Part2: STAMINA Asimulia alivyonusurika kukatwa mapanga usiku mnene, Kwanini hakutaka kumuona ROMA?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
- THE PLAYLIST ni Show kali ya weekend inayowashusha mastaa kibao ndani ya Studio za 100.5 Times FM kuchagua ngoma 5 kali wanazozikubali na kupiga mastori kibao kuhusu Music, Fashion & LifeStyle, Gadgets & all that.
Show inaruka kwa hewa kila Jumamosi, Saa 6 - 8 Mchana kupitia frequency ya 100.5 Times FM chini ya Presenter Mkali, the Baddest boi, Omary Tambwe aka Lil Ommy.
Subscribe, Watch, Share.
Niguse kwenye social networks:
/ lilommy
/ lilommy
www.lilommy.com for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc.
Staminaaa ur the best rapper aiseehhhh ilkeee it broohhhh#staminaaaa I liked it
Nakubali sna kipindi liliommy naomba siku umtafute hata ney wa mitego mzee baba au vpi mkuu,...
Upo vizuri lilommy, nilihisi ipo siku ungebadilisha code tu
ommy hajaondoka kwa mujibu wa post zake za inst kuwa the playlist inakuja kwa mfumo mpya yaani kila siku j3mpaka ijumaa saa nane mpaka saa kumi nambili jioni. hivyo show imeboreshwa
Nycccc cnaa interview broohhhh. Ilikee it hikiii kipindiii Ni kikaliiiii cnaaaaaaaa #the playlst broohhhh#lil ommy ur thee baddest kweliiii #nycccc interview broohhhhhh
Nyyccc xnaa brohhhhh interview naipendaaaahhhh cnaaa aiseehhhhhhhhh #the playlisttt broohhhhhh kipind kizuriiiii xnaa aseeehhhhhhhh#lil ommy ur the baddesttttt presenter aiseeehhhhh
Mungu pekee I like dhat Stamina
Salute sana Lil Ommy
Came Here Late....But Natii,.Stamina anamkubali Nyashinski...Real recognize Real...From Nyashinski Homeland,Nairobi... Thanks Ommy.
Nakukubali Sanaa
SAMATA APOKELEWA KWA FURAHA KUBWA ASTON VILLA
th-cam.com/video/vlU-aryPGk4/w-d-xo.html
Aminia
Ina maanaa mkatabaa umeishaa broohhhhhhh mbn mm unaniachaa njia pandaaa brohhhhhh #sijaelewaahhhhh aiseeehhhhhh
Siku zote lil ommy...interview ya ROSTAM inatisha kaka.....more inspired bro
Pole sana stamina
Nakubal sana kamkubwa stamina
Daaaa noma sana
Na nusu
😖😖😫😫 where are you going bro??? Don't close this channel😢😢
Tutakumiss lil ommy
Nice playlist ya stamina
namwelewa xna janja
Hongera sana bro
Nakubal
simu waliporwa sasa alipata wapi namba za kupiga kule alipokuwa anaenda kwenye show
hapo sasa kajikanyaga mwenyewe
+Saul Mwakyusa labda ommy atatupa jibu lenye uhakika kwakuwa atakuwa kampigia cmu na kamuuliza tena
baada ya kumjua stamina walirudisha simu zote sikiliza vzr enteview
+sangade _ kasema hawakupewa kitu hata kimoja kufahamika kwake kulifanya wasizurike
Labda line waliachiwa
we gonna miss you much...
sana lil-Ommy
Xf xtamina hongera xna kwa ku2letea Xhemej et good xna xtamin Ntakupigia namba yko ninayo
😎😎
daaa story inahuzunixa
Kaka mbna sielewi utapatikana wapi mkuu tusanue bsi
Aisee iko poa sana
STAMINA STAMINA WW NI HIPHOP EREVER WENGI TUNAKUKUBALI BRO KAZI ZAKO ZOTE DHAHABU
nakuelewa
lil ommy naitaji your help or something,you knw whatt i do write mashaili and gud hiphop song ,n i need to give some1 like blue,can u help me bro?
We unashida afu unatumia kingereza chako cha kizembe, Ommy mswahil nyoosha kwa kiswahil bhn
na ww ndio baada ya fid q Stamina wajua nawaweza
Hujuwi chochote cha kutangaza nenda kasoma
Wako kazni sio 😁😁😁😤
tutakumiss sana ommy
Ulisema huwezi sema kampuni ya simu, Mbona umeitaja umesema ''mabos wa tigo ''😂😂😂🤣🤣🤣.
SAMATA APOKELEWA KWA FURAHA KUBWA ASTON VILLA
th-cam.com/video/vlU-aryPGk4/w-d-xo.html
🤣🤣🤣🤣🤣sema mwanangu na kukubali kinoma yann
SAMATA APOKELEWA KWA FURAHA KUBWA ASTON VILLA
th-cam.com/video/vlU-aryPGk4/w-d-xo.html
Upo vizuri lilommy, nilihisi ipo siku ungebadilisha code tu