lyrics: Sikuyajua kama ndivyo yalivyo, mpaka roho aliponionyesha, shetani navyojua kujigeuza kama malaika yule wa nuru, amejigeuza amekua rangi nyingi, mejiingiza kwa siri kanisani, watu wa Mungu wao bila kujua, ata wameanza kumuabudu, waraka wa yohana ule wa kwanza, sura ya tatu msitari wa nane, azitendae dhambi ni wa shetani yeye alizitenda tokea mwanzo Tunao watu wengi makanisani, kutenda dhambi kwao sio tishio, wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani? Kutoa pesa kwao sio tatizo, hawajaolewa waendelea kuzaa,hawajatubu dhambi wanazitenda, tena niviongozi wakina mama,hata kanisa wao ndo walojenga, wanadhamini mikutano ya nje, wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani? Fungu la kumi kutoa siyo shida, lakini wameoa mabibi wengi, mchungaji kitaka kosana nao awaambie, watubu dhambi, gari la kanisa wao ndo linunua, napia vyombo kupazia sauti, wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani? Na wahubiri nao sio kidogo, niwashirika kumbe ni wake zao, wamewakuta watu wamesimama wanawaangusha wawaibie, wanahubiri ujumbe wakutoa, wanasahau toba ya msamaha,wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani? Na makanisa mengine ya ajabu,wokovu wa yesu wanaukataa, kulewa pombe kwao sio ajabu, ata mchungaji anaibariki, ukiwaambia wewe umeokoka, wasema hiyo sio imani yao,wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani? Giza na nuru zinashirika gani, toeni giza katikati ya nuru, tumuabudu mungu mtakatifu, katika roho, na pia kweli, yesu ni kweli tena ndio uzima, na njia ya kutufikisha mbinguni, Mungu ataka sote tumuabudu katika roho na pia kweli, ewe shetani pepo uliomchafu nakuamuru kwa jina lake Yesu, toka ndani ya kanisa lake Mungu uende kuzimu ukachomwe moto, tumegundua hila na njama zako, tukuabudu wewe ni kama nani?tunae Mungu baba wetu yehova, sifa utukufu ni zake milele
We should make this song trend and the message reach the current generation of christians who are only performers not worshippers. The songs which were sung in truth and sprit even the holy would manifest.
Utaambia aje watubu na gari ni washiriki wamenunua plus system ni wao wamenunua... pastor now becomes the slave of the Rich wueh this guy is a prophet watching this in 17 may 2023.... may God bless you mtumishi
Je suis pasteur à la république démocratique du Congo ,je reside à Kinshasa vos chansons m'ont toujours édifiées dans mon ministère vraiment que vous benisses
Hallelujah the message this guy is preaching is true Kindly log to www.repentandpreparetheway.org Jesus is our only saviour but it's unfortunate some have abused the grace of God and salvation in Christ Jesus
❤❤❤ng'ang'a amefanya nikakumbuka huu wimbo....naupenda sana.... Siku moja nilikuwa nacheza hizi nyimbo Kwa ploti ...majirani wakadai nawapigia kelele...laiti wangalijua vile napenda huu wimbo...
Mungu akujalie maisha marefu, afya njema, na azidi kukufunulia nuru ya Maandiko. Ujumbe wako anaishi kizazi had I kizazi, Maranathaaaaaaaaa......................
Ewe shetani Pepo ulie Pepo mchafu nakuamuru Kwa jina lake yesu Toka ndani ya kanisan lake yesu nenda kuzimu ukachomwe moto amen pastor tunabarikiwa na nyimbo zako❤
Please rate the lyrics. Hit Or Miss 1. Sikuyajua kama ndivyo yalivyo, mpaka roho aliponionyesha, shetani anavyojua kujigeuza kama malaika yule wa nuru. Amejigeuza amekuwa rangi nyingi, amejiingiza kwa siri kanisani, watu wa Mungu wao bila kujua hata wameanza kumwabudu. Waraka wa yohana ule wa kwanza, sura ya tatu msitari wa nane, " azitendae dhambi ni wa shetani yeye alizitenda tokea mwanzo". Tunao watu wengi makanisani, kutenda dhambi kwao sio tishio, wakikutana pamoja kuabudu swali mnijibu wanamwabudu nani. 2. Kutoa pesa kwao sio tatizo, hawajaolewa waendelea kuzaa, hawajatubu dhambi wanazitenda tena ni viongozi wa akina mama, hata kanisa wao ndio waliojenga, wanadhamini mikutano ya nje, wakikutana pamoja kuabudu swali mnijibu wanamwabudu nani. Fungu la kumi kutoa sio shida, lakini wameoa mabibi wengi, mchungaji akitaka kosana nao awaambie watubu dhambi, gari lake ni sawa wao ndio walinunua, na pia vyombo kupazia sauti, wakikutana pamoja kuabudu swali mnijibu wanamwabudu nani. 3. Na wahubiri nao sio kidogo, ni washirika kumbe ni wake zao, wamewakuta watu wamesimama wanawaangusha wawaibie, wanaubiri ujumbe wa kutoa, wanasahau toba ya msamaha, wakikutana pamoja kuabudu swali mnijibu wanamwabudu nani. Na makanisa mengine ya ajabu, wokovu wa Yesu wanaukataa, kulewa pombe kwao sio ajabu hata mchungaji anaibariki, ukiwaambia wewe umeokoka, wasema hiyo sio imani yao, wakikutana pamoja kuabudu swali mnijibu wanamwabudu nani. 4. Giza na nuru zina shirika gani, toeni giza katikati ya nuru, tumuabudu Mungu mtakatifu katika roho na pia kweli, Yesu ni kweli na pia uzima, na njia ya kutufikisha mbinguni Mungu anataka sote tumuabudu katika roho na pia kweli, wewe shetani pepo lile mchafu nakuamuru katika jina lake Yesu toka ndani la kanisa lake Mungu uende kuzimu ukachomwe moto, tumegundua hila na njama zako, tukuabudu wewe ni kama nani, tunae Mungu Baba wetu Jehovah sifa utukufu ni wake milele.
Annointed voice.... anytime I listen to this song..I feel like it has been recorded yesterday...yet it's 14 yrs ago! Thanks Samuel Mutuku - Kamwele Junior musyi FM for playing it on Sunday....
Thank you Jesus for this kind of music ❤❤❤❤❤❤man of God we are very happy you are here to witness this prophesy come to pass....pray for Kenya.. May Jesus heal our land
Wale tunaoona wimbo huu mwezi wa 9 mwaka huu 2024 like zenu hapa
Balikiwa kabisa🙌🙌🙌
Kama nyimbo za munishi zinakubariki gonga likes hapa
Ambao tunasikiliza 2024gonga like hapa
Kama unawatch hii song 2023 gonga like apa.
Every prophecy will really come to pass, ifikie mapastor Bonoko kama MacKenzie. Kenyans wapi likes ya Munishi 💪💪
Still watching 27 June,,,,kama hii song inakubless Hadi leo piga like tukisonga 🔥🔥
Those watching this may 2023,any likes 🙏
Listening in 2023. Blessings 🙏
I am here from tiktok this song has reminded me of 1990s ..if you listened to Munishi those them days slap this comment
You are surely the prophet of God. Yote yametimia. Barikiwa mtumishi wa Mungu
kama una sikiliza 2022 like tupo pamoja
Pamoja
Pamoja
2024 muniambie mnaabudu nani😢 wapi likes zake please
lyrics:
Sikuyajua kama ndivyo yalivyo, mpaka roho aliponionyesha, shetani navyojua kujigeuza kama malaika yule wa nuru, amejigeuza amekua rangi nyingi, mejiingiza kwa siri kanisani, watu wa Mungu wao bila kujua, ata wameanza kumuabudu, waraka wa yohana ule wa kwanza, sura ya tatu msitari wa nane, azitendae dhambi ni wa shetani yeye alizitenda tokea mwanzo
Tunao watu wengi makanisani, kutenda dhambi kwao sio tishio, wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani?
Kutoa pesa kwao sio tatizo, hawajaolewa waendelea kuzaa,hawajatubu dhambi wanazitenda, tena niviongozi wakina mama,hata kanisa wao ndo walojenga, wanadhamini mikutano ya nje, wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani? Fungu la kumi kutoa siyo shida, lakini wameoa mabibi wengi, mchungaji kitaka kosana nao awaambie, watubu dhambi, gari la kanisa wao ndo linunua, napia vyombo kupazia sauti, wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani?
Na wahubiri nao sio kidogo, niwashirika kumbe ni wake zao, wamewakuta watu wamesimama wanawaangusha wawaibie, wanahubiri ujumbe wakutoa, wanasahau toba ya msamaha,wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani? Na makanisa mengine ya ajabu,wokovu wa yesu wanaukataa, kulewa pombe kwao sio ajabu, ata mchungaji anaibariki, ukiwaambia wewe umeokoka, wasema hiyo sio imani yao,wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani?
Giza na nuru zinashirika gani, toeni giza katikati ya nuru, tumuabudu mungu mtakatifu, katika roho, na pia kweli, yesu ni kweli tena ndio uzima, na njia ya kutufikisha mbinguni, Mungu ataka sote tumuabudu katika roho na pia kweli, ewe shetani pepo uliomchafu nakuamuru kwa jina lake Yesu, toka ndani ya kanisa lake Mungu uende kuzimu ukachomwe moto, tumegundua hila na njama zako, tukuabudu wewe ni kama nani?tunae Mungu baba wetu yehova, sifa utukufu ni zake milele
Thanks for ths,nd ths is a prophecy that has come to pass 😢
Nice may God bless you 🙏
This was a true prophecy. The song was sung in early 90s and 2023 is still very relevant
Kina ezekiel and mackenzie , awuor , yesu wa tongaren and so many others
And you said it before. Wapi likes za hii song
who is with me 2020 ,,,very powerful message
HERE FEB 2020
I can`t miss. How surely?
Very powerfull song, God bless you so much Pastor
Here march 2020
A real gospel
wale tumetoka tiktok tuko wapi?
🙏🖐️
🙏
👍👍👍
Huku😂
Tuko wengi
2023 and the music is still hitting pitia na like kama tuko pamoja🎉
Pamoja Sana mpendwa
Mwaka wa 2023 bado tuko hapa barikiwa baba wewe ni baraka na nyota ya Afrika kwa injili ya Yesu kristo
Kutoka TikTok mpaka apa ulikua umeona mbali munishi God bless your
Kama unamkubali pastor kwa 100% gonga like hapaaaaa
God bless her.
Nenda sana
Mediri Dume good
Kiukwel nina mkubali past kwa asilia zote 1000% kwan ana nibariki sana na kunipaujasili wa kumtafuta Bwana Yesu kristo wanazaret aliye hai
Kwer wimbo nzur
Nani ako hapa 2021...aki watch watu WA Joy Bringers gonga like
Nafulaia mungu wangu
Mungu akubariki. Ulipoimba wimbo huu haikuwa rahisi kuuelewa lakini sasa hivi mambo wazi wazi shetani na kanisa.Tunaomba tufumbuliwe macho.
This is kind of songs we need, so inspiring, tulivu na imepangwa,,
2024 bado lit!!
Yes.The best
We should make this song trend and the message reach the current generation of christians who are only performers not worshippers. The songs which were sung in truth and sprit even the holy would manifest.
Mtumishi wa mungu umenena kweli kabisa. Be blessed. I love all your songs.
2024 who is here
wewe mutumishi wa mungu 🙏🏼 unaimba na nyimbo zako nasipenda Sana mungu hakupee ngufu nyingi na uendelee kuhimba
Amen nyimbo za zamaa zilivuma hata sasa
God bless Munishi, aliimba hii wimbo na ufunuo, imekuja kutimia
Imgn 11yrs later
Actually
From TikTok...true gospel
2023 still listening to munishi song God bless you
😭😭🧎😭🙏 Kenyan mungu atusaindie saana aki si kuzuri
Mimi
Pastor faustine munishi,God bless you ever green song, launch this wimbo once more nikama hawasikii
2023 mnipe likes basi nifurahi pia ✊🏿
2020, wangapi hapa!?
Ni Kevo Niko Hapa Bro100%
@@KevinWakliFitness o
Crew@@KevinWakliFitness on a wañavyomwabudu kwaya
@@christinaobadia6289 Kweli Kabisa Dadangu Mpendwa.
Here in May 2020
Ulikuwa vzr sana mtumishi na nyimbo zako huwa hazichuzi
How true this song is and relates perfectly with the current situation in Kenya of 2024!
He was a prophet of God,anaezaonyeshwa what will happen 30 yrs later
Wacha tu niokoke ❤
Alafu mwingine anaimba yesu ninyandue😢😢😢😢😢, shuwali
Who else is listening in 2022?
Listening right now...2022
me
We are heare
We learn and learning the massage from mtu wa mungu anasemakweli tupu
Me ☝🏽
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu nyimbo zako zinafundisha sana, be blessed man of God 🙏🙌, 25/06/2022 still watching
anae skliza huu wimbo mwaka2023
Niko hapa,Mungu akumbuke mtumishi Mnishi
2024 still listening to it 😢 give me some likes
April 2020,who is still listening to this, be blessed and encouraged
Amen
Lots of blessings ahead
July
From Rwanda 24/July /2020 gv me some like
Amen
❤❤❤❤ bado in 2024 I am here
Who is with me with this Corona for blessings.
Here I am since morning am listening
Blessings
Am blessed
anyone december to 2023
We are here hoping God to protect us in the year 2023
Utaambia aje watubu na gari ni washiriki wamenunua plus system ni wao wamenunua... pastor now becomes the slave of the Rich wueh this guy is a prophet watching this in 17 may 2023.... may God bless you mtumishi
Watching here with you...everything is now unfolding...the makenzies
What's going on in our country prophecy fulfilled
Am Muslim,,,but since I was kid I love this song bro...2020 june......from zanzibar
Je suis pasteur à la république démocratique du Congo ,je reside à Kinshasa vos chansons m'ont toujours édifiées dans mon ministère vraiment que vous benisses
Me too
God bless u God is everywhere whether u are a muslim or christian even pagans ,,,so have peace,,,
Hallelujah the message this guy is preaching is true
Kindly log to www.repentandpreparetheway.org
Jesus is our only saviour but it's unfortunate some have abused the grace of God and salvation in Christ Jesus
Good hawa ndo walikuwa really si wasasa
Wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu wanamwabudu nani?.. @23rd June 2022... Stay blessed Munishi
Very nostalgic......I listened to this song a lot during my childhood
Uyu mutumishi wa Mungu Ni Nabii . Mungu aku bariki sana baba .
Kenya tuko wapi ama munatype mukideleta 😅 .... Nice song
😅 wacha tu tunaitaji maombi
2024 tubarikiwe pamoja mwaka ikisonga
❤❤❤ng'ang'a amefanya nikakumbuka huu wimbo....naupenda sana....
Siku moja nilikuwa nacheza hizi nyimbo Kwa ploti ...majirani wakadai nawapigia kelele...laiti wangalijua vile napenda huu wimbo...
Nimejipata hapa Leo 29/6/2024 Bwana Asifiwe wapendwa🙏🙏🙏
2024 still listening to this song. The uncorrupted gospel of God. God bless you Man of God. Your labour is not in vain.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu akujalie maisha marefu, afya njema, na azidi kukufunulia nuru ya Maandiko. Ujumbe wako anaishi kizazi had I kizazi, Maranathaaaaaaaaa......................
Song of the year 2023
before the devil HIMSELF got into the gospel industry in Kenya. very rare to find spirit led songs
In our church they are so many u won't believe 🙏 that is church of God (agendi)
Wanamwabudu Nani? kama unawatch 2020 goga like hapa
🙌🙌🙌🇧🇮🇧🇮❤️
Pamoja
Kweli Yesu ni Jana leo na milele
Ndaani
Barikiwa sana
Jmn 2023 like
Mungu aendelee kukulinda mtumishi
Ewe shetani Pepo ulie Pepo mchafu nakuamuru Kwa jina lake yesu Toka ndani ya kanisan lake yesu nenda kuzimu ukachomwe moto amen pastor tunabarikiwa na nyimbo zako❤
i used to sing this song long ago 2023 still feels like its new to me ,still a hit
These is the real gospel song and fell like these guy music is under rated that's my opinion show some love for those whom are listening 2019
Thanks again this is the only real gospel music
But am in 2020
Real indeed!
Best song ever I like it
😢😢😢 from TikTok
Please rate the lyrics.
Hit Or Miss
1. Sikuyajua kama ndivyo yalivyo, mpaka roho aliponionyesha, shetani anavyojua kujigeuza kama malaika yule wa nuru. Amejigeuza amekuwa rangi nyingi, amejiingiza kwa siri kanisani, watu wa Mungu wao bila kujua hata wameanza kumwabudu. Waraka wa yohana ule wa kwanza, sura ya tatu msitari wa nane, " azitendae dhambi ni wa shetani yeye alizitenda tokea mwanzo". Tunao watu wengi makanisani, kutenda dhambi kwao sio tishio, wakikutana pamoja kuabudu swali mnijibu wanamwabudu nani.
2. Kutoa pesa kwao sio tatizo, hawajaolewa waendelea kuzaa, hawajatubu dhambi wanazitenda tena ni viongozi wa akina mama, hata kanisa wao ndio waliojenga, wanadhamini mikutano ya nje, wakikutana pamoja kuabudu swali mnijibu wanamwabudu nani. Fungu la kumi kutoa sio shida, lakini wameoa mabibi wengi, mchungaji akitaka kosana nao awaambie watubu dhambi, gari lake ni sawa wao ndio walinunua, na pia vyombo kupazia sauti,
wakikutana pamoja kuabudu swali mnijibu wanamwabudu nani.
3. Na wahubiri nao sio kidogo, ni washirika kumbe ni wake zao, wamewakuta watu wamesimama wanawaangusha wawaibie, wanaubiri ujumbe wa kutoa, wanasahau toba ya msamaha, wakikutana pamoja kuabudu swali mnijibu wanamwabudu nani. Na makanisa mengine ya ajabu, wokovu wa Yesu wanaukataa, kulewa pombe kwao sio ajabu hata mchungaji anaibariki, ukiwaambia wewe umeokoka, wasema hiyo sio imani yao, wakikutana pamoja kuabudu swali mnijibu wanamwabudu nani.
4. Giza na nuru zina shirika gani, toeni giza katikati ya nuru, tumuabudu Mungu mtakatifu katika roho na pia kweli, Yesu ni kweli na pia uzima, na njia ya kutufikisha mbinguni Mungu anataka sote tumuabudu katika roho na pia kweli, wewe shetani pepo lile mchafu nakuamuru katika jina lake Yesu toka ndani la kanisa lake Mungu uende kuzimu ukachomwe moto, tumegundua hila na njama zako, tukuabudu wewe ni kama nani, tunae Mungu Baba wetu Jehovah sifa utukufu ni wake milele.
Mtumishi wa mungu nyimbo zako unibariki sana
Nyimbo hizi zinaishi, zinagusa moyo atakama hujaokoka.
Daaaaaa sijui tuimbe tena tukiwa enzini mana huyu jamaa embu gonga like kama unabarikiwa na huyu mtumishi
Ubarikiwe Pasta kwani enzi hizo nyimbo zako zilituimarisha
Here in 2023 ...legend
20th July 2024 vibe Iko juu
Kama bdo unaangalia nyimbo 2020 gonga like hapa
Wimbo mafundisho mazuri
Safiiii
Dah!! Hakika kazi yako no njema m2mishi ubalikiwe
katika rohoo na kweli,,,,,ili nyimbo iko sawa
Tunazaliwa vizuri tunageuka kuwa Malebo. Mungu atuonekanie.
Hii nyimbo hunibariki......Long live Munishi
Such a wonderful song listening 2024
Hubiri injili usiogope chochote mungu akubariki kwa wimbo wako wa ufunuo
Amina mtumishi wa Mungu ,Mungu aendelee kubariki huduma yako
Sai 2022 bado nabarikiwa...nani mwengine
Amen
Nko ndani
Amen
Kwani nyinyi pia mmeona hii wimbo juzi..
This song is making alot of sense
Lazima nikupe like kaka, na Zaidi Mungu akubariki
From TikTok tamu sana
Amen nipe neema mungu nikutumikie😢
Sifa utukufu kwa YESU, nyimbo zenye upako
Asante mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa neno la shauri, Mungu baba utusamehe.
Mungu abariki pastor munishi.......
Ameeeeeeeeen. Nimeamka Leo naimba this song!!!! Imebidi niutafute. Blessed.
Watching today
Ni kweli lazma tutambue uwepo wetu kwa mungu 1korinto 6:19-20 inafaa sana kutambua hilo""****
Gud
Long timeeeeee when I was young
Annointed voice.... anytime I listen to this song..I feel like it has been recorded yesterday...yet it's 14 yrs ago! Thanks Samuel Mutuku - Kamwele Junior musyi FM for playing it on Sunday....
Huu wimbo unamafunzo mengi kwetu wakristo mola na Akubariki sana pastor
11 years down the line 😮omg 😳 mungu ulifunulia mtumishi wako lakini hatukuchukulia serious 😮yametukuta sasa 2023 😢
Thank you Jesus for this kind of music ❤❤❤❤❤❤man of God we are very happy you are here to witness this prophesy come to pass....pray for Kenya..
May Jesus heal our land
24.10.2019
Bado naangalia nyimbo nzuri Sana gonga like hapa twende sawa
Zanzibar Tz
Mini Paster Sega oooyee munishi ujumbu mulua zaz twende tukafikishe ujumbe
Bado namwangalia jamaa
Pia mm ila nipo kenya
Hallelujah munishi
Mjeuri Boyka uko safi sana
2023 still listening 🙇
oh yes man. Timeless songs.
Mtumishi ubarikiwe nyimbo zako hazichuji
What a message. God bless Munishi for preaching true gospel.
This song is now making sense to me....this was a prophetic song of this generation...
Hae,, kabisa
I actually am listening to it now and for real this was prophetic😢it is coming to pass