ZARI Amchana Diamond “ Umevunja Ndoa Yangu Alafu Unanikimbia “

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @roselinemoshi5008
    @roselinemoshi5008 18 วันที่ผ่านมา

    Achaneni na Zari ana watoto wake na ana weza pata mwanaume yeyote, Zari yuko kwenye another dimension ana old money sio kama wengine wa ku show off tu!
    Zari endelea kutesa bana ❤❤❤❤

  • @user-cg4jw4si8z
    @user-cg4jw4si8z 14 วันที่ผ่านมา

    Zari malaya tu❤

  • @stellajohannsen99
    @stellajohannsen99 14 วันที่ผ่านมา

    Nakwenda simba amefanya vibaya kumvurugia mwenziye harafu anarudi kwa zuchu. Ila Mungu ataona hayo yote zari chukuru tu mungu usiliye kipenzi watoto wanakutengemea mamy ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-cg4jw4si8z
    @user-cg4jw4si8z 26 วันที่ผ่านมา +1

    Zari atamuuwa mond mume wake wakwaza iko
    Kaburini.ana piganiya mali nawashemeki wake waganda wanauwa wanaume zao.kwajili yamali mond na muoneya uruma uyu mama ana enda kuku maliza achukuwe mali❤

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 26 วันที่ผ่านมา +4

    Hivi huyu mama ana akili au hamnazo huyu?😂I doubt kama akili zake ni nzuri.?

  • @manirambonahawa3798
    @manirambonahawa3798 22 วันที่ผ่านมา

    Nampenda zari sana acheni uchonganishi niwamondi tuu ni baba tee nanilani

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 26 วันที่ผ่านมา

    Zari na Mond wanapendana,na wanalea watoto wao..Ni kwamba Mond hapendi na hataki Zari aolewe.tenaa asikae na mme.Bali alee watoto wakee.na hawataachama ,tayari wamezaa watoto.na msije shaangaa wakazaa mtoto wa tatu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 25 วันที่ผ่านมา +1

    Malaya mkubwa.😢😢

  • @SiahMoshi
    @SiahMoshi 10 วันที่ผ่านมา

    Amemponz alimtum aropoke bs akae na pes zake ye si jeur

  • @manirambonahawa3798
    @manirambonahawa3798 22 วันที่ผ่านมา

    Nasema koma ukomazike muwache mama tee nanila mondi niwake mpaka mwisho

  • @messiahfeatures3994
    @messiahfeatures3994 26 วันที่ผ่านมา

    Wewe mbn hujitaji maana naona na wewe unataman uwe nae.....

  • @fahmymalik2150
    @fahmymalik2150 25 วันที่ผ่านมา

    Mimi nasema kwanini mambo watu wasiogelee huko chumbani wakayamaliza.....mambo na aibu kuhazirishana kwa kweli moja mbili mtu anataka kuyaogelea mtandaoni......kwani najiuliza wale wazee wetu hata kama kipindi cha nyuma kulikua hakuna tv......ni radio na hujasikia hata moja kumdhalilisha mwezake ila tu ukistiri mwenzio na ww utastiriwa...........

    • @hotchamber255
      @hotchamber255  25 วันที่ผ่านมา

      Ndo hapo sasa 😃

  • @messiahfeatures3994
    @messiahfeatures3994 26 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji acha kuwapa mahater wa zari vichwa hakuna kitu kama hicho kwa zari, hivi wewe kimbelembele unamjua zari au unamsikia? Ukitaka kumjua zari muulize Mondi si mwingine.

  • @AshuraAbdallah-l2p
    @AshuraAbdallah-l2p 26 วันที่ผ่านมา

    Umeoponza

  • @lucymtuka3199
    @lucymtuka3199 25 วันที่ผ่านมา

    MTU mzima hovyo

  • @IbrahimMwinyi-mu5gp
    @IbrahimMwinyi-mu5gp 27 วันที่ผ่านมา

    Walimtuma akumbatiane na mond

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy 13 วันที่ผ่านมา

      Ap ss ndo asem kam walinutuma😂😂😂😂😂😂

  • @TopTop-vo6pe
    @TopTop-vo6pe 25 วันที่ผ่านมา

    Aigiza tabia za zuchuu k

  • @user-cw6jq7cv2k
    @user-cw6jq7cv2k 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mtu mzima hivyo, huna haya mganda wewe.
    Hakuna hata a little scruples, common sense sio common kweli naamini.

    • @manirambonahawa3798
      @manirambonahawa3798 22 วันที่ผ่านมา +1

      A umtukana zari hutamfikiya hatasikumoja