AFYA -EPUKA KEMIKALI ZA HATARI KWENYE NYWELE,BADALA YAKE TUMIA HII.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @shukraniiddi482
    @shukraniiddi482 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa somo nzuri

  • @user-ny2tc1ni5f
    @user-ny2tc1ni5f 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza ukishapaka unaosha au

  • @54plus41
    @54plus41 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwa video.Tafathali jaribuni sana kuwa mnaskiza live while recording ndio mzuie mguzo wa mouth peace kwa nguo.inasubua sisi tunaoskiza kwa earfons.

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  ปีที่แล้ว +1

      Asante kwa ushauri

    • @sylviangunyaKamau
      @sylviangunyaKamau ปีที่แล้ว

      ​@@MahubiriPrMmbagaukiishaeka chochote kile unafaa kumaliza ,nusu saa ,au lisaa, alafu utazikamua Tena na maji safi,au utakua ukiacha TU hivo

  • @rukundoclementine6472
    @rukundoclementine6472 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa mafunzo mazuri

  • @eneliamseya2581
    @eneliamseya2581 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubalik mkufunzi

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @annachachage4931
    @annachachage4931 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe,kwa kutufundisha,dada Remija nimefurahi kukusikiliza.

  • @hawamusumba431
    @hawamusumba431 ปีที่แล้ว +1

    Somo nzri sana barikiwa mummy

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline2751 ปีที่แล้ว

    Asante Sana ubarikiwe

  • @rachelbaruani5044
    @rachelbaruani5044 ปีที่แล้ว

    Asante sana unbrikiwe

  • @naomynaomy1273
    @naomynaomy1273 9 หลายเดือนก่อน

    Unaeza weka rosemary bila quosha nywele

  • @neemajonas5459
    @neemajonas5459 ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya simu yako tafadhari

  • @navokisembo
    @navokisembo ปีที่แล้ว

    Zinauma ukichana aisee ngozi yangu iko soo tender

  • @maureenkwamboka564
    @maureenkwamboka564 ปีที่แล้ว

    Mafundisho mazuri sana.
    I'm requesting when you mention something in kiswahili please mention it's English name for others to understand. Wakenya kiswahili imetilemea kiasi

  • @eneliamseya2581
    @eneliamseya2581 ปีที่แล้ว

    Ngoja nijaribu kutumia bamia na Arovela

  • @chungwasingers
    @chungwasingers ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe lakini ombi langu fundisheni vitu vya asili pande zote yaani hata uzazi wa mpango maana vijiti au vidnge vinaathari sana kwa afya pr mmbaga nakupmba please 🙏

  • @shazzysymon6835
    @shazzysymon6835 ปีที่แล้ว

    ASANTE 🙏kwa mafundisho yenye manufaa siku nyingine naomba utufunze jinsi ya kuondoa weusi kwenye kwapaa.

  • @lilianlima8609
    @lilianlima8609 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni sana watumishi wa Mungu, tunaelimika nitaanza kutumia na nitarudisha feedback, Bwana awabariki😊🙏🙏🙏

  • @jasminemshana7475
    @jasminemshana7475 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Dada kwa elimu nzuri naweza kuchemsha rosemary kwenye mafuta ya nywele?

  • @verynicemkaro7116
    @verynicemkaro7116 ปีที่แล้ว

    Nnywele zangu nilishaziharibu na dawa kemikali , je naweza kutumia hivyo vya asili pia na nkapata matokeo?

  • @sophiadanford-bc5vk
    @sophiadanford-bc5vk ปีที่แล้ว

    naomba kuuliza kama mu adventista unawezaje kuwa na nywele ndefu bila kusuka? au ukiosha nywele asili, je zinawezaje kurud ndefu bila kusuka

    • @mrsdeborahurio
      @mrsdeborahurio 10 หลายเดือนก่อน

      Utazisuka mwenyewe , Kwa Uzi au mabutu.....zitakuwa laini zilizonyooka vizuri!

  • @froline5209
    @froline5209 ปีที่แล้ว

    Mimi ndio natumia huo mti na cloves hakika nywele ni ndefu, hata pia tangawizi na saumu, na pia kitunguu vinasaidia sana.

    • @bobog9732
      @bobog9732 ปีที่แล้ว

      unafanya aj kwa kitumia? plz

    • @froline5209
      @froline5209 ปีที่แล้ว +1

      @BOBO G rosemary leaves unachemsha, harafu ukishaosha nywele apply hayo maji ya rosemary, pia cloves unachemsha punje kiasi kama kijiko moja nayo utumie vile rosemary. Saumu natangawizi kitunguu blend utumie maji yao ukimix na olive oil or coconut oil.

    • @marymweteni9192
      @marymweteni9192 ปีที่แล้ว

      Aunt vipi kuhusu mvi mbona hujaongelea?

    • @genilakichuma4689
      @genilakichuma4689 ปีที่แล้ว

      Samahani hayo majani ya rosemary yanapatikana wap??

    • @sylviangunyaKamau
      @sylviangunyaKamau ปีที่แล้ว

      ​@@genilakichuma4689sokni