Thank you so much for this recipe, Yani I looked for you on TH-cam to find it again..the best vitumbua recipe and ur personality is on point haha Kama niko Dar🤩🤩
oh my God just finished to make my vitumbua and it was like a pro they came out perfect and once I finished making it was a party in ma kitchen... thanks to you atlest I knew it was easy coz I asked people n they were kinda complicating things.
Nilikuwa sijui kama mtu unaweza kublend unga wa vitumbua, Siku zote najua kama natakiwa kupeleka mchele mashine kusaga. Nimeipenda hii video yako. Nitajaribu kupika vitumbua kwani nilikuwa napenda sana vitumbua wakati nikiwa Tanzania. Asante kwa kushea na sisi mapishi yako.
Asante sana, nimefanikiwa kupika vitumbua mwenyewe. Tatizo kubwa sina unga wa mahindi mweupe, huku Czech Republic wanauza unga wa njano (dona) kwa hivyo vitumbua vyangu vimetoka vya njano lakini vitamu. Pia cha kukaangia ilibidi nikiagizie toka vietnam baada ya Amzaon shipping kuwa ghali kidogo. Nashukuru sana kwa video, inasaidia sana kwa sisi ambao twapenda mapishi ya nyumbani na pia mama mkwe wangu sasa atajua hata Tanzania tunavitu vizuri jamani. Majukumu mema
Mimi mkenya nilikulaa Arusha mjini na nyanya yangu alikuwa ananipikia kitumbua nilipenda sana juzi amefariki akiwa miaka 107,ajabu sijakula kitumbua kwa miaka arobaini leo nimemkumbuka nyanya yangu mpenzi na ni ka goggle kitumbua,asante sana kwa rewcipe nitapika sana na nikumbuke mpenzinyanya yangu.
ndugu nimefurahia mapishi yako na nirahisi kupika kwa kweli. ukilinganisha na wanaofunza mapishi hapa they are very complicated and not straight. by the way congratulations on your baby I know his/she big already. which part of America are you. Greetings from Hawaii my dear. nielekeze tafadhali store naeza pata iliki hiyo uliotumia. au kama unajua mtu ambae anafanya biashara kutoka nyumbani ya vitu asilia niweze nunua. Barikiwa dada
Asanteni wote kwa comment nzuri, nimefurahi sana mmejaribu kupika na zimetoka vizuri, nimekua busy kwa kweli kila nikijaribu kutoka video nyingine nashindwa, Ila mniombee soon nitatengeneza video ya mapishi mapya , na kwa Sasa mtanipata. Instagram kwa jina la mamatanzania
Hi Cecilia. shukrani sana kwa kutufunza kupika vitumbua. sisi wamama wa nairobi ambao sio waswahili twapenda kupika bali hatujui and thank you so much for this video. am going to cook this for my family during this christmas season. thank you soo much.
1 cup of rice, make sure you soak it in the water for about an hour before putting it in the blender 1/4 cup of sugar 1 egg 1 packet of yeast 1 spoon of corn flour 1 cardamom pod 1 spoon of wheat flour
Asante sana dada. Umeifanya ionekane kama rahisi lakini nitajitahidi, Je unauzoefu wa kupika half cake za Kitanzania? Sio mandazi bali zile zinazopasuka katikati na zinakuwa ngumu.
how about i put inside oven with cap cape pan?halafu dada uko mrembo duh hata mimi dume la kisomali mate yananitoka anyways since your married i have to give u respect
😦😦sijala vitumbua mwaka wasita huuu hiii flampeni sijawahi kuipata hp dubai jamani kama kuna mtu anajua wp zinauzwa kwale mlio dubai naombeni nilekezeni maana vitumbua ugonjwa wangu
Yaani huyu dada nampenda sana kanifunza vitumbua
Asantee ❤️.Nakupenda piaaa .
Barikiwa,kwakupitia video yako nimeweza kutengeneza vitumbua
Thanks...ninefanya experiment imekwenda safi kabisa...keep doing it.
Thank you so much for this recipe, Yani I looked for you on TH-cam to find it again..the best vitumbua recipe and ur personality is on point haha Kama niko Dar🤩🤩
Kimbembe 🤣🤣🤣🤣
oh my God just finished to make my vitumbua and it was like a pro they came out perfect and once I finished making it was a party in ma kitchen...
thanks to you atlest I knew it was easy coz I asked people n they were kinda complicating things.
Jane Lucas 😍👍🏼
Mesa toka vizuri
I like it
Thanks
Nilikuwa sijui kama mtu unaweza kublend unga wa vitumbua, Siku zote najua kama natakiwa kupeleka mchele mashine kusaga. Nimeipenda hii video yako. Nitajaribu kupika vitumbua kwani nilikuwa napenda sana vitumbua wakati nikiwa Tanzania. Asante kwa kushea na sisi mapishi yako.
😍👍🏼
Thanks for the video iv learnt alot well explained Cecilia😋
Asante sana, nimefanikiwa kupika vitumbua mwenyewe. Tatizo kubwa sina unga wa mahindi mweupe, huku Czech Republic wanauza unga wa njano (dona) kwa hivyo vitumbua vyangu vimetoka vya njano lakini vitamu. Pia cha kukaangia ilibidi nikiagizie toka vietnam baada ya Amzaon shipping kuwa ghali kidogo.
Nashukuru sana kwa video, inasaidia sana kwa sisi ambao twapenda mapishi ya nyumbani na pia mama mkwe wangu sasa atajua hata Tanzania tunavitu vizuri jamani.
Majukumu mema
Mimi mkenya nilikulaa Arusha mjini na nyanya yangu alikuwa ananipikia kitumbua nilipenda sana juzi amefariki akiwa miaka 107,ajabu sijakula kitumbua kwa miaka arobaini leo nimemkumbuka nyanya yangu mpenzi na ni ka goggle kitumbua,asante sana kwa rewcipe nitapika sana na nikumbuke mpenzinyanya yangu.
Mungu akubaliki dada kwamafundisho mazuli. Tunaomba utufundishe bajia.
shosti umenifundisha vizuri sana....nashukuru na mimi nimpikie mahanjumati mume wangu...Aksante...
Wat I like about you is that u r a very easy person. Not complicated at all
ndugu nimefurahia mapishi yako na nirahisi kupika kwa kweli. ukilinganisha na wanaofunza mapishi hapa they are very complicated and not straight. by the way congratulations on your baby I know his/she big already. which part of America are you. Greetings from Hawaii my dear. nielekeze tafadhali store naeza pata iliki hiyo uliotumia. au kama unajua mtu ambae anafanya biashara kutoka nyumbani ya vitu asilia niweze nunua. Barikiwa dada
Asante Sana Dada kwa kuelekeza Pa kupata kikaango maana nimevimiss keep up mama kijacho.... Be blessed.
A gud teacher nimeelewa vizuri
It's so nice I like it so much
Asanteni wote kwa comment nzuri, nimefurahi sana mmejaribu kupika na zimetoka vizuri, nimekua busy kwa kweli kila nikijaribu kutoka video nyingine nashindwa, Ila mniombee soon nitatengeneza video ya mapishi mapya , na kwa Sasa mtanipata. Instagram kwa jina la mamatanzania
Cecy MamaTanzania samahani sada ila kale kashase kadogo uliweka kanaitwa aje?
Eri Razar
Hamira inafanya mchele uwamuke upesi kama yeast
Nimejaribu hini recipe mama cecy asante sana vimetokea vizuri tena katikati zimeiva na vishapu zake wow! Atleast sasa najua kuipika;)
Rashida Issa 😍😍 nimefurahi kusikia hivyo ,, video zingine zitakuja karibuni
yaaani thank u so much nimependa kujua kuwa unaweza kublend
Nimependa vitumbua uko juu cecy asante
rebecca john 😍👍🏼
You are the best 👌 👍 😍 🥰
Asante dada Cecy kwa bidii yako, nimechoka kula mikate kwenye B'fast nitajaribu nami nipike vitumbua shukran
Asante dd kwa kutufundisha mapishi mollah akubariki
Unaelekeza vizuri asante sana
safi sana dada endelea kutupa shule' shukrani..
Hi Cecilia. shukrani sana kwa kutufunza kupika vitumbua. sisi wamama wa nairobi ambao sio waswahili twapenda kupika bali hatujui and thank you so much for this video. am going to cook this for my family during this christmas season. thank you soo much.
ongela nimepend
upishi wako nimeupenda but kikubwa zaidi kilichonivutia nimependa jiko lako liko Powa sana. ivi iyo kabati ya jikoni inapatikana tz?
Hi. Can anyone please tell me what the ingredients were. And how long to leave to rest before cooking the mixture?
Thank you
1 cup of rice, make sure you soak it in the water for about an hour before putting it in the blender
1/4 cup of sugar
1 egg
1 packet of yeast
1 spoon of corn flour
1 cardamom pod
1 spoon of wheat flour
And leave the mixture in warm area for about 2 hours before cooking. I hope that helps
Yan umeelezea vizuri asante
da ahsante sana dada yangu,yaani nilinyo angalia hii video,namuonea donge sana mumeo jinsi unavyo mtolea vyakura vya nyumbani
I like you sister you seem to be very social God blees you and keep on with the videos coz they are very helpful
Asante sana dada. Umeifanya ionekane kama rahisi lakini nitajitahidi, Je unauzoefu wa kupika half cake za Kitanzania? Sio mandazi bali zile zinazopasuka katikati na zinakuwa ngumu.
Cecy tuna shuguru sana kwa mapishi yako
Hi ! Ma Alexander nimeguuswa Na mapishi yako. aunty Jossey.
Thanx sis! Ima give it a try!
Unaweka baking powder
Habari Bi Cecy asnte kwa mapishi ya vitumbua nilijaribu zikawa vitamu na lengine nakuomba kama utawza kufanya mkate wa maji
i loveeeeeeeeee your vitumbua
Hi kam nina unga tayari nafanyaje naweka kwenye brenda au nakoroga pembeni
Asante BI cecy. napenda huo mkufu wako tu
just tried this, it was great, but i substituted the water with coconut milk.. yummmmy
Thanks
Dada, u shud make more videos of dishes. Asante sana, nita tengeneza.
Tunakupenda pia
Asante sana my sister
Usipo waka hiyo iko havitakuwa vizuri naomba jibu
tufundishe wali wa sami gisi banaupiga asante sana
Very nice
napenda sana vitumbua lkn nilikua nashindwa kwajins nilivoelekezwa kukologa uji jikon ndo nipike sasa nitapika asante
ASANTE SANA leo nita jaribu ku tangleza. asante
MWANAMAMAA
ahsante sana dada, i have been in tanzania for couples of months and enjoyed that meal. Can u please gave the recipe in english. pole!
Dada asante ukowap tumekumiss
Dahongera sana tena sana Naomba unifundishe kupika MKATE WA KUMIMINA???
ahsante sana cecy!
ahsante da tuonyeshe pia mkate wa sinia
Hi,Cecy asante sana kwa video nzuri ,nimeipenda sana sana,mimi nipo London hii pan ya vitumbua nitaipataje?mdau UK.
amazon
YUMMMMMMMMMMMMMMMMM !
asante dada,
Now I feel like am home
Cansery Mwangi tafazali dada nioyeshe jinsi yakupika mkate wasinia
Hii nimependa
Unga ya mahindi na ainagani (nepesi?)
بس شاطرةالحق يقال
Dada Cecelia natufuta mapishi ya kaimati, video nyingi naona ni ngumu kufuata, unayo?
jamani wewe ni mrembo ooohh
nice but keep it up
welcome to music gospol and hal
Asante sana dada
Wish to taste this🤦🤦🤦.
Mimi sasa nahitaji mwanamke mtanzania
huna mikono?
delicious thanks for sharing
Thank you, its my favorite food when I am home
ASANTE SANA DADA. SIKU ZOTE HUDHANIA NI KAZI KUBWA KUPIGA VITUMBUA MPAKA NILIPOONA VIDEO YAKO.
nimeloweka masaa 17
how about i put inside oven with cap cape pan?halafu dada uko mrembo duh hata mimi dume la kisomali mate yananitoka anyways since your married i have to give u respect
tanzania bara lakini tupo tunduma
Nimeipend dada
WCB FANS TV 😍👍🏼
Bless u sis !
yummy!!! ahsante mdada :D
kwa nini hauna ukurasa wa facebook? asante lakini
amira haitakiwi? naomba nanamba
mimi sija wahii kula chapatiza maji
Nice
asante nilikua nikifiri Wa pi nitapata kikaangio.
jamani vitumbua vitumbua
je unaweza tumia hamila??
DADA nataka kukulisa kama hi recepie inafanya kazi nachila?
mbona nimejaribu mchele haukulainika
Jaribu kuuloweka sana mm nilijaribu na vimetoka vizuri kabisa
pascal chidi
mchele aina gani huo
😦😦sijala vitumbua mwaka wasita huuu hiii flampeni sijawahi kuipata hp dubai jamani kama kuna mtu anajua wp zinauzwa kwale mlio dubai naombeni nilekezeni maana vitumbua ugonjwa wangu
kama hauwezi kuzipata dukani unaweza kununua online (amazon) zinapatikana
Nasra Irunga
Jaribu Rames lakini hata sokoni ndani pale kwa wa Irani zapatikana
Dada ahsante mpenz naomba nisaidie namba yako mamie
unga wangano kea kingereza unaitwa je
unaitwa Wheat flour
Fred Niyo'o Unaitwa wheatflour
توبة علامها ما تحشم عمرها في لبسها خبروها
Can you translate to English please
Hamira haiwekwi? Inamadhara gani??
Shkamo
Dada naomba namba zako