Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu nainchi Ahimidhiwe kwa kweli aliwajalia vipaji mbalimbali vya sauti nzuri sana tungeomba muweze kuandaa vijana wengine waendeleze kazi nzuri sana muliyoyianzisha kupitia uimbaji wenu munahubiri injili yakweli hakika nyimbo zenu siyo zakawaida mulionzwa na Roho Mutakatifu tunawasihi mutushilikishe kwenye Channel ya Viumbe vyote ulyankulu kwaya Tabora 10/11/2024 Glory be to God

Naomba ndg mwandishi ukawaoji na kwaya ya mapigano ulyakulu ase
hao ndo ulyankulu wenyewe
Mwenyezi Mungu aliyewaita awape uwezo wa kuendelea na huduma hii.
Mwanibaliki sana.
Tena mutumikiye Mungu hadi kufa
Waimbe mfumo wa zaman
Hata na mimi nilijua hampo mlisha ludi Burundi kama mpo mbalikiwe sana na adui yenu shetani ashangae
Leteni nyimbo Wala namba fon
Ndugu John Ngolo na Jovita, Vipi namba zenu za kuongea nanyi ni zipi ? Mungu akubariki ndugu.