Kwa nini Mungu Hakuruhusu Upinzani Mbinguni? Shetani Alipoasi Alitupwa hapa Duniani. Mbinguni Ni Mungu Baba Anatawala na ufalme wake ni wa milele bila Mwisho. Je kuna siku kutafanyika uchaguzi mbinguni? Shetani angependa hivyo lakini Ameshindwa. Njia ni moja Yesu kwenda uzimani au Shetani kwenda mautini. Chagua leo. Mwamini Yesu upewe kadi ya chama cha Mbinguni.
I remember this song with my dad seated in sofa set after work from Railways Headquarters.... I remember him explaining to me that Munishi is playing the instrument and singing at the same time. While I on my side I thought they were many. RIP Dad.
Hakika nyimbo zina ujumbe sana. Nimeanza kuzisikiliza tangu jana. MUNGU anakutumia kwa viwango vikubwa sana mtumishi. Halleluya, sifa na utukufu ni kwa BWANA WETU YESU KRISTO. MUNGU azidi kukuongoza na kukupigania sana katika safari yako ya WOKOVU. #MARANATHA
Hizi ndizo zilikua nyimbo za kweli.. I mean true gospel siku watu wanafanya yao na kusema wanaimba gospel....lakn n kweli hizi n dalili za mwisho...so ndugu zangu chaguo n letu sisi
Mchungaji Munishi hapa umevaa vazi ambalo leo CHADEMA wamelifanya sale.Ubunifu wako utaendelea kukubarika, ila kuna nyimbo zako nyingine hazisikiliziki sababu zinamaneno makali. unatunyima uhuru wa kusikiliza nyimbo zako kumbuka sio wote wanaujasiri ulionao.
Ww munishi kumbukuka Mungu alikokutoa kwanini shetani amekuweza ww kwakujiingiza kwenye siasa iliuukose uzima wa Milele embu shituka ulikuwa unaimba nawepo wa Mungu unashuka
Mungu bado ni mwanademokrasia hata sasa. Mungu kuna sehemu mbili ambapo kila mmoja anachagua apendacho, kwenda uzima wa milele au jehanamu ya milele ingawa uwezo wa kuzuia moja kwa moja anao
I have been listening to this song since i was young and today this is the third time to listen to this song ,it has never grown old this song sings fresh in my heart and mind it has a very powerful message laiti walimwengu wangelijua kama man of God ulitumwa kurekebisha hiki kizazi kiovu but one day it will be God bless you man of God
Pastor keep the fire burning this are the last day don't compromise the scriptures pour it out in your singing from your heart Man love your song very educative,amen
Love this,kama 2020 unaikubali kazi hii gonga like.
Ubarikiwe na mungu baba mnishi kazi yako nzuri
Mara ya kwanza 1997..........
Mara ya pili 2002..
Mara ya tatu 2023
Like ziko wapi.. pitia account yangu pia
Yesu Ndiye Mulokozi wetu. Asante Mungu wetu kwa upendo mkuu.
Still born again in 2024 26th Dec.
We glorify God. 🙏
When Munishi was sober.I will love these old songs forever 🙏🙏🙏
2021 and still a hit song. Mungu akubariki bwana munishi. Gonga like kama unaikubali
Ukisikiliza tu unahisi kubalikiwa,,,,hizi ndo nyimbo za injili bhana siyo za cku hizi wacheza viduku
Kwa nini Mungu Hakuruhusu Upinzani Mbinguni? Shetani Alipoasi Alitupwa hapa
Duniani. Mbinguni Ni Mungu Baba Anatawala na ufalme wake ni wa milele bila
Mwisho. Je kuna siku kutafanyika uchaguzi mbinguni? Shetani angependa hivyo lakini Ameshindwa. Njia ni moja Yesu kwenda uzimani au Shetani kwenda
mautini. Chagua leo. Mwamini Yesu upewe kadi ya chama cha Mbinguni.
ubalikiwe baba nyimbozako zinanifaliji kilasiku maka at a man i kubadilishadini naikitokea nimebadili basininyimbozakoubalikiwe
Yesu ni mwazo na mwisho,hakuna mwingine.
AMEN 🙏
Uniombee Munishi nipate fee nijoin kmtc march 😢
Wow ! Bible history to salvation.... So creative Well done Munishi
Gud I like this be bles man of GOD
Dah umenikumbusha mbali sana, enzi zile injili ya Kristo ilikua haihusu pesa.
Tuelewane 🎉🎉wote tunapigia kura munishi like🎉🎉🎉🎉😂
I remember this song with my dad seated in sofa set after work from Railways Headquarters.... I remember him explaining to me that Munishi is playing the instrument and singing at the same time. While I on my side I thought they were many. RIP Dad.
P😊
Mungu akubariki aendeye kutumiya mtushi wa bwana
Hakika nyimbo zina ujumbe sana. Nimeanza kuzisikiliza tangu jana. MUNGU anakutumia kwa viwango vikubwa sana mtumishi.
Halleluya, sifa na utukufu ni kwa BWANA WETU YESU KRISTO.
MUNGU azidi kukuongoza na kukupigania sana katika safari yako ya WOKOVU.
#MARANATHA
Anaimba ujumbe tunaopata sai kwenye youtube channel'Repent and prepare the Way'
Ubarikiwe sana na mungu akupe tamanio la moyo wako Kwa jina la yesu PST
Ukweli umegonga ndipo, ubarikiwe ndugu
Hizi ndizo zilikua nyimbo za kweli..
I mean true gospel siku watu wanafanya yao na kusema wanaimba gospel....lakn n kweli hizi n dalili za mwisho...so ndugu zangu chaguo n letu sisi
Kweli
Angalia TH-cam channel'Repent and prepare the Way'utapata ukweli
Munishi! naitwa innocent ndikorwanda famiye yangu tunapenda nyimbo zako gutoka zamanisana asant kuraje 👍👍 tunakupenda sana kbx
a timeless tune indeed by the legendary Munishi
I used to sing this song when I was young 1996 and I still love up to now
Napenda sana nyimbo zako Mungu akubariki na afungue baraka zaidi.amkna
nyimbo za mafundisho, za aina ya kipekee, kote duniani na zina upako mwingi moyoni mwangu,mungu akubariki mtumishi mahali uko sana.
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🙏🙏🙏
Kutokana na wimbo huu ninazidi kupata upya katika ufahamu..MUNGU akubariki sana
Balikiwa sana mtumishi
Ukweli mtupu kwenye huu wimbo. It touches every sphere of our life and impacts also. Mungu akubariki mchungaji.
Yeye ni Alfa na omega mwanzo na mwisho
Wanadamu wapendi ukweli na hiyo tu ndio njia ya mbinguni ndugu mchungaji amefanya Kazi yake ole kwako usiyoamini (be blessed more and more pastor)
Mungu atukuzwe
Kazi nzur
I love this song God bless add you more days
When I was young I though he was saying.."samaki moja"
My Song❤🎉
God bless you munishi
Huko mbinguni ni Mungu tu anatawala hakuna upinzani.....amen
Mchungaji Munishi hapa umevaa vazi ambalo leo CHADEMA wamelifanya sale.Ubunifu wako utaendelea kukubarika, ila kuna nyimbo zako nyingine hazisikiliziki sababu zinamaneno makali. unatunyima uhuru wa kusikiliza nyimbo zako kumbuka sio wote wanaujasiri ulionao.
Umeambiwa Chama kimoja sasa chadema ni kinyume na Mapenzi ya Mungu
2024 YESU ni njia ya kutufikisha Mbinguni
Nyimbo nadhifu hakika. Mungu apokee utukufu, Amina.
King of Kings is coming
Yesu ni njia
Ww munishi kumbukuka Mungu alikokutoa kwanini shetani amekuweza ww kwakujiingiza kwenye siasa iliuukose uzima wa Milele embu shituka ulikuwa unaimba nawepo wa Mungu unashuka
Jiwa.dove.Roho Mtakatifu
Munishi you were given a special gift of its kind,your songs are sweet and are ever in fashion... Be blessed.
God bless you pastor Munishi...yes we know you're God's person
Mungu bado ni mwanademokrasia hata sasa. Mungu kuna sehemu mbili ambapo kila mmoja anachagua apendacho, kwenda uzima wa milele au jehanamu ya milele ingawa uwezo wa kuzuia moja kwa moja anao
Barikiwa Sana Mtumishi Munishi Mungu akubariki.
I have been listening to this song since i was young and today this is the third time to listen to this song ,it has never grown old this song sings fresh in my heart and mind it has a very powerful message laiti walimwengu wangelijua kama man of God ulitumwa kurekebisha hiki kizazi kiovu but one day it will be God bless you man of God
Umenena kweli kabisaaaa, kizazi hiki tuko wengi wamekosa mwelekeo Mungu atukumbuke na rehema zake Amen.
Baraka Tele! Ila hausikike tena.Mungu akupake maradufu. nakupenda sana sana.
BARAKA KUU HIZI.UMECHANGIA KATIKA KUPATA NGUVU KATIKA IMANI. UBARIKIWE.
Pastor keep the fire burning this are the last day don't compromise the scriptures pour it out in your singing from your heart Man love your song very educative,amen
God's bless you 😥😥
Very powerful
Agood pastor ijili njema kwa wore waizikiao g
God bless you
Chama kimoja cha yesu kimeshinda
😭😭😭 Yesu na kupena
Amen and Amen ⭐️ 🙏🏻 🙌
❤ kweli Chama ni kimoja toka mbinguni
Nabaliwa sana, zinanijenga
Shetani ndiye mwanzilishi wa mageuzi .......kama unaamini Hilo say yes
Barikiwa sana mtumishi hizindoo nyimbo
Nakupenda baba kwa nyimbo zako
2023 bodo a good song from mtumishi wa mingi👏👏👏
Hakuna kumupinga mwibaji was mungu munish best
2020 is coming to an end and the song is still as fresh as the first day i heard it
Nyimbo nzuri
Nice song
Ansate monishi by mgumu mweus shayo
amina munishi
Ubarikiwe mtumishi ! Nyimbo Nzuri sana, mimi Niko mucongomani napatikana kinshass
Victory ✝️
Legend we love your song long time pastor we need you back in music 🎉
Chama cha yesu ni number moja
Amen Mungu azidi kukubariki uzidi kuleta neno
Mkn mkn
YESU ni njia ya kutufikisha mbinguni
I like this guy bcoz of his wisdom and knowledge in gospel songs
Barikiwa San mtumishi wa Mungu
I like this man with his song,God bless you
Injili isonge mbele ichome kazi za shetani
Yesu ni njia I believe in God
Amina kueneza injili kwa muziki
Usijali kupingwa kaka japo kwenye mia atakua mmoja hongela kaka
mungu akumbariki Saaana mutumishi wimbo wako Wanamwabundu Nani unatosha Korans injiri
Hongera baba Munishi umenilea miaka mingi siku moja tutakutana hapa kenya baba yangu Mungu akubariki
2024 Amen
Amen 🙏🙏🙏
Mungu akubariki ndugu F Munishi Nani angali na fwata munishi mu 2019
Amen tunakupenda sanaa Mungu akuweke uone vizazi ya nne
asante barikiwa San baba
Na enjoy nyimbo zako
All time Gospel informative
Fluent kiswahili singer
I love every word. God bless you Munishi
hizi ndo nyimbo bwana
that it so nice
Long live munishi
Be blessed man of God
Jaman hii nyimbo imetulia
ubarikiwe mtumishi come back again plz
Amen nimbo zako zinatua ujumb wa kutosha na naamini zitawafanya wengi wabadilike,.
Amen
A like this songs for Munishi..2022 still rock God bless Munishi
Napenda huu wimbo wa mageuzi
Nice songs,enable download
nyimbo zako hubariki moyo wangu,God blez you.