ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

KIMENUKA! Aaliyah Ameruka LIVE Kumkomoa Zuchu Huku Diamond Akisikika Anamcheka Zuchu Pembeni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.พ. 2023

ความคิดเห็น • 27

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 ปีที่แล้ว +2

    Pole zuchu, Mungu atakupa wako,wewe sio wa kwanza kuachwa na haitakuwa wa mwisho. Jipe moyo dada Mungu ana kujali sana.

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 ปีที่แล้ว +4

    Zuchu ni mpumbavuu tika day 1! Acha ya mkute amesha zagamuliwa mpaka basii akubalikuwa house girl wa sehemu za siri za Diamond akikosa pakutoa sumu zake atamsaidia mpka kufa kwake. Aimunei huruma kayatafuta kayapata aheme sasa. Hatuachani aimbe ile nyimbo sasa

  • @Grace.67
    @Grace.67 ปีที่แล้ว +1

    "Repent" y'all for your sins!! Judgment of the Most High is on the way!!

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 ปีที่แล้ว +3

    Munajitungia story wenyewe bila ya kujua. Wacheni waongee wenyewe kwanza.

  • @samuelvyizigiro7022
    @samuelvyizigiro7022 ปีที่แล้ว

    Pole sana zuchu,ungelijuwa hayingekuwa hivo,wasabi uwa hawaowi

  • @janeshigami8769
    @janeshigami8769 ปีที่แล้ว +2

    Mtasubiri Sana

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 ปีที่แล้ว

    Daah it’s to painfully really Zuchu Pole sana 🤲😭💔

  • @berylvall723
    @berylvall723 ปีที่แล้ว

    Hapa akuna aja ya comment 😜

  • @halimahnakshi22
    @halimahnakshi22 ปีที่แล้ว

    😊😊 malipo ni hapa hapa duniani

  • @mwalimuteacher
    @mwalimuteacher ปีที่แล้ว

    Nikweli 😂😂😂

  • @munam7104
    @munam7104 ปีที่แล้ว +1

    Tusha zoea kila anae zini na daimond huwa ni mke halali wa daimond hakuna jipya huko hamuna habari mpya ni dimond na mahawara zake tu

  • @zaitunjuma870
    @zaitunjuma870 ปีที่แล้ว

    hiv hawa ni wapenzi kweli au hadhi2 mi sidhan jaman alfu kwnn msiwache waongea wenyewe wakat midomo wanayo mpak muwasemelee wl siwez kuamin mpak niwasikie wenyew

  • @kahindorose9983
    @kahindorose9983 ปีที่แล้ว

    Sorry baby girl but that guy is after making news.girls should also learn from other women 😏😏😏😏😝😝😝

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 ปีที่แล้ว +1

    Daa mapenzi haya yaacheni tu. Yaani mwanaume anakuacha mpaka anaruhusu mwanaume yoyote ajitokeze 😂😂 Kweli alikuchoka muda na wala hakukupenda

    • @hotchamber255
      @hotchamber255  ปีที่แล้ว

      💯

    • @sharonamondi1854
      @sharonamondi1854 ปีที่แล้ว

      Madharau tupu.... Yetu macho tu pesa inamdanganya

    • @marianajoseph1892
      @marianajoseph1892 ปีที่แล้ว

      Yaani nimeshangaa, kwa hiyo kauli, inaonekana hakuwa anampenda kabisa alinitumia kipaji chake kujinifaisha mwenye. Wadada tuwe waangalifu sana

  • @yasminhussein7426
    @yasminhussein7426 ปีที่แล้ว

    ALIYAH pia ww chunga usiji shaue sana FAMILY YA DIAMOND MIZIMU HAITAKI Wanawake 😂😂😂😂 nyie ni wakutumiwa tu

  • @halidanehaibati488
    @halidanehaibati488 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼

  • @Nikita_8017
    @Nikita_8017 ปีที่แล้ว

    Ilikua ni showbizz, hawakuwa wapenzi,

  • @mwanaidikhamis5430
    @mwanaidikhamis5430 ปีที่แล้ว

    Cmpi pole ameyatakaaaaa

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du ปีที่แล้ว

    Xuchu ndoukome. Ulimtusi. Amisa mobeto. Ile klipu. Mpaka leonninayo. We mtoto weee

  • @khatibmako3500
    @khatibmako3500 ปีที่แล้ว

    Diamond laana itamkuta