KHADIJA KOPA ACHAFUKWA, ZUCHU NA DIAMOND HAKUNA NDOA, ATEMA CHECHE ZA MOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky ปีที่แล้ว +7

    Bi Khadija Still mzuri Mashaalah
    Mtangazaji jamaaaaani

  • @enalamlenga8419
    @enalamlenga8419 ปีที่แล้ว +7

    On point mama.

  • @MrNdanguza
    @MrNdanguza ปีที่แล้ว +7

    Wazanzibar wanajua kiswahili mpaka wanakera, lugha ya kiswahili imezaliwa pwani kabisa .

  • @Africadunia2623
    @Africadunia2623 ปีที่แล้ว +6

    Huyu mama ni mpole jamani hadi raha

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 ปีที่แล้ว

    Umeongea vizuri Mama

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji umechemka, Wamkumbuke kwa taarabu! Mama kajibu vizuri.

  • @zainabhussein5542
    @zainabhussein5542 ปีที่แล้ว +3

    Unaona kila kitu na husemi mbona husemi ukweli unakwepesha wakati una simu na unaona kila kitu nikitu ambacho unakipenda na hutaki kuongea

  • @jojo-qj3fk
    @jojo-qj3fk ปีที่แล้ว +1

    ya mambo na yale kopa kaongea ni tofauti acheni kuandika vichwa bya abari tofauti na yale ambao munaongeleya

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 ปีที่แล้ว

    Mama umeongea ukweli

  • @yusternyirenda7231
    @yusternyirenda7231 ปีที่แล้ว +3

    Wewe mtangazaji mnafiki mno fyuuu! kwendaaaa!

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 ปีที่แล้ว

      Sana

    • @yusternyirenda7231
      @yusternyirenda7231 ปีที่แล้ว

      @@rogerabdallah439 Ni mnafiki mno huyu mtangazaji sisi tunasikia lakini bado anasema mama waambie waache kuzusha mara mama amesema muache kuzusha huku mama hata hayo maneno hajatamka duuu atafiaka mbinguni amechoka mno walai maana sio wa unafiki huu

  • @halimambarouk4612
    @halimambarouk4612 ปีที่แล้ว

    Maisha Ayo kwio

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 ปีที่แล้ว +10

    Yaani badala ya kurudi kwa Allah ndio kwanza vizee nyie mnataka kuungana kuimba tu. Khadija rudi kwa muumba wako tubu dhambi zako.

    • @tabuomary1016
      @tabuomary1016 ปีที่แล้ว +1

      Wewe ulierudi kwa Allah humu unangoja Nini !!!?

    • @azizaissa4010
      @azizaissa4010 ปีที่แล้ว +1

      Haha mwenye dini huku unafanya nini

    • @williamkisaka9272
      @williamkisaka9272 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo wewe umerudi kwa muumba

    • @hamidamivule5266
      @hamidamivule5266 ปีที่แล้ว +1

      Nilikua nategemea Khadija utasema Sasa basi namwachia zuu kumbendio kwanzaaaa unatoa nanyimbo mpya Khadija basitena ittaqillaah fanya Toba aumekata tamaa maana teyariu amridhi wajambo hilobaya sijui utakwepea wapi hukumu bwanawee itoshe basitena hupendezi Tena stejini mwachie zuu atambe

    • @asilahassan9965
      @asilahassan9965 ปีที่แล้ว

      @@azizaissa4010 anawaelemisha nyy msokua waelewa

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 ปีที่แล้ว +4

    Khadija mwanao anakutia aibu, hajilishi wako kwenye wala nini.

    • @amanimapenzi571
      @amanimapenzi571 ปีที่แล้ว +1

      Asante mzazi mwema ngoja uzae nawewe alafu utuonyeshe ulivyo Leo wako....alafu tuige! Sawa mzazi mwema? Mscheeeeeeew!!!!!!!! Foolish!!!!!!! Nkt

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 ปีที่แล้ว

      hana adabu hasaaa mwanawe anaenda uchii anaona ndo ufahari

    • @irenejane4213
      @irenejane4213 ปีที่แล้ว

      Kwenda huko na labda wewe ni malaya tasa mwache zuchu polepole

    • @amanimapenzi571
      @amanimapenzi571 ปีที่แล้ว

      @@irenejane4213 Asante kwa kumtusi!!!!!! Sasa yeye anajifanya anajua kulea kushinda Khadija kopa!!!!

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 ปีที่แล้ว

      @@irenejane4213 malaya ni zuchu shangingi asojielewa yule muhuni

  • @zayanaalmarjibi4254
    @zayanaalmarjibi4254 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji ni mtoto au mkubwa?
    Ni mwanaume au mwanamke?
    Nimeshindwa kujua