704 6 ปีที่แล้ว +2

    Mashaalah