Part1: STAMINA - Mkoa unaokalisha kwa Hip Hop ni Morogoro, Amewachana Dogo Janja, Young D na Weusi!
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
- THE PLAYLIST ni Show kali ya weekend inayowashusha mastaa kibao ndani ya Studio za 100.5 Times FM kuchagua ngoma 5 kali wanazozikubali na kupiga mastori kibao kuhusu Music, Fashion & LifeStyle, Gadgets & all that.
Show inaruka kwa hewa kila Jumamosi, Saa 6 - 8 Mchana kupitia frequency ya 100.5 Times FM chini ya Presenter Mkali, the Baddest boi, Omary Tambwe aka Lil Ommy.
Subscribe, Watch, Share.
Niguse kwenye social networks:
/ lilommy
/ lilommy
www.lilommy.com for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc.
*Kama unamkubali stamina gonga like*
Aisee LilOmmy hiio ni Show ya Kibabe SANAAAAAA....
#MuchRespectKwaStamina
Stamina utapoitoa ALBUM yako UTUJUZE wapi pa KUINUNUA. Mashabiki wako wengine tupo huku CHINA tunakuskiza kinoma noma.
#NeverMissThisShowYaKibabe
Mistari Ya Stamina Ukisikiliza Laini 1 /2 Lazma Utabasamu!! Best Lyrical Rapper In TZ
Shabikiii wa staminaaaaa nyccc interrview broooo#lil ommy I liked it broooo Mkali #staminaaa Mkali cnaaaa
chuma juu ya chuma hakuna kuremba wasifosi tu fanane kaka stamina mnyamaaaa yani nizaid yaao pamoja sanaa kaka
lilommy you are my best presenter hii nikwasababu unafanya uchunguzi kwa msanii unaye ongea nae yani huongei usicho kijua bali hufanya resarch kwa kila unacho penda kuuliza hivyo we learn through you
International local
sikuwahi kumskiliza Stamina but anzia saiv ntazitafuta previous coz he is so ♨♨♨♨
Stamina pamoja na mtangazaji wangu mwenye stamina....... Nawakubali wote..
#tambweeeeeeeeee
Hoyoooooooo freestyle noma sana kaka #stamina uko juu sana
Iko poa snaaa Show kwanzaaa ya Kibabee. Stmaa
jamaa unajua hadii unakeraaaaaaaaaaaaa
ebhana eee hii ni moja kati ya show nazozikubal kutok kwny playlist . wasap wasap heeeee.
Nycccc xnaa interview#sharobwenziiiiiiii #lil ommy ilike the way u present nakuaminiaaa cnaaaa aisereee#lil ommy
ebwana tabwee bigup sanaa mzee baba👊👊👊
Hii noma mwanang
Hatari sanaaa shorobw... mbona lil ommy anakubania? tume kumiss planet bongo uteme checheeeee
swedi jafari unakurupuka huku katusimuria mengi kama una subiri planet bongo huku unatizama nini matabaka haya jengi
Nakubali sana mkali wa hip hop saluti broooo unafroo kama unakunywa maji tu
show tamu sema nn ao wanaoingia nakutoka wana haribu tension ya msanii.... kila mlango ukifunguliwa design flan jomba anageuka kifup ina punguza usmart iv....gud wak bro p1
shkamoo Stamina kwa Mara ya kwanza naanza kua shabiki damu Wa muziki wako zamani nilikua shabiki tu lkn sasa ni shabiki damuu Hongera sana we chana tu wengine watashona
Aisee natoka Kenya na namkubali sana Stamina namtumbua kama jana ❤❤
I like this boy is good
ni noma tambwee utatuua,, sina mengi show la kibabe fire...
Hahahahahaaa BAD man tombwee naikubali kazi,yako man keep move broo!!
stamina tisha sana saluti kwako
Nakukubali kinoma bro
Daaaaaah stamina hizo lyrics unatoa wapiiii ni nomaaa xanaa the play list ni show kubwa kati zote za hapa town tunasubiria tuone utakua code gan but pamoja wherever u are lilommy
Nuhu Salim 😘
morrro mikono juuuu B✋✋✋✋✋✋
KIZAZI MSANA NAKUBALE #STANZALINE
kinyamwezi sana
Love this Show:- Tambwe💥❤️🇰🇪
Nyccc brooohjamaaa anajuaaa nycccc interview
Tambwe part2 ya stamina hiyo vipi
Stamina wewe ni sheeeeeeeeedah😂😂😂
zeee babaaa ilikua sio ykitotooo
Stamina hatari..ila he is proud of Morogoro huku kwao Kilolo Iringa
#Shorobweeeeeeenzi
nomaa sana
Kizazi sana bro
safi ni hii ni zawadi kutoka kwa Mungu
Good video bro I like this
Dahh! Umeua saan stamina.
part two wapi imeishia kwenye utamu
Moro town stand up....Hatari sana stamina lakini nahisi Arusha ndio inaongoza ikifuatiwa na Moro kisha mwanza
Kizazi sana
Moro jamani tunavipaji kweli
Nani anabisha
mtwara pia Kwanzaa hamna mkoa ucio na kipaji
stamina unajua mpaka unaboa ase
Part two bro mbona siioni
stamina the real definition of hiphop
safi mwamb moro up
Tambweeeeeeeee, big up bro
mmmh namkubali sana Star mina
Ommy tafuta roll model unakama unaiga vile vbs or stay halisi change style
Tisha sana stamina
Sana mwanangu
Shortman who is talented
moja ya ngoma yako nayoielewa ambayo haitotoka masikioni mwangu ni ngoma ya B 50 2 uliyo piga na Belle 9 hatalii sana
Stamina ni zaede namukubal sana
👏👏👊👊
Nakukbalii Omii
Stamina umetixh sn my blood
apriciate brazaa.
genius wa bongo hip hop akitoka fid q
stamina n balaa n killer aisee
Qali
huyo nomaaaaa wanaosema hajui kurap watajuta
Niite Shorwebwenzi A.K.A Fundi Chuma/
Nayajua Mapenzi Mpaka Naitwa Fundi K*ma 😂😂😂😂
stamina unajua mpaka unaboa mwanang
Fundi nani maku
anajua mapenz hadi wanamuita fund......k
LilOmmyTv 6:27 KIUFUPI NI MATATIZO YA PROBLEM. 😜
wacha kurudia mistari kaka kila siku
Shorebwenz a k a fundi chuma
Liomy shoro bwenzi mufupi kama shaulin tempo
Stamina hatari..ila he is proud of Morogoro huku kwao Kilolo Iringa