Jinsi Ya Kupika Vitumbua Laini Bila Ya Kuroeka Mchele Usiku kucha! | Mapishi Rahisi Ya Kiswahili
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- Jinsi Ya Kupika Vitumbua Laini | Bila Ya Kuroeka Mchele Usiku kucha! | Mapishi Rahisi Ya Kiswahili
** ENGLISH VITUMBUA VIDEO - • How to Make Soft Vitum... **
Vitumbua Laini - Tutie Mayai au Tusitie?
• Vitumbua Laini - Tutie...
mkate was sinia - • Mkate wa Kumimina/Mkat...
Mkate Wa Kumimina/Wa Sinia #shorts #mapishi #mapishiyakiswahili #swahili #swahilifood - • Mkate Wa Kumimina/Wa S...
Sambusa tamu za nyama - • Jinsi ya Kutengeneza S...
Mkate wa ufuta mlaini bila ya kupiga unga - • Mkate Wa Ufuta Mlaini ...
Kaimati bila ya kupiga unga - • Kaimati/ Sweet Dumplin...
Hapa kutazama mapishi ya chapati laini bila ya kukanda unga: • Jinsi Ya Kupika Chapat...
Mchuzi wa kamba (prawns) na karanga (peanut butter) - • Mchuzi Wa Kamba (Prawn...
Matembele ya nazi: • Matembere/ Matembele Y...
Utaipenda hii Chachandu/Kachumbari ya Parachichi (Guacamole with English subs) - • Utaipenda hii Chachand...
Mchuzi wa Nyama wakukaanga (Lamb/Mutton Curry) - • Mchuzi wa Nyama wakuka...
📌MAHITAJI
📌Vipimo vya kikombe cha chai (mug):
Kikombe 1 cha mchele wa basmati
Hiliki 5 au kiasi unachopenda
Kikombe 1 mpaka 1.5 cha tui la nazi (kama hutumii yai, tumia kikombe 1.5 cha tui)
Sukari kikombe 0.75
Yai 1
Hamira kijiko cha chai 1.5
📌Vipimo vya mililitre na grams:
260g mchele wa basmati
Hiliki 5 au kiasi unachopenda
400ml tui la nazi
200g sukari
Yai 1
1.5tsp hamira
📌Vipimo vya vijiko vyaku pimia:
cup 1 na 1/4 mchele wa basmati
Hiliki 5 au kiasi unachopenda
cup 1 na 3/4 tui la nazi
cup 7/8 sukaru (au zidisha kama unapenda)
Yai 1
kijiko cha chai 1.5 hamira
📌Chuma cha vitumbua online:
UK - amzn.to/2EK39PN (sawa sawa na chuma changu)
US - amzn.to/2XWRHYh
Chuma hiki excact ni tabu sana siku hizi jupatikana.
Vijiko vyaku pimia:
UK - amzn.to/2IDZJ3T
US - amzn.to/2KPo21t
Kama
Vifaa nnavyo tumia kupiga video:
Camera - amzn.to/3Ny8IkE
Lense 1 - amzn.to/3y0nWcC
Lense 2 - amzn.to/3NwPFaC
Taa - amzn.to/3OArhpZ
Vifaa vya taa - amzn.to/3OAg9t3
Heavy duty stand - amzn.to/3I747VQ
Tripod - amzn.to/3OVtpbl
Mic - amzn.to/3OAxbam
📌Subscribe hapa ili uweze kujua nikitoa mapishi mapya: / @14tiniful
📌About Me:
My second channel - / @the5xdropout720
I love to experiment on food to find the best ingredients and techniques for the desired outcome. If you appreciate what I do and want to see more, please like, leave a comment and subscribe.
Contact: swahilispice@gmail.com
TikTok: vm.tiktok.com/...
Nakupenda mnoo yaan umenifanya sikuhizi napika vitumbua bila stress
Fczb
Wl
aalwz mwwaw2q
Asante sana, nimefurahi kusikia hivo! Ndio ilikua nia yangu ili tusipike na mastress
Ahsante sana nashkuru
Mashaallah vinaonesha vizuri sana. Tutajaribu
Mashaallah Allah akubarik
Nimevipenda sana asante kwamafunzo mepesi
Ahsante sana mapishi yako mazuri sana rukiya m.mungu akujaalie kila la kheri.
Asante, amina!
Mashaallah tabarakallah. Mm nilikua naroweka usiku kucha ni tabu kwwli. Thanks alot
Assalam ukhty habibty vitu vyote vizuri mashaallah
Mashallah nimependa unavofundisha mola akubariki ntafanya kama wewe shukran sana
Asante sana, nimefurahi kusikia unapenda. Amin kwa dua zako 😊
Nimependa sana. Hongera
I am from Tanzania and i enjoyed watching you make kutubua❤
Thank you so much!
Asante Sana rafiki Barikiwa
Ahsante sana!
Mapishi yako Bomba sana
Nimependa sana mapishi yako mazuri hongera my dear
Asante sana sis🥰🥰🥰🥰
Nimeipenda....nitajifunza pia
nice vitumbua
Thanks dada nimefurahia mapishi yako
Thanx nimekuelewa
Mash allah kwa mara ya kwanza kuona channel yako all the best
Nimependa sana mapishi yako ❤❤❤
Asante sana kipenzi 💖 😊
Shukran Allah akuhifadhi mash Allah
Asante sana 😄
Nimependa sanaa kwa pishi zuri la vitumbua inshallah ntajaribu kupika asante sanaa
Asante sana!
Bismila MaSha Allah Allah akuzidishie utelekeze mapishi zaidi
Asante mama, Amin ❤️
Unaelewesha vizuri sana dia hongera
Nice, thanks.like your pan and recipe
Nimejifunza asante
Mashaallah vitumbuwa vizuri sana nitajaribu kufanya.
Asante mama 😄
Asante dada kwa mapishi mazuri na mikono mizuri yenye kuvutia
Napika vitumbua this weekend inshallah 🤩😋
Insha Allah, I’m sure they will be tamu sana!
Maashallah zainonesha ziko tasty
Ma sha Allah tabaraka Allah shukran daa kwakutufundisha mapishi inshaallah kuna siku nitajaribu inshaallah
Asante, ina bidi wote tufundishane, kila mtu anae chake anaweza kumfundisha mwenzio. Karibu 😄
MashaAllah nice recipe na rahisi sana Shukran
Shukran na karibu 😄
Mashaalah endelea sis na kiswahili hivohivo.. will be one big channel ya mapishi
Wow! Thank you so much, I appreciate your positivity and kind words 😄
Wow xinaka yammy nimeshukuru kupata hii video asante Dadaa barikiwa sana
Asante sana 😄
Mashallah nimependa hiyo njia rahisi saana asante my dear 😘
Asante hun, my pleasure 😄
Vizuri!!
Manshaallah tabarakallah. Tafadhali tuma link ya kununua karai.
Samahani kuchukua muda. Karai tabu kupatikana siku hizi
Mashaallah. Nimependa sana. Shukran kwa recipe nzuri. Nitajaribu inshallah
Shukran kwa kuni support 😃
Thx
Dada asante sana nimejifunza leo kupika vitumbua
Kiswahili chako kizuri sana dada big up!!!!
Asante sana, nnajitahidi hivo hivo, nnaki peleka peleka tu, lol. Usinicheke tu! 😂
Shukrani sana nimenunuwa kilechuma amazon i never knew that could be possible 👌🏾
Wanatumia jina gani Amazon ili nami nipate kimoja
Aebleskiever pan/ Danish aebleskiever pan
Asante kwa mapishi nahitaji webside sehemu ya kununua kikaango kikubwa online
Asante. Kila mtu aniniuliza kikaango. Yani tabu sana kukipata kile nilichokitumia mimi siku hizi
Ongera dada nimekuelewa vizur
Nice MashaaAllah
Eh mama vitumbua first class me natoka Mombasa I was missing vitumbua I did not had karai but showed me to use that karai thank u mungu ita saidia wewe
Thank you so much for your kind words 😄
Masha Allah, nimefurahi kwani mm nilikuwa naroeka usiku hadi siku ya 2 jioni ndo nasaga na kupika,nimejifunza vyema!shukrani
Nice😋
Asante sana kwa recipe. InshaAllah nitajaribu. ❤️
Mashaallah yummy yummy
asante sana 😄
Very Tasty 👌👌 Thankyou
Maa shaa Allaah
Asante sana 😊
tumekufahamu mbona unàjuwa kupika
Hello from Muscat - Oman! I'm new to this channel. Ume fahamisha vizuri sana. Shukran habibty
shukran 😆
Well cookef
Manshaallah mpendwa nimekupenda bure unaelewesha vizr ntavipika napenda San
Asante sana dada, Karibu Swahili Spice 😃
Safi Sana dada
Ahsante sana mungu akubariki , vitumbua vizuri na nitajaribu , mimi kawaida naroweka mchele siku mbili , nabadilisha maji kila baada ya masaa mpaka urowane sana ili iwe rahisi kwangu kusaga
Ahsante sana kwa kutizama na kuwacha maoni yako. Nna shukuru sana ❤️
Nnahisi utapenda kweli uki jaribu. Wow! siku mbili, sijawahi kusikia hivyo. Nnajua mtu akiwa ana subra ya kiasi hicho kwa kupika, ina kuwa kweli yeye jikoni kiboko. Mi nnapenda kujaribu mapishi ya aina tofauti kila siku, kwahio siku moja nitajaribu unavyofanya wewe 👌🏽
Nimependa recipe
Asante sana 😊
Nitajaribu kumpikia mke wangu
Shukran kwa share nasi!! Tunasubiri na mkate wa kumimina.... My fav 😀
Asante mami, vengine vinakuja. Subscribe tu upate kujua nikitoa. Asante sana 😊
Shukrani sana nitajaribu
Asante sana, nimefurahi kuskia hivo
I lyk much how u cook
Asante Dada ngoja ninunue vifaa nijaribu
Safi sana
Asante
Masha"Allah vitumbua vizuri 😋. Nmeipenda hiyo chuma. Shukran
Shukran sana 😄
Precious heart Chuma nimezipata kama unataka. Tizama video hii: //th-cam.com/video/-lMnWyG7aRk/w-d-xo.html
@@SwahiliSpicE hivi si. Lazima ukorogee uji ili vitumbua vitoke vizuri ama
Bombs sana wangu
Asante kwa pishi zuri nitajaribu lakini mimi nitatumia maji badala ya nazi Sijui vitatoka vizuri
Asante sana. Jaribu alafu nijulishe bila ya nazi inakuwa vipi
Hongera recipe nzuri sana MaShaAllah
Asante sana mami 😀
Mashaallah nimevipenda
Shukran dada
Asante 😄
Umepata new subscriber 😋
Karibu Swahili Spice! Asante sana 😆👌🏽
Mashallah my dear umenijuza
Nzuri sana, ila2tapataje frampen kama hiyo happy Tz
Asante, TZ sijui utapataje, lakini njia moja: kama unajua mtu anosafiri kutoka huku UK, ninaweza kumkabidhi
Mmm Tanzania hata ya sokoni ya kienyeji ni nzuri saana nenda wanakofua vyuma kokote wanauza vikaangio saana vya vitumbua
Asante dada kwakutupa maarifa mazuri
Asante kwa kuni support, shukran 😀
tufundishe my
Maasha
Nimekupenda mashallah
Asante sana sana 😊
Thank you.
My pleasure 😄
Will try it
wonderful!
Nimependa mumy nitafanya na nitakupa mrejesho
Asante Maryam! Vipi, ulijaribu?
Asante sana vitumbua mashallah
Shukran 😄
Nimepika mashaallah vizuri sana yamyam.
Sijui niwaoneshe vp
He jamani, asante. kweli umeenda kupika. Nita tafuta njia ili mni onyeshe jinsi mapishi yanavo tokea. Natamani ni onje vitumbua vyako 👌🏽
Insha’Allah habibty
Mashaa Allah. Shukran
Asante sana kwa support yako 😊
Nzuri sana
Great video! English subtitles please?
Hi, thank you! :-) There is an English version available. Please visit my channel and you will find it there.
Mashaallah
😊
Yummy I love the detailed way of cooking rice cakes. I want to really cook these cakes, unfortunately I don't know where to purchase the cooker. I'm in Kenya. Assist please.
Thank you Belinda and so sorry for the late reply. Also, I have no idea where to get them from in Kenya. I’m based in the UK. It’s really strange that I keep getting people living in Kenya asking me where to get these pans. I would have thought since this is an East African dish, that the pans would be abundant there.
Go to Instagram and Search Biashara Connection you can get from her.
Go to Instagram and Search Biashara Connection you can get from her.
Ahsante kwa recupe nauliza naweza kutumia asali badala ya sukari?
Asante sana. Sijawahi kutimia asali lakini I'm sure unaweza kutia asali badala ya sukari. Itakuwa bora zaidi kwa afya yako lakini itabidi maji upunguze ninivyofikiri mimi.
MashaALLAH nice. Which Basmati rice do you use please? Which company
I like to use Tilda but it’s expensive. So, these days I’ve settled with Laila
@@SwahiliSpicE thankyou soo much sister ❤️
My pleasure!
Mashallah
Mashaallah very yummy
hodari
😊
Masha Allah vitumbua vizuri
Asante, na shkuru sana 😊
Asante dada
Shukrani sana 😊
Shukran
Yaani nitavipika ngoja tu niende Barking jumamosi nikanunue chuma, new year tunakula vitumbua nilivyopika mwenyewe.
Shukrani Dada kwa iyi recette Yako zuri,nikokwako +abonnée, usikose kupita piya kwenyi chaîne yangu, ubarikiwe.
Pia kupasha na kikombe cha maji kando ndani ya microwave inaleeta mvuke kulainisha mikate aina yoyote. Asante sana kwa kutufunza mapishi rahisi.
Amazing! Asante sana kutufundisha ku tia kikombe cha maji ndani ya microwave. Safi sana! Na pia kuni kumbusha neno la “mvuke”, nilikuwa na tafuta ilo neno kutia ndani ya video lakini sikuweza ku kumbuka. Asante sana 👌🏽
Hi tafathali , naomba unelezee kwenye naweza nunua wapi combo cha kupikia vitumbua hapa Nairobi?
Woow Napata wapi icho chuma nipo ujerumani
tizama hii video, kuna details zangu kuhusu jinisi ya kuorder. Naweza kukutumia Ujerumani. Asante: //th-cam.com/video/-lMnWyG7aRk/w-d-xo.html
Masha Allah
Asante sana 😄
❤❤❤
Asc mash Allah u speak swahili perfect keep on going dear I'm leaning from u darling I like to show me how to cook ndizi mtori
Thank you so much, I’m learning from my viewers too and I’d like to know what ndizi mtori is. Maybe I know it but not by that name. Hopefully one day I’ll be able to make a Swahili Spice version of it. 😉
Mashaallah mzuri sana nimeipensda sana
Thex sana nitajalibu
Ndizi mbichi+nyama unachemsha vyote had viive then una blend
Nice mashaallah
Mashallah naenda kuroeka asaivi love you
Maashaa allaha 👌👌👌👌👌