Yote Ni Mifuko Bora Na Mizuri Mnooo, Naona Katika UTT ni Moja Ya Mifuko Imara Na Bora, Ila Inautofauti Mdogo Sana, Maana Kwenye Bond Tunazungumzia Dhamani Za Serekali, But Kwenye UKWASI hapo pesa ikiingia inaenda kuwekezwa kwenye Dhamani, Mabank Na Makampuni, So Bond Inabezi kwenye Hatifungani tu za Serekali(Dhaman?, Kwa uelewa wangu,
Kwanini hapo kwenye verification msifanye kama walivyo fanya DSE , weken sehem ya mtu kuweka no ya nida ili taarifa ziji update zenyewe maana kila no ya nida iko na picha
👏👏👏🙏🙏🙏🙏....UTT Mshirika hakika katika uwekezaji.
Aise vizuri sana nafanya mpango nakuja kuwekeza
Karibu sana.
❤❤❤
🎉
💯..
Naomba kujua kati ya mfuko ukwasi na bond upi mzuri zaidi
Yote Ni Mifuko Bora Na Mizuri Mnooo, Naona Katika UTT ni Moja Ya Mifuko Imara Na Bora, Ila Inautofauti Mdogo Sana, Maana Kwenye Bond Tunazungumzia Dhamani Za Serekali, But Kwenye UKWASI hapo pesa ikiingia inaenda kuwekezwa kwenye Dhamani, Mabank Na Makampuni, So Bond Inabezi kwenye Hatifungani tu za Serekali(Dhaman?, Kwa uelewa wangu,
Kwanini hapo kwenye verification msifanye kama walivyo fanya DSE , weken sehem ya mtu kuweka no ya nida ili taarifa ziji update zenyewe maana kila no ya nida iko na picha
habari,
Asante kwa mpendekezo tumepokea.
🎉