TAZAMA MWANZO MWISHO BALAA LA ASKARI WA KIKOSI MAALUM (KMKGM) WAKATI WAKUFUNGA MAFUNZO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 52

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 ปีที่แล้ว +10

    Asanteni sana askari wetu kwa huduma yenu. Nachoiomba serikali izidi kuangalia maslahi yenu na pia mafunzo ya kutumia nyenzo za kisasa zaidi yatolewe ili kuendana na mazingira ya sasa

  • @abisaimuhanji3687
    @abisaimuhanji3687 ปีที่แล้ว +6

    Jeshi letu lipo vizuri sana nidham ya hali ya juu🎉

  • @MwitaSenso
    @MwitaSenso 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kumlinda mfungwa unafikil Lele mama safiiii askari weet mpo vizur sanaaa

  • @phillipsabin9724
    @phillipsabin9724 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana askari wa kikosi maalumu cha magereza hakika mumeweza

  • @KuwedaPaul
    @KuwedaPaul 5 หลายเดือนก่อน

    Jeshi letu tunalipenda sana nidhamu mbele nyuma mwiko ❤

  • @ashrafgeorge9384
    @ashrafgeorge9384 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kwenu, haikuwa rahisi💪

  • @agustinohinjo-zo9cb
    @agustinohinjo-zo9cb ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana Askari Wetu

  • @thadeodeus2632
    @thadeodeus2632 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri makamanda

  • @PascalMuga-zk7bm
    @PascalMuga-zk7bm 11 หลายเดือนก่อน

    Makamanda wameivaaa big up

  • @eliaslincollin4070
    @eliaslincollin4070 ปีที่แล้ว +2

    Magereza wapo vzur sana baada ya jwtz

    • @masatumtani1588
      @masatumtani1588 ปีที่แล้ว

      Kabisa ndo maan mkuu wao kasema anashukuru jwtz kwa kutoa nafasi ya mafunzo pale mapinga na pale mbezi beach

  • @efministry
    @efministry ปีที่แล้ว

    Awesome🔥🔥🥊🥊

  • @NtuliKasalu-pe5zj
    @NtuliKasalu-pe5zj ปีที่แล้ว

    Hongereni sana mungu awalindie

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว

    Wanajifunza jinsi yakwenda kuwaset wafungwa dah Mungu awafanyie wesi wote waliobabikiwa kesi za uwongo wa ardhini

  • @GeogeChales
    @GeogeChales 25 วันที่ผ่านมา

    Tumekubari jesh lipo timamu

  • @josafko2259
    @josafko2259 ปีที่แล้ว

    Ongereni sana,Mungu awabariki na awatie nguvu katika kutimiza majukumu yenu ya taifa

  • @GeogeChales
    @GeogeChales 25 วันที่ผ่านมา

    Jesh. LA Mangereza bado

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 ปีที่แล้ว

    Vitendea kazi ni dhaifu sana

  • @Papaa_Hillary_Mrema
    @Papaa_Hillary_Mrema ปีที่แล้ว +1

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿

  • @LameckOwanga
    @LameckOwanga ปีที่แล้ว

    Ongereni makamanda

  • @aziziramadhani7861
    @aziziramadhani7861 ปีที่แล้ว

    Noumer xanaa wanangu wa Kmkgm 🔥🔥💪

  • @nabosedward4836
    @nabosedward4836 ปีที่แล้ว

    Nakubali wapiganaji

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว

    Kuna msicha mmoja kati yao yupo vizuri sana wamtwae jeshi wakamfunze ukomando

  • @noelmtuhi2480
    @noelmtuhi2480 ปีที่แล้ว

    Safi sana askari wng

  • @deustuntufye8621
    @deustuntufye8621 ปีที่แล้ว

    Saf sana aiser

  • @mwajemwafula5777
    @mwajemwafula5777 ปีที่แล้ว

    Nawakubali sana wapigani wa vitani Hawa Jkt oyeee

  • @anoldmakunga1510
    @anoldmakunga1510 ปีที่แล้ว

    Good job

  • @KhaRadha
    @KhaRadha ปีที่แล้ว

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉mauwa yenu

  • @ibranationdedu4844
    @ibranationdedu4844 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤

  • @KhaRadha
    @KhaRadha ปีที่แล้ว +2

    Nyinyi nawapa namba mbili Tz baada ya jwtz

  • @YusuphRamadhan-f2z
    @YusuphRamadhan-f2z ปีที่แล้ว +1

    Ngoja nicheke kwanza nipo nisemee😂😂

    • @BarakaBraiton
      @BarakaBraiton 5 หลายเดือนก่อน

      Chizi wew ucheke nini sasa siyo mzalendo nini

  • @KhaRadha
    @KhaRadha ปีที่แล้ว +1

    Apo kwenye ushoga ndio umepigia mstari maaana😂😂😂😂😂

  • @muhitajihachoki2956
    @muhitajihachoki2956 ปีที่แล้ว

    🎉🎉🎉

  • @humbimusisa-db1tg
    @humbimusisa-db1tg ปีที่แล้ว

    Good

  • @mayungamabula7138
    @mayungamabula7138 ปีที่แล้ว

    Mmetisha sana

  • @fredsonjaphet
    @fredsonjaphet ปีที่แล้ว

    👊👊👊👊👊

  • @brytonmnyama6562
    @brytonmnyama6562 ปีที่แล้ว

    hawana lolote awo jeshi TANZANIA hawana ata uweledi awo

  • @BrightonemediaTz
    @BrightonemediaTz ปีที่แล้ว

    Hatariiiiiii

  • @farajakabika2161
    @farajakabika2161 7 หลายเดือนก่อน

    wazi

  • @mzawarukamunyu3155
    @mzawarukamunyu3155 ปีที่แล้ว

    Jeshi letu liko imara kabixa

  • @mgangamjita8657
    @mgangamjita8657 ปีที่แล้ว +1

    Nimewakibali wanangu hata front tutasonga Yani nyie ni no 2 kabisa

  • @juliusonesmomfumya8709
    @juliusonesmomfumya8709 ปีที่แล้ว

    Nchi yetu ina vijana imara

  • @mwajemwafula5777
    @mwajemwafula5777 ปีที่แล้ว

    Makomando hao

  • @DoriceMshana-x3n
    @DoriceMshana-x3n ปีที่แล้ว +3

    Mbona mazoezi ni yakivita wakati kazi yenu ni kuwakanda wafungwa wakorofi ambao hawana silaha yeyote na mmefungia sero

  • @KasimShabani
    @KasimShabani 17 วันที่ผ่านมา

    😂

  • @issackathman850
    @issackathman850 ปีที่แล้ว

    wachumba t