🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • 🔴#Live Ikulu: RAIS SAMIA AZINDUA TUME ya RAIS ya MABORESHO ya KODI - IKULU - DAR ES SAALAM...
    💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 4

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO 🔥🔥 chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @nyucletkikonamaluhe2274
    @nyucletkikonamaluhe2274 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shida mm naona siyo kwamba watanzania tunagoma kulipa Kodi Bali Kodi zetu zinatumika kwaajili ya manufaa yetu au kwaajili ya kukandamiza haki zetu?
    Mimi naomba Kodi tunazolipa mapato yake na matumizi yake yawe wazi kwasababu ni kwaajili yetu.
    Na inapogundulika matumizi mabaya ya fedha za uma pale mkaguzi mkuu anapowasilisha, hatua nichukuliwe na siyo kukaa kimya.
    Nchi yetu imekua na madeni mengi Tena deni kubwa lakini ukweli na uwazi viongozi tuliowachagua sisi mnaficha,jambo ambalo haitakiwi.
    Kwahiyo ili watanzania tuhamasike kulipa Kodi, tunataka tuone matumiz ya hizo Kodi yenye tija Kwa taifa letu na siyo mtulazimishe Kwa kutushurutisha na kufunga biashara zetu.

    • @nyucletkikonamaluhe2274
      @nyucletkikonamaluhe2274 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na pale inapotokea mtanzania katoa wazo la kujenga asitafsiliwe kama mpinzani wa maendeleo Bali yachukuliwe mawazo yake, haijalishi anatoka wapi,Sisi ni wamoja tudumu katika umoja.
      Siasa,dini na kabila zisitutoe katika msitari wa umoja wetu.
      Mungu ibariki Tanzania

    • @nyucletkikonamaluhe2274
      @nyucletkikonamaluhe2274 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nashauri tume hii ichunguze Kodi Kwa experts wetu wanaotoka nje ya nchi yetu kuja kufanya kazi Tanzania katika makampuni binafsi au umma