UWEKEZAJI NA MANUFAA YAKE: UTT AMIS WANATOA UFAFANUZI ZAIDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • Je, umefanya uwekezaji wowote kwenye mifuko ya uwekezaji nchini?
    Je, unajua ni faida kiasi gani unaweza kupata kwa kuwekeza kwenye mifuko sahihi?
    Ungana na Daud Mbaga kutoka UTT-AMIS akifafanua kwa kina uwekezaji na manufaa yake na fursa zilizopo kwenye UTT-AMIS.
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 13

  • @laurentdeusdedith8603
    @laurentdeusdedith8603 3 ปีที่แล้ว +5

    nimejifunza vitu vingi sana siku ya leo-----> T- bill & T - bonds, power of compound interests, Fixed deposits and faida za uwekezaji pamoja

  • @zamukahemele1505
    @zamukahemele1505 7 หลายเดือนก่อน +6

    Duuuh watanzania hatujui madini yapo wap yaan miaka miwili comment mbili kwa madini haya

  • @malendejabelenaldo6174
    @malendejabelenaldo6174 6 หลายเดือนก่อน +2

    Samahani napenda kujua UTT Amis inapatikana wapi

  • @edwardvaughan1629
    @edwardvaughan1629 6 วันที่ผ่านมา

    Taylor Kenneth Harris George Wilson Kevin

  • @mosesmmuya696
    @mosesmmuya696 3 หลายเดือนก่อน

    Elimu mzuri Sana

  • @salumsimba-u3t
    @salumsimba-u3t 15 วันที่ผ่านมา

    Ofisi zenu zipo wapi kwa watu wa dsm

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 2 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @AliKhamis-k9y
    @AliKhamis-k9y 2 หลายเดือนก่อน

    Niko Korea je naweza fungua account utt

  • @ShayoPoul
    @ShayoPoul 2 หลายเดือนก่อน

    Wanapatikana wapi

  • @zamukahemele1505
    @zamukahemele1505 7 หลายเดือนก่อน

    Unguja mpo utt?

  • @malendejabelenaldo6174
    @malendejabelenaldo6174 6 หลายเดือนก่อน

    Samahani napenda kujua UTT Amis inapatikana wapi

    • @demandonlinetv5516
      @demandonlinetv5516 6 หลายเดือนก่อน

      Posta jengo la sukari House ndyo makao makuu