🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @fatumakalunga2852
    @fatumakalunga2852 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana pastor mbaga kwamahubiri mazuri sana. Kwakuelewesha watu kuwa Mungu nimoja .Mungu akubariki sana.nakuwe jibu lamaitaji yako.

  • @anjiraoman2125
    @anjiraoman2125 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina nabarkiwa sana MUNGU akubariki mchungaj

  • @kissanselu8569
    @kissanselu8569 3 ปีที่แล้ว +1

    Oo pr Mmbaga na kupata vizuri unanibariki mno. Mungu akutangulie daima

  • @jacintamaingi843
    @jacintamaingi843 3 ปีที่แล้ว +2

    Hili somo liko wazi kabisa,nashangaa 🤔🤔sana watu wanao lipiga inamaana wakona msongo wa mawazo,eeeh roho mtakatifu jifunue kwa watu wako wapate kukuelewa,Mtumish bwana na akubariki Sana.

  • @janekuira4134
    @janekuira4134 2 ปีที่แล้ว

    May God bless you pastor ninaendelea kufuatilia mahubili yako na umenifudisha mengi nashukulu

  • @kibecate2495
    @kibecate2495 3 ปีที่แล้ว +2

    I thank God for the Holy spirit who directed me to this 🙏 it's hand and easy to understand oooh Lord God of mercy help me to understand

  • @ziporamachilu6877
    @ziporamachilu6877 2 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana na somo la leo .Nakuombea afya kwa Mungu ukweli tunajifunza mengi kutoka kwako

  • @awalimunishi
    @awalimunishi 3 ปีที่แล้ว +2

    Mchungaji Mungu akubariki sana ,masomo yako ni kama series tamuu yaani unaisubiri series ijayo kwa hamu.

  • @hellendourissa
    @hellendourissa 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana Mchungaji kwa somo zuri sana ubarikiwe

  • @marywamboi2881
    @marywamboi2881 3 ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwa Sana from Saudi Mungu akujaze usipugukiwe

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline2751 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen God is awesome.What A Mighty God We Serve!!!🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💖💓🥰😍

  • @phinawatwego7260
    @phinawatwego7260 3 ปีที่แล้ว +2

    Aminaaaaaaa. BWANA MUNGU atubariki

  • @anneteketi3465
    @anneteketi3465 3 ปีที่แล้ว

    Nimeelimika Zaidi,nakushuru Mungu Baba kwa mtumishi wako PST David Mmbaga

  • @ezeza241
    @ezeza241 3 ปีที่แล้ว

    Wewe unaroho wa Mungu nimekubali 🙏

  • @jessikaakinyi8445
    @jessikaakinyi8445 3 ปีที่แล้ว

    Somo zuri sana Mungu akubariki sana pastor kwa huduma yake ya kutusaidia wengi tuwe tayari na karibu zaidi na Mungu wetu ili nasi tusaidie wengine I will go

  • @shukranjulius5910
    @shukranjulius5910 3 ปีที่แล้ว +1

    Pastor Mungu akubariki sana nabarikiwa nikiwa Dubai 🙏

  • @upendotv2776
    @upendotv2776 3 ปีที่แล้ว

    Amina nabarikiwa nikiwa Qatar mafundsho hayo

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 3 ปีที่แล้ว

    Roho mtukufu njoo nijaze Sasa, amen barikiwa mchungaji

  • @israelkahongya9106
    @israelkahongya9106 3 ปีที่แล้ว

    Pasta nashukuru kwa fundisho,alakini umenichanganya namna umefunga fundisho. Umetoa mfano wakibweta . Sielewi mafasirio ya nafsi tatu kwa mfano huu. Alakini nikama umesema kwamba kuna nafsi moja ambayo hubadilika badilika: Baba(agano la kale),mwana (alipo zaliwa),yeye huyo akarudi baadaye kama Roho mtakatifu! Halieleweki kwa sababu kuna mafungu mengi yanayo waelezea wote watatu kwa wakati mmoja siyo kwa nyakati tatu tofauti. Ninakufata sana from DRC.

  • @hollomayunga1975
    @hollomayunga1975 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sana 🙏

  • @bestmusai1030
    @bestmusai1030 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen

  • @victoriajames6190
    @victoriajames6190 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @selinanyilaga3053
    @selinanyilaga3053 3 ปีที่แล้ว

    Nawapata vizuri nikiwa Iringa mjini kitasengwa

  • @charlesjoseph2092
    @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว

    Sasa Pasta Mimi hapa ndio umeniacha sasa Mbona Katika kitabu cha wazee na manabii Sura ya Mwanzo inayosema Dhambi ilitoka wapi imeeleza Jinsi Mungu alivyoweka Utaratibu katika Serikari yake
    Yesu aliwekwa kua mkuu juu ya vyoote Shetani yeye aliwekwa kua Mkuu wa jeshi lote la malaika mbinguni?? Tena inaendelea kusema Mwana alishiriki kiti cha enzi na baba?? Kwamba kama Baba astahilivyo ibada na mwana pia?? Shetani aliona Wivu hakulizika na cheo Chake alimuonea Wivu Mwana wa Mungu
    Mimi hapa umenichanganya lakini pia Ukisoma Yohana 17:5 Yesu anasema na sasa baba unitukuze Mimi kwa utukufu ule niliokua nao kabla ya ulimwengu kuwepo

    • @samuelmussa4809
      @samuelmussa4809 2 ปีที่แล้ว

      Yohana 20:17 hyo hyo Disire of Ages[The father's arms encircle his Son, And the word is given, Let all the angels of God worship him Heb 1:6 ] inasema Yesu kristo anakwenda kwa Baba yake lkn Great controversy Topic the Origin of sin inasema Lucifer alimuonea wivu mwana wa Mungu kuabudiwa na kuheshimiwa km Baba. Kweli pastor atueleweshe.

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 3 ปีที่แล้ว

    Nini maana ya haya maandiko Ephesians 4:4 (1 Corinthians 8:6

  • @rasitkipkoech7441
    @rasitkipkoech7441 3 ปีที่แล้ว

    Amen unaongea ukweli

  • @estermbogo7172
    @estermbogo7172 3 ปีที่แล้ว

    Kwanini SDA wanatoa ushirika wenye hawaamini UTATU ....mufiche wajinga wenye si wasomi 😊 Ata kama ukweli unafichika miaka elfu Mungu lazima afichue.

    • @jacintamaingi843
      @jacintamaingi843 3 ปีที่แล้ว

      Tupe ukweli basi sawa sawa na maadiko

    • @estermbogo7172
      @estermbogo7172 3 ปีที่แล้ว

      @@jacintamaingi843 ukweli mgani kuhusu nini UTATU au?