Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah uislam ni njiaa iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu takbir alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar takbir alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu
SHEKHE WETU HUU UJUMBE NAURUDIA X3 ,TWAJUA UNA MAMBOMENGI LAKINI TWAOMBA TENGA JAPO LISAA 1 KILASIKU UBAINISHE HAKKI NA KUONDOA KABISA HIZI SHUBHA ZA HAWA WAGANGA NA NDUGUZAO KINA CHAKA WANAODAI KUR,ANI IMETIWA MIKONO.
KWAIYO WW hujaona bachu alivowanukuu wanachuoni wote mbali mbali wanavoelezea hizo aya zinazoelezea tauhid kabla hata huyu bachu hajazaliwa hao wanachuoni wameeleza kuichambua aya,sasa ww unasema bachu kaleta tauhid 3 vip.au ww hufuatilii mawaidha ya huyo bachu akachambua hiyo habari,mm nilijua utakemea maulid au hitma au zafa na kukata mauno,au dufu kasida za minanda yote hayo umeyaacha.itaki laha yaa sheihk.
Katika mtu aliechanganyikiwa haujui uislamu wala ukafiri yeye kakaririshwa tuu mambo kama kasuku. Anapinga Christmas kwa vile inapingana na uislamu lakini anakubaliana na tawala za kikafiri ambazo zinapingana na uislamu wazi wazi. Uislamu si ukasuku bali kufikiri na kukataa ukafiri wote si huu kuukubali na huu kuukataa Wajinga ndio waliwao Lol
Maashaallah sheikh Muhammad tuko pamoja siku zote biidhini llah❤❤🤲
Like father like son. mashaallah unafanya kazi nzur sana al akhy sheikh bachu
Yan she Muhammad nakukubal san Allah akupe umr mrefu tuez kunufaika na wew❤❤
Bachu anafanya kaz kubwa sn kuendeleza dini mashallah allah atuwekee hii sura
Tuko pamoja mm naishi sehemu hakuna dini ya uislam lkn nasoma kupitia hiii channel alhamdulillah mpk ntakapo rudi nyumbani znz
Maa shaa Allah
..Allah akujaze kheri
Maashaallah
Allah akusimamie
Asslm Alykm
MTOTO WA ALMARHUUM SHEIKH NASSORO BACHU UKO JUU KIMAWAIDHA BIG UP, CARRY ON ...
Mashallah kazi kubwa Allah akulipe ujira unaostahili inshallah
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah uislam ni njiaa iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu takbir alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar takbir alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu
Umekuwa sbb leo nilitaje jina l ALLAH mara nyingi ok
Kweli Simba huzaa Simba Kama babaako....mpaka namna kukohoa mashallah Allah amrehemu sheikh nassor na akuhifadhi nawewe
Maashallah, jazaakallahu khaira yaa sheikhuna
A alaykum. Allah akuzidishie afya uzidi kutuelimisha Zaid na Zaid. Amiin
مشاء الله تبرك الله ALLAH AKUHIFADHI SHEKH WETU UZIDI KUTUPA ELMU
Tunakupenda kipenz chetuuuu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Masha Allah mungu akupe umri mrefu
جزاكم الله خيرا وجعله الله في ميزان حسناتكم ونفع الله بكم أمين يارب العالمين
Mashallah shekhe wetu kipenzi alla azidi kukupa nguvu na afya njema uzidi kuufaidisha umma ktka kile alicho kupa allah
Jazaka llha kwakutijewnga sheikh wetu
ما شاء الله
Allah akuhifadh shekh
Asalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuh Sheikh.Mewnyezi mungu akuhifadhi tuandalie kitabu ya Tawheed mzima Allah akuwekee kwa hanasat yako.
Asalamualekum sheikh usiachekutoa darsa wallah nilikuwa hata maan ya neno TAWHID sjui maan yke😢
Hafidhwaka Llah 🤲
Mashaaallah shekh Muhammad Bachu
MAASHAA ALLAH tabarakallah
Nakupenda kwajili ya allah
mashallah hapa mwamba kw upande mweng kaindesh mada kwa saut ya baba yake
Mashaalla unafuatilia vizuri ata mimi nimeiona namkumbuka Mzee
Shukran sana
Nakupenda kwa ajili ya ALLAH
Wengi watakuchukia kwakusema haqi ilatukopamoya
SHEKHE WETU HUU UJUMBE NAURUDIA X3 ,TWAJUA UNA MAMBOMENGI LAKINI TWAOMBA TENGA JAPO LISAA 1 KILASIKU UBAINISHE HAKKI NA KUONDOA KABISA HIZI SHUBHA ZA HAWA WAGANGA NA NDUGUZAO KINA CHAKA WANAODAI KUR,ANI IMETIWA MIKONO.
Barakalla fq❤
Mashaalah aĺlah
Naomba sheikh utuchambulie kubeti ili watu wajue kama niharam maana watu wana halalisha kubeti tuelimishe juu ya hili
Assalam alaykum
Ndyo
Tupo pamoja
Ww china masai ni mpumbavu tu una coment ukenge wako tu.nani amesema kuna tawheed tatu mshenzi ww
KWAIYO WW hujaona bachu alivowanukuu wanachuoni wote mbali mbali wanavoelezea hizo aya zinazoelezea tauhid kabla hata huyu bachu hajazaliwa hao wanachuoni wameeleza kuichambua aya,sasa ww unasema bachu kaleta tauhid 3 vip.au ww hufuatilii mawaidha ya huyo bachu akachambua hiyo habari,mm nilijua utakemea maulid au hitma au zafa na kukata mauno,au dufu kasida za minanda yote hayo umeyaacha.itaki laha yaa sheihk.
Katika mtu aliechanganyikiwa haujui uislamu wala ukafiri yeye kakaririshwa tuu mambo kama kasuku.
Anapinga Christmas kwa vile inapingana na uislamu lakini anakubaliana na tawala za kikafiri ambazo zinapingana na uislamu wazi wazi.
Uislamu si ukasuku bali kufikiri na kukataa ukafiri wote si huu kuukubali na huu kuukataa
Wajinga ndio waliwao
Lol
na sisi majadida tupo makini kutafuta makosa japo yale madogo madogo tumpelekee Abu fadhili akutandike radd
Alaf ukisikia rad dhid yako umtandike tena rad anayekurad yaan mawaidha yamekua kama episod tu
Kassim vicheksho Radio iman mahizbi njaa ilivombana kaenda uko uko hahahha😅😅😅😅
ASTAGHFIRULLAH .. umefikiriakweli au umekurupukatu.
@@binbuhakhamis4336 umesahau au? Kapeleka matangazo yake Radio imani kwa mahizbi
Kuna pahla popote ulipowahi kusikia Qassim Mafuta amjibu Bachu
Uislam ni dini yenye mipaka lkn wewe unaleta tauhiid 3 je huoni km kuleta kitu ndani ya dini ilokamilika ni makosa?
Soma dini yaallah utajuwa maana ya vigawanyo vya tauheed
Mpaka Leo wewe hujajua tawheed lahawla
nenda kapige madufu huku umepotea
Kama umeumia wewe wafate tu makafiri na mambo yao kwenu sitatizo
Nimegundua kinachokusumbua wewe nichuki kama unaona anachokiongea bachu cyo kweli nenda kashelehekee na wewe
Nakupenda kwa ajili ya Allah