MWANAMKE ALIYEMPIGA RISASI MWANAUME ALIYEMBAKA NA KUMUUA MTOTO WAKE NDANI YA MAHAKAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @jonathannjau7029
    @jonathannjau7029 3 วันที่ผ่านมา +3

    Marianne Bachmeier The queen of all mothers❤

  • @stanleynombwe4865
    @stanleynombwe4865 5 วันที่ผ่านมา +7

    Sio huko tu kwani bongo binti wa watu hajabakwa na wanaume wa 5 na bado mpaka sasa hakuna haki ambayo imetendeka

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 5 วันที่ผ่านมา +8

    Hata mimi ningekuwa na nafasi hiyo ningeuwa😢

  • @JoycePetro-c1r
    @JoycePetro-c1r 5 วันที่ผ่านมา +6

    Hata mimi kama mama ningefanya hvyo na zaidi

  • @MerryAbiadhar
    @MerryAbiadhar 3 วันที่ผ่านมา +2

    Hata mimi nakwambia ninhefanya hivyo maana sina cha kupoteza tena

  • @jenymtafya3430
    @jenymtafya3430 5 วันที่ผ่านมา +5

    Hii huwa inauma sana, kama hayajakukuta huwezi mwelewa huyu mama, hata mimi ningemvumilia mharifu😢 halafu namuona hapana

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 5 วันที่ผ่านมา +4

    Sheria inashindwa kuchukua hatua kali kwa makosa mabaya ya ukatili haswa wa kijinsia ivo basi mtu anaamua kumaliza mwenyewe...sababu ni wazi huyu alikuwa tayari kufa kwajili ya mwanae,na hakuona sababu ya kuendelea kuishi sababu furaha yake haipo tena ,ivo basi akachukua hatua mkononi akifa afe akifungwa afungwe tu...she had nothing to lose
    It couldnt be helped

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 5 วันที่ผ่านมา +6

    Ningefanya hivyo hivyo pia.

  • @salaamibahsan3063
    @salaamibahsan3063 5 วันที่ผ่านมา +2

    hongera mama wala cmlaum kwa maamuz hayo

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 5 วันที่ผ่านมา +8

    Wabakaji na wafilaji wakatwee mbolo na wauwawe ndo maoni yangu

    • @user-vt4vd5rh8u
      @user-vt4vd5rh8u 5 วันที่ผ่านมา +1

      Wafiraji wanankera Sana ingewekwa Sheria ya kunyongwa ili wengine wapate hofu

    • @idrissaissa5607
      @idrissaissa5607 4 วันที่ผ่านมา

      Mamb mrembo nahisi kabisa ww ndie mwanamke wa maisha yangu

    • @MamuBurhan
      @MamuBurhan 2 วันที่ผ่านมา

      Yan ww km mm nataman wauliwe wote mbwa hawa

    • @MerryRenatus-ck4lz
      @MerryRenatus-ck4lz วันที่ผ่านมา

      😂😂😂​@@idrissaissa5607

  • @hopemwalemwale2100
    @hopemwalemwale2100 5 วันที่ผ่านมา +5

    kwel ubaya ubwera hata ningekua mm ningemutowa ubogo mbele ya majaj

    • @annethgod6642
      @annethgod6642 2 วันที่ผ่านมา +1

      Si ndo kamuua mbele ya majaji

  • @user-qg3nu1kv2n
    @user-qg3nu1kv2n 5 วันที่ผ่านมา +4

    Nimeskia tu pah paah paaah paaaah 👂

  • @lusajomwakalinga5813
    @lusajomwakalinga5813 5 วันที่ผ่านมา +3

    Atlist mama amepunguza machungu Mungu amsimamie

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona hana kosa kabisa

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 5 วันที่ผ่านมา +3

    Binti aliyebakwa na 5 kwa sasa kimyaaaa!

    • @wadantz123
      @wadantz123 5 วันที่ผ่านมา +1

      Yan wameizima kimya kimya

    • @MamuBurhan
      @MamuBurhan 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@wadantz123yn sjui kwann

  • @simbaedouardo8499
    @simbaedouardo8499 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Super woman

  • @wemakingdaily1462
    @wemakingdaily1462 5 วันที่ผ่านมา +1

    Hii iitwe AYO THE STORY BOOK

  • @AshuuuBakari
    @AshuuuBakari 5 วันที่ผ่านมา

    Aiseee hata kama ni mimi nakumaliza tu .unibake uniulie mtoto weeee

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 5 วันที่ผ่านมา +1

    Tafuteni habari zetu

  • @allymwilu8089
    @allymwilu8089 5 วันที่ผ่านมา

    Hakika huyu jamaa ni mwamba mno hakika kabisa kafanya jambo la kufurahishq mnoo

    • @AshuuuBakari
      @AshuuuBakari 5 วันที่ผ่านมา +1

      Jamani yupi tena. Huyo mwanamke useme kavaa koti anaonekana jamaa

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 4 วันที่ผ่านมา

    .