RAIS SAMIA AKOSHWA NA TAARAB YA JESHI LA ZIMAMOTO AWATUNZA PESA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 42

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 2 หลายเดือนก่อน +5

    Astahafiru Allah allah atupe rehma kwa kuwarehem wanataka rehema zako😢

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 2 หลายเดือนก่อน +2

    😢😢 mtihan hapo kwakweli hizi pesa zitatupeleka moton

  • @aminaomar6267
    @aminaomar6267 หลายเดือนก่อน

    Innalilah wainnailah rajiun Allah awasamehe bure

  • @alijumaali2777
    @alijumaali2777 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duh! Haya maisha yanatuhadaa, yanatudanya yatatukataa na tutayajutia.

  • @zeharaz4116
    @zeharaz4116 2 หลายเดือนก่อน +4

    Tobaa Aibu kubwa Sana hii akitokea Malki Mauti na wewe uko Hali hio nini utamwambia Mola wako Ya Rab atuhidi sie na vizazi vyetu

    • @umfa0006
      @umfa0006 หลายเดือนก่อน +1

      Allah awaongoze yaskitisha

  • @SalumJohn-h2s
    @SalumJohn-h2s 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman kwan shida nn,nyie mbona mnakunywa pombe ha2semi

  • @SultaniYungwa
    @SultaniYungwa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mauno ya shetani 🤣🤣😂😂😂. Nyonga teketeke hapo ma ostaz macho yawatoka

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 2 หลายเดือนก่อน +1

    👌

  • @iddi29
    @iddi29 2 หลายเดือนก่อน +1

    Na hata kidumbaki nnachokijua mm hakichezwi km hivi jamani naona fujo tu😅😅😅😂😂

  • @AghHh-v3f
    @AghHh-v3f 2 หลายเดือนก่อน

    Safi kabisa 😂😂😂😂 ❤❤❤

  • @zayanazayana5518
    @zayanazayana5518 หลายเดือนก่อน

    Jeshi linafundisha kukata viuno, au kupigana vita
    Tutaona mengi

  • @MauaKajala
    @MauaKajala 2 หลายเดือนก่อน

    Duh taarab na viuno hivyo

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 2 หลายเดือนก่อน +1

    ccm hizo ndo heshima zao na hayo kwo madogo kwasab makubwa mauwaji ukifikia kumpiga mtu risas mnazan haya yatakuwa ya kuwazuwiya .ukijiuliza hawa wajane wake za watu au hawajawahi kuwa ktk ndowa jib lake njaa inawasumbuwa watoto wao wa viongozi hawawezi kuwaruhusu hayo km wale jamaa wa arusha watoto wao wanaishi vuzuri wanasoma wanakula wanawalinda kwa harama zote watoto wa wanyonge wanazirika

  • @user13375
    @user13375 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unajis mkuuu 😮😮😢😢

  • @kamarhelo
    @kamarhelo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yani wanawake mmejiachia kabisa mbele za watu mnamwaga mauno namna hio

  • @HalimaAmili-e8r
    @HalimaAmili-e8r 2 หลายเดือนก่อน

    🏃🏃

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo sio taarab hiyo ngoma inaitwa kidumbaki ni ngoma ta asili huko pemba

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 2 หลายเดือนก่อน +1

      Muongo siyapemba hiyo ni unguja pesa ngoma asili yao niunyago namsondo

  • @ArRahman-ih1pi
    @ArRahman-ih1pi 2 หลายเดือนก่อน

    Ukosefu wa haya na akili😔

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z หลายเดือนก่อน

    Cha ajabu Nini hapo?mbona kutwa mnashida kwenye baa kunywa pombe.

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sijaona kuanisawa ,ninahis km nimatusi hususan kw utamaduni wa ZANZIBAR ,nimatusi kukatika hadharani 😢

    • @MaguguStore
      @MaguguStore 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio utamaduni waooo

    • @MaguguStore
      @MaguguStore 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @SalumJohn-h2s
      @SalumJohn-h2s หลายเดือนก่อน

      Nini kufanyike sasa

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh หลายเดือนก่อน

      Wanacheza wao aibu naiyona mie😢😢😢

  • @asalkhan9168
    @asalkhan9168 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wake za watu hawa, mama wa watoto ?

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wapo kazini😂

  • @khatibmako3500
    @khatibmako3500 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kizimkazi imeitika

  • @saadabakar7750
    @saadabakar7750 2 หลายเดือนก่อน +1

    Millad hicho kidumbaki😂😂

  • @matakamataka9438
    @matakamataka9438 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wazima hovyo

  • @Aminaashura
    @Aminaashura 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂 duuuh

  • @iddi29
    @iddi29 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ni kidumbaki sio taarabu

  • @UgaliMtamu
    @UgaliMtamu 2 หลายเดือนก่อน

    Mukifik majumban kwenu nyot munawanunia waume zenu washenz wakubwa lakn hapo viuno km mwatiw vidole

  • @salmaomar7979
    @salmaomar7979 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wakosefu wa heshima

  • @AishaJuma-wd8xd
    @AishaJuma-wd8xd 2 หลายเดือนก่อน

    Hayo maumno

  • @user13375
    @user13375 2 หลายเดือนก่อน

    Kigodoro cha hazarani😮😮😮😮😮

    • @MaguguStore
      @MaguguStore 2 หลายเดือนก่อน +2

      Utamaduni waooo

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 2 หลายเดือนก่อน

    Dumbaki mh

  • @MaguguStore
    @MaguguStore 2 หลายเดือนก่อน

    Hatari viuno

  • @BrotherKaka-j4z
    @BrotherKaka-j4z 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kiongozi hapo jamani