HILI NDIO AJABU LA NANE LA DUNIA - COMPOUND INTEREST

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Compound Interest ni faida ambayo muwekezaji anaipata kutokana na uwekezaji wake. Ni faida ambayo ataipata sio tu kutokana na kiwango cha kwanza alichowekeza lakini pia ataipata kutokana na faida anazozitengeneza. Yaani atapata faida juu ya faida.

ความคิดเห็น • 27

  • @georgenazi9325
    @georgenazi9325 2 ปีที่แล้ว +2

    Na watu wengi hatupendi kuangalia vitu vya maana na wengi wao wanahisi ni utapeli kumbe ni vya kufatilia kwa umakini asante bro edmund munyagi kwa kutufundisha umetuamsha

  • @MosesMkassa123
    @MosesMkassa123 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hii sound track inafany mtu asisikie vizuri, ingetoka au watu wakiwa wanaongea vitu vya muhimu kama hivi punguza sauti ya track au itoe kabisa.

  • @ELISHADAMASI
    @ELISHADAMASI หลายเดือนก่อน

    Background music inkatisha saut

  • @moedalz
    @moedalz ปีที่แล้ว +1

    You're such a genius 📌... Haya mambo hayafundishwi ata CBE.

  • @farmaccess850
    @farmaccess850 3 ปีที่แล้ว +1

    An eye opener

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  3 ปีที่แล้ว +1

      Lets make the most of it..

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 ปีที่แล้ว

    sir, thank you much for the short presentation which was so beneficial. would you mind uploading a full clip? where can i get a full version of this clip if you dont mind me asking @Edmund?

  • @magrethfuraha5280
    @magrethfuraha5280 4 ปีที่แล้ว +2

    Numbers never lie🥰🥰

  • @charlesligonja873
    @charlesligonja873 3 ปีที่แล้ว

    Hii kitu inahitajika sana kuwafikia wengi

  • @emmanuelykaitaba2635
    @emmanuelykaitaba2635 2 ปีที่แล้ว

    Master do you provide online training pia? How can i join ?

  • @luhungajoseph5396
    @luhungajoseph5396 2 ปีที่แล้ว

    Hiii nashukuru kwa elimu nzuri hivi ile concept ya capital gain ntapata wapi naomba kujua hilo mkuuu

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  2 ปีที่แล้ว

      Unamaanisha nini unavyosema concept ya capital gain? Capital gain ni ongezeko la thamani/mtaji wa uwekezaji wako.

  • @isaacs3904
    @isaacs3904 2 ปีที่แล้ว

    mwalimu bado somo linamsumbua.. .no real mastery

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  2 ปีที่แล้ว +1

      Una uhakika? Au weee unajua zaidi? Kama ndio basi ningependa unicheki ili nikupe session kwenye moja wapo ya events zetu hata kama ni online au physical.

  • @filbertakaro3739
    @filbertakaro3739 2 ปีที่แล้ว

    Niceee Info. I tried doing the math on compound interest when the principal is constant every year and the principal increases every year, while time and rate remains the same. It seems like the profit earned when the principal is constant is greater than the profit earned when the principal increases, keeping in mind time and rate remains the same. Is this true?

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  2 ปีที่แล้ว

      This can not be true. You will have better returns with every increasing shilling.

    • @filbertakaro3739
      @filbertakaro3739 2 ปีที่แล้ว

      @@EdmundMunyagi Maybe I have yet to have a full understanding. When will you guys have a similar seminar like this again?

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  2 ปีที่แล้ว

      @@filbertakaro3739 8th August 2022

    • @filbertakaro3739
      @filbertakaro3739 2 ปีที่แล้ว

      @@EdmundMunyagi On what platform will I see the announcement?

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  2 ปีที่แล้ว +1

      @@filbertakaro3739 Instagram @letstalkfinancetz @ekmunyagi

  • @lucidaedward6567
    @lucidaedward6567 3 ปีที่แล้ว +2

    Nataka hii kitu kampuni gani inatoa faida ya compounded interest??

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  3 ปีที่แล้ว +2

      Mifuko ya UTT AMIS inatoa compounded Interest.

    • @haroungeorge7603
      @haroungeorge7603 2 ปีที่แล้ว

      @@EdmundMunyagi mfuko upi nataka ni invest sasa hv

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  2 ปีที่แล้ว

      @@haroungeorge7603 Ukwasi/Liquid halafu kama upo Dar karibu kwenye event itafanyika siku ya nanenane pale Hyatt Regency.

    • @haroungeorge7603
      @haroungeorge7603 2 ปีที่แล้ว

      @@EdmundMunyagi asante sana kaka

    • @gwanchelezacharia6846
      @gwanchelezacharia6846 ปีที่แล้ว

      ​@@EdmundMunyagi naomba mawasiliano ya UTT nifuatilie kujiunga